Asante San kaka ibrah kwa kutufunza mengi ktk hili na changamoto zinazotokea ktk ndoa zetu tunapasw kuwa wavumilivu na kuwa wasiri ktk kila jambo tunalokabilian nalo barikiwa San kaka tunaomba utuletee kitu kingine kizuri kam hichi asante San Allah akufanyie wepesi ktk kila jambo
Sijawahi pinga kazi yako kaka na ninapo ona uwepo wako kweny jambo lolete unanifanya kuvutiwa na kazi yako naomba mwezi mungu akulinde na akusimamie katika kazi yako umenifanya nimejifunza mambo mengi nilio kuwa siyafam naomba uzidi kutufundisha zaidi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
From 20 - 25 minutes. U, make me to 😭😭😭. Mme anapomhudu100 mkewe, anajhudu100 yye mwenyewe. IBRA THEDON..!!!! Umenizdishia ujasiri wa kiainaye. Mpaka imefikia 4 times kuunganisha walioachana. IBRA MAY THE ALLAH OF THE ALMIGHTY TO BLESS and be with YOU, Throughout day and night. ....
Hongera kak ibra honger San kusema kwel unaweza san ten san na unatufunz kwelkwel mung akufanyie wps uzd kutupa manufaa zaid na zaid mashaallah hukoseag kk
Shukran Sana nimejitaidi kufatilia part one mbk part three shukran Sana bro ibra Kaz sana ukiolewa na ukae mama mkwe, mawifi eheee m/mungu naomba nipate mume bora, na family usikuwa na midomo aise
Vipi kaka . Kwanza nakupongeza sana kwa vipindi vya kuelimisha ambazo zimenisaindia sana katika kuisikamisha ndo yangu . Am from Kenya . Much 💕 brother . Sehemu ya nne ya Ndoano naitafuta sana siipati
Swala la kuolewa nakukaa ukweni me silipendi kabsa yani nbora nisiolewe kabsa🙌🙌ukweni ni kwenda kusalimia wiki tu au kama kuna matatizo vinginevyo mh ndoa hamna

Mashaallah tabaraka Allah,movie nzuri sana ,love from Burundi 🇧🇮🇧🇮,
Kama wewe dadayangu mburundi wa kwetu imejifunza nini
MASHAALLAH mungu akubariki bro,nimependa ulipo mshauri asitoe talaka nimaneno kuntu Sana, shukran.
Nikiwa Saudia🤝
Asante Sana kaka nimejifunza mengi Sana hasa katika maisha ya ndoa mungu azidi kukutia nguvu katika kazi zako kaka
Filamu zuri na mawaidha mazuri
Walter from Kenya🇰🇪
Mpo vizuri movies zenu zinamafunzo sana na muda wa filamu poa sana Toka 254 I appreciate sana
Maashallah Ibira nimependa moves nzuri sana
Masha llaha mafuzo mzuri sana na ongereni sana wapezi kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤ ❤ ❤ ❤ ❤ ❤ ❤ ❤
Nimependa sana kazi nzuri ibra sylvia from 🇰🇪 pamoja bro🤝
Uyu mama nampenda sana wallah ❤️❤️❤️
Duuuu nzur sana Huyo kaka kaicheza nafas yake vizur sana
MashaAllah 💕💕💕 nawapenda sana from Burundi🇧🇮💋💋
From 20 - 25 minutes. U, make me to 😭😭😭. Mme anapomhudu100 mkewe, anajhudu100 yye mwenyewe. IBRA THEDON..!!!! Umenizdishia ujasiri wa kiainaye. Mpaka imefikia 4 times kuunganisha walioachana. IBRA MAY THE ALLAH OF THE ALMIGHTY TO BLESS and be with YOU, Throughout day and night. ....
Mashaallah kazi nzuri muendelezo inshaallah
Welcome back bro this is nice you put part 3
kazi mnzuri ongereni washiriki wote mungu awazidisheie asante kwamafunzo
Wao pongezi sana ibra na group lako munaweza
Kaka story mzuri sana sikujua kama ita endelea vizuri hivi. Ila msowelo bado tuna kuitaji sana.
Oeee movie tamu sana na nasubiri zengine ..zina mafunzo maruri be blessed
Hongera sana ndugu yangu..very impressive and educative movies..keep up the good work.From kenya.
Mashaallah 🥰🥰🥰 h
Naomba jina ya hii nyimbo
Brother mungu akupe maisha marefu, na aendeleye kutufundisha kupitiya wewe, hakiki hii imeniimarisha zaidi
Daaaaaa bonge LA somo hili nimejifunza na nanazidi kujifunza ibra the done na wapata uzuli nikiwa 🇦🇪
+971🥰🥰
Yes welcome
Daaaah Huyu mwanamke Ana akili zenye akili zinazokili mbele za watu
Mungu amsaidie
Mawifii washindweee!!!!
Mama mkwe Jaman ni shidaaaah
Asante sana kakake nashukuru sana na nina wapa pongezi kwenye kazi njema😊😊😘😘😘😘
Nmekupenda sana mke wa hans tayaishi maisha hayo na mm
Asante sana kaka ibra hakika hii ni fundisho kubwa sana ktk ndoa
Tamthilia nzur yenye mafunzo nimejifunza ka ibra congratulations and good work
Mafunzo mazuri nashukuru nimejifunza mengi sana barikiwa sana
Nemkuwa wakwanza kuangalia like nyingi tafadhali😀😀😀
Ongera sana ibra
Aya like zko izoooo
Mashallah filamu ina funza sana me nitakua shabiki yenu namba moja mr #Ibrahthedon 🔥🔥🔥🔥
Hongerin sana. Tunaomb muendelezo ♥️♥️♥️
Hongera kak ibra honger San kusema kwel unaweza san ten san na unatufunz kwelkwel mung akufanyie wps uzd kutupa manufaa zaid na zaid mashaallah hukoseag kk
daaa ibra uko vidhuri sanaaa Mungu azid kukuweka hili tuzidi kupata erimu🙏
Tuko pamoja my Brother ibrah movie nzuri sana from 🇴🇲🇴🇲omani❤️
Ipepelushe🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
🇹🇿🇴🇲
🇴🇲🇴🇲
Shukran Sana nimejitaidi kufatilia part one mbk part three shukran Sana bro ibra Kaz sana ukiolewa na ukae mama mkwe, mawifi eheee m/mungu naomba nipate mume bora, na family usikuwa na midomo aise
Da tuu iyo familia sijui km ipo lkn Mana wenye midomo ndo sie wanawakee
Big up ibraah the don
Mungu akubariki, Kuna somo kubwa sanaa
Nimependa hii movie imenifundisha mengi sanaa,nmepitia mm pia kama ivyo lkni sai nashukuru Allahmdhulillah ,nampenda sanaa mume wngu popote alipo
Nimejifunza mengi mnoooo....mbarikiwe sana
Mashaallah nimejifuza bigi mungu awabarik washiriki wote bir kusahau kaka yangu
Vipi kaka . Kwanza nakupongeza sana kwa vipindi vya kuelimisha ambazo zimenisaindia sana katika kuisikamisha ndo yangu . Am from Kenya . Much 💕 brother . Sehemu ya nne ya Ndoano naitafuta sana siipati
Kaka nipo adis ababa kuxema kweli move ni mzuri xana naomba iendelee
Nakupend San we mama kwamaneno yako mazuri natalitamani hata nikiolewa mie uwe somo yangu🤣🙏
Very nice good job brother 🇰🇪
Mashallah mungu azidi kuwaongoza vyema🤲🤲
Nakupenda mno ibra the don❤❤❤
Kanumba wa ukwel ameludi congratulation
I love this tamthilia
Ibrah , gosto muito do teu trabalho, força. Um forte abraço🇲🇿
Mashalla movie nzuri
Ibra kaka uta mpindua madebe uko juu kaka
Daah napat funzo kubwa San kuipitia mov zako kak
Fantastics
Am helding to marriage but hii filamu ina mafunzo kibao,,,,God bless you
Mashaallah mungu awabariki sana
Ibraa nakupenda wape makavu hao mawifi roo chafu
Mashaallah iendelee ibra movie nzuri
Duh nimechelewa Sana kuona hongera kaka
Nimependa sana watu Wangu form Burundi
Masha Allah iko poa sana ila naomba mwendelezo coz nijuwe ilikuwaje alipokula chakula mtt wko ilitokea nn
Nawapenda sana tena sana mimi. Napa mafundusho. Mengi sana
Mh mama mkwe noma sn asanteee sn mungu akupe maisha marefu
Mashallah allah awekey wepes sehem ya ine
♥️♥️♥️Allah awazidishiye kira raheli
Asante sana kaka aki nimejifunza mengi kweli wapi sehemu ya nne
Kazi nzuri Sana 🙏😘❤️
Kweli kabisa kaka yangu 💯🥰🙏😘
Asate sana kaka unatufundisha mengi sana
Mashallah napenda kazi zako
Daa Yani mmeweza sana sana
Kukaa karibu na mama Kama hao NI tatizo sanaaa Hilo NI funzo kwa sisi wanaume kuoa na kupeleka ktk nyumba za family hayo ndo madhara yenyewe
Kukwi Dume nakuaminia hasili zote ❤❤❤💯💯💯💯
Uko Sawa Sana bro kwa maneno mazuri 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Naomba part 4 Asante Sana bro
Kaz nzuriii mashaallah
Nous sommes en suivre.nous entendrons la suite sur vous plaît
Kaka ibra napenda San nasaha zako jmn uko vizur San nkbl kaka miyaka elfu
Mashallah ❤️❤️❤️🌹 mnoo
kaka ibra nakupenda sana big up broo
MashaaAllah move nzuri sana
,kaka fanya uwah wah kutoa mwendelezo
Ubarikiwe mtunzi
Nyingne Lin kak IBRA yaan nzr saana
Haaaaaahaaaa mawifi viazi poleni sana
Muendelez jaman kabla haijaish ladh
Jamani mama mkwe mtatutoa roho na wana wenu wa kike😱😱😱😱😱
Wambea mahasidi
Move nzurii sana😍😍😍
Ahsante eeeh❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimefurahi sana pia nimejifunza mengi sana
I like it
Sehemu ya nne plz kilichomkuta kaka baada ya kula chakula chenye dawa😢
Swala la kuolewa nakukaa ukweni me silipendi kabsa yani nbora nisiolewe kabsa🙌🙌ukweni ni kwenda kusalimia wiki tu au kama kuna matatizo vinginevyo mh ndoa hamna
Imenigusa sana ,ishala kilala weli
KAZI nzuri Sana muendelezo plz
Movie MashaAllah ❤❤❤
Saf sana ibra yn mawifi kz mnayo umewachana live
Wao jamni kak samhani naomb sehmu ya nne
Mashallah vizr sanà
Laiti ningekujua kaka Ibra kitambo ndoa yangu haingevunjika hakika mafunzo yako ni nzuri saana
Amna mwendelezo movie nzuri
Penda sana wewe lbra❤❤❤❤
Nzur kbsa 🇨🇩🇨🇩
😂😂❤❤Ibrah wanikosha wewe ❤😂😂
Nzur sna mwendelezo plz pia msaada kw movies zngine za ibra nitajien majna namkubal sna bro barikiw🙏
Shukuran nmejifunza jambo