JE, YESU KRISTO NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU? PART 3B

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 477

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa vizuri sana

  • @georgemaskuzi2338
    @georgemaskuzi2338 4 ปีที่แล้ว +8

    Mwalimu ww ni Mwalimu mzuri mno unafutundisha NENO na Ndio msingi mkubwa wa Yesu apa duniani. Na umetoa mahandiko nimejifunza vingi na kujua pia mengi iyo ni Neema barikiwa sana sana

  • @shedrackbusakomwambapa7546
    @shedrackbusakomwambapa7546 4 ปีที่แล้ว +11

    Uko sahihi kabisa ila wanapinga kutokana na problem of misunderstand of English basi

  • @Celestineshikuku-i4x
    @Celestineshikuku-i4x 11 หลายเดือนก่อน

    I really feel blessed 🙌 to this teachings🙏🙏🙏🙏

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 6 หลายเดือนก่อน

    Phiripo Alimwuliza Yesu Tuonyeshe Baba , yesu akasema nilikuwa pomoja nanyi siku zote wewe usijue kuwa mimi ni Nani !,

  • @basilejuma
    @basilejuma ปีที่แล้ว

    Hasante sana mwalimu, umefunza Hadi ikaeleweka, sasa naomba utufunze juu la dini ya kweli mbele ya Mungu, na siku ya kuabudu

  • @agustinomaganya5427
    @agustinomaganya5427 4 ปีที่แล้ว +2

    Unaongea point lakn kuna mahal unachemka na somo la utatu mtakatif n kubwa mno huwez kutumia akil nyepes zakibinadam ktk kumchunguza MUNGU Mungu hachunguzik kbs na anafany atakavyo han mipaka wala kikwazo cha kumzuia bila roho wa MUNGU biblia hutoiweza kbs

  • @maosthmohammad4838
    @maosthmohammad4838 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hana MFANO wala hakuzaliwa wala HAZAI wala HAZALIWI
    Hakufanana na kitu chochote
    Chochote kenye MFANO hilo sio mungu ......mungu akuongoze

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 2 ปีที่แล้ว +7

    “Christ is the visible image of the invisible God. He existed before anything was created and is supreme over all creation, for through him God created everything in the heavenly realms and on earth. He made the things we can see and the things we can’t see- such as thrones, kingdoms, rulers, and authorities in the unseen world. Everything was created through him and for him.”
    ‭‭Colossians‬ ‭1:15-16‬ ‭NLT‬‬
    h

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki. Wanaiojifanya wanajua watapata shida saaaaaana maana hata Yesu alipokuja wabishi hawa walikuwepo na hasa wasomi.

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 4 ปีที่แล้ว +4

    Happy kwa Yeremia umechemka. Anayesema nilikujua tangu tumbon mwa mama ako Ni Mungu Mwenyewe anamwambia Yeremia.

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 6 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana kwa mafumdisho aya elimu tosha kabisa !..

    • @GilbertNhigula
      @GilbertNhigula 4 หลายเดือนก่อน

      Uko Vizuri Sana Nabii Eliya Mimi na Swali Kuusu Kristo , hapo Unasema Kristo ni Neno , Ukisoma 2 Wakorintho 5 - 19 inasema Yaani Mungu Ndani ya Kristo . !? Iko je hii .

    • @GilbertNhigula
      @GilbertNhigula 4 หลายเดือนก่อน

      iVi uyo Alie Sema hapo mwanzo palikuwepo Neno Alikuwa Nani ,? Na alijuaje palikuwapo Neno ?, Alifuata historia ya Vitabu , ya kuambiwa , Kuota maono , Au Yeye ndie alie gundua Neno?.

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

    Yesu ni Mungu Yesu ni mtu hii imewachanganya Sana wasio Wakristo. Lakini Wakristo hawana Shida nalo

    • @kambimlewa551
      @kambimlewa551 หลายเดือนก่อน

      Apana kama huna ufahamu ndio utasema wakriato wamechanganyika na hilo. Mkristo alie na ufahamu kama mm nakwambia tena kwa nguvu pasi na uoga wowote hata akaja leo, Yesu ni Mungu ain't 2ways about it.
      Nime fafanua kiasi tu hapo nakama mtu huja nielewa tafadhali niulize niku fafanulie zaidi

  • @samwelkansheba2516
    @samwelkansheba2516 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu akutunze iendelee kuwa mwalimu kuhusu neno la Mungu

  • @BarakaPaulusi
    @BarakaPaulusi 9 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa mafundisho yako maana nakuelewa vizur mno

  • @nijulishenijue1168
    @nijulishenijue1168 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakuelewa sana

  • @nijulishenijue1168
    @nijulishenijue1168 4 ปีที่แล้ว +1

    Toka siku ya kwanza mimi nakuelewa sana mimi ni mkristo lakini sijawahi kupinga Dhehebu la mtu bila kusoma na kuwa na ushahidi , watu kama wewe tunawaitaji kutupatanisha sio kututenganisha ,hii ni dawa nzuri mwenye kuitaji kupona atapona asiyeitaji kazi kwake, Balikiwa sana

  • @kambimlewa551
    @kambimlewa551 หลายเดือนก่อน

    Ukisema hapo mwanzo,una dai Kuna mwanzo alafu kisha Mungu. Wewe unajaribu kutofautisha mwanzo na Mungu. Hapo tayari umetoka n'je.
    Kama mwanzo ni tofauti na Mungu basi watu wote wangeomba kwakutumia neno mwanzo .
    Kitabu kina sema hapo mwanzo. Ina maana at zero step. Beginning ama initial.
    At zero point palikua neno,Ina maana mwanzo ulikua neno. Kisha neno likawa kwa Mungu. Je hapa Mungu alikua wapi? Ina mana Mungu alikua at the same point zero. i.e mwanzo.
    Neno lilikua Mungu. Ina maana hakuna tofauti iwapo tunge geuza mtiririko wa sentensi hizi kwa urahisi wakuelewa.
    Hapo mwanzo palikua neno,neno lilikua Mungu na neno lilikua kwa Mungu. Je umeona fumbo hili Ina faa wenye hekima kufunua hii ndio uweze kuelewa.
    Kitabu kina sema yesu ndie mwanzo na mwisho. Huo mwanzo unaona dai wewe kwamba ndio ulikua kwanza kisha akaja Mungu,yesu ana sema yeye ndie mwanzo na mwisho. Je ?
    Yesu ana sema yeye ndie njia haki na kweli. Haya maneno mazito sana kwa mtu awae yote hapa duniani kutamka maneno haya. Haki ni Mungu,kweli ni Mungu na uzima ni Mungu. Sasa usemi wa yesu na lugha yake yaki mafumbo uta subiria sana pasi kuomba hekima roho takatifu ya Mungu ikufunukie

  • @jd-lo4xx
    @jd-lo4xx 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo umechemusha wanafunzi wakamuuliza basi baba tuonyeshe Mungu akawajibu aliyeniona amemuona Mungu

    • @christophersimwinga6689
      @christophersimwinga6689 4 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa wa ajabu sana at maandiko mengine anayahoji na me gine anayakubali huyu si mkristo Huwezi kuhoji maandiko

    • @amanjohn4391
      @amanjohn4391 4 ปีที่แล้ว

      @@christophersimwinga6689 tuzikilize kwanza kabla ya kuhukumu

  • @combozimkandama7193
    @combozimkandama7193 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wambingu naichi akuzindishiye

  • @mgubulilefamily531
    @mgubulilefamily531 4 ปีที่แล้ว +10

    Katika siku zote leo ndio nimekuelewa vizuri mafundisho yako,mwenyezi mungu akuongoze ivyo ivyo bila ya kupindisha mistari.

    • @jeremiahkamothowainaina6212
      @jeremiahkamothowainaina6212 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Q1093dFUdXs/w-d-xo.html

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 ปีที่แล้ว

      Umeelewa uongo sema tukusaidie

    • @kambimlewa551
      @kambimlewa551 หลายเดือนก่อน

      Tufafanulie na wewe ume elewa vizuri labuda mm siku muelewa mana fundisho la yesu kua Mungu na utatu wa Mungu sija kubaliana nae kama nilivyo jieleza . Hebu nisaidie ndugu

  • @joshuatanzanite5871
    @joshuatanzanite5871 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bureee yaaan unafundisha neno tuuu bila kuonyesha mapenzi yako umenisaidia sana nashukuru sanaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 ปีที่แล้ว

      Namufata Sana baba huyu angali mutakatifu haja ambukizwa n'a sumu iliomo wa hubiri wengi kwani huyu baba angali n'a hamu ya kufundisha neno la mungu lakini wengine wengi walishaga kuwa n'a kiburi nakuongeza akili zao wenyewe ila huyu baba angali mpya angali anatoka kwa MUNGU hajatawaliwa n'a dunia MUNGU atusaidie amuongoze mwanzo mwisho ili tupone wengi yani!!!

  • @fondogana5866
    @fondogana5866 2 ปีที่แล้ว

    God bless you.man of God

  • @harunigaitani338
    @harunigaitani338 2 ปีที่แล้ว

    Gooooood fadhr

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 2 ปีที่แล้ว

    Yesu ni Mungu iko very clear. Soma Isaya 9:6

  • @flowinmyamba950
    @flowinmyamba950 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bure mtumishi maana unafafanua ukweli kabisa

  • @brahamrelaxationchannel1334
    @brahamrelaxationchannel1334 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama Mungu hana umbo Musa aliweza aje kuuona mgogo wake? Kutoka 33: 18-23
    Vipi Mungu ako na Mikono na Miguu?
    Vipi Mungu ako na Uso?
    Vipi Mungu alipigana makonde na Jacob?

    • @jumagitti7000
      @jumagitti7000 2 ปีที่แล้ว +1

      Adam alimsikia Mungu akiwa anatembea bustanini, kwahiyo ana miguu, alimuita Adam uko wapi, kwahiyo ana mdomo, lakini pia binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.

  • @johnnkya1824
    @johnnkya1824 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sana

  • @sangameshack8007
    @sangameshack8007 4 ปีที่แล้ว

    Fafanua nabii,inawezekanaje mwana wa Mungu asiwe Mungu.Wakati watoto wa wanadamu ni wanadamu.Weka wazi hapo kabla hujaendelea

  • @elishamwita2276
    @elishamwita2276 2 ปีที่แล้ว

    Uko vzur mtumishi wa Mungu aliyejuu mbiguni

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 ปีที่แล้ว

    Ukisema yesu kristo Ni mwana wa Mungu tayari umetoa ushaidi wakuwa yesu kristo Ni Mungu pamoja nasi Mungu alikuwa ndani ya Kristo akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake Sasa wewe utasemaje yesu sii Mungu ikiwa Mungu alikuwa ndani yake,
    Kwamfano wewe unaitwa Elia na juma yupo ndani yako wewe utaitwa Nani utaitwa juma maana amekaa ndni yako Elia nikama nyumba anayokaa nitaitaje nitaita nyumba ya juma,
    Ndivyo yesu kristo anavyoitwa maana Mungu alikuwa ndani yake ndomana tunamwita Mungu
    Kwamfano ameketi katika mkono wa Mungu Baba, inamana Ni zile nguvu na mamlaka yake ,yesu kristo Ni Mungu mwenye nguvu mfalume wa wafalume
    rafiki yesu kristo kwangu Mimi Ni Mungu mwenye nguvu Ila kwako wewe yesu kristo siyo Mungu,
    Yesu Ni Mungu mwenye nguvu mfalume wa wafalume Bwana wa mabwana,
    Usifundishe watu kabla udini haujakutoka nisawa na nyaraka za paulo usabato haukumtoka haraka ndomana unaposoma bibilia inaitaji Roho Mtakatifu akuongoze maana unaweza kuwalidisha watu kwenye. Torati ukasahau neema ya wokovu kwa watu wote,wanaume na wanawake na watu wamataifa wote nimakuhani kwa kumpokea yesu ,
    Kabla ya pazia la hekalu kupasuka wachache ndio waliopendelewa kuingia patakatifu papatakatifu pazia la hekalu lilipopasuka Ni wote Sasa tunaingia patakatifu pa patakatifu,

  • @jordanclassic7849
    @jordanclassic7849 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @derickomoghela9948
    @derickomoghela9948 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana kwa masomo yako yanayofundisha ile kweli tuitafutayo.

  • @richardmercio3855
    @richardmercio3855 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mtumishi kwa elimu uliyo itoa hakika tumekuelewa vzr kua YESU ni mwana wa mungu nasio MUNGU

    • @suremani7154
      @suremani7154 4 ปีที่แล้ว

      Yani wewe hujaelewa
      Yesu ni kristo
      Kristo ni Neno
      Neno ni Mungu
      Yesu ni Mungu

    • @richardmercio3855
      @richardmercio3855 4 ปีที่แล้ว +1

      @@suremani7154 YESU nineno la Mungu lililo vaa mwili hivyo Yesu sio Mungu rejea Yohana 17:3 inasema "nauzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wapekee na Yesu kristo mwanao uliye mtuma. Huoni hapo Mungu anajitenga na Yesu. Kanisa lolote lisilo amini kua yupo Mungu baba wapekee na Yesu kristo nimwana wa Mungu hakika mapepo hayatoacha kuwasumbua mazabahuni mwao

    • @jordanclassic7849
      @jordanclassic7849 3 ปีที่แล้ว

      @@richardmercio3855 lelejea tito 2:13 na isaya9:6 najua hapo utaelewa zaidi amina

  • @neemaadam9256
    @neemaadam9256 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana Mtumishi, Mungu azidi kukupaka mafuta ili wakuelewe

  • @wilsonkakili2481
    @wilsonkakili2481 2 ปีที่แล้ว

    mpokee Yesu sasa kabla siku mbaya hazijakufikia
    Na mafundisho yako ya upotevuni

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

    Yesu ni Mungu na sio maagizo ya Wakristo ni Yesu Mwenyewe ndie aliyesema

  • @selestiniasenga
    @selestiniasenga ปีที่แล้ว

    Nabii Eliya vipi biblia inasema Yesu ni Mungu. Wewe unapotosha neno la Roho Mt. Tena unapotosha maandiko.Mungu ajifunue kwako upone
    ACHA MKOROGO BROO.

  • @thembaphiri4523
    @thembaphiri4523 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ni moja yesu angekuwa mungu asingeomba mungu aombe asinge lia asinge kufa asinge sali mungu asali anaswaliwa from malawi

  • @paulocizaa2190
    @paulocizaa2190 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe ila naona bado uko darasa y1 utakuwa elimu yako ni muelewa Yesu kama mwana ,jitahidi. Ujuwa jina ya Mungu ni nani kwa kuwa Mungu si jina, nipe jina Le Mungu, ndo utamulewa Yesu , ni nani Mm na kuambie YESU NI MUNGU MKUUUUUUU SOMA YOHANO 17:6 utajuwa jina la Mungu

  • @dottoemanuel9697
    @dottoemanuel9697 3 ปีที่แล้ว

    Neno Mungu limetoka katika neno so nen o ni Mungu na Mungu ndoneno je kunamtu ashawahi kulionaneno na je kunamtu aliyewahi kumuona Mungu bas kama kama hakunaaliewahi kuyaona hayoniliyoyasema bas jibu ndohilo yesu ni Mungu

  • @elizabethodindo4543
    @elizabethodindo4543 4 ปีที่แล้ว +3

    God exists in trinity,hauwezi linganisha mwanadamu na Mungu mwana wa nyoka ni nyoka mwana wa Mungu ni Mungu.pua,mdomo na macho japo viungo hivi vina majina tofauti ni sehemu za mwili in the book of John Jesus says I and my father are one.

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 6 หลายเดือนก่อน

    Je Musa Abihu Adabu na wengine na wazee 24 walimwona mugu ni mungu gani uyo chini ya miguu yake yakuti Samwai nk , naomba jibu ?

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 ปีที่แล้ว

    Anayetuongoza kumjua Mungu ni Roho Mtakatifu. Hivyo wewe unayezungumza huna mamlaka yoyote katika neno LA Mungu bila Roho Mtakatifu

  • @brianmacharia5454
    @brianmacharia5454 2 ปีที่แล้ว

    Kweli nduggu nimekubali yesu akubaliki sana

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 3 ปีที่แล้ว +3

    Naitwa Samson Niko kahama shinyanga VIP tunawezaje pata vitabu ulivyoandika kuhusu hio maada unayaelezea

  • @khamiskiandiko2965
    @khamiskiandiko2965 2 ปีที่แล้ว

    Ashahadu Allah ila haillallah wa Ashahadu ana Muhammad Rasurullah hapana Mollah apasaye kuabudiwa kwa khaki ila Allah peke yake na Muhammad nimtume wa mwenyezi mungu Issa ibni Mariam sio Mungu wala sio mtoto Mungu bali ni nabii wa mwenyezi Mungu

  • @jd-lo4xx
    @jd-lo4xx 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akamwambia Musa hakuna anayeweza kumuona Mugu na akaishi kwahiyo ili aweze kuja duniani ilibidi avae mwili ilimwanada akimwona aweza huishi kwahiyo hakuna ambaye angemkomesha ibilisi isipokua Mungu tu.

    • @abuukajembe2586
      @abuukajembe2586 2 ปีที่แล้ว

      Kwaio ibilisi hayupo tena

    • @PhilipobonifacSado
      @PhilipobonifacSado 6 หลายเดือนก่อน

      We nimgumu kuerewa kristo ndo alivaa mwili mana yeye niloho wamungu amuwakilishe mungu ndiomana akasema alieniona Mimi ndio kamuona baba

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 2 ปีที่แล้ว

    Wewe bwana mdogo, acha kuchanganya ukristo na uislamu. Ni vitu viwili tofauti kabisa. Acha kumfananisha Mohammad (mtume wa Mungu??) na Bwana Yesu Kristo. Ni tofauti kabisa.
    Na Utatu ni mambo ya rohoni ambayo ni mtu wa rohoni tu (mkristo aliyeokoka) ndiye anaweza kuyafahamu.
    Wewe bwana mdogo huongozwi na Roho. Unaongozwa na mwili.

  • @SirIsaacSS
    @SirIsaacSS 2 ปีที่แล้ว

    Great teachings

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 6 หลายเดือนก่อน

    Je Alie Mwumba Adamu na Eva ni Yesu Au Lile Neno ambalo ndio roho ndio liliofanya Uumbaji wa Adamu na Eva ?,.

  • @orentosebastian6074
    @orentosebastian6074 2 ปีที่แล้ว

    Mapepo hayatusumbui pepo anatolewa kwa jina Yesu km unaona Yesu hafai kutoa pepo uje ujaribu kutoa pepo kwa jina la Mungu uone km yatatoka yatabaki yanakucheka2

  • @orentosebastian6074
    @orentosebastian6074 2 ปีที่แล้ว +1

    soma 1yohana 5:20 Tito 2:13 utaona Yesu ni Mungu tumia akiri

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 3 หลายเดือนก่อน

    Unanibariki sana

  • @danforddaud5784
    @danforddaud5784 4 ปีที่แล้ว +3

    Yesu ni MUNGU Alleluya

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 2 ปีที่แล้ว +1

      Yesu siyo Mungu 💯%
      Mathayo 20:17
      Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

  • @GRACE-ru2nn
    @GRACE-ru2nn 6 หลายเดือนก่อน

    Nabii katika hilo kidogo umepotoka kwanza nilazima ukumbkke kwamba ufalme au utukufu wa Mungu hauwezi au hauelezeki kwa akili za binadamu. Hivyo kuwa mwana wa Mungu Yesu na Roho Mtakatifu ndiye huyo huyo Mungu, Yesu maandiko matakatifu yamemtaja kuwa ndiye Mungu alijitwalia utu. Kiufupi Mungu aliamua kujitengenezea hali ya kuwa mwanadamu ili akae nao nakatika wakati ule Kristo akiwa hapa Duniani kwakua yeye ni Roho alitengeneza mwili ambao aliutumia kukaa katikati ya wanadamu na aliutumia mwili ule kuwa chambo cha kumkamata ibilisi walipomsulubisha ili akamilishe mission yake ya kumkomboa mwanadamu ambaye alikuwa mtumwa wa shetani.
    Yesu aliwaambia wanafunzi wake walipomtaka awaonyeshe Baba alive Mungu yeye aliwajibu kwamba na nanukuu "minions mimi mmemwona Baba" maana yake nini? Ndiyo kusema wao waliona mtu lakini katika utukhfu yule Kristo alikuwa mtu machoni pa wanadamu lakini kwa waliofunuliwa walimwona Mungu kabisa akiwa katika mwili uliopakwa mafuta (Kristo)

  • @omarkhamis9514
    @omarkhamis9514 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hivyo, yesu analala, anakula na kunywa na hata mimi na wewe na kila kiumbe kinalala kula na kunywa kwa hivyo yesu, mimi na kiumbe chochote tupo sawa, yaani kwa huo ujinga wako kila kiumbe ni Mungu. Acha kufuata mdehemeko! Rudi chuoni. Halafu unasema alikufa - huoni haya.

  • @Mapishinatibatv
    @Mapishinatibatv 2 ปีที่แล้ว

    Roho ni pumzi ya Mungu hivyo basi pumzi ya Mungu Roho

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa farasi utamwiteje
    Nitamwita farasi na mtoto wa Mungu atamwiteje nitamwita Mungu,
    Nawale waliojiliwa na neno la Mungu utawaiteje nitawaita miungu,
    Sikia rafiki hapo naiona roho ya mpinga kristo kwako,wewe unaejita nabii Elia hapo ujanipata utawapata waumini wajinga wasiomjua yesu
    Kwangu Mimi yesu kristo.ni Mungu wangu

    • @laclassic1336
      @laclassic1336 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu akizaa MUNGU watakuwa MUNGU wangapi,? We nae hujui kitu ndugu,,yesu sio MUNGU achen kukufuru hivyo

  • @rosealmiskiry845
    @rosealmiskiry845 4 ปีที่แล้ว

    Asalamu alaikum....Mimi hi ni Mara ya Kwanza kuiona chanal yako....lakini mazungumzo yako naiafahamu vizuri Sana kwajili ilimu hizo nazifahamu sana alhamdulilah......Basi nakuomba tafadhali vipi naweza kuwasiliyana na wewe mwalimu....kwajili Nina Jambo muhimu nataka kukuliza kuhusu (HARUT&MARUT) wa BABIL......Shukran".

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  4 ปีที่แล้ว

      Ipo namba hiyo ya whatsApp nitumie ujumbe 0714750521 whatsApp only

    • @rosealmiskiry845
      @rosealmiskiry845 4 ปีที่แล้ว

      @@nabiiilyaaseliya2551 ahsante Sana mwalimu....nitawasiliana na wewe nikipata kituo...Mana sasa naenda kazini ...Mimi Niko out of Africa.....shukran".

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  4 ปีที่แล้ว

      @@rosealmiskiry845 Karibu sana Mpendwa

  • @churchboyz_tz
    @churchboyz_tz 3 ปีที่แล้ว

    Wewe jamaa,Yesu atakuonyesha tu,acha ujinga sana,ikiwezekana futa hii clip

  • @injilinuruyamilele
    @injilinuruyamilele 4 ปีที่แล้ว +2

    8 but of the Son he saith , Thy throne, O God, is for ever and ever; And the sceptre of uprightness is the sceptre of thy kingdom.
    9 Thou hast loved righteousness, and hated iniquity; Therefore God, thy God, hath anointed thee With the oil of gladness above thy fellows.
    10 And, Thou, Lord, in the beginning didst lay the foundation of the earth, And the heavens are the works of thy hands:

  • @sumatanjunior231
    @sumatanjunior231 4 ปีที่แล้ว +3

    God cannot be described by professional thinking. God is beyond our understanding, including yours.

  • @rehemakulwa8331
    @rehemakulwa8331 2 ปีที่แล้ว

    unaumwa wew hamza isa wew pia ni neno la mungu.na wew ni mungu

  • @bettykavisa7640
    @bettykavisa7640 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwalimu nmeinua mikono😊😶🙈🖐️iyo imeningia kwa akili kabisa

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  3 ปีที่แล้ว +2

      Barikiwa sana unaweza kuniandikia whatsapp +255714750521

    • @basilejuma
      @basilejuma ปีที่แล้ว

      Sipingi, Mungu ni Moja, na Yesu Kristo ni mwana wa Mungu, ila nakuomba utoke inje na ukafunze neno la Mungu ndo wengi waelewe

  • @lucaswanyonyi4037
    @lucaswanyonyi4037 2 ปีที่แล้ว

    Uko sawa nabii

  • @gerardamos5689
    @gerardamos5689 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishu

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 ปีที่แล้ว

    Unasema yesu Ni mwana wa Mungu alafu Tena unajipinga mwenyewe Tena unasema sii Mungu,uoni kuwa unapinga ukweli,

  • @christopheduhayimana5102
    @christopheduhayimana5102 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni 1 Shema Israël hakuna mwingine ni Yeye tu, kusema Yesu ni Mungu sio kusema kuna Mungu mwingine ni Mungu yule yule. Anaevaa mwili.kwa maana anafanya kile anacotaka akitaka kukaa ndani yako huezi kataa.tena jueni kwamba Mungu naishi popote kaulize nabii Jonas mahali popote wewe huezi kataa hayo. Yesu ni Mungu ambaye amevaa mwili.kile ambacho usico ni hiki. Mungu ni Neno,Neno ni Mungu tena Mungu ni Roho Mtakatifu

  • @churchboyz_tz
    @churchboyz_tz 3 ปีที่แล้ว +2

    YESU NI MUNGU,hata kama utafundisheje,TUONANE MTONI TUTAJUA UKWELI WOTE.

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +2

    Chukua hii
    Yesu hakunakiliwa mahali popote katika biblia akisema, “Mimi ni Mungu.” Lakini hiyo haimaanishi ya kwamba hakusema kuwa yeye ni Mungu. Kwa mfano ni maneno ya Yesu katika Yohana 10:30, “ Mimi na Baba yangu ni mmoja.” Kwa mtazamo wa kwanza, hili linaweza kuwa si dai la kuwa Mungu. Lakini angalia mapokezi ya ujumbe huu kwa wayahudi, “hatukupigi mawe kwa lengine lile ila kufuru, kwa sababu wewe ni mwanadamu, unayejidai kuwa Mungu” (Yohana 10:33). Wayahudi walielewa matamshi ya Yesu kuwa alijijulisha kwao kuwa yeye ni Mungu. Katika aya zifuatazo hawasahihishi wayahudi kwa kusema, “si kusema mimi ni Mungu.” Hii ina maana ya kuwa aliposema haya yafuatayo alikuwa akimaanisha kweli kuwa ni Mungu, “Mimi na Baba yangu ni mmoja” (Yohana 10:30). Yohana 8:58 ni mfano mwingine. Yesu akasema, Amini, Amini nawaambia, kabla ya Abrahamu kuweko mimi nilikuwa.” Tena kwa ajili ya hayo wayahudi wakashika mawe ili wampige nayo Yesu (Yohana 8:59). Je, wayahudi wangetaka kumpiga mawe yesu kama haingekuwa ya kuwa alisikika akikufuru kwa kusema yeye ni Mungu?
    Yohana 1:1 inasema “Neno alikuwa Mungu”. Yohana 1:14 inasema “Neno akafanyika mwili.” Hii inaonyesha wazi ya kwamba Yesu ni Mungu katika mwili. Matendo 20:28 inatuambia, “…Muwe wachungaji wa kanisa la Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe,” Ni nani aliyelinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe? Yesu kristo. Matendo 20:28 inasema ya kwamba Mungu alilinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe. Kwa hivyo Yesu ni Mungu!
    Tomaso mwanafunzi wa Yesu alisema kuhusu Yesu, “Bwana na Mungu wangu” (Yohana 20:28). Yesu hamsahihishi kwa kuyasema haya. Tito 2:13 inatuhimiza kusuburi kurudi kwa Mungu wetu na mwokozi - Yesu kristo (Pia tazama petro wa pili 1:1). Waebrania 1:8, Baba asema juu ya Yesu, “Lakini juu ya mwana asema haya, “Na Kiti chako cha enzi, wewe Mungu, Kitadumu milele, na haki itakuwa fimbo ya ufalme wako.”
    Katika kitabu cha ufunuo wa Yohana, Malaika alimwamuru mtume Yohana kumuabudu Mungu tu(ufunuo wa Yohana 19: 10). Mra nyingi Yesu katika maandiko aabudiwa (Mathayo 2;11; 14:33; 28:9,17; Luka 24:52; Yohana 9:38). Hakemei watu kwa kumuabudu. Kama Yesu hakuwa Mungu, angewaambia watu wasimuabudu, kama vile malaika alivyofanya. Kuna aya nyingi za maandiko zinazoshuhudia ya kwamba Yesu ni Mungu.
    Sababu muhimu ya kwamba Yesu sharti awe Mungu ni kwamba kama si Mungu, kufa kwake hakungetoshea kufidia dhambi za ulimwengu wote (Yohana wa kwanza 2:2). Mungu pekee ndiye angeweza kulipia adhabu kama hiyo. Mungu pekee ndiye angeweza kufidia dhambi za ulimwengu wote w (Wakorintho wa pili 5: 21), afe na afufuke kuthibitisha ushindi juu ya dhambi na mauti.

    • @barakamshani9305
      @barakamshani9305 2 ปีที่แล้ว

      Naongezea Yohana: 1:18

    • @barnabazawadi5686
      @barnabazawadi5686 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeeleweka…Yesu ni Mungu…

    • @ikayokomoi3438
      @ikayokomoi3438 2 ปีที่แล้ว

      Great Christ is the lord

    • @isaacwafula
      @isaacwafula ปีที่แล้ว

      Wewe ndie mwalim sasa brother u better teach them ....

  • @rashidmoche8709
    @rashidmoche8709 4 ปีที่แล้ว +2

    Wakristo nashangaa mnamshangilia bwana hamza wakati anakataa utatu mtakatifu...HAHAHAAA UST HAMZA WAPIGE HAO MAKAFIRI HAWAELEWI MUNGU NI NANI NA MTUME NI NANI.

  • @pierremira
    @pierremira 4 ปีที่แล้ว +2

    Usisahau asyeaamini kuwa mungu ana mwana ni mpinga kristo na yesu alikufa nakufufuka na atarudi kuhukumu huu ulimwengu

    • @jamilshisia5929
      @jamilshisia5929 4 ปีที่แล้ว

      Acha ukafiri Mungu ana vyiumbe si mtoto wewe vipi

  • @jumakilewa7265
    @jumakilewa7265 3 ปีที่แล้ว

    Tunakuelewa sana Nabii piga injili tunakupata sana.

  • @muhitiraamissy7198
    @muhitiraamissy7198 2 ปีที่แล้ว +1

    Hujuwi unachokiongeya west of time Islam is truel ligion Allah akbar

  • @ej4409
    @ej4409 2 ปีที่แล้ว

    MPOTOSHAJI MKUBWA WRWE,, MBONA SISI HATUSEMI JUU YA NINYI KUABUDU NA MAPEPO, NENDA ZAKO WEWE, ETI WEWE NI ELIYA , KAWADANGANYE HUKOHUKO, SUBURI JECHANAM KWA KUPOTOSHA KWAKO

  • @paschalcosmas6093
    @paschalcosmas6093 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu!..Kuna sehem zinakuchsnganya kdgo, Neno sio kitu kama unavyoeleza bali ni jina la mtu na ndio maana YOHANA alisema" Naye Neno alikuw na Mungu naye alikuw Mungu" pia Neno hakuumbwa kama unavyoeleza ww Bali alikuwako na Mungu tangu milele. Inaposemwa hapo mwanzo ni kwasabab akili zetu zina kikomo cha kufikiri na ndio maana YOHANA alisema hapo mwanzo ili tuweze kuelewa, ukisema Neno ana mwanzo bac na Mungu ana mwanzo, kwasababu yohana hakutofautisha kipi kilianza kat ya Neno na Mungu" Hapo mwanzo Neno alikuwako, naye alikuwa na Mungu naye alikuw Mungu".

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 2 ปีที่แล้ว +2

    Just simple logic chukua mfano wa Yai au Egg. Hilo Hilo moja toa maganda ya juu weka pembeni, chukua nyama nyeupe weka pembeni alafu chukua kiini chake cha njano au York weka pembeni. Mtu akikuuliza kwenye bakuri 3 hapa mayai mangapi utasemaje? Actually it's one egg with 3 components.

  • @presenttruthpioneersministry
    @presenttruthpioneersministry 3 ปีที่แล้ว +1

    The trinity does not have any scriptural support. To say that trinity is biblical is to refuse and to pervert the Gospel. Roho ni uhai. Roho Mtakatifu ni uhai mtakatifu wa Mungu. Simple. Christ is the Spirit, 2cor 3 :17.
    God gives life to Christ, Christ gives believers life.

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 3 หลายเดือนก่อน

    🙏 🙏 🙏 🙏

  • @williammadafu9518
    @williammadafu9518 11 หลายเดือนก่อน

    Siwez kusema kitu ila MUNGU yupo katika asili yake kabisa ami ami nawaambie ni vema kufanya maombi na kumuomba MUNGU ambae hamuoni kuliko kumuamini mtu unae Muona neno la MUNGU liko wazi tafadhali soma maandiko yafuatayo ndipo utajua kuwa MUNGU yupo katika asili yake
    1 Wakorintho 8:4
    Zaburi 2:7-12
    Mithali 30:2-6
    Yohana 14:16-17
    Warumi 1:8
    1 yohana 2:21-22
    Naomba sana mtu wa Mungu usome maandiko hayo MUNGU NI MWEMA hatakuonesha kweli na haki

  • @christopheduhayimana5102
    @christopheduhayimana5102 4 ปีที่แล้ว

    Inabidi nduguyangu Eliya kuendelea kufanya utafti ndani ya Biblia kwamaana kuna tofauti kati ya Roho Mtakatifu na Roho kwa maana sisi sote tuna Roho na Malaika ni Roho alakini Roho Mtakatifu ni Mungu mwenyewe. Sasa Yesu Kristo ni Mungu asilimia kwa mia na Mtu asilimia kwa Mia.

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 4 หลายเดือนก่อน

    Ukianza kusikiliza utadhania unaenda kupata kitu kipya,cha kushangaza ni utoto mwingi.Hapa mwalimu huyu mtoto anajaribu kutuonyesha vitu vinavyomchanganya kichwani,ni jeuri huyu,angetaka kufundishwa labda angeokoka.Hizi ndo nyakati za giza sasa maana mwanga unazimishwa na walimu waliochanganyikiwa,shetani yupo kazini kuwapoteza wana wa Mungu

  • @kalla4alex146
    @kalla4alex146 2 ปีที่แล้ว

    Mm nimeuliza wachungaji wengi kuhusu swali hili lkn sjawah kupata majib

  • @CharlesMangumba
    @CharlesMangumba 6 หลายเดือนก่อน

    ww unayo haidia ya maarifa ya kibiblia na Mungu awe nawe, jitaindi kuchunguza ipo sk mungu atakunyesh jia zaidi, ,sina la kukumbishia ww, na waislamu wanaokuponda awaujui uislamu kabisa,

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 10 หลายเดือนก่อน

    SAFI SANA HAWA WASOMI MAAMUMA WATAENDELEA KUTOKUELEWA MPAKA MWISHO WA DUNIA😅

  • @omysabasi1907
    @omysabasi1907 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ameamrisha malaika wamsujudie Adam ambaye ni mwanadamu! We huoni kwamba huo ni mfano tosha ambao umefanywa na malaika Mbele ya mungu kumsujudia mtu. Sasa cha ajabu ni nini kuona watu wakimsujudia Yesu? Huo ni mfano aliouonyesha mungu mbele yetu kwamba mwanadamu anaweza kusujudiwa na hata aliyepinga yaani ibilisi alilaaniwa. Kutokana na mfano huo si dhambi kuabudu mtu. Mungu amezuia sanamu za kabba wakati huo zisibomolewe na makafiri wa Jeshi la tembo. Au hukusoma Kisa cha Al-fil? Hii inaonyesha sanamu zina thamani kiasi gani katika maisha ya mwanadamu hasa katika Ibada maana wakati ule watu walikuwa wakizitumia katika ibada na si vinginevyo na mungu alizuia zisiangamizwe. Inaonyesha ni kiasi gani mungu anazikubali ibada za sanamu, kwahiyo usipinge kuona Buddha, Christian na Krishna wanaabudu sanamu. Ni Jambo la kawaida tu ambalo mungu kwa mujibu wa surat al- fil hana shaka nalo. Tena kwa kisa cha Adam inaonekana alisujudiwa na malaika wakati akina bado ni udongo au Jiwe au tuseme alikuwa bado sanamu maana alikuwa bado hajaamka. Kwahiyo malaika waliiabudu sanamu ya Adam.

    • @omysabasi1907
      @omysabasi1907 4 ปีที่แล้ว

      Ali Ali kuingilia mwanamke kinyume na maumbile siyo tatizo kama mwanamke atapenda mwenyewe kufanya hivyo. Ukifuatilia ktk quran hakuna hata aya moja inayopinga mtu kufira mwanamke, Mashehe wengi husema kufira kumezuiliwa kwa sababu ya kaumu Ruti eti waliadhibiwa kutokana na vitendo hivyo. Mimi siamini hilo kwasababu ukifuatilia wanasema waliadhibiwa na malaika Jibril. Kiukweli ni kwamba huo ni uongo, malaika Jibril hawezi kuua mtu. Yeye si muuaji na wala si kazi yake kuua na haiwezekani akaua kwani yeye ni mtoa wahai kwa mitume tu. Labda wangesema kaumu Ruti waliadhibiwa na malaika Ezrael hapo kidogo ingereta maana. Vile vile cha ajabu ni nani aliyehadithia kisa hiki cha kuadhibiwa kwa kaumu Ruti kwa moto ikiwa yeye mwenyewe nabii Ruti alikatazwa asiangalie nyuma. Hii ina maana Ruti mwenyewe hakujua nini kilichotokea nyuma yake. Ni uzushi tu wa watu kwamba kaumu Ruti waliunguzwa moto lakini kiukweli hakuna mtu yeyote aliyeona tukio harisi namna ilivyokuwa. Mimi siamini kabisa habari hii kwahiyo basi kukataza kufira ni uzushi tu.

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@omysabasi1907 inaonekana wewe unafirwa kwa nyuma ndio maan unatetea kaumu Luti,mungu alimkataza Lut kuangalia nyuma kwasababu mbili;ya kwanza unajuwa manabii huwa wanawapenda sana watu wao kwaiyo kama angetizama kinachowakuta basi roho ya imani ingemuingia na kumfadhaisha moyoni mwake ndio maana pia wakati wa nuhu mungu aliamrisha maji yaondoe safina ya nuhu mbali ili nuhu asione jamaa zake wanavoangamia ndio maana mungu alimkataza luti kuangalia nyuma, sababu ya pili mungu alijuwa kuwa katika watu ambao luti amefuatana nao kuna mkewe ambae nae alimpinga nuhu na akakubali mambo ya kaumu luti kama wewe kwaiyo alitaka nae kumuadhibu ndio maana akatoa ile amri ili yule mnafiki lazima atatizama tu nyuma ili iwe sababu ya yeye kuadhibiwa.
      Ndugu yangu labda nikwambie hakuna uhalali wa mtu kumuingilia mkewe kinyume na maumbie hata kama mke akikubali,kumbuka ubaya kama huo mungu aliwakataza kaumu luti nao walikuwa na wanawake pia na hakiwaingilia kinyume kwa ridhaa yao,jibrili ndio alienda kuwaadhibu kwasababu mungu ana malaika wengi na kila mmoja na kazi yake,jibrili yeye ni kuwafunulia wahyi mitume na kuadhibu na kuangamiza miji inayotapakaa maasi,izraili yeye kazi yake ni kutoa roho tu sw.
      Naomba kama una tabia ya kutoa nyuma acha maana adhabu yake ni kubwa.

    • @omysabasi1907
      @omysabasi1907 4 ปีที่แล้ว

      Muslih Moh'd Izrael hakuwepo pale na wala hakutajwa kwahiyo kesi hiyo haimuhusu labda umuongeze wewe na masheikh wako na inaonekana aliyeua hapo ni Jibril, kitu ambacho hakiendani na kazi yake. Hata ao malaika wenzake waliokuwa pamoja naye si wauaji pia. Kama lut hakuona kilichotokea basi aliyehadithia ni muongo maana habari hii imeanza ktk biblia pia na ndio maana hakuna ukweli wowote, wengine husema yalishushwa mawe ya moto kutoka juu na wengine husema Jibril aliichukua Ardhi ile na kuipeleka juu kisha akaiangusha. Hizo ni habari ambazo zinapingana hakuna mkweli. Baki na hapo kulikuwa na watoto wadogo ambao hawajui kitu pia waliadhibiwa!! Mungu hawezi kufanya hivyo ! Kamwe. Elewa wewe sio kila anayetetea usenge basi ni msenge, Mimi ni mwanaume sina hisia za kike. Kaa ujiulize vizuri utagundua tu kwamba mko wrong na Ndio maana watu hivi sasa wanaendelea na vitendo hivyo na Mungu wala hana habari nao. Au tuseme adhabu zimeisha? Unaona watu wanafanya na hakuna adhabu lakini bado unaamini hadithi. Ilo Ndio tatizo lenu mnapenda hadithi badala ya reality...ukienda pale sodoma utakuta mabaki ya watu (mifupa)waliokuwa wamekumbatiana bado na kama Jibril aliiangusha nchi ile kutoka juu basi isingesalia mifupa iliyokumbatiana lazima ingetawanyika. Ni uzushi na mmewekewa watu kama nyie ili muamini

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      @@omysabasi1907me nadhani utakuwa na matatizo ya ufahamu,malaika hawezi fanya kitu ambacho mungu hajamuagiza halafu pia nmekwambia jibrili yeye aliwaadhibu tu kwa kunyanyua ule mji juu angani na kuuwachia halafu baada ya hapo ikashuka mvua ya mawe yenye moto ila kazi ya kutoa roho ilikuwa ya mwengine ambae ni izraili,ivi wewe mfano ukimpa mtu sumu wewe ndio umeondoa roho yake au umesababisha tu kufa kwake,chochote kinachokufa basi anaetoa roho ni izraili hata kama umeuwa wewe,halafu hao watu wanaofanya hivo sasaivi mungu anawaona sio kwamba anafrahi kwa wanayoyafanya hapana ila ameshawawekea mwisho wao na hukumu yao inawangojea kama hawatatubu wakaacha,mbona kuna maasi mengi tu mungu anayaona na yanamkera ila anajuwa kuwa kiama hakipo mbali mda simrefu atakutana nao,kuna wanaoabudu masanamu,mizimu,walevi na mambo mengi tu kama uchawi ambayo yalipelekea wengine kuangamizwa ila sisi ni umma wa mwisho na kiama hakipo mbali ndio maana Allah anatuacha tu mpaka siku tutakakapo kutana ndio tutajuwa aliemzinifu na hakutubu,mwizi,muasharati,na maovu mengine,kama luti hakuangalia ila aliemuepusha luti na kuwaadhibu watu wake ndio alituambia habari zake basi ilo jambo ni la kweli kwasababu mungu yupo tokea enzi na enzi milele na milele,sio maana luti hakuona ndio hakuna shahidi hapana kwani uyo mungu aliewaadhibu alikuwa hajui anafanya nini...?

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Mungu hakuamrisha malaika wamsujudie adamu kwa kumuabudu ila ilikuwa ni sijda ya kumuheshimu kwa kuwazidi kielimu kwasababu walisema mungu hatoumba kiumbe kitakachowazidi wao kwa elimu ndio akamuumba adamu akampa elimu ambayo malaika hawakuwa nayo,kwaiyo walipoambiwa wamheshimu kwa kumsujudia ibilisi akasema mimi ni bora kuliko atapataje heshima kubwa kuliko mimi apo ndipo akawa shetani.

  • @gerrylufingo387
    @gerrylufingo387 2 ปีที่แล้ว

    louder n clear

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 4 หลายเดือนก่อน

    Una vitu vingi kichwani ulivyojikusanyia lkn huvielewi,ndiyo maana unachanganya changanya na unaviongea bila kuvimaliza maana huvijui😊

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

    Ujalielewa somo la Roho kuuvaa mwili

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

    Neno ni Mungu, Mungu kauvaa mwili ndie Yesu, Mungu kauvua mwili ndie Roho Mtakatifu.
    Kama mchawi anaweza uvaa mwili na kujigawa nafsi hata zaidi ya mbili za utendaji kwa wakati mmoja akiwa kaskazini na wakati huo akiwa kusini, sembuse Mungu aliyemuumba mchawi ashindwe kujigawa nafsi tatu na kuuvaa mwili.
    Yesu amekuwepo kabla ya kuwepo kimwili na still anaishi hata sasa na milele kama msaidizi kama Roho Mtakatifu

  • @christopheduhayimana5102
    @christopheduhayimana5102 4 ปีที่แล้ว

    Mathayo 28 20
    na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari. Yesu anawambia Tazama nipo pamoja nanyi siku zote kumbuka tena ali waahidi Roho Mtukatifu ingawa alienda kwa Mungu tena akasema niko pamoja nanyi siku zote je.Yohana 14 23
    Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
    Yohana 14 26
    Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia. Roho Mtakatifu Kwa kweli ni Pumzi au ni Mungu Mwenyewe Yesu alisema, (Baba,Mwana, na Roho Mtakatifu)= Mungu Pekee ataka nasi mbona mambo hayo yanasumbua watu ! La muhimu ni kujua kwamba hakuna tofauti kati ya Mungu Baba, Mungu Mwana, Mungu Roho Mtakatifu yote yanatokana na njisi Mungu Pekee alivyo dhihilika kwa Mwana Adamu.

  • @omysabasi1907
    @omysabasi1907 4 ปีที่แล้ว

    Unapinga Yesu si Mungu. Wewe mungu wako haonekani! Nakama haonekani basi hayuko sasa unaabudu nini kama mungu hayupo. Unajua je pengine ni Yesu huyohuyo unaempinga isipokuwa Muhammad alishindwa kumuona alipotaka kumuona mungu.

    • @mcharoadam3953
      @mcharoadam3953 4 ปีที่แล้ว

      Ww ulishawahi kumuona mungu? Au mzungu alie kataa msimuabudu?

    • @omysabasi1907
      @omysabasi1907 4 ปีที่แล้ว

      Wewe huabudu kitu ndugu yangu kwasababu Mungu wako hayuko. You’re worshipping to no body. You’re worshipping to nothing. Huna Mungu wala huna hoja

    • @mcharoadam3953
      @mcharoadam3953 4 ปีที่แล้ว

      @@omysabasi1907 jibu swali nililokuuliza ulishawahi kumuona mungu ndiyo au hapana

    • @omysabasi1907
      @omysabasi1907 4 ปีที่แล้ว

      Unataka tumuone Mungu mara ngapi wakati tunamuona Yesu katika ndoto na maono yetu ambaye ndiye Mungu tosha.

    • @mcharoadam3953
      @mcharoadam3953 4 ปีที่แล้ว

      @@omysabasi1907 Inavyoonekana unamezeshwa maneno na kuaminishwa nakuomba soma biblia utaelewa.

  • @denicewkanary7385
    @denicewkanary7385 2 ปีที่แล้ว

    Mimi naona ukosawa lakini unamkataa MUNGU Baba MUNGU Mwana, na MUNGU Rohoo Mtakatifu, wakati vyotenivyake , ukiomba roho akashuka maana yake MUNGU amekuja juuyajambolake ,Kama ambavyo umesema roho unamsikiakwenyeuwepo , Tena unasema Rohoo Mtakatifu, Sasa mbona unjibana, Sasa Kama siohivyo sema unamsikia MUNGU ameshuka, maana aliemfufua Yesu ni Rohowa MUNGU

  • @partnersah8802
    @partnersah8802 2 ปีที่แล้ว

    Kama Mwenyezi Mungu alivyotufumba vitu vingi basi na Hilo ametufumba hivyo hivyo. Tuendelee kumtafuta basi Hakika atatuonyesha ishara zake na kutusamehe pale tulikokosea kwa kutambua na kuto tambua.

  • @abelbilia4450
    @abelbilia4450 2 ปีที่แล้ว

    OK nimekuelewa

  • @osmanehasani651
    @osmanehasani651 4 ปีที่แล้ว

    20,17 Yohana Mama nenda ukawaambie Napaa kwenda kwa baba kwa naenda kwa Mungu wangu Ambaye ndiye Mungu wenu nyinyi..
    Sasa Unateseka nn ww Kafili ..
    Mimi najua huwezi kua mkristo mpaka Ukufuru. Uamini yesu ni mungu na nimwana wa mungu. Ww Tafta Pesa zakotuu

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/sS-lLTfCI7c/w-d-xo.html

  • @jacobkambo6619
    @jacobkambo6619 2 ปีที่แล้ว

    We unakaa buthaa yesu ni mwana wa mungu

  • @yakobomaro8917
    @yakobomaro8917 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @thembaphiri4523
    @thembaphiri4523 4 ปีที่แล้ว +1

    Welcome to muslim truth religion in the world mark 13:21 mathew 24:24 quran 3:19 quran 61:7 I'm from blantyre mw