NDOANO sehemu ya Pili.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2021
- Binadamu makini ni yule anaefikiri mwisho wa maamuzi yake, kabla ya kuamua anafanya upembuzi yakinifu juu ya maamuzi anayotaka kuyafanya. USIOGOPE KUJIFUNZA uwezi kuwa imara bila kupitia changamoto, yawezekana changamoto zako ndio mafunzo yako.
- ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Maashallah 💕nimepata mafunzo mengi kutoka kwa hii sinema
Awa ma dada wasio taka kuolewa kz yao kuchochea ugomvi tu Kati ya wake za makaka zao...
Mungu anawaona na wamama kama hao ipo siku mtayalipwa hapa hapa nchini ya juwa
From USA 🇺🇸♥...
Mungu akubaliki Ibra thedon
Ki deus abençoe vocês e que façam sucesso sempre
Asante sana ibra na pia napata darasa hapa😍
For sure this are things that one cannot learn in school or rather here.thumps up ndoano family.
For sure they teach very well, nic job for characters
Hongera sana ibrah,asante kwaku tu elimisha sisi ma bachelor,endelea kutu letea movie kama hizi.
Hongera kaka kwa mafunzo mazuri sana Mungu akuzidishie kipaji chako
Ma Sha Allah mafunzo mazur asant bikungwi nimejifunza meng mung akubarik,🥀😍😍
Mashaallah .mafunzo mazuri sana yaa Allah nijalie nami niwe mke mwema. Ahsante kaka❤❤
MashaAllah nzuri sana
Masha Allah. Tamthilia nzuri Sana,yenye mafunzo mema.
Mashaallah tamthilia nzr one love brother 🥰🥰🥰
Movie nzuri sana 😘😘,love from🇧🇮🇧🇮,respect bro
Napenda sana mafunzo yako mama nimejifunza kitu kwa hi sinema
Maasha Allah Unamafunzo mazuri Allah akuifidhi na kulinde na vijicho
Tunashukulu sana kk ibra
Hongera Ibra lakni mama mkwe kama huyo namtaka sana😅😅😅😅
🤣🤣🤣
Asante sanaa kaka Ibra kwa Mafunzo mazuri na kupenda sanaaa
Duuuh haya mama nakukubali sana
Hongera kaka ibrah hakikika kipaji unakitumia vema
Mama allah akubarik Sana kwa Kaz uloifnya unasthl tunzo ya kipekee
Afu ibrah ile move ya kungi dume ungeiendeleza kwakweli nimeipenda
Huyu bi kasomo alifanya kazi na madebe lidai yuko vizuri sana
Nakufatakutoka DRc congo kazi nzema
Birukia hongera mama nimekupenda sanaa
Masha Allah ninzuri.... Mwendelezo tafadhali
Tuleteee mapema broo inatufundisha sana
Mungu akubariki huzidi kutufunza kaka mzuri barikiwa sana
Tunajifunza mengi
Wallah unatup mafunzo mazuri kaka Ibra
Kazi nzur nimejifunza ka ibra
Asante kwa mafuzo yenu Mazur nimejifinza kitu muhimu zaidi dunian like wezag
Maaa shaa Allah Allah awalipe kheri
Nakukubali mbwan kungwi dume
Mama mkwe kaanza yake 😂😂😂😂mv nzur sana asanten washiriki
Yan sometime mama zetu wanaudhi wanatafta sababu isiyo kwel,, mmmmmmhhh!! Nafrahi KWA kuwa ni maigizo
Ma shaa Allah. Tunajifunza mengi hapa.
Namukubali uyu mama
Masha Allah hadi raha
Napenda sana mwalimu kwakuwa unatufuza mengi sana
Yaaan unajua sana kunavitu vingi najifunza humu ndani
Hongereni sana
Hakika hii ni darsa tosha Asante sana kaka ibra
Mashallah tabarakkallah 👌👌 mafunzo mazuri Sana,sisi pia twajifunza humu humu
Subhanalha yani ww mama ww mungu anakuona kaka ibra tuletee muendelezo plz
Ahsante kaka. Mi tangu mwanzo, babu ndiye chaguo langu. Kwa ushauri na mjukuu wake: -"usilete mambo ya kabla ya ndoa ndani ya ndoa
-tatua matatizo bila kuyafanya kama gazeti."
Kaka movie nzuri ya mafunzo mazuri big up
Janani hii ni Ile kupokonywa tonge mdomoni 😀Yani ndio nimekaa nahamu kumbe imeisha!
MASHAALLAH 👌🏿 Kaka muendelezo.
Jomon nimepend wachezaj wanachez vizur kweli
Pamoja my brother ibrah
Hongera Dana n
Apa ndio nyumbani jamani❤❤😊
Wale ambao tlikuwa tnausubir kwa hamu like zenu tjuwane
Pamoja
Masha Allah tabark Allah 😍😍😍😘
MashaAllah
Kizazi sanaa watch all the way from Kenya good job
Haya ndo mambo sasa big up Team Thedon
Nzuri kbs😍😍😍nimekwama hapo pa kumufunza kufinya tongi kwa mikono midigo🙄🙄
Hujaaelewa ungeambiwa ana kibamia ndio ungeelewa
Mashaalha🤲🤲🤲❤️❤️❤️nawapenda
Mama kweli anaweza
Asante kwa kutuelimisha brother kazi nzuri
Kali sana
Nizuri sana
hongeraa sanaaaaa
Oh wow 🤩
Vip hiyo ndo styl gani ya ngoma? Nimeielewa eti🤣🤣🤣
Hongereni washirika wote
Kali hiyo keep going Mr Thedon
Asante kaka
Hongera Sana ibra nzuri sana
Movie nzuriiì sana jamaniii nawapenda bureee
kazi mnzuri sana washiriki.wote
akuna ya tatu hizi picha zinafuza kabisa tutolehe yatatu ❤❤
Nakaribia kuingia kwenye ndoa Asante kwakunipa mafunzo
Its has inspire me nimeipenda akh
Alhamdulillah movie nzuri sana
Nzur sana nimependa sana
Ndoa izi jmn maskin bint wawatu anakutana navituko vya mama mkwe na wifi khaaaaaah jmni
wao nilikua naisubilia kwahamu
Nzr thanaaa Nmejifunza
Wapi sehemu ya tatu tamu kweli😘😘🤭
Duh! Mama mkwe huyu cio poa kabisa mimi nilivo na hasira mwisho wa ck nafanya kwel
Wow very nice job
Asante sana nawapenda bure😍😍😍
mashaallah movie ndo izi bwana 😜😛
Nzur sanaaa👌
Bora alivyooolewa maana yule mwngne alimwamvia azae ndo amuoee😂😂😂😂😂
Hongra sana twasubiri sehemu ya 3
Tifutifu nakupenda ww mama move ukiwepo naangalia chap
Mnacheza vzr hy ngoma 😂😂😂😂
Respect for you all of them
Aise tungepata mafunzo pande zote 2 ndoa zingedumu sana
Asante kwamafunzo nimejifunza sasa
Sitaki kusubiri inayofuata baada ya hii keep going brother
Bonge la story yaaani imenikumbusha mbali sanaaaa aiseeee
Inabamba congratuation
Shukran sana
Mashaallah Tabarakallah
Asante san kaka bongo movi niliacha nazo kitambo San kipindi cha kanumba Lakin nimerud ten kwa ko nakufatilia wew sas
Mwendelezo kaka
Thedon👏👏👏👏
Nawapenda nyee jaman
Safi sana
🔥🔥🔥🔥
Mimi na bapenda zaidi
Mashallah
asanteni_na kwamafunzo