Elon Musk sio tajiri jamani bali ni mtu mwenye pesa nyingi tu kwa walivyo mtangaza UTAJIRI UNA MAANA PANA TENA PANA SIO HIVI WANAVYO TUTANGAZIA WAZUNGU 🤗🤗🤗
Hapo fitina za kinamama ndo zinapovuruga uhusiano wa watoto na baba zao. Wanapopata mafanikio adui zao wakubwa ni Baba zao. Na kama utafatilia kiundan icho utakachogundua unaweza usiamni
Ndio akili yako ya kufikiri imeishia hapo,,, pua pua africa,,, ulaya mtoto anafundishwa sayansi sisi huku mtoto anatengenezwa kua muhubiri na Maji ya upako
@@maulidimohamedi5326 Hapo ndipo wazungu walipotuweza ,,walituletea dini na kuteka Imani zetu, hivyo ukijarbu kuwa mdadisi zaidi ya sayansi utaitwa mpinga kristo,mara utaambiwa unakufuru,,,,Sasa mbona wazungu wanatumia sayansi kugundua madawa,kutibu watu na kuokoa uhai wa wagonjwa Kwa operations ,nk ..je huko Nako ni kupinga kristo?
Naomba kufaamu story ya Mtume Mohamad please bongo fasta
HII COMMENTS IWE UTETEZI WAKO DUNIANI NA AKHERA 🥰😍🤩💗💓💞💖💝
Swallallahu alayhi wasallam
@@aishaabdullah4172 amiin na wote waliolike
Nakuona CEO wa bongo fasta, nice information,
Tunaomba story ya babu wa loliondo
WAKATI MWINGINE MAFANIKIO NI CHANZO CHA UHASI UYO NAE NI MUASI KWA BABA YAKE
Sema wazungu kitu ambacho hawajui ni kwamba hayo matukio wanayoona ni ya kikatili huku africa yanatokea kila siku alafu fresh tu.
Harmonize wa ulaya
Elon musk je ni myahudi
Elon Musk sio tajiri jamani bali ni mtu mwenye pesa nyingi tu kwa walivyo mtangaza UTAJIRI UNA MAANA PANA TENA PANA SIO HIVI WANAVYO TUTANGAZIA WAZUNGU 🤗🤗🤗
Endelea kukataa hivyohivyo
Hapo fitina za kinamama ndo zinapovuruga uhusiano wa watoto na baba zao.
Wanapopata mafanikio adui zao wakubwa ni Baba zao.
Na kama utafatilia kiundan icho utakachogundua unaweza usiamni
Upo vizuri bro
Huyu ni mpinga Cristo, kama hamjui, huyu alipangwa akazaliwe huko.
Ndio akili yako ya kufikiri imeishia hapo,,, pua pua africa,,, ulaya mtoto anafundishwa sayansi sisi huku mtoto anatengenezwa kua muhubiri na Maji ya upako
@@maulidimohamedi5326 Hapo ndipo wazungu walipotuweza ,,walituletea dini na kuteka Imani zetu, hivyo ukijarbu kuwa mdadisi zaidi ya sayansi utaitwa mpinga kristo,mara utaambiwa unakufuru,,,,Sasa mbona wazungu wanatumia sayansi kugundua madawa,kutibu watu na kuokoa uhai wa wagonjwa Kwa operations ,nk ..je huko Nako ni kupinga kristo?
Uyuuu akili hanaaa
🤣🤣🤣🤣
Tumia akili,
Naomba utufafanuli kati ya Bomu LA nyuklia na Jua. Je?lipi lenye moto mkali Tafadhali sana naomba utujuze asante
Naomba stori ya jeffree star
Hata mm natamani kusikia Kuhusu Huyo mtu
I like
Tutelete za mashujaa wa urrusi toka kale
Xa uyo mama hayo ni makoxa au😂😂😂😂
Utajiri wote upo Africa ndio mana Tajiri huyo amezaliwa Africa wazungu wanaiba Sana. Waafrika tuamke Utajiri upo kwetu.
Kwann na sisi waafrika tusiibe ulaya
Kifupi na weza kwambia my brother sisi kwasisi Atupendani Wa Africa je? Tutahanuka haje nawakata Atuna na umonja 😞😞😞😞😞
@@luundubend8433 Ili kuwe na umoja ni lzm tuushinde ubinafsi
@@heritier5119 Kabisa kaka,,,ubinafsi kupitiliza ni janga kwa sisi waafrika
@@reubenkissinga5802 KILA mtu anataka ale maembe kabla hayajaiva
Bro napenda nijue maisha ya yoshia shilatori
Mpinga kilsto
Naomba historiya ya sudani pia ombi langu la pili uelezee UKAME unaoendelea kuikumba dunia
Wakwanza Kaka shedi sasa twende kazi
Twende kazi
Lakini rekebisha SAUTI YAKO PLEASE
Wanawake wanalisha maneno ya sumu watoto
Elon is fist born
Sas twende kazi
Noamba story ya mr.beast
Mbn nimeona tanganyika
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌