JINSI YA KUPIKA PILAU TAMU LA NYAMA YA NG'OMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 581

  • @JanethDanielaah-g2v
    @JanethDanielaah-g2v 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ahsante naitwa madam j nimejifunza

  • @MayJesus-hq7mt
    @MayJesus-hq7mt 9 หลายเดือนก่อน +10

    Naitwa may jaushen toka kijichi. Ongela sana dada kwa pishi pirau mzuri

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 3 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah Masha Allah... pilau pambee sanaaaaa ❤❤ from Oman 🇴🇲

  • @MaryamAdam-w6r
    @MaryamAdam-w6r 11 หลายเดือนก่อน +4

    ❤ nimepend pish lako lizur saan

  • @abubakalimavumbi5846
    @abubakalimavumbi5846 หลายเดือนก่อน +16

    Naitwa åßúúßåkålí Natazama nikitoka mbagala kuu Dar Les Salaam hakika baadhi yetu sisi wanaume tunapika kutumia video zenu Asante sana❤❤❤❤

    • @mapishifoodlife
      @mapishifoodlife  28 วันที่ผ่านมา +2

      wow karibu sana

    • @SumaiKatemi
      @SumaiKatemi 6 วันที่ผ่านมา

      Sumai kutoka mpanda katav

  • @EutropiasimonLeonard
    @EutropiasimonLeonard 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asantee dada kwa pishii lakoo nimeipendaa nipoo dodomaa naitwa glory

  • @SamarithaMesco
    @SamarithaMesco 9 หลายเดือนก่อน +2

    Woow nmejifunza mommy ❤

  • @Naomienaomi1
    @Naomienaomi1 10 วันที่ผ่านมา +1

    Natazama mapishi kutoka Eldoret - Kenya, hongera Sana dada.

  • @marthawanjiru6675
    @marthawanjiru6675 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Natazama nikiwa qater but nyumbani ni kenya❤❤❤❤🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @magrethchristopher8957
    @magrethchristopher8957 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ hongera dada kwa pisha lako

  • @VanessaAron-cb7lr
    @VanessaAron-cb7lr 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nitampikia John wangu🥰

  • @AnnaChristopher-z4q
    @AnnaChristopher-z4q 4 วันที่ผ่านมา

    Natizama nikiwa arusha hongera sana kwa pishi zuri❤❤

  • @FurahaTangaz
    @FurahaTangaz 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimependa Sana mapishi mazuri naitwa FURAHA nipo Dodoma

  • @SaimonAloyce
    @SaimonAloyce 19 วันที่ผ่านมา +1

    Ety nimegeuza pilau nyuma ya camera😂😂 anyway mashallah my Asante kwa kutufunsisha mapishi

  • @RehemaShemkunde
    @RehemaShemkunde หลายเดือนก่อน +1

    Hongera san dada angu nimelipenda pishi lako san grace kutoka lushoto🎉🎉🎉

  • @DjmwendaDj
    @DjmwendaDj 2 วันที่ผ่านมา

    Dj mwenda from Kagera kyerwa

  • @HappynessRobson
    @HappynessRobson 22 วันที่ผ่านมา +1

    Happyness kutoka Tabata Asante kwa darasa Dr

  • @SaymonMathias
    @SaymonMathias 23 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana mwalim nmeelewa vzr by lehema from katoro geita

  • @oscaranthony447
    @oscaranthony447 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🥰🥰🥰 kitu konki naitwa sakina kutokea dar

  • @oniquekirembe9321
    @oniquekirembe9321 7 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kwa pishi hili
    Tokeya Congo 🇨🇩

  • @Brightonychristopher
    @Brightonychristopher 4 วันที่ผ่านมา

    Hongera sanaa dad kwa kuendelea kutufundisha

  • @davidmacharia5947
    @davidmacharia5947 6 วันที่ผ่านมา

    Waaaoooh ni imenipendeza from kenya

  • @Jennifer-o7h
    @Jennifer-o7h 17 วันที่ผ่านมา

    Thanks alot I have a recipe for today

  • @HappynesspastoryMarco
    @HappynesspastoryMarco 3 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa pishi xur nimerielew naitwa hapi kutoka mwnza

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa shimm Niko Kenya nimepend hicho chakul pia mm Leo nimepika hvy hvy🎉🎉🎉

  • @ChrissEsau
    @ChrissEsau 7 วันที่ผ่านมา

    Hongera kwa pishi zuri nipo mbeya

  • @MarthaMathias-l3l
    @MarthaMathias-l3l 25 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana nimejifunza, nipo geita

  • @RosaMitamba-m1d
    @RosaMitamba-m1d 5 วันที่ผ่านมา

    Do you have this? I am at America Louisville Kentucky fourth Street.

  • @ImeldaMkwela
    @ImeldaMkwela วันที่ผ่านมา

    Asante sana mwanangu from mbeya

  • @BETTYCHEPENGAT
    @BETTYCHEPENGAT 20 วันที่ผ่านมา

    Kazuri hako dear 😋hongera kabisa

  • @Mary-z2t3d
    @Mary-z2t3d หลายเดือนก่อน

    Naipenda. Sana. Mary from Embu Kenya.

  • @ZJohali
    @ZJohali 9 วันที่ผ่านมา

    ❤❤ naitwa zay kutoka .newala nimeipenda sana

  • @EliadaMzungu
    @EliadaMzungu 9 วันที่ผ่านมา

    naitwa eliada mzungu kutoka mwanza napenda sna kutazama pishi lako dada asante sna nimejifunza

  • @fridambele-t4i
    @fridambele-t4i 10 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana uko vizuri❤

  • @FloridaTesha
    @FloridaTesha 4 หลายเดือนก่อน +1

    Woww sister nimependa pish lako ni tamu sana❤❤

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 14 วันที่ผ่านมา

    Nipo Moshi ahsante ❤️🥀🥀🤲

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 22 วันที่ผ่านมา +1

    I'm going to try it 😊

  • @MarryMkagila
    @MarryMkagila 3 วันที่ผ่านมา

    Naitwa Marry kutoka makambako ,Ila nime enjoy unapika vzr❤

  • @LaahradhiaAnuary
    @LaahradhiaAnuary วันที่ผ่านมา

    Waao hongera my

  • @SalmaMbepela
    @SalmaMbepela 26 วันที่ผ่านมา +1

    ahsante kwa ma funzo najifunza kutoka mkoan ruvuma mbinga

  • @JoyceMsambili
    @JoyceMsambili 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake tu jifuze mapishi tupikie family zetu jaman mi napenda sana kupika❤❤❤

    • @mapishifoodlife
      @mapishifoodlife  3 หลายเดือนก่อน

      karibu sana kipenzi endelea kutufatilia utajifunza mengi

  • @FloresBly
    @FloresBly 3 วันที่ผ่านมา

    Florence niko mombasa 😮😊

  • @ZaituniRajabu-g7z
    @ZaituniRajabu-g7z 18 วันที่ผ่านมา

    Ahsante sn kwa pishi lk zuri sn manshaallah

  • @helmanromward6294
    @helmanromward6294 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada nimejufuza nilikuwa sijui kupika play ,Niko Kagera tanzania

  • @ayshatiger8182
    @ayshatiger8182 14 วันที่ผ่านมา

    Sach honger can dad asant❤

  • @fammamaboko6543
    @fammamaboko6543 หลายเดือนก่อน +1

    Asante nimejifunza kutoka nchini Cameroun

  • @NeemaMkusa
    @NeemaMkusa 3 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa Sana Kwa pishi zuri la pilao tamu

  • @SimoniMathias
    @SimoniMathias หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa pishi lako natazama kutika mwanza.

  • @ChenChen-i8c
    @ChenChen-i8c 14 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa hiyo rangi naipenda sana

  • @missjoo-jv5ik
    @missjoo-jv5ik 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mpnz pishi lako ni tamu sna kwa macho,Naitwa Luge natazama nikiwa chamazi mbagala

  • @FaridaChengura
    @FaridaChengura หลายเดือนก่อน

    Naitwa Farida nipo Tunduma hongera sana kwa mapishi mazuri

  • @ElizabethIlalio
    @ElizabethIlalio 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Asante tajaribu kuipika❤❤

  • @Breaking2025
    @Breaking2025 10 วันที่ผ่านมา

    Mombasa nimeshukuru ❤

  • @HelgaBalele
    @HelgaBalele 7 วันที่ผ่านมา

    Mim naitwa helga wa binju dar hongera kwa piraru tamu

  • @YahyaIddy-k1f
    @YahyaIddy-k1f 27 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeapenda sana kutoka Kenya Nairobi

  • @AnastasiaLucas-w3l
    @AnastasiaLucas-w3l 24 วันที่ผ่านมา +1

    Naitwa Anna kutoka mwanza kweli nimejifunza ki2 hapo namna ya kuandaaa vizur play le2 Asante sna

  • @ZuwenarashidiLukanga
    @ZuwenarashidiLukanga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo omani nimependa mapishi yako kwani unanifanya nionekane mfanyakazi bora😂😂😂❤❤

  • @SiahMsenga
    @SiahMsenga หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa sia toka pwani hongera nitamu sana tunashukuru sana dada

  • @agnespaskali732
    @agnespaskali732 26 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana nimejifunza

  • @jasminngoya110
    @jasminngoya110 3 วันที่ผ่านมา

    ❤nimeongeza ujuzi huwa napika hivyo ila vitunguu wakati mwingine vinakuwa vichungu inafanya nisijiamini au huwa naacha sana? Ahsante kwa kujua nawezaweka giligiliani na pia viazi nawezachemsha mimi huwa nakaanga na vitungui

  • @AgnessNurudin
    @AgnessNurudin 16 วันที่ผ่านมา

    Naitwa agness kutoka kahama asante kwadarasa

  • @AshuraMpambuka
    @AshuraMpambuka หลายเดือนก่อน +1

    Ashura Toka njombe mjini asante Dada angu

  • @MariaKidamaa-l6d
    @MariaKidamaa-l6d 22 วันที่ผ่านมา +1

    Maria kutoka Nzanzibar nahsante nimependa mapishi yenu

  • @FadhilaIdrisa-i5i
    @FadhilaIdrisa-i5i 5 วันที่ผ่านมา

    Nimelipenda hilo pishi naitwa fadhila niko mwanza

  • @shufaakirua7217
    @shufaakirua7217 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa shufaa kutoka korogwe Tanga nimependa pishi hilo Ahsante

  • @EliaZaburoni-o7w
    @EliaZaburoni-o7w 22 วันที่ผ่านมา +1

    Naitwa Elia nashukur xan nimejifunz meng

  • @bahatikalomba8829
    @bahatikalomba8829 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee mm nipo iringa

  • @ValaryKageha-iv1gi
    @ValaryKageha-iv1gi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio najifunza nimependa❤

  • @onesmotemba3004
    @onesmotemba3004 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa pishi lako tamu❤❤

  • @JosephineMbauzi
    @JosephineMbauzi หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa ma pish I yak thank you madam🙏🙏

    • @mapishifoodlife
      @mapishifoodlife  28 วันที่ผ่านมา

      karibu sana

    • @CharlesAmin-r9e
      @CharlesAmin-r9e 10 วันที่ผ่านมา

      @@mapishifoodlife am from kisumu Kenya

  • @jairojullio5294
    @jairojullio5294 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nipo mbeya huwa napenda sanaa

  • @fortunatabernard6922
    @fortunatabernard6922 26 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kwa pishi zuri, nataka nijue hip coriander(giligilani) zinapatikana wapi?❤
    Nipo Mbeya🇹🇿

  • @annajoseph-b6u
    @annajoseph-b6u หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa sana

  • @ElizaMlawa-m4m
    @ElizaMlawa-m4m 13 วันที่ผ่านมา

    Mm nimpenda pichi kutoka songwe

  • @JackMartin-002
    @JackMartin-002 12 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda sana kutoka sumbawanga

  • @SarahGeorge-f6g
    @SarahGeorge-f6g 6 วันที่ผ่านมา

    Naitwa rose kutoka shinyanga hongera sn dada Kwa pishi la pilau nimelipenda sn nitajalbu na mm kupika

  • @PeacefulParaglider-tk3pq
    @PeacefulParaglider-tk3pq 10 หลายเดือนก่อน

    Woohoo very nice food
    I'm in Kenya my name is Beatty ❤

  • @HappyChengula-y8c
    @HappyChengula-y8c 26 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Dada ❤️❤️❤️❤️ 3:07

  • @ShomaryUlaya
    @ShomaryUlaya 4 วันที่ผ่านมา

    Naitwa rukaiya nimependa sana ilo pishi la pilau inaenakana nitamu

  • @MagrethRichard-zm1rr
    @MagrethRichard-zm1rr หลายเดือนก่อน

    Hongera sana nipo mwanza kirumba

  • @HellenWandogho-u1z
    @HellenWandogho-u1z 9 วันที่ผ่านมา

    Napenda pishi hili ni Mimi helen

  • @puritynekesa-c9e
    @puritynekesa-c9e 7 วันที่ผ่านมา

    Nimependa sana natokea Mombasa kenya

  • @MarycasterKalaiter
    @MarycasterKalaiter 7 วันที่ผ่านมา

    Naitwa Mary kutoka makueni county ongera sana
    Nimenjua njisi ya kupika pilau tamu

  • @FlomenaMpagama-d6o
    @FlomenaMpagama-d6o หลายเดือนก่อน

    Naitwa fromena kutoka dodoma Asante kwamapishi

  • @HappyMaulus-f4x
    @HappyMaulus-f4x 7 วันที่ผ่านมา

    Naitwa happy niko dar nimependa pishi lako

  • @ENEAKAFWENDA
    @ENEAKAFWENDA หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa sana kwwahayo mapishi mim enea kafwenda

  • @FatumaMango
    @FatumaMango 29 วันที่ผ่านมา

    Natwa fatuma songea mjini asanteee kwa mapish mazuri

  • @velonikajotta3319
    @velonikajotta3319 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa hiyooo safi dada angu mm

  • @HappynesMarco
    @HappynesMarco 10 วันที่ผ่านมา

    Nipo mwanza nimependa sana pishi lako

  • @SaidaTulinge-hr2su
    @SaidaTulinge-hr2su 8 หลายเดือนก่อน +3

    Masha allah limenoga jmn

  • @shuwenaomar5681
    @shuwenaomar5681 29 วันที่ผ่านมา

    Shuwena from zanzibar
    Nimependa mapishi

  • @Sarahsilvestar
    @Sarahsilvestar หลายเดือนก่อน

    Vizuri sana naendelea kijifunza

  • @KissaMwakilembe
    @KissaMwakilembe หลายเดือนก่อน +1

    Nipo mpemba tunduma nimeipenda sana

  • @valentinenyabonyi7794
    @valentinenyabonyi7794 8 วันที่ผ่านมา

    Asante ❤❤❤❤❤

  • @RomanaBombo
    @RomanaBombo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera dada nimetokea Zanzibar

  • @TomasinaCornelioPauca
    @TomasinaCornelioPauca 29 วันที่ผ่านมา

    Nimependa sana mapishi lako, Mimi niko sumbiji ( Mueda) nataka sana nijifundishe kuipika pilau ya kila ntindo.

  • @FatinaAyady
    @FatinaAyady 8 หลายเดือนก่อน +1

    Natazama pishi hili nikiwa bagamoyo daresalaamu majina fatna bakari mnapika vzuri hakika nimejifunza Sana asanteni mungu awabariki

  • @jemimahmunyoki4603
    @jemimahmunyoki4603 28 วันที่ผ่านมา

    naenda kujaribu leo asante

  • @LightnessMnyanga-uj4yx
    @LightnessMnyanga-uj4yx หลายเดือนก่อน +1

    Nipo kimara baruti, nimependa sana hilo pishi

  • @Hellen-v7f
    @Hellen-v7f 12 วันที่ผ่านมา

    Hellen kutoka kenya nimeipenda sana