Hongera bint yangu ,Mungu akutunze pia kuhusu kusemwa unadanga isikupe shida angalia unavyofanya Kuna wengine ni wadangaji kupita maelezo lkn hawajafanya maendeleo yoyote ,Mungu akiandika yes hata watu wangeleta maneno hawawezi kuzuia riziki ya mtu ,wengine Hadi tuliitwa wachawi kwa ajili ya maendeleo lkn Mungu amesimama mpaka Sasa nauona mkono wa Bwana ,hongera Sana natamani hata binti zetu wakuige ulichofanya Mungu akiwajalia kipato hivyo tu
Hongera sana dada Juddy, hakika wewe ni binti mahiri sana, sina shaka na uwezo wako wa kufikiria mambo makubwa toka nimekufahamu na umekua mfano wa kuigwa katika mambo mengi sana na watu wote. Nayafurahia sana mafanikio yako, Mungu akubariki zaidi🙏.
Hongera sana kpnz changu. Napenda watu wenye juhudi za maendeleo kama wewe mdogo wangu. Mungu azidi kukubariki. Na baadae uwe na mjengo mkubwa kuliko huu.
Hongera sana, watu wengi hufikiri kuwa msichana akijenga eti atakuwa na majivuno na hata olewa. Hayo ni mawazo hafifu na huwafanya mabinti wengi kushindwa kufanya vitu vikubwa. So mm nashauri mabinti wapambane na wafanye mambo makubwa waache dhana ya kuwa ukiwa na hiki huto olewa. Kuolewa kupo pale pale na Mungu akisema ndio hakuna wakusema hapana.
Hongera Sana. Maisha ni maamuzi. Unamtanguliza Mungu kwanza Kisha unaishi ndoto zako. Mimi nilijenganyumba ya vyumba 4 nikiwa na miaka 25. Ushauri hakuna hasiyeshindwa ni maamuzi tu. Sasa nawe anza hata chumba kimoja tu si ni chako. Mungu awe nawe 🤲🙌
Congrats mama mwenye nyumba hatamimi Nina umri wa 30 years nimefanikiwa kujenga kidimu wilaya ya kibaha nyumba ya 3 bedroom's jiko seblen darning na store kwa muda wa meezi 5
Hongera zake kwa wingi mie mwenyew ni binti wamiaka22 na nanyumba ambayo naelekea kuimaliza hivi karibun Alhamdulillah sijambo dogo ila kukaza buti mungu hamtup mjawake
Daaaah kweli duniani usijeukamzalau mtu juddy nakuaminia sana stakiii kuamini mungu akusaidie sana ni mpmbanajiii sana Toka mda na mungu kakusikia kilio chako
HAKIKA HII SIO AKILI YA KIBINADAMU NA UJANA NI MUNGU TUU NA MAOMBI YAMEMSAIDIAA JUDY .JUDY ONGERA SANA KWA KUMPENDA YESU KWA SABABU YESU ANAAKILI UKIMPENDA NA KUMUHESHIMU NA WEW UTAKUWA NA AKILI TUU UBARIKIWE SANA
Wakina judith tuna akili sana dada dina nipe zawadi na mimi naitwa judith nime mjengea mama yangu nyumba nzuri sana peke yangu sija ongwa ata mia moja nyumbwa kubwa sana kila kitu ndani na tank la maji lita 5000 nje
safi sana mdd allha anifanyie wepesi mpaka 2024 nimalize nyumba yangu maana majukumu kama unavyo sema yana tuangusha wengine mm kwetu mtt wa mwisho kwa mama lakini ndugu zangu awana uwezo wanapesa ya kula tu ss ukitokea ww unapata riziki ndugu akipata shida lazima atakuomba umsaaidie hila one lnshallha
@@niwemugenimediatrice5640 jaribu kuagalia matumiz yako au unapenda kula bata sna😀😀😀 au unasomesha kam unawatot au unaeza kuwa ni wew tu utaki kusev pes
Wanawake tunaweza sanaa hongera sana my dear Mimi nimejifunza kujiteengemea tangia nikiwa biti mpaka sasa ni mama ninayerea wanagu kwa nguvu zangu naninajenga inshallah nitarud kwangu kwa hiyo kusema kumtengemea mwanaume nihakili ya mtu na kwa sasa sidhani kama Kuna mwanamke anamtengemea mwanaume mungu tupe hufahamu tupinge hatua wanawake kwa wasichana
Mashaallah umepambana sana mama mjengo nimefurah sana niliposkia neno la pesa yoyote inathaman ata iwe 100 pia inathaman ni kweli thanks you dada umenishawisha sana asante
Anhaaa sasa hapa dada Dina tumeelewana, tulichokataa ni kwamba si kweli kwamba dada kajenga kwa kutumia Mshahara wake wa wastani, ni hicho tuuu!! So now tumeelewa dada alikua na side hustle nyingi tu which is very good, hesabu za kujenga kwa Mshahara wa wastani ndo zilikataliwa
Kwa kweli.... yaan mshahara kama mshahara bila hustles zingine kujenga mmmmmmmmh hapana ...hapa atleast ameamua kuwa mkweli na anaweza kujenga hata zaidi ya hiyo kwa hizo hustles zake
Asalam Alaykum warahamatulilh wabarakatuh ! MASHA ALLAH bint yangu kwa kuelimisha mabint kama wewe na wengine! Allah akuongoze kwa maisha yako, Na uwaombe wengine wapate kufanikiwa maishani Amin! Umeelezea vizuri bila chuki ! Allah wajalie na wengine wafaidike kupitia kwako Amin Amin
Safi sana ila nahis garama ulizotumia hapo kwa muonekano ungeweza kujenga hata nyumba ya vyumba viwili vya kawaida....nyumba sio urembo ni vitu vya muhimu tu
Hawa ndo Wake tunao wataka, Wenye Hesabu Kuhusu Maisha sio Ma Slayqueens wanopenda Bata Toka Januari mpaka December, Na iPhone za kila mwaka mawigi na High-heels.
Dada hungera sana hata pia umenipa plan nzuri sana ya nyumbaa nakupa big up jamani tuache kukatishana tamaa sio kula mtu ana danga 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ulipata fundi mzuri sana mungu azidi kukumpa umri mrefu juu pia mm namuhitaji huyo fundi yupo wapi kenya upande gani mm nipo mariakani njia yakuenda mombasa naomba no yafu ndi anisahidiee pia mm
Huyu dada yupo chuo mwaka wapili 2015 mimi nipo kazini TRA hapo nina miaka 4, hadi leo sina hata kichwa mimi kweli zuzu dah! 😢😢😢 ngoja nami nijenge sasa niache kuhonga 😢😢
Am 28 too but I have nothing dear but am strong now to start saving for my future house 🏡 love from Kenya dear
Big up
Me mbna nna 23 na numejenga yangu nilinunua kiwanja 18/12/2020 mpaka leo iko kwenye lenter na ni dar mpaka December inshallah nitamalzia na n kubwa
Sio mashindano
Nilijenga guest house vyumba 10 nikiwa kwenye nyumba ya kupanga, ilibadilisha kabisa maisha yangu. Hongera sana dada kupanga ni kuchagua
anna wewe noma sana
Hongera bint yangu ,Mungu akutunze pia kuhusu kusemwa unadanga isikupe shida angalia unavyofanya Kuna wengine ni wadangaji kupita maelezo lkn hawajafanya maendeleo yoyote ,Mungu akiandika yes hata watu wangeleta maneno hawawezi kuzuia riziki ya mtu ,wengine Hadi tuliitwa wachawi kwa ajili ya maendeleo lkn Mungu amesimama mpaka Sasa nauona mkono wa Bwana ,hongera Sana natamani hata binti zetu wakuige ulichofanya Mungu akiwajalia kipato hivyo tu
Hongera sana dada Juddy, hakika wewe ni binti mahiri sana, sina shaka na uwezo wako wa kufikiria mambo makubwa toka nimekufahamu na umekua mfano wa kuigwa katika mambo mengi sana na watu wote. Nayafurahia sana mafanikio yako, Mungu akubariki zaidi🙏.
Hongera sana kpnz changu. Napenda watu wenye juhudi za maendeleo kama wewe mdogo wangu. Mungu azidi kukubariki. Na baadae uwe na mjengo mkubwa kuliko huu.
Hongera sana, watu wengi hufikiri kuwa msichana akijenga eti atakuwa na majivuno na hata olewa. Hayo ni mawazo hafifu na huwafanya mabinti wengi kushindwa kufanya vitu vikubwa. So mm nashauri mabinti wapambane na wafanye mambo makubwa waache dhana ya kuwa ukiwa na hiki huto olewa. Kuolewa kupo pale pale na Mungu akisema ndio hakuna wakusema hapana.
Kanyumba kazuri Sanaa Mungu anatupenda wanawake, hata mini nimebarikiwa nyumba kila nikiitizama nasema Asante Mungu wangu
Hongera Sana. Maisha ni maamuzi. Unamtanguliza Mungu kwanza Kisha unaishi ndoto zako. Mimi nilijenganyumba ya vyumba 4 nikiwa na miaka 25. Ushauri hakuna hasiyeshindwa ni maamuzi tu. Sasa nawe anza hata chumba kimoja tu si ni chako. Mungu awe nawe 🤲🙌
Vp kipenzi hiyo ya vyumba 4 please maximum ina gharimu bei gani
Good job girl 😍😍😍 kweli kitu ni maamuzi tu nyumba nzuri hongera sana. Beauty with brain
Huyo fundi ni mzuri sana. Mungu naomba nipe fundi wangu nakuomba
Wow wow Mashallah 🤩 Hongera sana kwa age yako utafika mbali well done 👍🏾.Mwanamke akiamua anaweza tena zaidi ya mwanaume.
Kabisa
Ishu ni focus na determination.haijalishi ni mwanamke au mwanaume
@@ahz6907 point
Very true...am so happy for her..
Congrats mama mwenye nyumba hatamimi Nina umri wa 30 years nimefanikiwa kujenga kidimu wilaya ya kibaha nyumba ya 3 bedroom's jiko seblen darning na store kwa muda wa meezi 5
Hongera sana
Hongera sana mashallah jaman Mimi natamani sasa material unaamza kununua nini cha Kwanza nishauri
Hongera
Hongera Sana
Hongera Sana
Hongera sana mdogo wngu,ni kweli kila kitu ni malengo!na ukiamua kufanya kitu unafanya.❤️🙏🤝
Nilikua naisubiria kwa hamu zote hii clip, nyumba nzuri sana,
Naomba no yake please
You are just like me. Twin sister. Focus and achieve.
Very inspiring OMG.. hongera sana sana Judy!
So inspiring and encouraging, hongera sana judith, you have paved and show us a way, it can be done.👏👏👏👏👏👏
Jamani naomba kujua gharama za nyumba kama hiyo
Hengraa chimami wanguuu hta mim naomba mungu anitimizie haj ya moyo wang
@@zainabuhashim6916 , Allah atakupa utajenga
Aminaaaaaaa am a christinian Mumy, hayaa hilooo jna tu la wazaz wangu lkn naitwa veronicaa.
Hongera sana dada mie February naanza ujenzi am very inspired
Hongera zake kwa wingi mie mwenyew ni binti wamiaka22 na nanyumba ambayo naelekea kuimaliza hivi karibun Alhamdulillah sijambo dogo ila kukaza buti mungu hamtup mjawake
Daaaah kweli duniani usijeukamzalau mtu juddy nakuaminia sana stakiii kuamini mungu akusaidie sana ni mpmbanajiii sana Toka mda na mungu kakusikia kilio chako
HAKIKA HII SIO AKILI YA KIBINADAMU NA UJANA NI MUNGU TUU NA MAOMBI YAMEMSAIDIAA JUDY .JUDY ONGERA SANA KWA KUMPENDA YESU KWA SABABU YESU ANAAKILI UKIMPENDA NA KUMUHESHIMU NA WEW UTAKUWA NA AKILI TUU
UBARIKIWE SANA
Nimekupendaje umenifurahisha.natamani nije kwako niione jiko.no ya simu please.ubarikiwe
kabisa
Wakina judith tuna akili sana dada dina nipe zawadi na mimi naitwa judith nime mjengea mama yangu nyumba nzuri sana peke yangu sija ongwa ata mia moja nyumbwa kubwa sana kila kitu ndani na tank la maji lita 5000 nje
Hongera sana... Utafika mbali... Unajitambua Sana Judy! May Almighty God take you to places
MashaAllah umepambana Sana hapo kwene madirisha kutamu kumbe kuna aluminium na PVC asante Kwa kuniambia 😍😍😍😍
One day itakuwa mm…very inspirational❤
Hongera Sana mdogo wangu , it is surely a clean house . Mungu , focus , hardworking , kujiamini na kuthubutu , inawezekana .
Yes
Hongera Sana dada this is my life time dream am 26 Nina mtt mmoja kila siku nawaza kumuachia urithi wa nyumban nikiwa bado napumua
safi sana mdd allha anifanyie wepesi mpaka 2024 nimalize nyumba yangu maana majukumu kama unavyo sema yana tuangusha wengine mm kwetu mtt wa mwisho kwa mama lakini ndugu zangu awana uwezo wanapesa ya kula tu ss ukitokea ww unapata riziki ndugu akipata shida lazima atakuomba umsaaidie hila one lnshallha
Mashaallh nyumba yake nzur ukujibana unaweza tu ni wew mwenyewe kujinyima tu hongera dada mwenzetu narudia ten hongera sna🥰🥰🥰🥰🥰😍😍😍
Jaman mbona mm nimekuwa mjinga sanaaa😞Zaidi miaka 12 nafanya kazi lakin hata shuka sina.
@@niwemugenimediatrice5640 c kweli bhn hata shuka sasa pes zako unapelek wapi kwaiyo unalal bila kujifunika😒😒😒
@@pendopendo7427 Sijui!Hata nchini kwenu nilifanya miaka 7
@@niwemugenimediatrice5640 jaribu kuagalia matumiz yako au unapenda kula bata sna😀😀😀 au unasomesha kam unawatot au unaeza kuwa ni wew tu utaki kusev pes
@@pendopendo7427 we acha tu!
Congratulations Judith😍😍👌👌Good job mamii na asante kwa kua inspirations kwa wengine!Barikiwa sana,🙏
Hongera sn Mrembo Nimekupenda bure,wee nikichwa sn 😍🔥🔥🔥💯
Wanawake tunaweza sanaa hongera sana my dear Mimi nimejifunza kujiteengemea tangia nikiwa biti mpaka sasa ni mama ninayerea wanagu kwa nguvu zangu naninajenga inshallah nitarud kwangu kwa hiyo kusema kumtengemea mwanaume nihakili ya mtu na kwa sasa sidhani kama Kuna mwanamke anamtengemea mwanaume mungu tupe hufahamu tupinge hatua wanawake kwa wasichana
Yaani bibie amenifanya nipotezee MB Safi sana. Sijapoteza umenitahidi sana ,kuna WADADA mjini wao wanawaza mawigi na makeup bar na vingine
Hongera sana Judy.you did it.
Hao ndiyo wengi na tatizo huwa ni uvivu wa kufikiri na kutokujituma.
😁😁😁😁
Wengi ndimu
Hongera sana kipenz allah akuzidishie kipato zayd ya hapo
Nilimpenda na alini inspire kabla hata ya kumuona na baada ya kumuona na kumsikiliza amezidi kuni inspire na nimempenda zaidi 👏👏👏
Ndio uanze na wewe kujipanga
@@fakihdarusi4385 imegarimu sh ngp hii nyumb
Km umemsikiliza huyu binti na unamuamini gonga like hapa tafadhali🙏
Nyumba ina nyege 😁😁 kila unapofikia na hela ikikata unataka uendelee hata ukaibe 😁😁
Hongera dada
Hongera sana Judy, binafsi umeni inspire sana🙏🏾 thanks for sharing 📌❤️
Tunakupata wapi for consultation please
Ongera
Dsna
Kujenga
Tusaidie
Tu
Ramsmi
Hongera snaa dada mungu akubariki apo uliopo akupandsheee tena kwenye viwango vingine%%%
Mashaallah umepambana sana mama mjengo nimefurah sana niliposkia neno la pesa yoyote inathaman ata iwe 100 pia inathaman ni kweli thanks you dada umenishawisha sana asante
Nmekupenda sana Judith Umeniencourage sana.....Nmejifunza kitu kwako 🤝👏👏
Anhaaa sasa hapa dada Dina tumeelewana, tulichokataa ni kwamba si kweli kwamba dada kajenga kwa kutumia Mshahara wake wa wastani, ni hicho tuuu!! So now tumeelewa dada alikua na side hustle nyingi tu which is very good, hesabu za kujenga kwa Mshahara wa wastani ndo zilikataliwa
Ukiamua unaweza
Kwa kweli.... yaan mshahara kama mshahara bila hustles zingine kujenga mmmmmmmmh hapana ...hapa atleast ameamua kuwa mkweli na anaweza kujenga hata zaidi ya hiyo kwa hizo hustles zake
Kbs
Mwanamke hodari Sana, wasiooa huyu anafaa kuitwa mama, na Kama Yuko hivi watoto watapata mama Bora.
Hongera dada, vipi, naomba contacts za Mturuki anayekupa bei hadi ya installation
Huyu dada ana akili sanaa.. She has motivated me kiukweli.. wacha niendelee kupambanaa. the house is really beautiful 😍🙌🏻
Wallahi haki
Akili anayo na pesa pia anayo..
Hongera Sana binti Judy jasiri, shupavu na mchapa kazi umetuhamasisha Sana, ubarikiwe Sana Dina Kwa kutuandalia vitu vizur 😍😍😍
Educating a girl is educating the whole society.kudos girl
Umehongea kam umesoma Greebird kirimanjaro ndio moto yao huu msap❤
Hongera sana Binti, hela yako, elimu Yako, malezi Yako vyoote vimeonekana,. Mungu awabariki wazazi wako Kwa malezi mazuri.
Asante Sana natamani nihifadhi hii kilip ili niwe nasikiliza nijifunze
Wow. The best inspiration I got today.
I love the choice of colours,The flower vases so admirable,Beauty with brains.
Congraturations my dear judith umenipa nguvu mnooo😂😋😍 lazima na mm nijenge kwangu your are blessed darling❤️
MashAllah. I have seen this today for a reason, so help me Yarabbi.
Very motivating, hongera sana dada
Nice 👍👍 hongera sana Judith namtaka huyo fundi anaoneka Yuko vizur.
Hongera bint ukiwa huwazi ma cm makubwa na kushnda mtandaon lzm ufanikiwe mapema 🎉
GOD,FOCUS, DISCIPLINE,HARD WORKING and TIME MANAGEMENT.
Hongera best nyumba yako nimeipenda sana kamjengo kazur ina vyumba vingapi
Congrats Judith, INSHA'ALLAH MOLA anijalie nimalize yangu pia
Safi Sana. Mungu akusaidie
Hongera sana. İla hapo Kwenye kibubu fanya siri kidogo.
Nikajikuta hela niliyo taka kununua cm nikaagiza tofati 200 ili nifanye jambo japo pole pole amenishawishi wanawake tunaweza kiukweli
Please naomba no ya judy I want the house plan writing from Kenya
Mashaallah mashaallah mashaallah hongera dada mungu akuzidishie zaidi ya hapo🙏
Asalam Alaykum warahamatulilh wabarakatuh ! MASHA ALLAH bint yangu kwa kuelimisha mabint kama wewe na wengine! Allah akuongoze kwa maisha yako, Na uwaombe wengine wapate kufanikiwa maishani Amin! Umeelezea vizuri bila chuki ! Allah wajalie na wengine wafaidike kupitia kwako Amin Amin
Mashallah hongera sana Judith tupatie mawasiliano ili tukupe tenda please 🇹🇿🇨🇭
Kwa kweli kikubwa ni Malengo. Hongera sana kwake. Umehamsisha vijana kuwa wanaweza
Yaan ww dada nmekupenda sanaaa you really inspires
namba ya dada judy iko wapi kama tunaitaji huduma zake?? Hongera sana dada Judy
❤❤ hongera Dada mdogo wako naomba sapota ktk maeneo kadhaa tafadhali dada
Hongela dada angu mungu akuzidishie zaidi
Napataje namba ya Fundi wako, Judith?
Hongera sana Judy,Very inspiring🙏🏼
Onger snaa MUNGU atusaidie snaa🙏
Safi sana ila nahis garama ulizotumia hapo kwa muonekano ungeweza kujenga hata nyumba ya vyumba viwili vya kawaida....nyumba sio urembo ni vitu vya muhimu tu
Mfanisi majengo!!! hongeraaa mama!!
Congratulations miss, Every thing is possible ukiwa na Yesu
Judy I really love you effort. May God bless you. My preasure to meet with u .even to make story of life . 😍 keep going momy.
Uko vizuri dear,hata mm nipo kwenye mchakato kiwanja ninacho tayari.
Umenipa hamasa Sana,
barikiwa Sana.
Am from kenya inspired with this gal
Hongera sana dada nyumba nzuri kwel
Hongera san san kwa kutupa mioyo na sisi.
Ongera sana, nyumba nzuri
Hawa ndo Wake tunao wataka, Wenye Hesabu Kuhusu Maisha sio Ma Slayqueens wanopenda Bata Toka Januari mpaka December, Na iPhone za kila mwaka mawigi na High-heels.
Hongera nimependa nyumba ni nzuri mtuwekee no yake tukihitaji ramani atuuzie
ingia you tube sachi nyumba za kisasa utapata ramani
Mimi nami napenda nipate namba ya huyu dada tija siyo nyumba za kisasa pia ushauri mtu akimuomba jamn
Safi sana na Mungu akutangulie katika safari yako
Hongera Sana Judith.Nipo nyuma yko soon nitaanza 2022.love you
Dada hungera sana hata pia umenipa plan nzuri sana ya nyumbaa nakupa big up jamani tuache kukatishana tamaa sio kula mtu ana danga
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera sana dada nyumba nzuri sana nimeipenda na mimi Mungu akinijalia nitajenga kama hiyo
Hi nsaidie namba yako judith, mm naitwa manka nahitaj raman ya nyumba na fund mwaminifu
Ulipata fundi mzuri sana mungu azidi kukumpa umri mrefu juu pia mm namuhitaji huyo fundi yupo wapi kenya upande gani mm nipo mariakani njia yakuenda mombasa naomba no yafu ndi anisahidiee pia mm
Your sooo humble 😘😘
Da Judith ahsante sana kwa kutufutisha vijana wa kike na wakiume ubarikiwe sana na MUNGU many
Hongera sana rafkiangu! Unatupa nguv na cc wengine. Juu ya kupambana
Nimempenda bure huyu dada. So inspiring 💯
Hongera sana sana Judith kwel umepambana
Very inspiring Judith .I love a working woman
Dina Kwanza barikiwa Sana mama pia Judith mungu akubariki Sana my dear ww ni super woman 👩🏼 unatupa hamasa sana
Mashallah nimependa sanaaaa ninakiwanja na fondesheni tayari in shaa Allah nimejifunza kitu hapo hongera Sana
congrats Judith,naamini ipo siku bado itakuja kuongezea hio nyumba Kwa uwezo wa Mungu.Such inspiring talk👏👏👏🔥🌞🙏🇰🇪.
❤❤ Wander full
Hongera Sana nimejifunza kitu
Huyu dada yupo chuo mwaka wapili 2015 mimi nipo kazini TRA hapo nina miaka 4, hadi leo sina hata kichwa mimi kweli zuzu dah! 😢😢😢 ngoja nami nijenge sasa niache kuhonga 😢😢
Nimeipenda sn nyumba nzuri akika umenipa motisha sn