"Samahani kama nitawakwaza msiweke hilo biti si watu wote watapenda mziki au beat lakini nirahisi kwa watu wote kusikiliza mazungumzo asante kwa jitihada zenu kutufunulia mengine ambayo hatukuyajua ila kwajili yenu tumesikia promover niyetu sote nazani hivi nitakuw sawa piya nawapenda ninyi mko makini kwa watu mnao wahoji
Lakini wachawi na wakanga wote wanashuhuda mmoja wote wanakuwa wachungaji badaa ya kuacha ushetani lakini wengine ukiwafuatilia unagundua bado wako na masalio ya uchawi au mganga lazima watu wajiathari sana
Mengine umeshuhudia vizuri nimekuelewa kwamba ulichoma Moto Yale matunguri yote na Mungu akubariki Sana na kukutia nguvu shikilia wito wake.Lakini je, kuhusu wale watoto wawili mwisho wake ulikuwa ni nini?
Unataka kuchukua kozi na wew uanze kufanya huo uganga???sikuliza habari za ufalme w mbinguni. Upate wokovu...habari za shetani nenda iluminati watakufundsha vzur
Asante Yesu Kristo.
Hakuna aliye kama Wewe Bwana wa ma Bwana, Mufalme wa wafalme
Amen . Mungu aendelee kukupa nguvu ya kueneza injili.
Amen mungu akubarki san mtumishi na mungu atakuwezesha ili kufikia malengo ya uwanja na kujenga knisa
Mungu tuurumiye wanadamu tunamukoseya MUNGU
Amen blessd. Promover tv❤.kaka jacktan na Audax❤
Hongera sana mchungaji
Mungu aendelee kukugusa Sana kuhusu wale watoto 2.
Barikiwa sana mchungaji
"Samahani kama nitawakwaza msiweke hilo biti si watu wote watapenda mziki au beat lakini nirahisi kwa watu wote kusikiliza mazungumzo asante kwa jitihada zenu kutufunulia mengine ambayo hatukuyajua ila kwajili yenu tumesikia promover niyetu sote nazani hivi nitakuw sawa piya nawapenda ninyi mko makini kwa watu mnao wahoji
Utukufu kwa kristo
barikiwa
Kweli ..msiweke mziki wowote ule,acheni tu watu wasikie sauti ya mtu badiii
Kenya tumekuskia,,, namba Yako ya TZ tuwekee
Lakini wachawi na wakanga wote wanashuhuda mmoja wote wanakuwa wachungaji badaa ya kuacha ushetani lakini wengine ukiwafuatilia unagundua bado wako na masalio ya uchawi au mganga lazima watu wajiathari sana
Humjui Yesu wewe Hana mchezo
Ninatamani kusikia kwamba umewarejesha wale watot uliowaficha kwa bibi yako kiuchawi kama kweli ww umempokea Yesu na kuacha kumtumikia shetani.
Mengine umeshuhudia vizuri nimekuelewa kwamba ulichoma Moto Yale matunguri yote na Mungu akubariki Sana na kukutia nguvu shikilia wito wake.Lakini je, kuhusu wale watoto wawili mwisho wake ulikuwa ni nini?
MUNGU YUPO KILA WAKATI NDANI YA MAISHA YETU
..mmmh dunia inatutesa sana aaaa MUNGU ANIHURUMIE MM NA KIZAZI CHANGU DHAMBI INATESA BILA YESU HATUWEZI LOLOTE NI KUZINI HATA KAMA HUPENDI
Daaaaa Ni hatar ,tatizo watu hawajaokoka wanataman Mungu ,lakin na uzinz nao wanataka, japo wanachoma MIOYO YAO lakin hawana nguvu kwa sababu ya tamaa
Swali langu ni hili wale watoto ulio wafanya misukule tangu uokoke ni hatua Gani umejukua kuwalejesha wote ulio wafanya misukule?
Ungesimulia namna ulivyofanya huo uganga na uchawi kabla yakusmulia uokovu!
Unataka kuchukua kozi na wew uanze kufanya huo uganga???sikuliza habari za ufalme w mbinguni. Upate wokovu...habari za shetani nenda iluminati watakufundsha vzur