Katika hii dunia hakuna kitu kizuli kama uwaminifu, hatakama uko masikini ila uwaminifu utakutoa hatua moja kukupeleka hatua nyingine, mimi mwenyewe nitakutafuta mdogo wangu.
Yani we kaka wewe sina hata la kusema mimi ila tuombe dua tu inshaAllah nshapata fundi wa my dream house wallahi. Allah akuzidishie uhai na akulinde na vijicho Aamiiin🤲🏿
Asante sana fundi wangu,, ndo mimi mwenyewe mwenye huo mjengo,, nashkuru na nakuamini,,, InshaAllah ALLAH azidi kukufungulia,, maana ilikotoka hii nyumba na ilipo si mchezo, ww ni kiboko Yao,, tena unaweza sana,, hongera bro 👍👍💪umeisha kinoma
Mashalla na kukubali najipanga kwa ajili ya zanzibar Mchango wangu switch za jikoni zimekuwa kidogo sana mana sasa unatumia mambo mengi ku Shere switch si vizuri ❤❤❤ Uaminifu unakaribisha fursa.
hiyo nyumba yeye kaibadilisha muonekano waliojenga mwanzo waliaribu tafuta vide ya nyuma uone hii nyumba ilivyokuwa tumpe jamaa ongera zake tuwache wivu usiokuwa na maana.
Jamani huu ni ukweli au ni comedy. Maana dunia ya leo upate mtu akujengee Mpka nyumba ifikie hapo. Kama ndugu yko turbo moja hawezi kukufanyia. Je mtu baki?
Hongera Sana fundi... Ata mimi nitakutafutia.. Maana nimekufuatilia kwa hili yaan nimependa sana.. Good Job
Hongeraaa sana kaka. Endelea kuwa mwaminifu kwa kazi yako utafika mbaliii sana.
Katika hii dunia hakuna kitu kizuli kama uwaminifu, hatakama uko masikini ila uwaminifu utakutoa hatua moja kukupeleka hatua nyingine, mimi mwenyewe nitakutafuta mdogo wangu.
Yani we kaka wewe sina hata la kusema mimi ila tuombe dua tu inshaAllah nshapata fundi wa my dream house wallahi. Allah akuzidishie uhai na akulinde na vijicho Aamiiin🤲🏿
Ila kazi yako nzuri Alhamdulillah Allah akuhifadhi
Bismilah ma shaa Allah, hongera sana fundi kwa kaz nzur. Na pia hongera mpambanaji mwenzetu umejitahidi ma shaa allah
Asante sana fundi wangu,, ndo mimi mwenyewe mwenye huo mjengo,, nashkuru na nakuamini,,, InshaAllah ALLAH azidi kukufungulia,, maana ilikotoka hii nyumba na ilipo si mchezo, ww ni kiboko Yao,, tena unaweza sana,, hongera bro 👍👍💪umeisha kinoma
Naomba kukuuliza bati umenunua bei gani?
Nitumie namba zako nikulize
Mashallah umeweza mama hongera sana
Mnaekoment mnajuaje nikweli huu mtandao kila moja anajinad
Bati kwa gharama zote hadi kuezeka ni milioni 7 kesh
Alhamdulilah mungu aendelee kubaliki KAZI za mikono yetu 🙏🙏 SANUKA MEDIA 🇹🇿🔥🔥🔥💯💯💯. KAKA
Bila kupepesa macho bro uko vizuri sana.
Hongera sana fundi kazi nzuri
Greetings from the Netherlands
Kaka Mimi nipo Oman nitapokuwa tayali kwa ujenz inshallah ntakutafut
Upo vizuri sana kaka. Nitafute wassup tuongee nahitaji nyumba ya vyumba 3 uniambie garama niandae pesa kiasi gani
Inshaallah Mungu akupe umri mrefu Kwa kazi nzuri unazofanya
Hongera sana fundi nimefutiwa na kazi yako nzuri
Nimependa sana kz yako nikifikia iyo hatua ntakutafuta insha allah
Hongera sana kwa kazi nzuri Mr house 🏠
Hongra sana kaka uendele kutusaidia na mungu akulinde
Hyo milango nimeipenda na madirisha❤❤ ntakutafuta
Nakufatoli kakake umovizuli mashallah 🎉🎉
Jee zanzibar utanifanyia namimi nipo oman
tutakujengea wengine kwa hapa Zanzibar
@@fuadmohammedamour9027😅😅😅😅 nimecheka kama mazuri, shida sio kujenga jee uaminifu, ubunifu na upekee(uniqueness) unao?😂😂😂
Mmekutana mitandaoni tuu kaka ni muanifu sana na waonesha unapenda Maendeleo huna husda kaka 👏
Jaribu na ww uwone
@@zulekhasaud483 In shaa Allah ukhty
Kazi nzuri kaka, Mungu akubariki.
Upo vizuri sana Mr House.
We bro hakika n fundi mungu atazidi kukuongezea ubunifu kwa ulicho kifanya kweny nyumba hii
Wa kwanza leo nipewe 🎉yangu
Fundi nitakutafuta inshallah ❤❤
Mashalla na kukubali najipanga kwa ajili ya zanzibar
Mchango wangu switch za jikoni zimekuwa kidogo sana mana sasa unatumia mambo mengi ku Shere switch si vizuri ❤❤❤
Uaminifu unakaribisha fursa.
Nyumba nzuri ilipendeza tangu mwanzo paka ndugu yangu aliipenda ndio nguzo hazikuwa sawa
Nyumba nzuri ilipendeza tangu mwanzo paka ndugu yangu aliipenda ndio nguzo hazikuwa sawa
Milango mizur ata buza nimeiona
@@VickKulekana-si1ibbuza sehemu gn my nahitaji naomba niulizie bei
Mashallah nyumb imebadilika sn asee kaka upo vinzuri sn mashallah
Hongera sana sasa hujibu msg
Napenda san content zako kaka sijui kwann haipit siku nisikusikilize
Anajuwa kabisa sio siri mimi mwenye nina mkubali kwasababu nimejega sana amesahisha iyo nyumba vizuri
Hongera kz nzr
Kaka nakuitaji Moshi Kuna makosa meng San kama ayoh na mm nakaz yangu nataka ufanyee 🎉🎉
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh
Kaka miminilikutafuta nimekukoli hukunishikiya
Emetisha kaka imenogaje
Hongera sana fundi Nitakutafuta
Masha ALLAH ❤ ❤ ❤ 🎉🎉🎉🎉
Nimeipenda sana fundi mm nitakutafuta unifanyie kila kitu
Amazing ❤❤❤❤
Nyumba kubwa MashaAllah 🥰
Upo vizuri kaka
Mashallah ❤
WOW EE BANA EE IMEPENDEZA HATARIIII
Hongera fundi
Namuomba mungu anijaalie nipate pesa siku moja ukuje unifanyie madecoration ya hatari kwenye kamjengo kangu
AMEEN YARAB
Safi sana bro
Ubarikiwe
Tunatumika uku usiku na mchana ili sikumoja turundi nyumbani tusiwe na presha zakupanga ila ndugu zetu mafudi na wasimamizi mutatuuwa na presha
Masha Allah
Wa ughaibuni huumizwa sana na familia
Sio mm nitasumamia mwenyewe nikirud sitaki kujengewa
Nzuri sana nitakutafuta fundi
Mdogo wangu iyo kazi ni ya kawaida Sana sio kivile
hiyo nyumba yeye kaibadilisha muonekano waliojenga mwanzo waliaribu tafuta vide ya nyuma uone hii nyumba ilivyokuwa tumpe jamaa ongera zake tuwache wivu usiokuwa na maana.
Tuombe mungu kaka nitakutafuta
Kaka ss wa morogoro tunapataje uduma zako
Mashaallah
DAH!! KAKA NAKUKUBALI SANA!! WEW NI MBUNIFU, NIMEIFATILIA HII NYUMBA
Hiyo milango frem ni ya mbao au bati?
Sasa fundi mbona namba zako hazipatikani wasp
Kaka ivi unakuaje na camera man pasua ivo😅😅😅
Nitakutafta bro
Masha'allah..nilifatilia toka mwanzo
Milango bei gani
Fundi uwe NA bei gani nyumba nzima
Maana mm nipo nchi za uarabuni pia. Lkn sikufichi. Siwezi kuamini mtu baki anisimamie nyumba Mpka ifike hapo.
Umependeza japo Haina dondo kwenye msngi
Masha Allah iyo milango shingapi?
Nyumba kama hiyo inagarimu bei gani Tsh
Nyumba nzima ni shillings ngapi
Mm ninashida na ww sikupati
Ilo kosa kumponda fundi ww fundi Gani wa kujisifia mwenyewe acha izo mbona ata iyo KAZI Yako sio nzuri
pitia video ya mwanzo uone hiyo nyumba ilivyokuwa alafu uje tizama jamaa alivyoiweka ktk ubora usiongee tu kk watu ela utafuta kwa tabu
Au ww ndie fundi ulie aribu nini?
@@joharifarahani2739😂😂😂😂😂Mana ana makasiriko
👍👍
❤❤❤🎉
Unaweza enda congo nikutume?
Nakufatiliya sana ila hupoke simu
Ni kweli sijui wengine wanampataje
Tatizo wanaonufaika na uduma yako ni wale wa dar na mikoa ya karibu
🙏🙏🙏
Shida ni kwamba hapatikane kwenye WhatsApp.
❤❤❤❤
🔥🔥🔥
Kaka Kuna fundi kanizilum
Mie nahitaji hio milango yapatikana wapi
Hata mm milango tu ndo ime nikosha
hakuna kitu kizuri kama uaminifu ongera sana kaka
Choo bei gani
Nakwitaji bro
kenchi liko karibu hivyo .
nyumba fupi ndani
pia mashimo hayo yanajaa maji angalia udogo kwanza
kajitahidi sana kubadilisha hiyo nyumba maana mafundi wa mwanzo waliaribu yeye kapewa afanye mabadiliko hakujenga yeye
Moshi pia unafanya kazi?
Ntakutafuta
Jamani huu ni ukweli au ni comedy. Maana dunia ya leo upate mtu akujengee Mpka nyumba ifikie hapo. Kama ndugu yko turbo moja hawezi kukufanyia. Je mtu baki?
yeye amepewa aibadilishe maana mafundi waliopewa mwanzo waliaribu sana jamaa nimuaminifu ndiyo maana watu ummtumia na kazi uzituma humuy
Huna ujualo
imebadilika hatari
Roughly hiyo nyumba gharama zake zikoje
Swafi
Sasa wewe bi kampuni
Kaka tutakutafut
Mbona hupokei simu bro ukiona sms hii nichek 0752579000
Masha Allah
❤❤❤