Mambo vipi Kuna voice nyengine ambao Sio YA Justinshedi alafu anajiita Jina Hilo hapo Bongo fasta Sio poa but Justinshedi ako poa Sana big up bro from 🇰🇪💯
Ningekuwepo miaka hiyo I think ningemuombea mpaka angevutika akanioa.Mabikra wanaume ndio dream ya kila mwanamke kwa Sasa.I salute you Isaac Newton 🔥🔥🔥
@@fallykhan2383 pamoja sana mkuu.. brother justine analeta vitu vizur sana. Na kamaa ikitokea amekosea bas ni kwa bahat mbya tu maan na yy ni binaadam ila most video zake huwa hakosei
@@francisjoseph1074 Tako lako kuubwaaa sana francis... 🤣🤣🤣🤣 Tuache tudanganyane.... I give a f*ck to your comment... please get off this page faster...
Ukafir tu mkubwa huo ambao makafir hubomoa maadili ya kiislamu enzi Majahili,maana mvumbuzi mkuu ni Nabii Adamu( as) ambaye aliumbwa mwanzo na funzwa na Allah huo mwenendo sasa leo eti Isaac Newton ndie mvumbuz someni Qur-an mutapata yote hayo
Salute 👍Justin shedi Sasa tuende kaziii
Kazi safi , kaka,..naomba unitaje kwa video itakoyo kaja ,naitwa Nelson from Nairobi kenya 🇰🇪 ..mimi n shabiki wako mkumbwa
Napenda Sana historia zako n ni nzuri Sana🥰lakini tunaomba n za kifilipino jmn
Shukrani sana kaka
Mambo vipi Kuna voice nyengine ambao Sio YA Justinshedi alafu anajiita Jina Hilo hapo Bongo fasta Sio poa but Justinshedi ako poa Sana big up bro from 🇰🇪💯
This person is more than Next level, (More than Tesla ya Elon).. "GOAT"
Achana ma tesla bro yule ni hatali
Nicolas tesla ni genius waliyemu underrate
@@andrewmmbaga1665 unajua watu hajamsoma na khjua n vitu gan mwamba alifanya yule ndio realy father of morden science
Asanteeee Sanaa kaka 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Stori nzuri sana
This man is amaizing
Wonderful story
Good content kaka.. Legend Justin Shedy
Bro Bongo Faster Tunaomba story ya Edward snowden🔥
Mimi naitwa justin shed sasa twende kazi
Sasa twende kazi 🙏
Kuna mahali Umesema" Mwaka 1961 ".. mbona ni juzi Sana bro, sio kwamba Kuna mwaka umechengana nao hapo ...!!?
Umeskia vibaya ni "1687"
Kweli atakua amejichanganya nami nimesikia hapo kwenye mambo ya Shule amesema 1961
me sjaskia mwaka wowote maana hii story imeanza na maesabu na kama mnavojua kuhusu hesabu 🤔🤔
Genius Isaac Newton
Asanteee 🥰tunaomba story ya Lionel Richie
Unamkubali eeh
The GOAT. GOAT. GOAT. The Greatest.
Tuletee story ya Jesse Owen
Kaka naomba story ya leornad davic
mimi pia naitafuta sana hii story ya da vinci sijapata msimuliaji anayeweza kuisimulia vizuri
How to become president.
Kaka naomba story ya "HUSHPUP"
1961?
Upo vizur Sanna
Assnte,vip wawez tuletea story ya Galilei Galileo
Sir Justin shed
Mwanasiasa pia
Huyu ndio mtu mwenye akili kuliko akili
Mashine hii 🔥🔥🔥🔥
Uko vizuri kaka lkn pia weka umakini kwa baadhi ya sehemu unachanganya miaka rudi dk 4:27 linganisha na sehemu zilizofuata
Sure..
Toa episode ya Michael Scofield wa prison break
Mi pia niliomba video hii but sijatajwa 😔😔
naomba kazi ya mchepuko Leonard da vinci
Naomba historia ya kifo cha Anwar Al sadati
🔥🔥✊
watu wanamlinganisha na einstein but newton alikuw ni multi genial talented asee
Mi namkubali einsten zaidi
@@erickmbuya8373hujaulizwa choko ww
Yaani hiyo ni hatar
Vumbuzi za sir lsac newto
Ila we jamaaa mbona muongo ivoo aisee kwenye hiii simulizi mbona unatuchanganyia miaka mara 1600 mara 1900 vep apo
Ningekuwepo miaka hiyo I think ningemuombea mpaka angevutika akanioa.Mabikra wanaume ndio dream ya kila mwanamke kwa Sasa.I salute you Isaac Newton 🔥🔥🔥
Acha basi
Umeona😎😎
Tunapatikana
🤣🤣🤣🙌🙌
😂❤i
@@pastorteddywaziri5754
Tupe ya historia ya Catholic na Islamic
Subutu iyo haiwez kutokea
Kwenye prism ku_separate rangi za mwanga mi nadhani ni prism yenyewe ndio ina hzo rangi na sio mwanga
Story nzur San
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Kaka bado naomba video ya asili ya kanisa la orthordox
Lete story za Anunak mkuu
1961_1664!!!!!???? Mbn unatuchanganya mtangazaji????
Hana kitu, idea zake ni za watu
Choko ww mbwa
Newton sio wa juzi kama unavyo sema Mzee unakwana mzee
kaka.. just understanding concept. hiyo ni error tu. "unakwama wapi ndo nini saasa?" unafeli na ww.
Nadhan kakosea kutaja mwaka ...make kasema miaka ya 1600 na kuendelea ....
@@Secure_Together nakubali kamanda
@@Secure_Together lazima tumuunge mkono. Wengine wanasikiliza ili wakosoe na wengine tunaelimika kupitia hzi video
@@fallykhan2383 pamoja sana mkuu.. brother justine analeta vitu vizur sana. Na kamaa ikitokea amekosea bas ni kwa bahat mbya tu maan na yy ni binaadam ila most video zake huwa hakosei
Cjaelewa hapo 1961 ???? Newton hakuwepo hapo
Nime rudia twice mpk nikaamin maskio yangu ..
MBONA STORY YA LEONARDO DA VINCI KILA SIKU TUNAWAOMBA HAMTUELEWI
Siumtafute na nyinyi wabongo Kwa kupenda kahawa na kusimuliwa ndomana mnadanganyana kila siku sababu ya uvivu wenu
@@francisjoseph1074 Tako lako kuubwaaa sana francis... 🤣🤣🤣🤣
Tuache tudanganyane.... I give a f*ck to your comment... please get off this page faster...
@@magidachimija5599 Leonardo atakusaidia nini?😂😂😂😂
@@francisjoseph1074choko ww
Naomba utuletee historia ya prophet bushuri mpaka kulala na mke wa waziri ,kufiwa na mtoto wake n.k
Huyo ni illuminati
1961 akajiunga na chuo cha trinity...ufadhili 1664...umetuchanganya bro
Human is to an error my friend.
Ila w2 Amuna dogo khaaaaaa.... Hata typing sometimes inaweza kuwa error
I think you umesema vyema maana yote uliyasema ni kweli kabisa
Ha ha ha jamaa anafundisha darasa tupu, hivi ni mimi pekee ndio naomba kuhusu hawa wagner group!?
Ukafir tu mkubwa huo ambao makafir hubomoa maadili ya kiislamu enzi Majahili,maana mvumbuzi mkuu ni Nabii Adamu( as) ambaye aliumbwa mwanzo na funzwa na Allah huo mwenendo sasa leo eti Isaac Newton ndie mvumbuz someni Qur-an mutapata yote hayo
Hahahaaaaaaa,duuu,kweli elimu muhimu🤣🤣🤣🤣
Daah,,bro unakwama xaana mzee,cyo Kila kitu ni dini mzee😄😄😄
Mmh
Unachangany 1961 na 1861
ni error tu bro ila content imejaa... Safi sana bro upo vizur bro Justin Shedy
Broo natak story ya abeid Aman karum
😂😂😂