Simple and delicious 😋 I was spending 3k a month eating out for a family of 6 every day but now I cook your recipes exclusively and my bank account is growing. Thx!
Tatizo linatokea wakati naangalia video zako Huwa niko na Njaa. Nafanya kazi kuwait na inabidi nijipikie vyakula vya nyumbani ili nifurahi. 😂 asante sana kwa video zako simple na nzuri. Pia zinanizidisha njaa nikiziangalia😂😂
How long did you boil the chicken and potatoes? Do you use cold water and wait until the water boils and then remove it from the heat? Watching from Sydney :-)
USIKOSE KUTAZAMA VIDEO YA KUTENGEZA BIRIANI SPICES/ PILAU SPICES 👇th-cam.com/video/6uCRoYlI_mM/w-d-xo.html
Mbona sijaona ukiweka viazi 😳
@@jescamashina9792 Iliruka hiyo part but nikutumbukiza tu.
Asante sana kwa hii Recipe. Nitajaribu kutengeneza hivi karibuni.❤❤❤💯
Finally a simple chicken pilau that I can try. Kudos
Simple and delicious 😋 I was spending 3k a month eating out for a family of 6 every day but now I cook your recipes exclusively and my bank account is growing. Thx!
I'm so happy that you can cook your own Pilau recipe 👍
Nataka unadikie hivyo vitu plz maa
Shukran dadaah Mungu akuzidishie, hongera imenisaidia sana
This lady knows how to cook👌
Thank you so very much
Asante sana I followed your instructions leo Eid nimetoa kitu amaizing sana
Tayari nimepima iko vizuri sana , asante ma mdogo
Mapishi mazuri mum ,keep it up
Thank you hun
Mbona sijaona ukitia viazi......but I love that whole process 🥰
Kazi Zurich, from today am your subscriber to learn more recipes
Mashaaallh sister mungu akubarik
Tamu kweli....Thanks for very clear instructions. Will try right away......Asante!
Karibu sana
Manshaallah nimejaribu n kiwa Dubai kwa kweli n tamu Asante
Congratulations...... Shukran sana.
Ramadan karim keep up enjoy your recipe
Asante sana kwa recipe hii, nitajaribu hivi karibuni inshallah
Totally loved making this ❤️❤️❤️taaaamu. And it has carrots which watoto huringa kukula.
Thanks so much for your support dear.
Mashallah hii pilau tamu sanna Allah akubarik
Shukran sana...Ameen
Very simple recipe stay blessed hun
Mashaallah wajua kupika
Nimejaribu you recipe leo. Very simple to follow. Shukran.
Karibu sana
Waaw nice pilau
Hapa sawa nitapika leo
Wow yummy
Im sooo hungry❤❤❤great job.
Thank you
Asante sana jana nime pika iyo pilau bosi n'a wote wame kula wamefurahi
😋😋😋😋😋😋😋❤️❤️❤️❤️❤️❤️ yummy, time to eat !
Thank you from USA can't wait to cook this!
Thank you so much for your support
Mashallah nimepika hivyo Leo tamu Sana Tena Asante kwa kutufunza kupika
Karibu sana my dear❤
I'm a new subscriber from Kenya unajua kupika mashalllah
Shukran sana sister 🥰
😂😂❤❤❤❤asante nimejalibu nzuli sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
so sweet hunny nmejarbu kupikia Mwarabu
I'm glad to hear from you hun
Masha Allah, dadaa
MashaAllah 😋 naulizia unapika bila nyanya(ya mkebe na ya kawaida) na bila royco
Thanks for sharing ❤. I want to know how many kgs of chicken in 1 kg rice. Thanks
Most welcome. Just 1kg
Mashaallwah❤
Mashaallah ❤
I never had any interest in cooking hence I suffer now that I live alone , your videos are very helpful
I'm excited to hear that 😘
Asante sana now cooking mine
Delicious 😘😘
Thank you so much for the recipe, tried it today turned out amazingly delicious 😋
I'm so glad to hear that, and most welcome
Mashaallah very yummy
Shukran habibty
Ve known the secret
Kuku imekuaje mummy,si dry?
What is binzari in English? The English captions aren't showing.
Awee thank u so much ma’am kesho lazm nijaribu
Most welcome dear
Tatizo linatokea wakati naangalia video zako Huwa niko na Njaa. Nafanya kazi kuwait na inabidi nijipikie vyakula vya nyumbani ili nifurahi. 😂 asante sana kwa video zako simple na nzuri. Pia zinanizidisha njaa nikiziangalia😂😂
mweeh ad mateee😋😋😋😋
upo vzur sister
Good
Perfect..napika na wewe..asante
Karibu sana dadaangu
masha Allah tabarak Allah sister
Shukran😘
Kwani huongezii tomatoes?
Yummy
Mashallah 😋
nice one i think you should lets
words appear on the screen for the deaf people
Yes, I did already for my new videos. Thank you for your support.
Wow , delicious
Talented lady.. keep it up dear
Thank you dear
Asante my vilahisi kbsa🇧🇮
How long did you boil the chicken and potatoes? Do you use cold water and wait until the water boils and then remove it from the heat? Watching from Sydney :-)
Nice food
Looks delicious 😋 which spices does the biriyani spice include ?
I pinned the video
Bibi chumvi unaweka nyingi sana,hata pishi la biriani nimekuona una mkono wa chumvi😍
Nikweli lakini sijampa mtu kipimo cha chumvi, nasema weka chumvi kiasi chako. Na kwangu na familia hiyo chumvi sio nyingi kulingana na pishi 🤣🤣🤣
Nimecheka htr🤣🤣🤣
I like it they cooking
Thank you
Very nice
Umetisha nimetoa kituma hichohicho
Shukran sana
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 poa pamoja sana
Your foods are just wow!!!!!!!!!!!
Thank you so much
Nice
Nmejaribu Wacha nione matokeo
Umejitahidi dada upo good
Asante sana
Very nice recipe thanks for sharing 👌👌👌👌👌👍⭐️🙏🇬🇧
Nionyeshe kutengeneza dawa mammy
Iko hapo kwa comments ya kwanza
Hii tabia ya kusema "so" badala ya "basi" imeanza lini?
🤣🤣🤣
Hiyo birian masala kwa kiingereza yaitwaje
U have done it ,it was so awesome I've like that😀😀😀🙌👏👏👏👏✌👌👊
Thank you
Maasha Allah
Yam yam 😋😋
Kumbe pilau sio lazima tomato Asante dadaa nime furahi sana
Masha Allah
shukran sister
Wait,you from Tanzania?I love your vlog girl
I'm half Tanzanian😊Thank you for watching hun
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 I'm giving you just a month, you'll grow your channel mpaka ushangae,you have what it takes... blessings my sister
@@shalinewanjiru8824 Ameen...Thank you girl 😘
Mashaallh
Shukran
Yamm
Thank you so much I get employed and am cooking from one hospital in Eldoret🥰🥰🙏🙏🙏
Such a yummy pilau...my favorite dish
Thanks you for stop by @Terry Ralish
Siri ya kuwa mpishi bora ni nini?
@@joskyshams4758 kua ukijaribu kupika kila wakati
Very nice, how much for a plate?
Thank you 😊
Tamu sana jamani
Shukran sana dear
Kwa nini si pilau masala...ukaweka biriani masala?na wakati tunapika pilau
Ni moja tu dear, hapo kwa comments ya kwanza angalia recipe uwone. Sema kwa Biryani utaongeza zaidi ukipenda.
Hivi faid za kuloweka Mchelee ni nin me naogopa nisije toa boko
Cooking this tonight
And you will enjoy 😋
I did enjoy. Thanks for the recipe
Wooo sounds good...most welcome Connie Babra
Mmenisaidia sana
Biriani masala kwa kizungu ni nn
Vip unatengeneza biriani masala
Yes iko video yake dear
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 shukrani
Sijakuelewa grated carrots zilikua za Nini haki duh!
Ni nzuri Sana natamani nijue zaidi
Asante sana
Nilikua na wageni nikatumia hii recipe ilitokea vizuri sana
Hongera sana dear
Tamuu
Delicious😛
Thank you
nini hiyo aliongezea moja na nusu maanke sauti yko iko chini
Maa Shaa Allah
Swahili Pilau Part 2 th-cam.com/video/Kh4BUcKcrdE/w-d-xo.html
Hiyo ni mchele gani
Kama kuku wako umemchemsha inakuwaje Dada yangi
@@catherinekwagilwa9051 Kwani mm nilimfanyaje huyo kuku? Don't like to skip the video plz.
@@lucynjeri2829 Basmati
Nimekuja hapa after kuharibu😂
🤣🤣🤣pole sana