QUR AN NI FIMBO YA MUSA YA KUPIGIA MAJINI NA WACHAWI NA KUVUNJA TAWALA ZA SHETANI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2024
  • +255714750521

ความคิดเห็น • 22

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 4 ปีที่แล้ว +3

    Atukuzwe Yesu kristo awezaye kutenda mambo ya ajabu mno kuriko vyote tunavyowaza

  • @oscarkamgisha3997
    @oscarkamgisha3997 2 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi ubarikiwe

  • @angelinahogqvist7710
    @angelinahogqvist7710 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe umenena

  • @mecktemba8937
    @mecktemba8937 4 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana mtu wa Mungu

  • @khadijaathuman5271
    @khadijaathuman5271 4 ปีที่แล้ว

    Unasababiswa na wacristo yesu kumuuita mungu yesu siyo mungu yesu ni nabii.

    • @barakaharony4396
      @barakaharony4396 ปีที่แล้ว

      YESU ni MUNGU sio nabii soma isayah 9:6

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 4 ปีที่แล้ว +2

    Damu ya Yesu inanena mema

    • @louisismael5887
      @louisismael5887 3 ปีที่แล้ว

      i realize I am kinda randomly asking but do anybody know a good website to stream new tv shows online ?

  • @jelwaslinje8603
    @jelwaslinje8603 4 ปีที่แล้ว +1

    Saf mtumishi was allah

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 4 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @omisul4679
    @omisul4679 4 ปีที่แล้ว +1

    Qur an ni ponyo na ni rehma kutoka kwa Allah

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 2 ปีที่แล้ว

      Acha uongo koran na biblia ni tofauti sana japo koran imekopy badhii ya maneno ya biblia

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo uelewa wa watu ni mdogo sana wamekalili baazi ya maandiko elimu hana kitu kichwani ndiomaana wanatumiza vichwa,wanataka kuifanya imani kama simba na yanga, au kama siasa mambo ya mungu ni imani wapendwa ni Yale Yale mandiko hayabadiliki ni lugha2

  • @hemedimandai2843
    @hemedimandai2843 4 ปีที่แล้ว +2

    Mi naomba utupe dalili kutoka kwenye Quran kuhusu shahada ya 3

    • @chengem.costantine6110
      @chengem.costantine6110 4 ปีที่แล้ว

      Jamani sasa ivi kila kitu uhalisia mnatakiwa mbadilike..hayo mambo sijui ya shahada ni kupoteza muda.

    • @hamisimuhammad6225
      @hamisimuhammad6225 2 ปีที่แล้ว

      @@chengem.costantine6110 acha upuuzi

  • @ruthmuyekho5864
    @ruthmuyekho5864 3 ปีที่แล้ว

    Kwa islam kuna upatizaji?

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว +1

    Endelea na kazi nasi tunajifunza kutoka kwako na kwa ushauri tu; Ungefundisha namna Balkan peninsula walivyokuwa wamoja Waislamu na Wakristo na baada ya kuonekanwa hivyo na Wamagharibi wakapigwa na kutengwa hadi hii leo nchi za Eastern & Southern Europe ni masikini na fukara sana miongoni mwa vita walivyoandaa kupigana wenyewe kwa wenyewe ambavyo ni vita vya kiimanu ni Massacre of Serbs-Bosnia, Kosovo, na kwengineko, ila nchi za Balkan zina nafasi kubwa kutumika kama mfano wa kufundishia mada zako hasa masuala ya Upatanishi(Alliance au Companion).

  • @swalehkiuga167
    @swalehkiuga167 4 ปีที่แล้ว

    Maskini inaskitisha xana saivi unamwona mama wakislam anaicha Qur'an ndani anaenda kwa mchungaji kuombew kumbe mchungaji na mganga wakienyeji tofauti hakuna nikitukimoja