Kuna kitu watu wa Mungu bado wajejua, unapo kubali kupokea Yesu kristo kuwa mwokozi wa maisha yako, hapo ndipo umechokoza wachawi wale uliyo enda kwao kutafuta msahada, kwa hiyo basi unapo kubali kupokea Yesu kristo, uwe mtu wa kuomba bila kukoma na kusoma maandiko kila mara Ili ushinde majaribu. Kwa Yesu kuna Amani kuna upendo kuna ulinzi wa kipekee na usima wa milele.
Mungu akubariki mnooo mtumishi wa Mungu na akupiganie ahsante kwa ushuuda mzuri maana wengine wengi tunaokoka tunaishia njian kwa sababu ya mitihani tunayokumbana nayo lakini tunapokutana na shuhuda za washindi kama wewe tunapata nguvu kupambana
Kuna kitu watu wa Mungu bado wajejua, unapo kubali kupokea Yesu kristo kuwa mwokozi wa maisha yako, hapo ndipo umechokoza wachawi wale uliyo enda kwao kutafuta msahada, kwa hiyo basi unapo kubali kupokea Yesu kristo, uwe mtu wa kuomba bila kukoma na kusoma maandiko kila mara Ili ushinde majaribu.
Kwa Yesu kuna Amani kuna upendo kuna ulinzi wa kipekee na usima wa milele.
Ushuda wa kuinua imani ya Mtu sana Mungu akubariki sana Mtumishi umepitia Mengi lakini Mungu ni Mwaminifu
Amen. Yesu ndiye kila kitu. Asante sana mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki sana kwa ushuhuda mzuri.
Amen mtumishi. Nashukuru kwa ushuhuda mzuri.
Mungu akubariki mnooo mtumishi wa Mungu na akupiganie ahsante kwa ushuuda mzuri maana wengine wengi tunaokoka tunaishia njian kwa sababu ya mitihani tunayokumbana nayo lakini tunapokutana na shuhuda za washindi kama wewe tunapata nguvu kupambana
Amen namimi naitaji nitowe mchangowangu kidogo nitafanyaje
Jina lingine ni taabu kuna mama anaitwa tabu usitamani yani tabu kila corner