A man who challenged newton's idea about gravity and come with theory of relativity , gravity as effect of bending of space-time 😊😊😊 NB Gavity is not a force 😂 Genius enstain 🙌🙌🙌
Ukitaka kujua simple tu angalia kwny movies au nyimbo unakuta kuna sauti zinatoka ambazo sio za kawaida. Mfano mdogo sikiliza clouds fm. Kuna sauti ya mwanaume hua inazungumza kwny matangazo mengi tu
Nguvu ni sawasawa na uzito pia na mwendo tena kila kitu marabili yake ,,,,, ilikiwa fomula ya umeme baadae wamarekan wakaitumia kutengeneza bomu ili kuipiga japan,,
Tatizo lenu mnaiba mb zetu bila sababu yamsingi ebu imalisheni uduma zenu mnaonge mengi yanje yamada ebu kueni km milad ayo ukifungua moja kwa moja unakwenda ktk abali kamili sio nyinyi mnaanza na maneno mengi ili muibe mb uo niufinyu wafikla
E=mc² E=hf QUANTUM PHYSICS f=R[1/n² -1/n2²] E=½mv² h=plancks constant E= energy c= velocity of light in air(vacuum) n=quantum number V=velocity of subatomic particle i.e electron,photons,neutron,etc R=Rydeberg constant m=mass of subatomic parilce i.e electron
usifanye story ikawa kama movie la kihindi maana hapo hapo inapo anzia inazunguka inarudi pale pale...? hatukuelewi broo you have a good voice but your story is bad. na unsubscribe
E=MC2
E=Enegy
M=Mass of an atom
C=Velocity of an atom
💪💪 Albert Einsten
Qq
Umekosea kidogo C-speed of light
genious of mathematics and physics 🥶🥶
A man who challenged newton's idea about gravity and come with theory of relativity , gravity as effect of bending of space-time 😊😊😊 NB Gavity is not a force 😂 Genius enstain 🙌🙌🙌
@neno Elimu tv 😂😂
Good
@neno Elimu tv wazungu waajabu sana hata mkwawa alifanyiwa hivyo
@neno Elimu tv Tujiulize pia, why alikataa mwili wake kuzikwa?
Good
Heehh Aisee Broh wewe ni Mkali wa kusimulia unatisha flow Kali kiswahili kimenyooka safi Sana lete mastory mzeee
BONGO FASTA NI SHULE....KAZI SWAFY NAIROBI SOUTH C WATCHING.....!
Pamoja sana swahili boy.
E=MC
E= Energy
M=mass
C=velocity of light
E = MC square
vicent shonyela mambo yako haya
Sio velocity of light, ni speed of light, velocity na speed unaeza dhani yanafanana ila yanatumika mazingira tofaut
It differentiat in si unit
Ongeza square
This guy is the best 😀😀😀
Alaf brooh una sauti nzuri sana kuna mda stori inaweza kuwa sio nzuri ila sauti yako inafanya lazma usikilize mungu akupe nguvu
Amen bro,asante kwa maoni yako,tutajitahidi kuleta stori nzuri zaidi.
Hyo n mgiriki
Hizo sauti zinachujwa. Edited
@@thabitkarim7597 kumbe zina Editiwa
Ukitaka kujua simple tu angalia kwny movies au nyimbo unakuta kuna sauti zinatoka ambazo sio za kawaida. Mfano mdogo sikiliza clouds fm. Kuna sauti ya mwanaume hua inazungumza kwny matangazo mengi tu
Napenda jins unavyosimulia story yan auko serious sana kuna kiutan flan unakiweka, ongela broo! Unaweza sana🙏
Wache ww
Aksante kaka kwa hadithi hii
Africa is watching especially luos of east Africa
Big up sana simulizi nzur mno
I appreciate
Nakukubalii sanaa aiseee
Gonga kwa ajili bngo fasta
Nice sana
Safi
Stay away from negative people they have problem for every solution
That true
Supporting together
Nice dear
Blessed
simulizi nzuri na yakuelimisha, go bongo_fasta
Amoni
Asante kwa stori nzuri
Asante endelea kutazama.
Good😍😍
Wooh
Asante kwa kutujuza mambo tusiyo yajuwa👏👏👍
Asante kwa kutazama,endelea kufuatilia video zetu.
Weka na ya Newton
Nitafanya hivyo hivi karibuni.asante kwa kutazama.
nice voice
Kitu inayoniumiza akili ni hii ya kusafiri kwa speed ya mwanga. Na imebaki kama siri kubwa kwa wazungu wachache.
it's good
Kali iy9
😃😃😃😃😃😃😃😃
Nakubali bro
Upo powaaaa
Uko vizuri bro kwa story
Asante ndugu yangu,endelea kutazama Bongo Fasta
Noma sana
I congrats uh Brooo u made aisee I do call him father of physics rather than Newton
Justin shed Noma
Nmeinjoyyyy
maybe u talk about charlie chaplin
Watu wengi wa physics huwa wakorofi darasani
Sumay funga 😀😀😀😀
Usiwapotoshe watu wanaweza wakajitokeza watu kua ukorofi ndio msingi wa kujua physics
@@salehally8007 😂😂😂
Sio kweli
Energy=mass×speed of light square
E=energy
M=mass
C=speed square
Yoshima na nagasak wanaijua hyo
Nguvu ni sawasawa na uzito pia na mwendo tena kila kitu marabili yake ,,,,, ilikiwa fomula ya umeme baadae wamarekan wakaitumia kutengeneza bomu ili kuipiga japan,,
Poa nmekupata
E=mc².>>> Nishati(E) ni sawasawa na zao la Tungamo(m) na kipeo cha pili cha kasi ya mwanga wa jua(c²)
Sauti haijakaa sawa
mhuuuú kuhusu wanawake hapo sijakuelewa sisi wanafidhikia hatukubali hilo inasemekana jamaaa hakuowa Wala kuwa na mke
Tatizo lenu mnaiba mb zetu bila sababu yamsingi ebu imalisheni uduma zenu mnaonge mengi yanje yamada ebu kueni km milad ayo ukifungua moja kwa moja unakwenda ktk abali kamili sio nyinyi mnaanza na maneno mengi ili muibe mb uo niufinyu wafikla
Safi2020
Yanigufikia hapa nimedaganywasana nawatukamanyee kwani niamini nani mbonakunamakarazinasema hakuwahi kuowa mwanamke jamani jamaniiii kamaniivi naona bora murete sitoriza simba na yanga
Tuletee habar ya jaden smith kumbwia unga nackia pia shiga
E = mc2 for real
Xauti yako pia inachangia xana xx kukuxikiliza daaah xafi xana
Una mbwembwe
uwezi
Jamaa alikua anachepuka
Albert. Don't examine my body after death.
Harvey:- steel the Brain and then run away
Albert:- am I a joke to you?
Lete habari za nikola tesla
🤔😇🧐
Angekuepo angetusaidia kuipinga korona
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
Wababe wa physics!!! Watu wa physics mpo???
Tupe na historia ya newtom
Elezea kuhusu mesopotamia
Gonga like kwajili yangu
Jean Lameck 😄😄
Most of genius people has a record of being naughty while in teenage
Ow really?
@@renathamartin6272 yes
uyu jamaa ni bamkubwa wangu
e=mc" = time travel/
E=MC²
E=mc²
E=hf
QUANTUM PHYSICS
f=R[1/n² -1/n2²]
E=½mv²
h=plancks constant
E= energy
c= velocity of light in air(vacuum)
n=quantum number
V=velocity of subatomic particle i.e electron,photons,neutron,etc
R=Rydeberg constant
m=mass of subatomic parilce i.e electron
These are pipo who brought these roamimg sprits in the world
Endelea kutup utamu
E=MC^2 aisee mambo ya plank equation haya
mtu anayejua hesabu anauwezo wa kusoma somo lolote lile na kulimudu.
E=MC^2
Einstein=MATHS GOD
HE AVOIDED THE G INSTEAD USED C!!!!
usifanye story ikawa kama movie la kihindi maana hapo hapo inapo anzia inazunguka inarudi pale pale...? hatukuelewi broo you have a good voice but your story is bad.
na unsubscribe
Asante kwa maoni yako,tutayafanyia kazi.
😂 😂 😂 😂 Janjaaa Mbona Mm namuelewa vizur tu
upo vizuri sana usiwasikilize wajinga wabongo hawa wanaokukatisha tamaaa
Unaeleweka vzur
Huyu jmaaa atkfaa harka sna maan anawivu na roho mbyaa.... Kma hjaelw mbna me au sis tmeelwaa au ubongo wko n kondooo
Gonga kwa ajili bngo fasta