Ugumu wa utumishi vijijini•HUKU USUKUMANI UKIJENGA NYUMBA NZURI UNAKUFA•JADI NI LAZIMA•Mch.Masilili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 19

  • @sarahamri1620
    @sarahamri1620 หลายเดือนก่อน +1

    Mcchungaji kaitwa kweli hana tamaa ya pesa

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 หลายเดือนก่อน +2

    zamani Nilifikiri kweli ukijenga nyumba nzuri unakufa lakin si kweli,

  • @jamesfredrick6618
    @jamesfredrick6618 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu atukuzwe Sana Bado Yuko kwenye nafasi yake anatenda. Na tumtumainiye yeye Yesu kwamaana ndie njia ya kwer na uzima. Ameee

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ANATUMIA HATA WATOTO. SAHIHI KABISA.

  • @LispafulgenceSimon-rs1zg
    @LispafulgenceSimon-rs1zg หลายเดือนก่อน

    Jina la Bwana litukuzwe

  • @CherieDeDieu
    @CherieDeDieu หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Mungu akubariki kwa kufunza watoto maombi na ujazo wa roho mtakatifu. Kumbukeni Yesu alisema kwamba tuwache watoto waje kwake maana ufalme wa Mungu ni wa kwao. Halleluyah!! 😊

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg หลายเดือนก่อน

    Ushuhuda mzuri sana 🎉, Mungu atukuzwe

  • @MariaMdemu-xt5cv
    @MariaMdemu-xt5cv หลายเดือนก่อน

    Amen ,sifa na utukufu zimrudie Mungu

    • @rhodamaha1637
      @rhodamaha1637 หลายเดือนก่อน +1

      asante sana Mtumishi nimepata kitu hapa

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg หลายเดือนก่อน

    Amina 🎉

  • @sarabura8933
    @sarabura8933 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je หลายเดือนก่อน

    Halleluya Halleluya Halleluya

  • @MarthaZabron-gg3uj
    @MarthaZabron-gg3uj หลายเดือนก่อน

    Ni kweli hata huku usagara eti Mchungaji ni kiongozi wa chakula msibani, na wengine ni wasimamizi wa maafa loo! Inashamgaza ni kutekwa

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @rerisamba
    @rerisamba หลายเดือนก่อน

    Hawa watoto nikama wale wacongo walikua wanatumika na Mungu mpaka pastor na wazee wengine wanawatishia

  • @scolamusa1226
    @scolamusa1226 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo tunamkumbuka

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 หลายเดือนก่อน

    Ni hofu tu labda aseme Kufa kwa Majambazi hapo sawa ila si uchawi

    • @rerisamba
      @rerisamba หลายเดือนก่อน

      Mmm hujaona kumbe mimi najua mji kule kenya ukijenga nyumba nzuri unakufa

    • @user-bn6dq5ov9v
      @user-bn6dq5ov9v หลายเดือนก่อน

      Wewe hujakumbana shukuru