Ramani za nyumba ndogo za kisasa, 2 Bedrooms House Plan 220804, 0679253640
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
- Ramani ya vyumba viwili yakuanzia maisha ikiwa na;
- 1 Master Bedroom
- Single Bedroom
- Living room + Kitchen
- Public toilet
- Front Verandah
WhatsApp: wa.me/255679253640
Call: 0679253640
Ramani hii nimeipenda iko bomba
Bei gani inagalimu kujenga
Kaka semanambei yake sasa tujuwe
Nambaako nitumie kaka
0679253640
Shida kaka una towa ramani sawa tena sawa sanaaa tu shida inakuja utowi mulolongo wagarama ili kilia atakaye ona akufwate ata kutakuwa na mabadiliko ata amini akuna 30%ita panda
Pamoja mkuu🤝
Nzuri sana gharama yake ni sh ngapi mpaka nyumba iishe
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Nimependa sana Raman hiii
Karibu sana mkuu 🤝
nimeipenda..naipataje
Ndio love nzur
Nilikuwa nawazaga kujenga kajumba kama haka halafu kawe na mlango wa jikon kama hii.leo nilivyoiona raman niliyokuww nawaza nimefurah
Nashukuru kusikia hivyo tuwasiliane kupitia whatsapp wa.me/255679253640
Nimependa jmn
Bat babdo ngapi😊
NIME ipendA sana
Nimeipenda naomba vipimo vyake
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Safi.. kazi nzuri
🤝
Pamoja sana
Mashalwaa ❤
Etii kaka kuchora ramani ni sh ngap kama nataka nyumba ya 4rooms hidden roof
Tunaweza kuwasiliana kupitia wa.me/255679253640 kwa maelezo zaidi
What are the heights of the four side of the house
Hata mikoani mnaweza kwenda
Ndio mkuu
Mm naomba kujua juml gharm nishilingp 😊
Bor naomba kujua
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Nyumba kali
Nyumba kali bei yeke hadi kuixha bei gani?
Nimeikubali
Shida kaka naomba kuliza nibatingap na Raman ni shingap inagarimu
Bati 21
wa.me/255679253640
Raman nzuri
Mashaallaah karibu sana wa.me/255679253640
Jumla tofari ni 1600 au sijakuelewa
Nzur jaman
Naomba ramani hii
Tuwasiliane kupitia whatsapp wa.me/255679253640
Ramani nzuri, nimeipenda
Karibu sana boss tunaweza kuwasiliana kupitia wa.me/255679253640
Tunaomba bei ya hiyo nyumba had kuisna
Niliwa na material unaweza jenga na doo ngapi
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Inatumia gharama ya shingapi
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Inagharim shngap?
Nimeielewa naomb ramani yake ya vyumba vya wapangaji
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Mm naomb raman
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Ramani nitapataje
Tofar za kuchoma ngap
Tunaweza kuwasiliana kwa maelezo zaidi wa.me/255679253640
Ramani ya musingi
Ushaur
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Mkoani mnajeng
Ndio mkuu
Gharama yake bei gani
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
How much it cost pls
Wa.me/255679253640 au 0679253640
Kama najenga mbaka iishe inanigarim shingapi
TZS 25,000,000
@@RamaniTZ mzee acha kuwatisha watu waone ujenz wa kujenga ni mgumu nyumba ya milion 8 unasem milion 25 dah 😂😂😂😂
Ahsante umenikumbusha kuangalia post niliyoitolea majibu si yake ni TZS 15,000,000 🤝
Samahani mkuu nimerejea post niliyoijibia swali si lake, hiyo nyumba mpaka hapo ni TZS 15,000,000
Niko Geita mjini, inaisha kea shilling ngapi?
TZS 18,000,000
Mashaallah kazur sana
Karibu sana 🤝
Bro tuchoree bas hii Raman
Tuwasiliane kupitia whatsapp wa.me/255679253640
akitaka raman unamchorea
Bilashaka tupo kwa ajili hiyo karibuni sana 🤝
Nikitaka vyumba vitatu raman inakuaje bei
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640