ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Very Nice Design 👍
Thank you
Ukwel kaka Mimi niyule Mr Gift kutokea kivule ya kati ninatoa ushuhuda huu kuwa hii Raman niliichukua na sasa nipo kwenye hatua ya msingi ila ukwel msingi umependeza sana asant san mkuu wa kitu kizuri sana
Wow.Asañte Sana Mr.Gift.Nashukuru kwa feedback yako. Mungu akufanikishe kwa upesi katika hatua zote za Ujenzi uliobaki.Asañte Sana kwa kutuamini.
Waooooo Hongera Sana Sana...Kiukweli anafanya kazi Nzuri Sanaaa Hakika
Mbao ngapi za kenchi
Muonekano wa nyumba ni mzuri kwa kweli ila haujatumbia gharama zote ni tsh ngapi?
hii imeingia batingapi??
Kaka tuwekee nyumba ya vyumba 2 choo kimoja setting room majiko please 🥺🥺🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Okay, sawa dada Monna.Tutaongeza nyingine.Lkn pia kama hizo za rooms mbili zipo nyingi hapa kwenye channel yetu.
Nataka raman
Okay, karibu sana ndugu Joseph.Karibu inbox tuwasiliane.+255 765 978 774 (Piga/SMS/WhatsApp)
Nitaipataje ramani ya nyumba hii
Karibu inbox tuwasiliane.Hii utaipata Mahali popote ulipo.WhatsApp: +255 765 978 774
Garama ya nyumba hio shi gap
Sorry, unauliza gharama ya kupata ramani yake au gharama ya ujenzi wa hii nyumba?.WHATSAPP: +255 764 978 774
Nimeielewa napataje
Ooh!,Karibu sana inbox WhatsApp: +255 765 978 774
Nataka raman hii
Okay, sawa.Karibu inbox, tuwasiliane ili tukupatie full document.Whatsapp: +255 765 978 774
Gharama yake nishimgap
Hello, habari.Sorry, unataka kujua gharama ya ramani au gharama ya Jumla ya ujenzi?
Ramani ya vyumba 3
Karibu inbox WhatsApp : +255 765 978 774
Muweke Raman ya vyumba vitatu
Vyumba vitatu zipo.th-cam.com/video/9OfA3DdgAhU/w-d-xo.html
Check this:th-cam.com/video/9OfA3DdgAhU/w-d-xo.html
Namba yako ya dimu inatakiwa
Simu: +255 765 978 774. (WHATSAPP).KARIBU SANA
odida
Karibu ndugu yangu Edwin.Unahitaji hii ramani?.Tunàkupatia full document
Very Nice Design 👍
Thank you
Ukwel kaka Mimi niyule Mr Gift kutokea kivule ya kati ninatoa ushuhuda huu kuwa hii Raman niliichukua na sasa nipo kwenye hatua ya msingi ila ukwel msingi umependeza sana asant san mkuu wa kitu kizuri sana
Wow.
Asañte Sana Mr.Gift.
Nashukuru kwa feedback yako. Mungu akufanikishe kwa upesi katika hatua zote za Ujenzi uliobaki.
Asañte Sana kwa kutuamini.
Waooooo Hongera Sana Sana...Kiukweli anafanya kazi Nzuri Sanaaa Hakika
Mbao ngapi za kenchi
Muonekano wa nyumba ni mzuri kwa kweli ila haujatumbia gharama zote ni tsh ngapi?
hii imeingia batingapi??
Kaka tuwekee nyumba ya vyumba 2 choo kimoja setting room majiko please 🥺🥺🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Okay, sawa dada Monna.
Tutaongeza nyingine.
Lkn pia kama hizo za rooms mbili zipo nyingi hapa kwenye channel yetu.
Nataka raman
Okay, karibu sana ndugu Joseph.
Karibu inbox tuwasiliane.
+255 765 978 774 (Piga/SMS/WhatsApp)
Nitaipataje ramani ya nyumba hii
Karibu inbox tuwasiliane.
Hii utaipata Mahali popote ulipo.
WhatsApp: +255 765 978 774
Garama ya nyumba hio shi gap
Sorry, unauliza gharama ya kupata ramani yake au gharama ya ujenzi wa hii nyumba?.
WHATSAPP: +255 764 978 774
Nimeielewa napataje
Ooh!,
Karibu sana inbox
WhatsApp: +255 765 978 774
Nataka raman hii
Okay, sawa.
Karibu inbox, tuwasiliane ili tukupatie full document.
Whatsapp: +255 765 978 774
Gharama yake nishimgap
Hello, habari.
Sorry, unataka kujua gharama ya ramani au gharama ya Jumla ya ujenzi?
Ramani ya vyumba 3
Karibu inbox
WhatsApp : +255 765 978 774
Muweke Raman ya vyumba vitatu
Vyumba vitatu zipo.
th-cam.com/video/9OfA3DdgAhU/w-d-xo.html
Check this:
th-cam.com/video/9OfA3DdgAhU/w-d-xo.html
Namba yako ya dimu inatakiwa
Simu: +255 765 978 774. (WHATSAPP).
KARIBU SANA
odida
Karibu ndugu yangu Edwin.
Unahitaji hii ramani?.
Tunàkupatia full document