ALIKUFA NA KUPELEKWA ZIARA YA MASAA MATANO MBINGUNI KISHA KURUDI|Ushuhuda wa John Paul

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 199

  • @fhmhanga3812
    @fhmhanga3812 ปีที่แล้ว +6

    😭😭 Yesu anatupenda sana
    Na upendo wake hauelezeki tutubu dhambi zetu na turejee kwake

  • @johnmbura8078
    @johnmbura8078 ปีที่แล้ว +4

    Kweli Mwenyezi Mungu nisaidie kumalizia vyema kama mtume Paulo, ni wachane na na hii kasumba, na vtuko vilivyo jaa kote ulimwenguni, mpaka tunsahau Mungu yuaja hivi karibuni na ujira mkononi, Asante mtumishi

  • @HappyedaJoseph
    @HappyedaJoseph 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nisaidie nakuomba nisaidie ktk maish na mienendo yangu unisafishe katik roho wako mtakatifu, nikujue zaid , ufanye jambo jipya katika njia na mapito ya ulimwengu.❤

  • @esthermaghembe8500
    @esthermaghembe8500 ปีที่แล้ว +3

    Bwana Yesu asante kwa Ushuhuda huu, tujalie kufika kwako kwenye utukufu mkuu🙏

  • @ERNESTNYOHA
    @ERNESTNYOHA ปีที่แล้ว +2

    Napenda kujua zaidi kuhusu mambo ya kimungu

  • @joseenzigire2035
    @joseenzigire2035 ปีที่แล้ว +3

    Eeee Mungu wangu uni wezeshe niishi maisha y’a ku ku pendeza , na unipe mwisho muzuri kwa jina la yesu kristo. Amen 🙏

  • @richardpallangyo9054
    @richardpallangyo9054 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu nisaidie natamani uzuri wako pendo lako tuokoe babayeeee na ulimwengu huu wa tabu shida mateso yesu tuangazie neema zangu tena

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 หลายเดือนก่อน +2

    😭😭😭 eeMungu nisamhee dhambi zangu na unipe mwisho mwema eeBwana 🙏💖 Mungu awabariki Sana AMINA 🙏

  • @IsackKamuliMadaha
    @IsackKamuliMadaha หลายเดือนก่อน +2

    God bless John Paul in Jesus name, amen

  • @austineouma4270
    @austineouma4270 ปีที่แล้ว +15

    Asante kwa ushuhuda hii Leo ninageuka na kumurundia Yesu Kristo

    • @gerardineakima1766
      @gerardineakima1766 ปีที่แล้ว +3

      Amen Amen Amen Mungu akubariki

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  ปีที่แล้ว +2

      Ubarikiwe sana

    • @sylviamalyi3537
      @sylviamalyi3537 ปีที่แล้ว +1

      Bwana Yesu nisaidie mimi na uzao wangu na ndugu zangu tuwe na mwisho mwema wa kukutana na kukaa na Bwana Yesu Kristo kwenye ufalme wa mbinguni.

  • @tinalulule917
    @tinalulule917 ปีที่แล้ว +5

    Yesu wangu naomb a unisamehe makosa yangu...futa jina langu kwa kitabu ya mauti andika jina langu kwakitabu ya uzima wamilele jina lako nitalitukuza milele na milele

  • @petrohermani5721
    @petrohermani5721 ปีที่แล้ว +2

    Bwana YESU KRISTO aachilie msamaha kamili ndani yangu nipate kulithi mbingu ktk jina kuu la YESU KRISTO Amina

  • @beatricewairimu3475
    @beatricewairimu3475 ปีที่แล้ว +2

    Nice testimony Eeeeh Mungu nisaidie kujitakasa ili ni iishi na wewe milele na milele

  • @gerardineakima1766
    @gerardineakima1766 ปีที่แล้ว +6

    Mungu naomba mwisho mwema nakutenda mema kwahidunia

  • @SabinaEzekiel-vb5nh
    @SabinaEzekiel-vb5nh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu naomba unirehemu, nisaidie nimalize mwendo salama.

  • @aloycesiaitys607
    @aloycesiaitys607 ปีที่แล้ว +4

    Amen Mungu wa mbinguni unisaidie nikujue zaidi

  • @paskalinathomas5973
    @paskalinathomas5973 ปีที่แล้ว +2

    Yesu naomba niwezeshee kuishi maisha matakatifu ya kukupendeza wewe

  • @irenekafugugu1333
    @irenekafugugu1333 ปีที่แล้ว +20

    Yesu nipe kushinda ondoa dhambi zangu nipe Moyo wa kuyaishi uyapendayo nipe kukupenda hatimae nikuone🙏

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 ปีที่แล้ว +13

    MUNGU wetu nakuomba unisaidie niishi maisha ya kukupendeza wewe nakuomba MUNGU 🙏😭tusaidie waona hatuwezi bila wewe tuhurumie tuishi maisha ya kukupenzeza wewe.

    • @DariaDeusdelth
      @DariaDeusdelth ปีที่แล้ว

      Bila Mungu ss si lolote ,so chochote.
      Na Dunia tulimo ni tambara bovu na kuti kavu yaani maangamizi.
      Ee Yesu tukumbatie Mikonon mwako...

  • @PreciousZawadi-w8z
    @PreciousZawadi-w8z ปีที่แล้ว +3

    Ohh my God, MUNGU nipe kukujua wewe na unionyeshe njia zako maana bila wewe yesu siwez maana safari ni ngumu sana karibu ndani mwangu na usafishe moyo wangu

  • @gloryfrank9482
    @gloryfrank9482 ปีที่แล้ว +3

    Yesu nisaidie mwanao niweze kuingia katika uzima wa milele🙏🏼

  • @benhansmsuya-oe7pn
    @benhansmsuya-oe7pn ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu atujalie neema ya kutunza Imani zetu

  • @CizahChris
    @CizahChris 3 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU nisaidiye nisitoke katika malengo sababu ya magumu ya dunia hiii🙏🙏🙏🙏

  • @mercykimathimbui5452
    @mercykimathimbui5452 ปีที่แล้ว +5

    Oh my God.... I have listened carefully. Everything in this testimony is biblical. I have experienced some incidences in my dreams. I need you oh God more than anything else here on earth.

    • @DariaDeusdelth
      @DariaDeusdelth ปีที่แล้ว +1

      God is everything in our lives.
      May we pray to the Holy spirit to lead us to know him well and his ways better!
      Be blessed in Jesus name!

  • @Thomas-sd1jo
    @Thomas-sd1jo ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu,umesema nami,naomba unisaidie kukuishi wewe,ili siku hiyo niwe miongoni mwa mabibi arusi

  • @paskalinathomas5973
    @paskalinathomas5973 ปีที่แล้ว +2

    Yesu naomba nisaidiee niwezee kuingia kwenye mji udumuoo milele na kufurahiii milelee yote

    • @paskalinathomas5973
      @paskalinathomas5973 ปีที่แล้ว +1

      Yesu naomba niwezeshee kuishi maisha matakatifu ya kukupendeza wewe

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 ปีที่แล้ว +2

    Njoo kwangu eeh Yesu wangu nakuhitaji katika maisha yangu .

  • @ifakisetumbaboy3749
    @ifakisetumbaboy3749 ปีที่แล้ว +3

    Promover Tv
    Mungu Awabarikieni

  • @HappyMwaigwisya
    @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda huu ni wa kweli. YESU KRISTO WA NAZARETH Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana utukuzwe milele.

  • @DariaDeusdelth
    @DariaDeusdelth ปีที่แล้ว +2

    Create in me a Clean Heart Oh God and renew a right spirit within me...
    So that l can have a Golden chance to worship forever ni Heaven! AMEN.

  • @niyonkuruaristide-q1l
    @niyonkuruaristide-q1l ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 YESU atuwezeshe

  • @nasimiyujustine
    @nasimiyujustine ปีที่แล้ว

    Ewe MWENYEZI MUNGU nisaidie nikae katika njia zako🙏

  • @claudiahkinara4053
    @claudiahkinara4053 ปีที่แล้ว +2

    So amazing ,I try to listen well and carefull may God protect us🙏🙏

  • @JanethNtimbo
    @JanethNtimbo ปีที่แล้ว +2

    Ee mwenyez Mungu nisaidie kuishi maisha matakatifu il nije niulis uzma wa milele

  • @jyn3439
    @jyn3439 ปีที่แล้ว +7

    Amen amen.....What a beautiful testimony...Life is spiritual. Heaven and hell is real...and Jesus is the only way to heaven....

    • @DariaDeusdelth
      @DariaDeusdelth ปีที่แล้ว

      I believe and agree with you!
      May God save us from all evil in this world!

    • @benardmasue1851
      @benardmasue1851 ปีที่แล้ว

      Amina Ee Mungu mwenyezi tusaidie tuya tende Yale mema ili tuweze kushiriki nawe kwenye huo mji Mtakatifu wadhahabu Ee mwana wa Mungu tupe nguvu na ujasiri wa kupambana na yule imbilisi shalom

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU wambinguni atusaidiye tusiikose mbingu sifa nashukran tunamregesheya MUNGU wambinguni Amina

  • @Pastorgumbo
    @Pastorgumbo ปีที่แล้ว +8

    Tuna barikiwa Sana,Mungu awatie nguvu katika huduma hii

    • @christianmarkus3482
      @christianmarkus3482 ปีที่แล้ว

      Unabarikiwa?na uongo kwani ujuwi kwamba wafu hawajuwi. Neno huku unajiita pasta

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 ปีที่แล้ว +5

    Aissee Yaani ninajutia Sana mda niliopoteza kwenye uganga na wizi na uchawi

  • @VeronicaKibasa-gr6pv
    @VeronicaKibasa-gr6pv ปีที่แล้ว +4

    Mmh mungu atusaidie tufike kwake tusipotee

  • @josephwawuda3204
    @josephwawuda3204 ปีที่แล้ว +3

    Ameen asante kwa ujumbe huu hakika .nimejuwa mengi na na omba mungu aniwezeshe yale nisiyoyaweza

  • @yvettemamdogo2289
    @yvettemamdogo2289 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu unisame Zambi zangu zote, unirehemu

  • @ruthbessie7788
    @ruthbessie7788 ปีที่แล้ว +2

    Yesu naomba msamaha wa dhambi. Nioshe na damu Yako Yesu

  • @RachelEmid-jq6eo
    @RachelEmid-jq6eo ปีที่แล้ว +5

    Eeeeh Bwana Yesu naomba unipe mwisho mwema 😭🙏

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for the testmony be blessed

  • @costakabamba8108
    @costakabamba8108 ปีที่แล้ว

    Mimi ni mwenje zambi nakuja kwako Bwana wangu' nioshe thambi zangu niuone ufalme wako. Na uimidiwe Bwana Yesu kristo !!

  • @peninaongondo5102
    @peninaongondo5102 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏🙌 am humble Man of God more anointing more Grace as you continue with the work of God 🙏 Amen shalom

  • @gladyskalundu4611
    @gladyskalundu4611 ปีที่แล้ว +3

    Soo touching,Yesu naomba nikutana na wewe

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 ปีที่แล้ว +7

    Nisamehe makosa yangu yote nirehemu nitakase. yote niliyofanya kinyume na mapenzi yako.NAKUHITAJI BABA NAKUITA MUNGU WANGU.

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 10 หลายเดือนก่อน +1

    May Jehovah God help us,this are times of repentance and Holiness, revelation 22:11-14.

  • @Chebet254
    @Chebet254 ปีที่แล้ว +1

    Oooh my God ushuhuda mzuri sana hakika huu ushuhuda umenijenga sana katika kiimani yangu asante sana Amen 🙏🙏

  • @elizabethanyango7839
    @elizabethanyango7839 ปีที่แล้ว

    Ee Yesu naja mbele yako nikiwa mchafu mtenda dhambi unisamehe makosa na unipokee Babaa,Oo Jesus may you give me a spiritual ears,eyes and understanding to hear what people cannot hear,to see what people cannot see and to understand what people cannot understand in Jesus name

  • @Akinyisafi
    @Akinyisafi ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen 🙏 🙌 natimai kuna part 2 my brother jactan be blessed with all ur team nawapenda bure

  • @winniemwateni573
    @winniemwateni573 ปีที่แล้ว +2

    Such a moving testimony Godbless you jactan and may God help us live in His likeness eventually inherit His kingdom

  • @SaliKimtai
    @SaliKimtai ปีที่แล้ว +2

    Good help to inherit the kingdom of God

  • @estherdaniel-cn7vq
    @estherdaniel-cn7vq ปีที่แล้ว +1

    Ee Bwana naomba rehema na neema yako juu ya maisha yangu! Niyaishi mapenzi yako! Yesu nakuomba 🙏

  • @josephatwandondera7092
    @josephatwandondera7092 ปีที่แล้ว

    Mungu wa nakuomba onisamee kwa yale yote mambaya nimetenda mbele zako.Akika ww ni nuru na mwangza wa uzima wa milele. Naomba oni saidi kurejesha nafusi yangu iliopotea jambini.nisaidi niwe mtu wa ukweli mbeli zako hapa duniani na pia binguni.jina lako linuliwe milele na milele Amini.

  • @jefwakalama4336
    @jefwakalama4336 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki sana tena sana Glory to God 🙏🙏 kwa ushuhuda huo

  • @njockjanes3897
    @njockjanes3897 ปีที่แล้ว +1

    Amina mungu atujalie na sis pia tuhuone hufalme wa mungu

  • @NeemaSimon-yi1eh
    @NeemaSimon-yi1eh ปีที่แล้ว +1

    Yesu 2saidie😊😊😊 2tende mapenz yako 2 mwil usitukoxeshe mbingu

  • @lovemajogolafia5839
    @lovemajogolafia5839 ปีที่แล้ว

    Ooh Bwana Yesu nipe neema ya kufika kwako dunia ina mengi magumuu

  • @janekavesa8003
    @janekavesa8003 ปีที่แล้ว +5

    Encouraging gospel news thank you promover TV.

    • @HopeMitula-yb4hr
      @HopeMitula-yb4hr ปีที่แล้ว

      Amina mungu akubaliki🙏🙏☀️

    • @HopeMitula-yb4hr
      @HopeMitula-yb4hr ปีที่แล้ว

      God help you and me to see heaven🙏🙏🙏☀️🙂🏃

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyezi Mungu atutetee na atupiganie.😢

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 ปีที่แล้ว +2

    Amen
    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa kazi unaoifanya

  • @aimemuharabu3003
    @aimemuharabu3003 ปีที่แล้ว +1

    Bwana wangu YESU nipewishi muzuri

  • @ivodecatarinanapula-gx8ky
    @ivodecatarinanapula-gx8ky ปีที่แล้ว +2

    Mungu nisamehe makosa yangu yote, naomba Bwana Yesu msada wako

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +2

    Waa aliponea chupu chupu Mungu tusaidie tuwe niwenye kuenenda sawa sawa na sheria zako

  • @priscadaud7458
    @priscadaud7458 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen MUNGU ANA RUDI

  • @leahkayombo4308
    @leahkayombo4308 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ushuhuda huu

  • @roselidasalis9688
    @roselidasalis9688 ปีที่แล้ว +3

    Amen may God open for as ooooh lord

  • @catenzoka2003
    @catenzoka2003 ปีที่แล้ว +1

    Yesu zidi kutusameha Na kutakaza mioyo yetu . AMEN yesu pkea Sifa Kwa ujumbe Huu.promover tvhongereni.

  • @lutigardkomba1215
    @lutigardkomba1215 ปีที่แล้ว +1

    Eee Bwana Yesu naomba unisamehe Mimi mwenye dhambi

  • @miria659
    @miria659 ปีที่แล้ว

    Ushuhunda mzuri huyu na nimekawia sana sijawatch of late I was not ok bt now I'm back thanks a lot mtumishi Jactan na promover tv

  • @mildredalalia14
    @mildredalalia14 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏 ..
    Napenda kuskiza shuhuda kama hizi, zinajenga Imani. Atleast ukiambia watu mbinguni ni ukweli, na jehanamu ni ukweli pia. Mtu achague njia yake kwa sababu wokovu ni mtu binafsi.

    • @christianmarkus3482
      @christianmarkus3482 ปีที่แล้ว

      Jiulize swali tangu lini ulisikia MTU ameendambinguni akarudi?

    • @mildredalalia14
      @mildredalalia14 ปีที่แล้ว

      @christianmarkus3482 Where do you come from? Continue arguing, that's your own problem. Have you never heard that someone died and, after some time, resurrected again? These things do happen. Heaven is real, and he'll is real too. Choose your path wisely, and stop arguing about things that do not help you .

  • @winny-2023
    @winny-2023 ปีที่แล้ว

    Eeh Yesu nipe imani nishinde ya dunia hii AMINA.

  • @bajkljs9058
    @bajkljs9058 ปีที่แล้ว

    AMEN MUNGU akutangulie kwa kila jambo

  • @mercykasyoka4007
    @mercykasyoka4007 ปีที่แล้ว +1

    Yesu kristo anisaidie niingie mji ule na kumwona yesu wangu, anipuguzie shida za Duniani...

    • @pleystill9913
      @pleystill9913 ปีที่แล้ว +2

      Amina Mungu atutie nguvu tubadirike. Tumwamini yeye

  • @niyonkuruaristide-q1l
    @niyonkuruaristide-q1l ปีที่แล้ว +1

    Eeeh Yesu tunakuomba utuwezeshe

  • @NeemaSimon-yi1eh
    @NeemaSimon-yi1eh ปีที่แล้ว +1

    Ee baba wanao 2saidie mawazo akil njia zetu zifanane nazako mawazo yangu yawe yako yesu2saidie wanao🙏🙏🙏

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph 26 วันที่ผ่านมา +1

    EE MUNGU WANGU NA BABA YANGU nirehemu na uniokoe nijalie nimalize mwendo wangu vzr ili niweze kuurithi uzima wa milele KATIKA JINA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMEN AMEN AMEN

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 ปีที่แล้ว

    Asente jactan Msafiri kwa ushuhuda kama mimi jigika Sana na mombo ya binguni

  • @MaryMangale-wq5ob
    @MaryMangale-wq5ob ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba unisamea makosa yanyu najua SI sitahili mbele zako lkn mungu turehem Ili tukaone ufalume wa mungu na nikaingia ufalume wa mungu nikaingia kwenye lango lako eee mungu ni nisamea Ili nione ufalume wako😭😭😭😭🧎🧎🧎🧎🧎🧎

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 ปีที่แล้ว +1

    EE YESU NAOMBA NIKUJUE ZAIDI NIWEZE KUSOMA NENO LAKO, NIWE NA HEKIMA NA BUSARA NIWEZE KUKUJUA ZAIDI NIWEZE KUPONYA WATU ,KUSAIDIA YATIMA NA WASIOJIWEZA.NIWEZESHE BABA

  • @mathewmalechela7464
    @mathewmalechela7464 ปีที่แล้ว

    Balikiwa sana

  • @mikella-oi5zc
    @mikella-oi5zc ปีที่แล้ว +2

    Waaa nangopa lkn naomba mungu hanipe nguvu y kushinda ulimwengu huu wa dhambi bila mungu hatuwezi

    • @AminaHaule-qj9ot
      @AminaHaule-qj9ot ปีที่แล้ว

      Ee mwenyezi mungu uturehemu wanao tunaangukia pua utujalie roho ya kujishusha

  • @fortunataangelo5575
    @fortunataangelo5575 ปีที่แล้ว +1

    Bora hata wewe unasema ulikwenda ukamuona na Maria mama wa Yesu❤

  • @catherinechebet946
    @catherinechebet946 ปีที่แล้ว +1

    Glory be to God almighty

  • @Leahmaketa-sr1hm
    @Leahmaketa-sr1hm ปีที่แล้ว +3

    Bora niamini mungu yupo alafu nisimkute,,, nageuka naacha maovu kuanzia Leo ee MUNGU nisaidie

  • @CheihkSanga
    @CheihkSanga ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @dorcasmasinde7349
    @dorcasmasinde7349 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa matumaini haya mapya sikuwa najua kwamba Musa Abraham wakiwa mbinguni miili ya umri mdogo ni upendo ulioje kwetu sisi ambao tumeyasikia haya.

  • @reginakatele8829
    @reginakatele8829 ปีที่แล้ว

    Mungu naomba unirehemu mimimkosefu naanguka mbele yako

  • @ababeleabedi796
    @ababeleabedi796 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @HaphidhaWelly-cq5eg
    @HaphidhaWelly-cq5eg ปีที่แล้ว

    Mungu nisaidie

  • @sarifusteven4634
    @sarifusteven4634 ปีที่แล้ว +2

    Good job

  • @elizalaya7887
    @elizalaya7887 ปีที่แล้ว

    Ee YESU nisaidie nifike katika uzima wa milele

  • @Gggg-r2e1t
    @Gggg-r2e1t ปีที่แล้ว

    Nyie yesu alisema msipo wamini manabi nawakina mussa nawegine hata Kama MTU akitoka mbini hawatamin aminini2

  • @eunicechege1104
    @eunicechege1104 ปีที่แล้ว +1

    God your true help me pls

  • @mbomapadon
    @mbomapadon ปีที่แล้ว

    YESU NAOMBA KUURITHI UFALME WA MILELE
    UNIPE NGUVU ZA KUKUTUMIKIA MUNGU WANGU
    UNIPE MWISHO MWEMA NA FAMILIA YANGU
    AMINA

  • @janethngelula6712
    @janethngelula6712 ปีที่แล้ว +1

    Yesu nakupenda nisamehe yote yasiyo kupendeza kwangu ili nirithi ufalme wa mbinguni mkumbuke mtoto wangu katika uzima wa milele

  • @PreciousZawadi-w8z
    @PreciousZawadi-w8z ปีที่แล้ว +1

    Yesu nisaidie na unisamehe 🙏 niliyokutenda ninayo yajua na nisiyo yajua 😢😢😢😭😭

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 ปีที่แล้ว

    Mbona wengi mnasikiza shuhuda izi na bado mnatumia vitu vya bandia milini Mwenu? Ina maana hamsikii sauti ya Mungu?