jinsi ya kupika pilau la kuku wa kienyeji tamu sana/how to make chicken pilao

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaaAllah MashaaAllah ninavyopenda kuku wakienyeji😋😋 mchambukoooooo

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣asante sana love.🙏

  • @amrahschannel5599
    @amrahschannel5599 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah MashaAllah...imevutia sanaa.. mchele very fluffy mmoja mmoja...ulivyoipika lazma utamu ulizidi... MashaAllah

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว +1

      kweli my love shukran sana
      😋🙏🤣❤

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 ปีที่แล้ว +2

    Ma sha Allah 😋😋👌👌imepikika vizuri Sana ❣️❣️

  • @eddyamour9720
    @eddyamour9720 2 ปีที่แล้ว

    Asante dada. Mungu akubariki kwa sadaka Kama hii nimepika pilau leo mara yangu ya kwanza lakini Alhamdullilah umenifumbua macho kwa video hii 😘😘🙏

  • @darlinmamawatatu6411
    @darlinmamawatatu6411 3 ปีที่แล้ว +1

    Looking good this nice channel with nice food instructions love this thank you 😊

  • @bindawood978
    @bindawood978 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah, daku zuri leo.

  • @DavidStembo
    @DavidStembo 6 หลายเดือนก่อน

    Nice work

  • @a.856
    @a.856 3 ปีที่แล้ว +2

    Yummy😋😋😋

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah 😋 😋 👌mchambuko balaa

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว

      au vipi love asante sana
      🙏🤣❤

    • @nooromar7772
      @nooromar7772 3 ปีที่แล้ว

      @@ashayummy2299 tupikie biriani habibty

  • @sofiyaalawi127
    @sofiyaalawi127 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @EluhIlushbaby-gk3oo
    @EluhIlushbaby-gk3oo ปีที่แล้ว

    Asnte san 🥰

  • @pantaleekapichi4993
    @pantaleekapichi4993 3 ปีที่แล้ว

    Mbona viazi hujaweka?

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 3 ปีที่แล้ว

    Tamu mtupu 👌

  • @sabah9560
    @sabah9560 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante shukraan...nilikutumia mrejesho wa mkate wa mchele insta laki hujaangalia bado🤭

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว +1

      alaa ngoja nitaenda kuangalia my love shukran sana san
      🙏🤣❤

  • @nooromar7772
    @nooromar7772 3 ปีที่แล้ว +1

    A.a tupikie vyakula vya eid vya asubuhi

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว

      nishaanza na andazijilo vinafuatia vingine usijali
      🤣🤣🤣

    • @areysherzaynabu273
      @areysherzaynabu273 3 ปีที่แล้ว

      Dada asantee kweli ni tamu na utaipenda... Nmejaribuu maashallah n nzuri sana... Dada Allah akuongozeee zaid uzidi kutupa vitu vizury zaidy.

  • @hamidashariff7262
    @hamidashariff7262 3 ปีที่แล้ว

    Unatumia mchele gani hapa UK

  • @nooromar7772
    @nooromar7772 3 ปีที่แล้ว

    A.a tupikie biriani habibty

    • @ashayummy2299
      @ashayummy2299  3 ปีที่แล้ว

      biriani nishazipika zimohumo kwa channel yangu ya nyama na yakuku tizama my love.🤣🙏❤

  • @utaani1
    @utaani1 3 ปีที่แล้ว

    Nasubiri biriani ya mbuzi au kondoo

  • @SarahKivuyo-f7o
    @SarahKivuyo-f7o 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmm sorry kwa kweli chakula kinaonyesha hakina test