MAMA MKWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024
  • Hakuna upendo wa kweli duniani kama upendo wa mama, Lakini ni mbaya zaidi kuona mama yako ndio mtu pekee anaepambana usifanikiwe kwenye maisha na kupelekea kutaka kuiangamiza familia yako. Je, mama mkwe atafanikiwa kuiangamiza familia ya mtoto wake?
  • ภาพยนตร์และแอนิเมชัน

ความคิดเห็น • 104

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 ปีที่แล้ว +9

    Duuuuuh nimelia na kilichotoea Jaya yapo na baadhi ya nyumba nyingi zinaharibika Kwa matatizo ya kichawi.mungu simama nasi🙏hongera sana Kaka kazi nzuri yenye kujifunza

  • @rehemaseif1785
    @rehemaseif1785 ปีที่แล้ว +5

    Ndiyomana tunaelekezwa kufanya dua kabla hatujalala, ukilala kama mzigo bila dua lazima wanga wakutese. Kazi nzur ma'ashallah

    • @zena6203
      @zena6203 ปีที่แล้ว +1

      Kweli nakusali hasaaa

  • @mwinyihajjsalim4405
    @mwinyihajjsalim4405 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana IBRAH THEDON kazi nzuri bro tena nzuri sana uweza nakubali sana.
    MWINYIHAJJ from kenya mombasa 254

  • @GenerallyMkuu
    @GenerallyMkuu ปีที่แล้ว

    Has always ibra will make a good jobmy brother

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث ปีที่แล้ว +2

    Ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️❤️ kungwei dume nakuaminia kaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣una machozi kama yote

  • @Keena-e5w
    @Keena-e5w ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri mashallh

  • @shyllahnekesa216
    @shyllahnekesa216 ปีที่แล้ว

    Wueeh mm kama hivo Ndoa siwezi najitoa

  • @shamyshaban
    @shamyshaban ปีที่แล้ว +1

    Daaah hongera kwa kazi nzuriii unapitia mulemule ya dunia yetyyuu

  • @ladyaishaoloo-rd3ns
    @ladyaishaoloo-rd3ns 11 หลายเดือนก่อน

    Waaaa kumbe uchawu iko ivi❤❤

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb ปีที่แล้ว +1

    Ibraah shukran sana kwa mafunzo

  • @akimanaasiya4654
    @akimanaasiya4654 ปีที่แล้ว +6

    Ndo mana Mara nying huwa likini fik jambo sikimbiliyag kwa mama yng alhamdlillah man najua sana ata mama anaweza kudhura mwanay wa kuza tena bila uruma kbs daaah akun kitu kina uma kama icho wallh 💔😩

    • @salmaiddrissa4320
      @salmaiddrissa4320 ปีที่แล้ว

      Ukisema hivyo unakosea maana sio wamama wote wanatabia hizo muamini mama ako

  • @Asbi_Legal
    @Asbi_Legal ปีที่แล้ว

    Nakupenda nishinda ata wali nyama bro 😀
    je suis en R.D.Congo🇨🇩 𝙈𝙖𝙣𝙞𝙚𝙢𝙖 𝙆𝙖𝙨𝙤𝙣𝙜𝙤

  • @bintjuma9291
    @bintjuma9291 ปีที่แล้ว +1

    dah iko poa congratulation msee

  • @REGINANDUNGURU-xl7nm
    @REGINANDUNGURU-xl7nm ปีที่แล้ว

    Kisukar teena ha ha Asante kaka ibra

  • @shadyazitueni5338
    @shadyazitueni5338 ปีที่แล้ว

    Shukran san ka ibra we ninoma kaz nzur dah hongera san kwa mafunzo

  • @zaiallyallyzaiallyally4617
    @zaiallyallyzaiallyally4617 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations Ibraaa thedon good film

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana Asanteni

  • @elizabethwikana4955
    @elizabethwikana4955 ปีที่แล้ว

    Lovely bro 🎥🎥🔥🔥🔥😊🥰😍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @zuhurakwengu2137
    @zuhurakwengu2137 ปีที่แล้ว

    Movie nzuri sana

  • @furahadayson2664
    @furahadayson2664 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri sana 🙏🙏

  • @Reemttt-j7o
    @Reemttt-j7o ปีที่แล้ว

    Nakubali thedon 👍

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 ปีที่แล้ว +2

    Mambo ya wachawi ni magumu kweli" mpaka watoto wao?

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 ปีที่แล้ว +1

    Nzurii sana

  • @atusanga8306
    @atusanga8306 ปีที่แล้ว +2

    Jamanii inaumiza sanaa ila nimejifunza kitu kikubwa asante kaka ibra🙏🙏🙏

  • @pacifiquebabyfz4230
    @pacifiquebabyfz4230 ปีที่แล้ว +2

    Imenikosha iyoooo 🔥🔥

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 ปีที่แล้ว

    Mashaailqah kazi mnzuri jamani

  • @LucyKinyamagoa
    @LucyKinyamagoa ปีที่แล้ว

    Jmn. Mam huyuuu

  • @neemabaraka3800
    @neemabaraka3800 ปีที่แล้ว

    Eeeee Mungu wangu nisaidie, maana mmmm

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 ปีที่แล้ว +1

    Kazi mnzuri jamani ongereni

  • @tabakanyawashikala8517
    @tabakanyawashikala8517 ปีที่แล้ว +4

    has always; Ibra will make a good husband in really life.

  • @faridaabdallah7424
    @faridaabdallah7424 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana inafunza

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 ปีที่แล้ว +14

    Huyo dada aliyeigiza kama mke wa Ibra si ni yule rafiki wa Angela aliyekuwa konde gang?kumbe unakazi ya kufanya sasa yanini unapita kila media kumsema Angela kama vile huna kazi ya kufanya?au ndio ule usemi tabia haina dawa 😉

    • @faithzamani1965
      @faithzamani1965 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂 yani anataka umaarufu

    • @fatma7476
      @fatma7476 ปีที่แล้ว +1

      Enheee pia mm nlikua nawaza nlimuona wapii kumbe 🤔🤔

    • @suleimanissa4010
      @suleimanissa4010 ปีที่แล้ว

      Ndio ni yeye

    • @clarashundi2
      @clarashundi2 ปีที่แล้ว +1

      Ndo yeye

  • @jeannedarc952
    @jeannedarc952 ปีที่แล้ว

    Nzuli sana

  • @Frola-r9z
    @Frola-r9z 2 หลายเดือนก่อน

    Daaah jamani 😢😢😢

  • @goldshinev-prince6339
    @goldshinev-prince6339 ปีที่แล้ว

    Better story

  • @nelsonntarej3457
    @nelsonntarej3457 ปีที่แล้ว

    Cool kk

  • @mukengeremmanuel4979
    @mukengeremmanuel4979 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh Mungu wangu duniya

  • @mwanaashnasha6987
    @mwanaashnasha6987 ปีที่แล้ว

    Safi DON

  • @zaiallyallyzaiallyally4617
    @zaiallyallyzaiallyally4617 ปีที่แล้ว

    Fungueni ni nzuri Balaa

  • @Andrewba455
    @Andrewba455 ปีที่แล้ว

    Sauti

  • @xjallylumeta4211
    @xjallylumeta4211 ปีที่แล้ว

    Nzur ataliio

  • @hidayaramadhani1833
    @hidayaramadhani1833 ปีที่แล้ว

    Hii ni nzuri

  • @hidayaramadhani1833
    @hidayaramadhani1833 ปีที่แล้ว +2

    Nami natamani kuigiza naweza na najua sijui nitakupataje kiongozi

  • @aliceudoba3672
    @aliceudoba3672 ปีที่แล้ว

    Funzo

  • @husseinshawali-ky5kt
    @husseinshawali-ky5kt ปีที่แล้ว

    Courage pour tout

  • @kimangu1
    @kimangu1 ปีที่แล้ว

    Someni nahii,KATIBA mpya na tunataka bandari yetu

  • @maskinijeuri8428
    @maskinijeuri8428 ปีที่แล้ว +2

    Mama mkwe kwangu huna nafasiiiii😂😂😂😂

    • @nadzuamrema5837
      @nadzuamrema5837 ปีที่แล้ว

      Hhhhh wasema hutaki ata kumuonaa

    • @zena6203
      @zena6203 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @tatuiddy226
      @tatuiddy226 ปีที่แล้ว

      Sa itakuaje Baba mkwe

    • @maskinijeuri8428
      @maskinijeuri8428 ปีที่แล้ว

      @@tatuiddy226 Baba mkwe hawez kwanz Baba mkwe hawez fanya hyo Mambo😂.

  • @zaiallyallyzaiallyally4617
    @zaiallyallyzaiallyally4617 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nzuri

  • @YOhanaMwakaje-p1p
    @YOhanaMwakaje-p1p ปีที่แล้ว

    Mwenyewe nasumbuliwa ila dawa yao Ina chemka

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 ปีที่แล้ว +2

    Kanzi mnzuri kwakwwri

  • @shyllahnekesa216
    @shyllahnekesa216 ปีที่แล้ว

    Kweli mchawa hata mwanae

  • @selemanibenard8146
    @selemanibenard8146 ปีที่แล้ว

    Omulimu omulunge

  • @hindumohammed5550
    @hindumohammed5550 ปีที่แล้ว

    ❤️😍

  • @shamsaalrahbi7593
    @shamsaalrahbi7593 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @maskinijeuri8428
    @maskinijeuri8428 ปีที่แล้ว

    Thedon🙏🙏🙏🙏🙏.

  • @bahatisuhailla2696
    @bahatisuhailla2696 ปีที่แล้ว

    napenda sana ushauli wako

  • @fauziyaomar7090
    @fauziyaomar7090 10 หลายเดือนก่อน

    Rangi ya filam hatujaipenda

  • @marthamkasi3511
    @marthamkasi3511 ปีที่แล้ว +1

    Yani huyu mama anawafanya adi watoto wasitafute wajukuu muda wote yupo chumbani kwa watoto tu jamani

  • @fatuma3396
    @fatuma3396 ปีที่แล้ว

    No yeyr huyooo

  • @marthamkasi3511
    @marthamkasi3511 ปีที่แล้ว +1

    Yani anaacha kwenda kuwanga Nje anamuwangia tu mwanaye kweli wachawi hawana akili

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 ปีที่แล้ว

    Mwisho wa ubaya aibu

  • @abudhabiimarat8622
    @abudhabiimarat8622 ปีที่แล้ว

    Mwisho wa ubaya aibu kafedheheka kweli

  • @zena6203
    @zena6203 ปีที่แล้ว

    Ibra hakuna kamawewe ilove uuu so much

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 ปีที่แล้ว

    Asate sana

  • @estergunda7595
    @estergunda7595 ปีที่แล้ว

    Hongeleni sana nimeipenda❤❤!!

  • @irenerweyemam9164
    @irenerweyemam9164 ปีที่แล้ว

    Mwisho wa ubay n aibu

  • @mwanatumukombo9440
    @mwanatumukombo9440 ปีที่แล้ว

    💞💞💞💞

  • @aesha5468
    @aesha5468 ปีที่แล้ว

    👌👌👌👌👌👌

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 ปีที่แล้ว

    Jamani wewe mamaa kweli uko saw jamani

  • @samiakikwete1762
    @samiakikwete1762 ปีที่แล้ว

    Mmninge amka nae huyo mama

  • @faridaabdallah7424
    @faridaabdallah7424 ปีที่แล้ว +2

    Mbona inagoma kufunguka

  • @manambamanamba1962
    @manambamanamba1962 ปีที่แล้ว

    Omulimu omulinge

  • @ibrahimjuma1227
    @ibrahimjuma1227 ปีที่แล้ว

    Omulimu mulunge

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 ปีที่แล้ว

    Ibra na huyo dada hafai kabisa kwenye kundi lako alitukera na ukosefu wake wa adabu kutwa kumchafua mwenziye na kamjibu

  • @zaiallyallyzaiallyally4617
    @zaiallyallyzaiallyally4617 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 mbonaa kisukari

  • @braytonjohn5314
    @braytonjohn5314 ปีที่แล้ว

    Omuli omulunge

  • @husnamohammed6386
    @husnamohammed6386 ปีที่แล้ว

    Aifunguki kwa nn

  • @zena6203
    @zena6203 ปีที่แล้ว +1

    Nimambo ya live 😀😀😀😀

    • @slama1s109
      @slama1s109 ปีที่แล้ว

      Mambo hadharani

    • @zena6203
      @zena6203 ปีที่แล้ว

      @@slama1s109 achanione mana kingwiiii imenifunza nikalikika kasaaaa

  • @mathnaasaa2166
    @mathnaasaa2166 ปีที่แล้ว +1

    Ibra kitumbo icho piga zoez

  • @maryammaryam1560
    @maryammaryam1560 ปีที่แล้ว

    Kweli mchawi hana akili maneno yawa ugwana we uroga mwanawo siujinga huo jamani

  • @fatumahamisithumacute8996
    @fatumahamisithumacute8996 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana

  • @kawayusufu8514
    @kawayusufu8514 ปีที่แล้ว

    Omulimu omulunge

  • @harunchilongola9735
    @harunchilongola9735 ปีที่แล้ว +1

    Omulimu omulunge

  • @josephnjelu7544
    @josephnjelu7544 ปีที่แล้ว

    Omulimu omulunge

  • @gidiusbikandema5509
    @gidiusbikandema5509 ปีที่แล้ว

    Omulimu omulunge

  • @godfreyemmanuel5902
    @godfreyemmanuel5902 ปีที่แล้ว

    Omulimu omulunge

  • @fujomuanda7532
    @fujomuanda7532 ปีที่แล้ว

    Omulimu omulunge

  • @lilynestorybenezety6180
    @lilynestorybenezety6180 ปีที่แล้ว

    Omulimu omulunge