#LIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024
- Ujumbe: Kutubu
Andiko: Matendo 3:19-21
Pastor: Innocent Mashauri
Matendo 3:19-21
Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana; apate kumtuma Kristo Yesu mliyewekewa tangu zamani; ambaye ilimpasa kupokewa mbinguni hata zije zamani za kufanywa upya vitu vyote, zilizonenwa na Mungu kwa kinywa cha manabii wake watakatifu tokea mwanzo wa ulimwengu.
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Amen wokovu nikuishi maisha yanayo mpendaza MUNGU, ndio ni rahisi hata MUNGU kukutafuta na shetani hataweza kutupata juu Roha ya MUNGU itakua ndani yetu so hataweza kutujaribu, kuishi maisha ya ndambi shetani Huwa ana tuulia huko hata Kwa Imani zetu na kugarimu hata maisha yetu na afya zetu.. 😢 MUNGU wangu nisaidie uniokoe napenda ni pokee wokovu 🙏 ndani yangu
Asante mungu Leo siku yangu ya kuzaliwa thanks you Jesus
Nawapata vizuri kutoka Saudi Arabia napokea uponyaji wangu
Tukosawa kutoka Nairobi Kenya
Amen tuko pamoja🙏🙏nikiwa saud ubarikiwe poster
Ameni nakupata nikiwa kenya
Muchungaji naomba unipenamba yakoyawasap
AMEEEEN ujumbe mzuri sana
Ni sawa Rwanda
Amen 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏 Amen 🙏🙏🙏🙏
Amina mtumishi
Amen amen amen 🙏🙏🙏
Amen🙏🙏
Amen Amen Amen🙏🙏
Asante mutumishi
AMEN ASANTE YESU
Amen 🙏
Amen 🙏🙏
Amen🙏🙏🙏
Amen
Amna
Ameen Ameeen Ameeeen🙏
Ameen
Amina,amina
Amen mtumishi wa mungu
Ameni mtumishi
Amen 🙏
Amen
Ameen
Amen🙏
Amen
Amen
Amen
Amen