AYA SASA MILIKI KAJUMBA KAKO KWA MILIONI KUMI TU 10,242,000 KIMBIA KODI INALETA UMASKINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 17

  • @AsungaSteven
    @AsungaSteven 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa hiyo pesa aliyohitaja ni ndogo sana Kwa hiyo nyumba ni zaidi ya hiyo pesa,ungesema 15m hapo kidogo sawa

  • @japharisongoni7277
    @japharisongoni7277 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka hapo kwenye fuso ya mchanga umechanganya

  • @janeschurmanns6311
    @janeschurmanns6311 7 หลายเดือนก่อน +2

    Na kama nataka kujenga mikoani utanisaidiaje maana sijui kama mnapeleka vifaa mikoani

  • @aisha5775
    @aisha5775 7 หลายเดือนก่อน

    Masha'Allah

  • @Alpha-6666
    @Alpha-6666 7 หลายเดือนก่อน +1

    Habari kaka hivi mnaa offisi zenu Zanzibar?

  • @NyamandaUkwaju
    @NyamandaUkwaju 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ni vizur ungekua unataja na square metre,

  • @daudikisoma2284
    @daudikisoma2284 7 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @AliFakimati-dk4mt
    @AliFakimati-dk4mt 6 หลายเดือนก่อน

    Ninahitaji hiyo ramani

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mikoana vp kk

  • @saadaabdallah5239
    @saadaabdallah5239 7 หลายเดือนก่อน

    Na mimi naitaji kujengewa ila nipo mkoani inakuaj

  • @masoudkatiba1484
    @masoudkatiba1484 3 หลายเดือนก่อน

    Fusobsita elfu tisini

  • @AntelmaMlowe
    @AntelmaMlowe 7 หลายเดือนก่อน

    Mikoani tunapataje huduma🎉

  • @umranim5854
    @umranim5854 7 หลายเดือนก่อน

    Natamani nione ndani ina viumba vingapi

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 6 หลายเดือนก่อน

      Utaiba ramani

    • @umranim5854
      @umranim5854 6 หลายเดือนก่อน

      @@alzawahirabdallah2299 😏 naiba ya nini sasa na office ya ramani au 😛

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 7 หลายเดือนก่อน

    Fuso la mchanga zanzibari shiling laki tatu fusi fuso laki mbili na nussu tofali mia tisa

    • @bigowillythomaskayanda7763
      @bigowillythomaskayanda7763 7 หลายเดือนก่อน +1

      Aisee mie naishi Mkunazi samaki, hiyo bei ya 900 kwa tifali ni kiwanda gani, maana najua tofali hadi saiti ni 12,000/-.