MCHUNGAJI ALIVYOKUTANA NA BINTI MCHAWI WA TABORA AMBAYE HALI CHAKULA CHOCHOTE ZAIDI YA DAMU ZA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @OnesmoShumbi
    @OnesmoShumbi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakwel watumishi wenye wito wa Mungu wamebaki wachache sana, Mama na baba Mchungaji Mungu awabariki sana Yesu tunayemtumikia ni mkuu sana, najivunia kuwa ndani ya Yesu.

  • @fitinamarando
    @fitinamarando 2 หลายเดือนก่อน +4

    PROMOVER TV wana wa Mungu mbarikiwe sana kwa kazi njema mnayofanya.

  • @samjosh12
    @samjosh12 2 หลายเดือนก่อน +2

    Utakuwa ushuhuda mzito sana. Ngoja tusubiri mtumishi wa Mungu

  • @apostleemmanuelmabuga8148
    @apostleemmanuelmabuga8148 2 หลายเดือนก่อน +3

    Utukufu kwa Bwana Yssu kristo tunae Mmoja hapa kanisani nae alikuwa huko na Alikua ana andaliwa kuwa MKE WA SHETANI yoote anayo sema kuhusu huyo binti ni kweli ndio maaisha

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mm Kwa kazi nzuri mungu atakulipa

  • @kayajaexpress8313
    @kayajaexpress8313 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mubarikiwe

  • @apostleemmanuelmabuga8148
    @apostleemmanuelmabuga8148 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sauti yako Mtangazaji Samahani Japo sio vzr Una Sauti Kama rafiki yangu Mwlm Dr Mitimingi vp unaundugu nae??

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera Kwa kazi nzuri

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wachawi wanashida sana.njooni kwa yesu kuna raha

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kasi ya maombi kila siku masaa zaidi ya 2 masaa 2 huyo mama Mchungaji ni fire kweli 🔥🔥🔥🔥

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jesus Jesus Yesu Yesu Bwana Mkubwa mambo unayo fanya ni ya ajabu Sana Yani mpaka gambosh unawafatilia walio ibiwa na shetani

  • @joshuamakota6714
    @joshuamakota6714 หลายเดือนก่อน

    Waambieni wale wanaosema Yesu ni nabii tu kwamba Yesu ni Mungu jina lake Lina nguvu ya Kiungu mapepo yanakimbia ni jina lenye mamlaka. Waulizeni wachawi na mapepo Yao wanajua ukuu wake

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 หลายเดือนก่อน

    Pongezi Kwa familia hii Mungu aliwaunganisha Kwa sababu Mungu awalinde na hio michawi ya gambosh ipigwe upofu

  • @EvansInzara
    @EvansInzara 2 หลายเดือนก่อน

    Natamani sana kusikia sauti ya amiel katekelakuongea nae mukiniunganisha naye nitashukuru sana amiel tuongee naye kwa simu asante sana kaka

  • @faithe4063
    @faithe4063 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nguvu za MUNGU ni ya ajapu sana, Mtu ukiwa ndani ya kiroho unaelewa nguvu za MUNGU, nangojea huo ushuhuda ya huyo dada najua Mungu anafungua watu wake maana ata Isaiah 42v22 inasema kuhuzu kutekwa nyara na awa wachawi

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wachungaji wa kweli wako na KAZI ngumu Sana sasa wale Wachungaji Wamchongo

  • @charityezekiel3525
    @charityezekiel3525 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndio mama mchungaji, sio mama mch kazi, kupak make up...

  • @JoyceKibiraMinja
    @JoyceKibiraMinja 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watumishi wa MUNGU tuseme Nini Sina zaidi ya kuwaombea kwa utumishi wenu uliotukuka. MUNGU ROHO MTAKATIFU azidi kuwatunza mtembee katika njia na mapenzi yake.

  • @fei3668
    @fei3668 2 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ Amen

  • @LispafulgenceSimon-rs1zg
    @LispafulgenceSimon-rs1zg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mchungaji ni wamoto kwel

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hio Sauti ya Sabina gambosh ilikua inatii kweli

  • @annjohn194
    @annjohn194 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ConfusedBlockGame-nw3lb
    @ConfusedBlockGame-nw3lb 2 หลายเดือนก่อน

    💯💯💯💯💯💪💪💪💪💪💪

  • @kayajaexpress8313
    @kayajaexpress8313 2 หลายเดือนก่อน

    Tunaitaji kumusikiya

  • @annjohn194
    @annjohn194 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @gracekiondo2541
    @gracekiondo2541 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unaongea sanaaaaa! Duhhhh!

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 หลายเดือนก่อน

    Lazima waseme nyie wachawi ni ngumu sana hiyo hali

  • @Brown0068
    @Brown0068 หลายเดือนก่อน

    MNALETA LINI JAMANI MATUMBO YANAUMA KUNGOJA

  • @LispafulgenceSimon-rs1zg
    @LispafulgenceSimon-rs1zg 2 หลายเดือนก่อน

    Jamn tumuone bc

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wachungaji wa kweli wako na KAZI ngumu Sana sasa wale Wachungaji Wamchongo

    • @oscanyakunga
      @oscanyakunga 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio tu jue wakweli wapo

  • @ChristineDama-wf3sd
    @ChristineDama-wf3sd 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen