mashallh nimejifunza zaid thks tajiris kitchen
❤❤❤❤mashaallah biriani
mashallh unweza kupika ❤
Maashaallah
Yummy
Napenda.
Very nice
Wamama saiv tukishindwa kupika kweli utakuwa navichwa vigum hii video ameelekeza vizur sana
Samahani uo mchele uliloweka kabla ya kuucheemsha..au uliosha tu na kuchemsha 🙏
👍
Nimependa sana hii video. Maelekezo , vipimo ni rahisi kuelewa. Asante sana ❤️🙏🏾
Mmmmh 😋😋😋😋
this looks so good!! mashAllah
Tajiri's Kitchen I’m a student in the U.K. from Mombasa Kenya and Jameni your recipes always hit a special place in my heart. JazakAllahu Kheir for your efforts, may Allah bless you
🤣🤣🤣 Bora umetoa tahadhari kabisa kuusu chumvi maana nilianza kushangaa, shukrn kwa videos ma shaa Allah
Thanks aunty such a nice video.....nimependa sana na unajua kupika mashallah hongera♥
🙌
Samahani mchele unapika kama dakika ngapi?
nice n kindly do a video cooking sima na mboga
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 thanks btw i do try your recipe's practically n no complain...thank you so much
Hahhh bora ulivyojitetea maana nilikuwa nasrma mbona chumvii nyingii😂
Natazama kutoka Kenya na nina swali - kwa wale hawana blender, kuna alternative wanaweza fuata?....
Hello madaam kama sina ayo makaa inakuaje na je aya makaa ndio yale yanatumika kwa shisha ???
Sio lazima ufukize, yeah makaa yoyote tu unaweza kutumia haijalishi niya aina gani
Tafadhali vitu yote Nye una tumia u tu andhikia ile tuna weza kuchukua pigch ya screenshot ahsante
Niko nazo kwa video za moja moja niliandika, nenda kwa videos zangu utona.
Hey.. allow me to ask is gram masala and biryani masala 2 different things ??
Yes sir, and I have that 2 videos you can watch and see the difference.
@@stanleyotieno5557 Yes, Garam masala th-cam.com/video/1mcnMvUcKBM/w-d-xo.html
@@stanleyotieno5557 Biryani masala th-cam.com/video/6uCRoYlI_mM/w-d-xo.html
May Allah bless you more and more. You been of help. Hio ya Biryani ndio I had downloaded ata I did make my own .
Sahamani hiyo zabibu ni ipi hiyo
Zabibu yoyote tu, na pia kama hauna sio lazima dear.
Kwa nini nyama ya birian huwa inawekwa mtindi au yogurt.?nimependa mapishi pia.MashaAllah
Rukia Mwinyihija. Mtindi na yoghurt vyote ni sawa tu. Na pia inafanya nyama kuwa laini kwa haraka na inakupatia uzito pia.
Superb recipes 👌