Hongera sana mdogo wangu wewe ni mfano bora sana mzalendo wakweli naona chembecheme za nyerere na magufuli tafuta chako cha halali kuliko hao wafuga matumbo kucha kutuibia wanyonge ipo siku watalia mbele za Mungu watatamani wapewe sekunde warudishe ila muda utakuwa umeisha
Uko vizuri unaonyesha njia kuwa kuteuliwa sio kuhama duniani na kuishi dunia nyingine. Wengine hadi hapo wangekuwa wanachungulia kaburi kwa msongo. Akili ni nywele kila mtu ana zake. Uliwasaidia watu kupata haki zao, si tulikuwa tunaona na kusoma!!? Piga kazi uwafungue watanzania kuishi nje ya boksina kuwaza positively wakati mambo yamegeuka ghafla. Acha jamaa yule acheze litungu kama mtaji.🙋 Well-done Hapi
SASA unampa hongera Yani wakati huyu alikuwa anajuwa kilimo alipo kuwa mkuu WA mkowa alishidwa kuwanufaisha wakulima Kwa kuwapa mafundisho na kuwawezesha lakini alikuwa na roho mbaya Leo kawachishwa kazi ndio anatuonyesha
Ally Happi alikuwa anakwenda na wale wale wa mazoea ya kuimba CCM ya jenga Inchi. Nilisikitika sana kumwaachisha katika Mkowa wa Mara. Angewanyosha watu wa Mara. Alikuwa anataka kuwatoa wanamara kuacha marumbano kugeuza kazi. Hawakumuelewa. Hongera sana kijana. Mungu aendelee kubariki kazi ya mikono yako.
Safi sanaa mkuu Ally Hapi ila atupe connection na sisi tuna nia ya kufanya kilimo chenye faida kubwa kisichotegemea mvua ila hatuna mitaji kwa ajili miundombinu ya maji na pembejeo za kilimo 🙏🙏🙏
Kaka hongera sana na wadogo zako tuko nyuma twaka kipambania mapinduzi ya maisha kupitia neno "AGRICULTURE & BUSINESS" mungu tuwezesheni afya njema na akili timamu vinatosha mengine tutakipambania,asnte baba
Mimi ni Mtaalamu wa Kilimo, Kiukweli Mr Hapi, passion yake kwenye kilimo ndo inayomfanya afanye mazuri zaidi..... Kilimo ni ni sector mojawapo ambayo kwa sasa inauwezo wa kumtoa kwenye umaskini. Kwa sasa masoko yapo, technology zimeimarishwa na kilichobaki ni kufungua njia mkulima awe na uwezo wa kupata mtaji kirahisi..... Tupo pamoja kukifikisha kilimo kisasa zaidi....
Happi alikua na plan b, baada ya siasa alifanya maandalizi ikiwa alishazisoma siasa za nchi hii kulingana na mfumo wa siasa ulivokaa, kila mtawala ana matakwa yake kulingana na aina ya watu anaowataka,alijua hawez kuendana na huu mfumo then alijiandaa, watu wa hivi ni wachache, japo najua hawez kukwepa utumishi maana pia ni passion yake, utakapofika utawala utakaoendana na misimamo,utendaj, wake ataingia Tena japo naamin hawez kuacha kilimo
Nakupenda sana Happy. Wewe ni mfano wa kuigwa. Mwanadamu anamapungufu hajakamilika lakini kile kitu kizuri hata kama ni kidogo ukikichuchumilia kitakupa matokeo.
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuwaji. Saiv Hana shida na mwaswala ya selikali bora afanye yake potelea mbali maana katika selikali utapata changamoto lakin kwa shughuli zake mwenyewe hamna chakumkela mie namtakia. Kila lenye kher na Allah amfanyie uwepes katika kazi zake
Ukiwa napesa kilimo kjnalipa Sana Sana Sana.Hongera Sana kijana mwenzangu.Mungu alisema,nimewapeni Nchi mkailime.Lima Kaka lima.Mungu yuko pamoja nawe.
Watanzania ni watu wakulaumu tu kila siku sijui serikali imefanya A serikali imefanya B ..yaani mambo kama haya au zaidi ya haya hatuezi fikiri kabisa...sisi tunawaza tuu kuwa stable maishani lakini hata njia yakutufikisha huko hatujui na wala hatutaki kufikiri kabisa
Kikubwa ni kujiamini, kuthubutu na kung'ang'ana. Pesa zinahitajika sana, lakini vitatu vya mwanzo ndio muhimu zaidi. Tumpongeze tu. Kafanya jambo zuri. Sisi tuige na tumfuate. Inawezekana sana tu.
Mh Hapi hongera sana. Vitendo vimesema na hii ni funzo kwa wengine wanao tushangaza. Maana tuna viongozi mtu ni Waziri wa Kilimo ama Katibu Mkuu wizara ya Kilimo lkn hana heka tano. Big up sana
I was so disappointed that day I heard Samia removed him why????? People like him they're few so I guess they knew he will take over someday that is why they decided to kick him out I'm so so disappointed
Namkubali Sana Mkuu kwakeli kajitoa pamoja na msingi anao lakini pia hakutaka kushangaa magorofa mjini yuko Bega kwa Bega na wafanyakazi wake kila siku hiyo TU , Inawapa moyo wafanyakazi kufanya kazi Kwa bidii
Hawa ndiyo viongozi walio bora, Samia kawatowa karibu wote Kwa chuki zake ya Hayati Magufuli na kutuwekea wapigaji. Ally Hapi alikuwa kiongozi bora kabisa. Alitatuwa matatizo mengi ya wananchi. Hayati Magufuli alikuwa akiteuwa VIONGOZI wenye integrity. Mama anateuwa wapolaji.
Hongera sana kaka api.Nimwanchi niliekuwa nakukubali sana.Mungu akupe kila heri na mafanikio yko.Nilikuwa naangalia kila wakati klipu zko zilikuwa zinanipa mfano wababa Magufuli.
Hongera sana mdogo wangu wewe ni mfano bora sana mzalendo wakweli naona chembecheme za nyerere na magufuli tafuta chako cha halali kuliko hao wafuga matumbo kucha kutuibia wanyonge ipo siku watalia mbele za Mungu watatamani wapewe sekunde warudishe ila muda utakuwa umeisha
Hakika!! Wana macho hawaoni, Wana masikio hawaoni dhuruma wameifanya ndio mitaji. Acha tutaabike lkn kila mmoja ana ya kujibu muda ukifika.
Uko vizuri unaonyesha njia kuwa kuteuliwa sio kuhama duniani na kuishi dunia nyingine. Wengine hadi hapo wangekuwa wanachungulia kaburi kwa msongo. Akili ni nywele kila mtu ana zake. Uliwasaidia watu kupata haki zao, si tulikuwa tunaona na kusoma!!? Piga kazi uwafungue watanzania kuishi nje ya boksina kuwaza positively wakati mambo yamegeuka ghafla.
Acha jamaa yule acheze litungu kama mtaji.🙋
Well-done Hapi
Hongera Sana Mheshimiwa Ally Happy,Hakika wewe ni kiongozi,Mpambanaji,Mwalimu na Mfano wa kuigwa,Mwenyezi Mungu akusimamie Kaka.Unatu-inspire 💕💕
SASA unampa hongera Yani wakati huyu alikuwa anajuwa kilimo alipo kuwa mkuu WA mkowa alishidwa kuwanufaisha wakulima Kwa kuwapa mafundisho na kuwawezesha lakini alikuwa na roho mbaya Leo kawachishwa kazi ndio anatuonyesha
Ally Happi alikuwa anakwenda na wale wale wa mazoea ya kuimba CCM ya jenga Inchi. Nilisikitika sana kumwaachisha katika Mkowa wa Mara. Angewanyosha watu wa Mara. Alikuwa anataka kuwatoa wanamara kuacha marumbano kugeuza kazi. Hawakumuelewa. Hongera sana kijana. Mungu aendelee kubariki kazi ya mikono yako.
Riziki mafungu saba, Mwenyezi Mungu akufungulie milango yote ya riziki
Hapana lizik mafungu 2 kupata au kukosa
Dhahabu ni dhahabu tu popote inashine.
..hongera sana
Safi sana. Ni mfano wa kuigwa. Hongera Ally.
Safi sanaa mkuu Ally Hapi ila atupe connection na sisi tuna nia ya kufanya kilimo chenye faida kubwa kisichotegemea mvua ila hatuna mitaji kwa ajili miundombinu ya maji na pembejeo za kilimo 🙏🙏🙏
MashaAllah Mwenyeez Mungu akusimamie Ally Happy riziki mafungu saba tulikuombea sana Mwenyeez Mungu amejibu inadhirihisha usikate tamaa
mashaallah,...Allah azidi kukupambania ndgu ally...imenigusa sana.
Mungu ambariki sanaaaa mwanazengo
Kaka hongera sana na wadogo zako tuko nyuma twaka kipambania mapinduzi ya maisha kupitia neno "AGRICULTURE & BUSINESS" mungu tuwezesheni afya njema na akili timamu vinatosha mengine tutakipambania,asnte baba
Mungu nisaidie nifikie hatua hii kwenye kazi yangu ya kilimo. Hongera sana Kaka.
Hongera sana mkulima mwenzangu
Mimi ni Mtaalamu wa Kilimo, Kiukweli Mr Hapi, passion yake kwenye kilimo ndo inayomfanya afanye mazuri zaidi..... Kilimo ni ni sector mojawapo ambayo kwa sasa inauwezo wa kumtoa kwenye umaskini. Kwa sasa masoko yapo, technology zimeimarishwa na kilichobaki ni kufungua njia mkulima awe na uwezo wa kupata mtaji kirahisi..... Tupo pamoja kukifikisha kilimo kisasa zaidi....
Unaweza kunipa namba yako? Tuwasiliane
Chapa kazi Dogo Ally Mungu akuongoze
Nakubali sana huyu jamaa ni mkulima mzuri na aliwahi kua mkuu wa mkoa wangu wa MARA 💕💕💕
Huyu mwamba alitusaidia tukarudishiwa shamba letu lenye ukubwa wa. Ekali60 ambazo tulishadhurumiwa na serikali ya kijiji salute bro
Happi alikua na plan b, baada ya siasa alifanya maandalizi ikiwa alishazisoma siasa za nchi hii kulingana na mfumo wa siasa ulivokaa, kila mtawala ana matakwa yake kulingana na aina ya watu anaowataka,alijua hawez kuendana na huu mfumo then alijiandaa, watu wa hivi ni wachache, japo najua hawez kukwepa utumishi maana pia ni passion yake, utakapofika utawala utakaoendana na misimamo,utendaj, wake ataingia Tena japo naamin hawez kuacha kilimo
Well said
Hawezi tena siasa ukionja hii pesa ya kilimo utaki tena mbamba
Yaani hii siasa hii. Mheshimiwa aliona mbali sana na Mungu atakuongoza na kukulinda
Sahh
@@jazeerajuma5014 nani kakudanganya?
Nakubali George sanga Lwandai sec mlalo unatuwakilisha kinomer nomer👊💪
Hongera sana, Mungu aibariki kazi ya mikono yake.
Iringa moja iyo naiona isimani shambani kwa aliy hapi hongera Sana🤝👍
Uyo ni Superman ukweli namkubali nampenda najifunza mengi sana kwake🇹🇿🙏
Anatumia jina gani IG
Kazi nzuri sana Mheshimiwa,ninapenda sana kujifunza na Mimi kuhusu kilimo
Mungu aibariki kazi ya mikono yako kaka nakupenda sana wewe ni mtu mahili sana🙏🙏🙏❤
Hongera sana sana Mungu wa mbinguni aendelee kukuongoza
Hangera sana mwanangu Ally Hapi kwa kuwaonyesha njia vijana. Mwenyezi akuongoze kwenye kila hatua
Njia ikiwa na nyenzo ndg,
Hapo katumia pesa si haba.
Hongera sana mpambanaji,mtaji ndiyo shida
Kwakweli mtaji ndio shida, yeye alikuwa anapata mshahara laki 8 unashindwaje kumiliki maheka kama hayo.
@@happylynguya3464 mkuu wa mkoa laki nane?
@@johnmichaellukindo21 Ahahahaha!!!! Ama nimechekesha jamani. Ni milioni 8 John jamani Uwiiiiiii..
Hongera sana kwakujiajiri 💪💪
Nakupenda sana Happy. Wewe ni mfano wa kuigwa. Mwanadamu anamapungufu hajakamilika lakini kile kitu kizuri hata kama ni kidogo ukikichuchumilia kitakupa matokeo.
Hongera kijana wa mfano huko kunaitwa " believe in yourself" hupekekea kufikia ndoto zako. Umeo yesha njia, asante sana.
God bless you and open more opportunities for you 🙏
nice project
Parabéns adeus ti abençoe sempre mungu akujarie kutoka Moçambique
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuwaji. Saiv Hana shida na mwaswala ya selikali bora afanye yake potelea mbali maana katika selikali utapata changamoto lakin kwa shughuli zake mwenyewe hamna chakumkela mie namtakia. Kila lenye kher na Allah amfanyie uwepes katika kazi zake
Ukiwa napesa kilimo kjnalipa Sana Sana Sana.Hongera Sana kijana mwenzangu.Mungu alisema,nimewapeni Nchi mkailime.Lima Kaka lima.Mungu yuko pamoja nawe.
Safi Sana kaka Bora tu ujiajiri waachie serikali yao
Kweli mwaju
safi
Hongera sana Ally Hapi, mwenyezi mungu azidi kukusimamia.
Anachofanya mheshimiwa ni kizuri sana...Lakini lazima uwe na mtaji wa kutosha.
Hongera sana kwake, Mungu amsimamie na ambariki sana sana
safi kaka siasa ya bongo aina chochote ukiwa kiongozi bora unatolewa waache waibe pesa lakini wataziacha tu
Nimepende💗💗💗💗🌹
Hongera sana Bro🙏Mungu akubariki wewe na kazi ya mikono yako
Dah! Uko vizuri. Hutapata kisukari wala shinikizo la damu ukiweza haya.
Hongera mhe.kwa kazi na uongozi bora
mwenyenzi mungu amekuonyesha njia yakufanya mungu hamtupi mja wake mungu akubariki hongera sana
If Tz have 5 people like Ally happy the country should be lucky enough
They are more than that. Ila sisi wa mitandaoni hatujui!
Watanzania ni watu wakulaumu tu kila siku sijui serikali imefanya A serikali imefanya B ..yaani mambo kama haya au zaidi ya haya hatuezi fikiri kabisa...sisi tunawaza tuu kuwa stable maishani lakini hata njia yakutufikisha huko hatujui na wala hatutaki kufikiri kabisa
@@oklahommy9838 Mwenye lawama hajawahi kufanikiwa!
There are few and far between
Ni mkulima mdogo sana hapa bongo
Mwambieni mama yenuuu ajanikomoa😅😅😅
Natamani sana haya maisha ya kulima na kufuga ila ndio sijui naanzaje
n kiongozi mzuri asiyependa udhalimu kwaio serikali haimtaki kwa kuwa wanafanya anachokipinga
Mama Samia ajielewi unamtowa kiongozi kama uyu mama mjinga sana
Weeee jitangaze tu utaundiwa kesi sasa hivi mungu akulinde!
Ameweza sababu ana pesa ya mtaji wa kutosha
Sawa kabisa
Na kuthubutu
Kikubwa ni kujiamini, kuthubutu na kung'ang'ana. Pesa zinahitajika sana, lakini vitatu vya mwanzo ndio muhimu zaidi. Tumpongeze tu. Kafanya jambo zuri. Sisi tuige na tumfuate. Inawezekana sana tu.
Mheshimiwa ally hapi kajitoa mhanga kwa vipande vyake vya pesa.MUNGU MWENYEZI.amzidishie faida.na ampe uvumilivu kuvumilia changamoto za VILIMO.
Ma shaa allah, haya mambo nayapenda mimi doooo 😍😍
Hata Mimi mashaallah
Hata akotee yule mwanamuziki wa Kenya analima hivyo Hadi rahaaa mashaallah
@@jazeerajuma5014 ma shaa allah
Hiyo ni kwa ufupi itoshe kusema ivo tu 👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪🙏🙏😃😄😄
Mh Hapi hongera sana. Vitendo vimesema na hii ni funzo kwa wengine wanao tushangaza.
Maana tuna viongozi mtu ni Waziri wa Kilimo ama Katibu Mkuu wizara ya Kilimo lkn hana heka tano.
Big up sana
Safi Sana yapi sio lazima ajira mbampana kaka
Hongera
Hongera mh. Ally H.
So inspiring...ila huyo mtaalam mnaemuhoji sauti ilkua chini sana
Hata akipata hasara hajui kama kala hasara😅😅
I always remember you ❤️
You worked so hard for the country but they didn't realize that God forbid it
Ubarikiwe sana kijana unayejitambua
Ally happy muongo sana
Hongera sana mheshimiwa
Safi sana Happy hiyo ndio njia sahihi kilimo hakimtupi mkulima kwa vyovyote,,
Mwandishi umeongeza chumvi nyingi sana hivi bilionea wa kilimo unamjua
Jamani uyu kijana alikuwa anapendaa ukwelii😢😢
Huna budi kufanya hayo, kwa sababu ni lazima akili ya ziada ije.
My future president.
Nimependa
Safiiiii sn broo huna haja ya kuajiriwa
I was so disappointed that day I heard Samia removed him why????? People like him they're few so I guess they knew he will take over someday that is why they decided to kick him out I'm so so disappointed
Sio Samia aliyemwondoa.. ni msoga gang
Rais hapangiwi wa kumteua wa kumtengua, taarifa rasmi na za uhakika zikimfikia juu ya meza maamuzi ya uteuzi/utenguaji hufanyika mara moja
kuna majungu sana huko,bora katoka na afya yake...piga kazi mdogoangu,hiyo ni hela safi
Mwandishi wa habari saikolojia yako ipo kwenye faida tu inavoonesha hutaki kujifunza mambo ya msingi maswali yko yanaharakia faida tu
Wanafupisha kutokana na muda
Nimependa mnooo!
Nimempenda ghafla
Our future leader, in waiting.
Hongera sana Ally Hapi ulijua kujipanga na plan B,achana na siasa ni pasua kichwa
Hongera sana kwake
Namkubali Sana Mkuu kwakeli kajitoa pamoja na msingi anao lakini pia hakutaka kushangaa magorofa mjini yuko Bega kwa Bega na wafanyakazi wake kila siku hiyo TU ,
Inawapa moyo wafanyakazi kufanya kazi Kwa bidii
Makonda analima mpunga Kigamboni, Sabaya anasota Rupango daah...
Life bwana🙌🏾🙌🏾
Life hatariiiiiii🤣🤣🤣
Ally you will be always happy as your name ( Ally happy )
Hongera sana ALLY HAPPY
Hongera sana Ally,.. kila-laheri
Hawa ndiyo viongozi walio bora, Samia kawatowa karibu wote Kwa chuki zake ya Hayati Magufuli na kutuwekea wapigaji. Ally Hapi alikuwa kiongozi bora kabisa. Alitatuwa matatizo mengi ya wananchi. Hayati Magufuli alikuwa akiteuwa VIONGOZI wenye integrity. Mama anateuwa wapolaji.
Kaz nzur sana hongera sana
Kaz nzur
Maashallah tabarakallah Allah akujaalie msfanikip mema
Hongera sana kaka yangu mungu abaliki kazi ya mikono yako mnaondolewa viongozi wanawekwa .....
Hapa kazi2
Really namkubali sana ally
Nimependa sana hii
Hongera mkuu
Hongera Ally hapy
Anafanya kazi nzuri itaongeza fursa nyingi ,nashauri vijana tuige hii kuondokana tatizo la ajira
Hongera sana kaka api.Nimwanchi niliekuwa nakukubali sana.Mungu akupe kila heri na mafanikio yko.Nilikuwa naangalia kila wakati klipu zko zilikuwa zinanipa mfano wababa Magufuli.
Safi sana,uko vizuri Ally,pigs kazi
Huyu jamaa Mimi nimesoma nae BWIRU BOYS huwa Anna msimamo kwenye kazi ndo maana hajaendana na mama wa kuremba remba.
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Hapi ameonyesha nguvu kubwa na elimu kwa watanzaniya wenye matumaini ya kupiga hatuwa kimaisha...hongera sana hapi
MashaAllah
Nchi ni ufisadi tu kila kona,Rais wa mchongo anatumaliza watanzania bara,yeye anapiga makofi wakati watu wanaiba kodi za walala hoi, Rip JPM
Mh A.Hapy ni mfano wa kuigwa kwa vijana wa kitanzania.