#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024
  • Ujumbe: Kutubu
    Andiko: Matendo 3:19-21
    Pastor: Innocent Mashauri
    Matendo 3:19-21
    Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana; apate kumtuma Kristo Yesu mliyewekewa tangu zamani; ambaye ilimpasa kupokewa mbinguni hata zije zamani za kufanywa upya vitu vyote, zilizonenwa na Mungu kwa kinywa cha manabii wake watakatifu tokea mwanzo wa ulimwengu.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 61

  • @Sirizabiblia
    @Sirizabiblia 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amen!! Kupitia Mungu Baba matatizo yote yataisha na nitakutafuta kama maandiko yako yasemavyo tutakutafuta nakukuona tutakapo kutafuta kwa moyo wote..🙏🙏

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq 25 วันที่ผ่านมา +1

    Eee bwana kumbuka familia yangu naomba amani kazini na fungua milango za baraka kwa maisha yangu fungua familia yangu bwana

  • @MyrakimJordan
    @MyrakimJordan 25 วันที่ผ่านมา +3

    Amulu kitu chochote kilichofungwa katika maisha yangu kikafunguliwe chochote kilichokufa kika fufuke nahitaji uwepo wako katika maisha yangu ukawe kiongozi katika Kila hatua ukanilinde na yule muovu damu yako uliyo mwagika msalabani ikanitakase naomba hayo kwa njia ya kristu bwana wetu🙏 AMEN

  • @hopennko4215
    @hopennko4215 25 วันที่ผ่านมา +1

    Anza nami bwana yesu siwezi peke yangu siwezi bila wewe yesu anza na Mimi baba

  • @NaomiShila
    @NaomiShila 25 วันที่ผ่านมา +2

    Asante Yesu unekana kwenye maisha yetu

  • @MnyabiGang
    @MnyabiGang 25 วันที่ผ่านมา +1

    Eeh mungu nimimi mwanao nakuomba unifanyie wepesi wa safari yangu ya maisha iwe njema na nyepesi na ya amani

  • @AdmiringBeachHammock-qv3nk
    @AdmiringBeachHammock-qv3nk 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ñaomba chote kilichokufa katika maisha yangu na familia yangu kikafufuliwe Kwa jina la yesu,kilichoibiwa na ibilisi kikarudishwe Kwa jina la yesu Amina.

  • @AnneMwinamo
    @AnneMwinamo 25 วันที่ผ่านมา

    God make me strong enough to fight my enemies without you I'm worthless Amen 🙏

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu wangu nisamehe Zambi zangu zote Ninazozijua na nisizozijua Anza na mm Bwana, Damu ya Yesu niokoe kwenye hatari yoyote Ile,ameni Ameni Ameni

  • @user-qu2nr4fp7h
    @user-qu2nr4fp7h 25 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu Baba mwezi Jana nilikuona ukitendea hata sasa baba nakuitaji Ni wewe tu tengemee langu na omba baba usinyamaze Kwa maisha yangu

  • @user-gt9tg2ir3k
    @user-gt9tg2ir3k 25 วันที่ผ่านมา +1

    Asante MUNGU kwa NEEMA yaleo nikumbuke Léo n'a kesho ❤

  • @ElizabethKadenyi-xo7nc
    @ElizabethKadenyi-xo7nc 25 วันที่ผ่านมา +2

    mungu wangu aza nami baba huu mwezi onekana kwa maisha yangu sina mwengine moyo wangu una haja nawe nina kiu nawe bwana

  • @Princesscareen
    @Princesscareen 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu Anza na maisha yangu mwezi huu maana ndio mwezi ulionileta dunian

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 25 วันที่ผ่านมา +1

    anza namimi bwana kwa mwezi huu na siku zote

  • @joycesariki519
    @joycesariki519 25 วันที่ผ่านมา

    Ee mungu aza NAMI ee nmungu wangu mwezi huu nakutegemea tu ee mungu wangu ananijuwa vema kwa maisha yangu

  • @AngelaKandulu
    @AngelaKandulu 25 วันที่ผ่านมา

    Anza na Mimi yesu mwezi huu wa Saba naomba unifungulie. Milango ya baraka kwenye familia yangu

  • @laulenceakisigiro
    @laulenceakisigiro 25 วันที่ผ่านมา +1

    Tanda miujiza bwana Niko mbele zako naomba niaze na ww bwana

  • @diomwandu966
    @diomwandu966 25 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Yesu Kwa mwanzo mzuri

  • @carolinekageha1884
    @carolinekageha1884 24 วันที่ผ่านมา

    Baba naomba unifungulie baraka sangu lolote lililo nifunga mungu fungua katika jina lako Mimi cna uwezi vita SI viangu vita ni viakwako nipe nyota yangu mungu ni mengi nimepitia lkn mkono wako unikomboe.

  • @BellahAmira-n9k
    @BellahAmira-n9k 25 วันที่ผ่านมา +1

    Signal Iko sawa,Pengine ni Net work Yako Mwenyewe🙏

  • @tabithampinga4606
    @tabithampinga4606 25 วันที่ผ่านมา +1

    Signal imekata Ee Yesu ingilia kati

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 25 วันที่ผ่านมา

    Amen Mungu naomba unitie nguvu ktka maomba haya sababu bila wwe sitaweza 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 25 วันที่ผ่านมา

    Shetani ashindwe kwa jina la Yesu

  • @PiliShabani-xx6ng
    @PiliShabani-xx6ng 21 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu Ee.mungu nipe kibari yesu

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu nisaidie nivuke

  • @tabitaluka2142
    @tabitaluka2142 25 วันที่ผ่านมา

    Yesu kristo wa Nazareth aliye Hai Hanza na mimi

  • @BellahAmira-n9k
    @BellahAmira-n9k 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ahsante Yesu 🙏 Ombi Langu ,Uanze Nami Huu Mwezi wa Jualai,Uwepo Uwenende Nami Katika Jina La Yesu Kristo,Najisalimisha Chini ya Mamlaka Ya Damu Ya Yesu.Siwezi Bila Wewe Mungu Wangu , Nakuamini Unaenda-Kunitendea Na Kujibua Mahitaji yangu.🙏🙏

  • @ziporanelson6925
    @ziporanelson6925 25 วันที่ผ่านมา +1

    asante yeu

  • @Yesslarry
    @Yesslarry 25 วันที่ผ่านมา

    Namimi usinipite bwna wa majeshi ulietumbaaa yu hai akika mungu si mwanadamu onekana jehova

  • @user-qe6ie8jv5b
    @user-qe6ie8jv5b 25 วันที่ผ่านมา

    EeMungu nikomboe mimi na wanangu nifunguliy mlango ya Baraka

  • @queenbruno9848
    @queenbruno9848 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ndio Bwana

  • @BellahAmira-n9k
    @BellahAmira-n9k 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amen ,Amen 🙏

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 25 วันที่ผ่านมา

    Amen Ahsante Mungu kwa Neema yako

  • @deboramsangi360
    @deboramsangi360 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @HattaHatta-pk7hr
    @HattaHatta-pk7hr 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙏 🙏

  • @ElizabethKadenyi-xo7nc
    @ElizabethKadenyi-xo7nc 25 วันที่ผ่านมา +1

    amen

  • @user-tc5gl3dw4l
    @user-tc5gl3dw4l 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙏

  • @user-nd3gi5px5r
    @user-nd3gi5px5r 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu kupitia maombi haya naomba nikombolewe mmi na watoto wangu mungu wangu,wazazi wangu ndugu zangu,ndoa yangu ,uchumi wangu

  • @SurprisedAnt-cw7dl
    @SurprisedAnt-cw7dl 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ameen

  • @SailisMsuha
    @SailisMsuha 25 วันที่ผ่านมา

    Eee Mungu Naomba usikie sala zangu

  • @margaretbaya696
    @margaretbaya696 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeen

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 25 วันที่ผ่านมา +1

    usiniacha

  • @SarahKadafu-ps1xk
    @SarahKadafu-ps1xk 23 วันที่ผ่านมา

    Amen amen

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 25 วันที่ผ่านมา +1

    Anina

  • @margaretbaya696
    @margaretbaya696 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeeen

  • @user-rg9dp5ov3t
    @user-rg9dp5ov3t 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amina

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 25 วันที่ผ่านมา +1

    Network jamani😢😢

  • @ROSESILA-d8g
    @ROSESILA-d8g 25 วันที่ผ่านมา

    Mimi nimechoka na kuota ndoto nikiwa nyumbani shuleni mambo za kurundishwa nyuma naomba tu unishikilie na maombi

    • @serasway9179
      @serasway9179 24 วันที่ผ่านมา

      ndio mimi hapa naota hivyo hovyo😢

  • @geoffreycharles15
    @geoffreycharles15 25 วันที่ผ่านมา +1

    Imekatika?

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 25 วันที่ผ่านมา

    Shetani ashindwe katika jina la yesu kristo

  • @Melissakozcuo
    @Melissakozcuo 25 วันที่ผ่านมา +1

    😞😞

  • @Melissakozcuo
    @Melissakozcuo 25 วันที่ผ่านมา +1

    Signal is not good

  • @user-lb9sl5nd9r
    @user-lb9sl5nd9r 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @SurprisedAnt-cw7dl
    @SurprisedAnt-cw7dl 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ameen

  • @verynicejohn7384
    @verynicejohn7384 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @kingdomkitwika6641
    @kingdomkitwika6641 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @user-ez5jf1un7g
    @user-ez5jf1un7g 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @ANNTONNY-kg9bl
    @ANNTONNY-kg9bl 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amen