Ckuiz hautuambii ukweli Kama zamani coz unaficha venye wanajiunga na devil worshipping ndo wanakua na kufanikio zaidi because hakuna kufanikiwa mafanikio makubwa bila kujiunga na Devil worshipping 🔊🔊⚔️⚔️‼️‼️‼️
Pia Bro sorry unaweza toa hadithi ya kundi ya boy band inaitwa BTS pia ni maarufu almost dunia nzima na hata pia wamechukua tuzo ya Grammy mwaka uliopita please..🙏🏿
Ila Luna watu waongo sana dunia hii😟si walisema mmoja wao wa westlife alishafariki ndo wakabakia wanne? Tena walisema huyo ambae alitoka mwanzo ndo alokufa 😏 ambae aliimba "Tonight" kumbe wote wapo hai jamani Astaghfirullah. MWENYEZI mungu awajaalie maisha marefu duniani AMEEN 🙏🤲💕💕
ila Hawa hawana maskendo ya kutisha. Skendo zao ni mambo tu ya kibinadam hauwez kupata slope tu. am proud of them jamn. even wanavyoish na wake zao, kwa mastaa kama Hawa wengine tungekua tumesia mahabar ya kuwasaliti. lkn Hawa wala wametulia
Tell them focus Nyash,they broke and poor they looking for money I don’t blame them,and some stupid people there that are following him or her or whatever he or she is
No one left the band everyone started making his own song them they come for reunion and in 2021 they released another,uliskia wapi?? Hi mombo yakusema nilisikia ni uogi
nilikuwa shabiki mkubwa san wa nyimbo za Westlife mpaka pale 2012 nilipojua kuwa mmoja wao ni shoga nikafuta nyimbo zao zote kwa hasira ndani ya dkk 15 baadae nikazidownload tena zote maana ugonjwa wa kuzimiss ulinitawala ndani ya robo saa😁
Nyie huyo kaka shoga nilikuwaga nampenda hatar😭😭😭😭😭Mungu atuliendie vizazi vyetu amuepushe shetani kwenye maisha yetu😭😭😭😭
Hujanishinda mimi yani we acha2 😭😭
Me pia still nampenda
Hunishindi mimi... Aamiin
Nice story notification ya TH-cam imekuja me ndo nilikuwa nimetoka sikiliza nyimbo yao💖
Soledad one of the my best song in my childhood
mimi zipo kadhaa ukiwemo na huo.Asante kwa kutazama
I really love them back then an n soledad is my favourite song then n until nw❤️😘
wana nyimbo tamu sana westlife.
Sana @bongo fasta
@@najatmohamed8692 1
Soledad nilikuwa nikiicklza cku zote lazima iniachie huzun bila kujua nani nilimpoteza ktk maisha yng
Ckuiz hautuambii ukweli Kama zamani coz unaficha venye wanajiunga na devil worshipping ndo wanakua na kufanikio zaidi because hakuna kufanikiwa mafanikio makubwa bila kujiunga na Devil worshipping 🔊🔊⚔️⚔️‼️‼️‼️
Hii Chanel pamoja ile ya SnS ndy chaneli zinaandika vichwa vya habari vinavyoendana na mauudhui Asanteni Justin shade na Jimmy James
nashukuru sana mimi pia nawapenda SnS
Ama kwa kweli sijajuta kuwafahamu
Bado siamin kama ndo wako hivo
Daah AMA kweli shetani anaishi yaan isingekuwa ivo vikwanzo ingekuwa balaa wangevuna mpunga wa hatari ila bas tyuu
ndio inavyokuaga kwenye makundi mengi lazima shida itatokea.
Very interested story but honestly kwenye kipengele Cha mafanikio yao umeenda pashale..
mafanikio kivipi?
Dah Westlife ni dangerous kuna song yao moja inaitwa my love ile ndo nyimbo bora kwa miaka yote ❤️
ni kweli
There's another group yenye ilivunjika pia ile ya one direction i loved that group i wish to hear their story too
I'm tz nakubali wa kwanza nilikuwa sipitwi westlife
Waona Kenya 🇰🇪 Sauti Sol, Chimano analipaka tope kundi hilo😖
Popote pale haya makundi hapakosi wa kupaka tope
Nakubaliga sana kazi zako
Asante pia wewe kwa kazi mzuri
nawakubali saaana nyimbo zao my love ..you raising me up .nk
Kiukweli nyimbo zao ni tamu
Ila mungu hazipendi
@@yusufuheri6524 Mungu yupi?
@@josephbizzy1813 huyo unaemjua wewe
@@yusufuheri6524😅😅🙌🙌🙌
So exact sir!👌👌👌
Ushoga Kwa wazungu Ni kawaida tuu ,sema wasituletee ushoga wao Africa
ni kweli kabisa.Asante kwa kutazama
Not only American and gay or lesbian it’s all over the world dah
You are the BEST
Ndo nmetoka kuwaskiliza ss hv😂😂😂 af nakuta notification ya justin shed😊😅
hahaha aisee asante sana kwa kupokea notification na kutazama.
Asante naomba utupe story kuhusu one direction na backstreet boys tafadhali
haina shida nitafatilia.
Awa jamaa kama ningekua boss... Ningewaludisha kwa galama yoyote ilee
wanaendelea na kazi mkuu
Nyimbo Kama my love na fool again Huwa nazikubali sana
Achakabisa na ile soledad
jamaa walijua kuimba na mioyo yetu.
Pia Bro sorry unaweza toa hadithi ya kundi ya boy band inaitwa BTS pia ni maarufu almost dunia nzima na hata pia wamechukua tuzo ya Grammy mwaka uliopita please..🙏🏿
Kwl kak
Kaaaaa'kya
@@mtulumajrshaibu9891 nyimbo zao zina vibe sana yaan wanacheza, modeling na visual kwa wakati mmoja wanavipaji aisee
Kweli bro bangtan boys wako vzr sana wanatokea south korea ,ni Jin,suga,j-hope, Rm jimin na v
Awajachua grammy
Duuuu jamani nawapenda. Sana❤❤❤❤
Westlife I love their songs🌹❤️💯
me too. Thank you for watching.
Shetan hakai mbali na sehem yenye maelewano.
Lazima litokee jambo.
Asante nimejua story ya Westlife 👍🏼
Asante kwa kutazama.
We jamaa nakukubali kinoma👌🙌✌
Blessed
Ktk Makundi yote yaliotamba miaka ya 90, au kuibuka, WESTLIFE ndo kundi langu pendwaa, Nalikubali hadi hii leoo 🔥🔥🔥
Napenda sana nyimbo zao❤️❤️
Waooh I have a lot of songs 4 them...
Soledad , its keeping for the lonely since day that u are gone why you live me...
that is very nice song. Thank you for watching
Asante bongo fasta uko vizuuriii
Asante kwa kutazama King.
Niliachaga kuwapenda westlife nilipojua mmoja ni shoga na ndo niliyekuw nampenda
😆😆😆😆😆mashoga wanakibarua Yani Wana mtoto kutoka kwa mwanamke mwingine 😆walioanaje kama kuzalishana hawawezi pumbavu sana
Tupo trending no 20 Justine tisha sanaa
alafu nilikua sijaona asante sana mkuu
Kama kawaida yako Kaka umetixha🔥🔥🔥🙌
asante sana kwa sapoti yako.
Thanks 😊
Justine nomba Pia Story ya Bozyzone and Backstreet Boys
Toa historia ya ub40 wanamuziki
sawa nitafatilia.Asante kwa kutazama
Pamoja Sana kazi nzuri
Asante kwa kutazama
Rudisha beat za mwazo ndo zinanongesha story mkuu
sawa mkuu nitafanya hivyo.Asante kwa kutazama
the best ever
Alafu utuletee na story ya huyo Simon maan namwona tuu American got talent
sawa itakuja hivi karibuni.Asante kwa kutazama
arise and shine tanzania
Ila Luna watu waongo sana dunia hii😟si walisema mmoja wao wa westlife alishafariki ndo wakabakia wanne? Tena walisema huyo ambae alitoka mwanzo ndo alokufa 😏 ambae aliimba "Tonight" kumbe wote wapo hai jamani Astaghfirullah. MWENYEZI mungu awajaalie maisha marefu duniani AMEEN 🙏🤲💕💕
Ndyo mmoja ashakufa,itakuwa kasahau
Good story
Dah hawa wakaka, walikua wanaimba nyie!
Ooh yes
Sasa twende kazi 🙏
Asante kwa kutazama zungu.
Makubwa. Kama na wanaume kwa wanaume wanakua na mtoto usenge.
Wanapandikiza mbegu kwa mtu
🔥🔥🔥🔥
Nimesikia hata sauti solo pia mmoja wao ni mtu mwenye tabia mbaya sana ya ushoga.
Yule mrefu zaidi
Dah! Ilikundi lilikuwa be Hatari
acha kabisa.Asante kwa kutazama
daaaah inauma
MI nkajuaga hawa watu walikufaga
Wapo bana
@@sophiamfikwa7340 ahaa sawaaa
Kaka tuletee story ya backStreetBoys
Backstreet boys pia utupe story yao kaka
sawa mkuu nitafatilia.Asante kwa kutazama
Video ya lami ni mchanga wa aina gani adi barabara za kiafrika zikose lami
sawa nitafatilia mkuu.Asante kwa kutazama
😂😂😂😂😂
Kama Sauti soul vile kuna mmoja ni shoga pale tena amejitangaza kabisa..
Mh hv ni kweli?
@@subiramussa1428 ndio ni kweli anaitwa Chimano wa kundi la saut soul
Mi nkajua hawapo tena na vipi kundi la 98%
Kaka Justin mbona nackia kuna mmoja alikufa hapo🤨🤨!!?
si kweli, alijitoa kwenye kundi ila ni mzima wa afya.
@@BONGOFASTA asanteee nimeelewa..
Yani uyo kaka shoga daaah🥲🥲🥲
🔥🔥🔥
Asante kwa kutazama Said.
Mzebaba Naomba Uelezee na Kundi la One Direction
aisee asante sana kwa kutazama.
Fore again
Nice
Asante kwa kutazama.
Uyo aliejitangaza ni shoga anaimba sana
na alikuwa anawavutia wengi sana,ila ndio hivyo tena.
Si ndo yule kwenye fool again aliua sana kwa back vocal?
@@raydiesel424 yeah ndio
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
asante sana kwa sapoti yako.
✌️
Asante kwa kutazama
Duuh
wild dreams
Sasa twende kazi
Asante kwa kutazama mkuu.
Poa sana
Histolia ya simon kaka
simon cowell?
Lovely story
Thank you for watching Rehema.
Tuko pamoja
Asante kwa kutazama
ila Hawa hawana maskendo ya kutisha. Skendo zao ni mambo tu ya kibinadam hauwez kupata slope tu. am proud of them jamn. even wanavyoish na wake zao, kwa mastaa kama Hawa wengine tungekua tumesia mahabar ya kuwasaliti. lkn Hawa wala wametulia
Hauwezi kusikia kwakuwa miongoni mwao yupo shoga
@@sir_ENOCKMACHA Hamna shoga humo, kasha badili mwenendo tangu kadhaa, Mark fehily
Every day niiko naw
Asante kwa kutazama.
😂😂
98 mi cndo nazaliwa duuh🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣
Kwahyo tukusaidieje
Au sio
Sasa Twende kazii
kazi inaendeleaa.Asante kwa kutazama
Brian alikufa
Damn people unapenda kusikia mtu akifariki?
Utupe na Story Ya Kundi La One Direction
sawa nitaileta hivi karibuni.Asante kwa kutazama
Shame on you mnaharibu jina ya Westlife Pata adabu wewe
Kwan kuna uongo wap..material vzr kaka
Tell them focus Nyash,they broke and poor they looking for money I don’t blame them,and some stupid people there that are following him or her or whatever he or she is
Kaka bado naombaa video ya asili ya kanisa la orthordox
nitafatilia mkuu wala usipate tabu.
Bro unaweza pia kutoa story ya kundi la yamotoband
nitafatilia nione kama taarifa zao ziko wazi
Niliskia mmoja wao alifariki??
si kweli wote wazima,mmoja alijitoa tu.
No one left the band everyone started making his own song them they come for reunion and in 2021 they released another,uliskia wapi?? Hi mombo yakusema nilisikia ni uogi
nilikuwa shabiki mkubwa san wa nyimbo za Westlife mpaka pale 2012 nilipojua kuwa mmoja wao ni shoga nikafuta nyimbo zao zote kwa hasira ndani ya dkk 15 baadae nikazidownload tena zote maana ugonjwa wa kuzimiss ulinitawala ndani ya robo saa😁
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂
Yaani upo sahihi we jamaa kabisaaaa
Asante kwa kutazama Iman.
@@BONGOFASTA thanks for your reply
Ni BRYAN MCFADDEN SIO MARK FADDEN..unatupoteza
McFadden inasomekaje?
Usikurupuke kukosoa brother 🤣🤣🤣
@@BONGOFASTA uko sawa bro👊
I had a book full of their songs and pictures
Too much negative energy, it really sucks 👎👎.
Awapi mm sjawaigi hata kuwasikiliza kwanza
Bac we ukodunia ya peke yako
ulikuwa unasikiliza kundi gani?
@@aminata3702 😂😂😂