SAKATA LA MSICHANA KUBAKWA AKIREKODIWA, AYO TV YAFIKA MTAANI KWAKE, WATU WAFUNGUKA MAZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 503

  • @AbdallahAsha
    @AbdallahAsha หลายเดือนก่อน +24

    Yani Tanzania inanisikitisha sana nchi yangu sasa mnamkosaje uyo mwanamke uyo afande na angalikua uyo dada anajua mme wa uyo mwanajeshi akimpata uyo baba mkewe kapatikana jamani uyo dada atendewe aki

  • @mohamedchrispin7148
    @mohamedchrispin7148 หลายเดือนก่อน +133

    Me nataka nione makali ya serikali yani ikipita week hao jamaa awajakamatwa me ntakuwa wa kwanza kuilaani serikali

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding หลายเดือนก่อน +2

      Umechelew san

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 หลายเดือนก่อน

      Ndio mjue serikali inamambo mazito utovu wa nidhamu tabia mbaya za malezi maadili mabovu na kutomjua Mungu yoote hayo hutaka serikali itulee mpaka tabia na malezi bora waliyoshindwa wazazi hulaumiwa serikali halafu watu wakinyongwa au kufungwa maisha ili kushikisha wengine adabu halafu inatokea mijitu kupindisha haki ikijifanya ni watetezi wa haki za kibinadamu mbaya zaidi mibeberu sasa imekaa kimya as if haijui kinachoendelea baada ya serikali kuonyesha makali wanakuja kukutetea wahalifu, tukiona wenzetu nchi za kiarabu kumuangalia mara mbili tu mwanamke usiemjua hujamaliza hata nusu saa unakamatwa na kesi yake unalipa fidia ambayo pesa yake hujawahi hata kuota kuwa nayo unafungwa mpaka unaona nyekundu hutoki jela na ukitoka mzee unarudishwa kwenu ama unyongwe tunaona ni wanyama, mambo mengine yanahitaji maamuzi magumu na siyo siasa, wakati magufuli akifungia NGO's alikuwa anaonekana doctor ilikuwa ni hatua nzuri ya kupambana na wapuuzi kama hawa ambao mwishowake wanakuja kukutetewa na hizo ngo's sasa watu wanailaumu serikali tutapata maendeleo lini sisi waafrika kila kukicha ni drama tu.

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 หลายเดือนก่อน +15

      Kama ningekuwa raisi hao kesi yao ni kunyongwa hadharani mpaka kufa maana muathirika mpaka sasa ni sawa na marehemu anaeishi, na mwanaume alie lala nae pamoja na mke wake wakamatwe na kufungwa maisha maana mshiriki kosa na mfanya kosa wote ni wakosaji. Ifike wakati mambo kama haya ya uzinzi na zinaa yatolewe hukumu kulingana na imani ya mtu maana hukumu za watu kama hawa zipo ndani ya Bibilia na Quran tukufu.

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 หลายเดือนก่อน +5

      Ifike wakati masaala ya kijamii ziachiwe taasisi za dini ili kupunguza mzigo wa majukumu ya serikali.

    • @lifeonearth94
      @lifeonearth94 หลายเดือนก่อน

      Ndo mana hujawa Rais na huna vigezo vya kuwa Rais​@@nassercurtis9579

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 หลายเดือนก่อน +59

    Aliyekuwa anachoma picha ya Samia alikamatwa dakika hiyo hiyo na kupotezwa. Na wahusika wa kubaka hawajakamatwa. Ngoja tuangalie panapovuja.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน +4

      Ndio Tanzania ilivyokuwa kwa sasa na wananchi hatuna umoja

    • @superwomanmwenyeheri.1367
      @superwomanmwenyeheri.1367 หลายเดือนก่อน +1

      Samahani kdg,
      Alipotezwa? Mbona Kama aliachiwa huru?

    • @Patricianicholaus24
      @Patricianicholaus24 หลายเดือนก่อน

      Aliukumia miaka.miwili jela​@@superwomanmwenyeheri.1367

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 หลายเดือนก่อน

      Ndo ujue wa tz mnabebwa ufala kama ni kenya sai wangekuwa ndani

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io หลายเดือนก่อน

      Malezi yetu yanafanya tufikie hapo
      Machangudoa ni we ngi mitaani
      Mtoto msg ana beba Baba wa wenzie
      Halafu hakuulika I alipo

  • @ZawadMussa-sd1od
    @ZawadMussa-sd1od หลายเดือนก่อน +39

    Kumjua sio kazi bhan wakamate vijana wale afu na uyo aliewatuma Binti atapatikana tu

  • @user-jl9hy3vl6w
    @user-jl9hy3vl6w หลายเดือนก่อน +18

    Hiyo sio KUFANYA mapenz TOA NENO KUFANYA mapenz 😢

  • @NANCYWARD488
    @NANCYWARD488 หลายเดือนก่อน +9

    Yes your right.
    MilardAyo ni Chombo Bora chenye Ukweli kabisa. God bless you 🙏

  • @AminaOmary-sm4wl
    @AminaOmary-sm4wl หลายเดือนก่อน +83

    Jaman wanawake tuandamane kwa hili ni uzalilishaji kwa ss wanawake nimeumia sana kama me ndo nayapata maumiv na ikiwezekana tuandamane huu ni ujinga😊

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 หลายเดือนก่อน +10

      Sio tu wanawake hii haikubaliki ktk jamii yetu yote imagine huyu mtoto ataishi vipi wamemsababishia mental disorder

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 หลายเดือนก่อน +4

      Ujue shida ni sheria zetu kua legevu kiasi kwamba watu wanafanya uhalifu ila hawachukuliwi hatua kali zitazofanya wengine waogope

    • @Official83640
      @Official83640 หลายเดือนก่อน +13

      Na lile tukio la yule kaka kuingizwa chupa na mbunge tena mwanamke mbona hamkuandamana mwanamke mwenzenu alichokifanya km sio udhalilishaji mbona mmekaa kimya

    • @hamidkololeki5009
      @hamidkololeki5009 หลายเดือนก่อน +15

      Kikubwa muache umalay

    • @KilagulaOscar
      @KilagulaOscar หลายเดือนก่อน +12

      Umalaya tu kwani kama sio umalaya yange mkuta hayo

  • @niwaelally1579
    @niwaelally1579 หลายเดือนก่อน +12

    Binafsi nimeumia sanaaa na tukio hili. Utu wetu upo wapi watanzania? Je hao vijana hawana madada, hawana wadogo zao? Wanajisikiaje watakapoambiwa dada au.mdogo wao kafanyiwa waliyoyafanya kwa mdogo wa mtu? Mtoto wa mtu

  • @Dafetty
    @Dafetty หลายเดือนก่อน +15

    Wamemzalilisha sana uyu mdada😭😭😭😭

  • @wabikeog_373
    @wabikeog_373 หลายเดือนก่อน +11

    Serikali Ina mkono mrefu ,.ndio tuuone sasa😢

  • @AminaAminaa-ox7ft
    @AminaAminaa-ox7ft หลายเดือนก่อน +16

    Innalilah waina ilah rajuun

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc หลายเดือนก่อน +5

    Kuhoji watu kuhusu tukio lile ni kuendelea kumdhalilisha yule msichana. Nyie hojini serikali imefikia wapi na hawa mbwa inabidi wanyongwe.

  • @ukweli255
    @ukweli255 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu Binti ajitokeze tu maana UTAJIRI unamsubiri..ajitokeze asimamie hii Kesi ,Jamii itasimama nae halaf ikimpendeza ahame hata Nchi za Jirani akutulie hawa wapuzi watafungwa na kulipa Fidia

  • @user-to2co7qm2k
    @user-to2co7qm2k หลายเดือนก่อน +5

    Kupatikana kwa afande mume. Wake atowe ushirikiyano WA mke wake yupo wapi mama gwajima plz ushiriysno wako tunakuamini Sana rais wetu mama samiya plz

  • @user-xx8jx6tb7d
    @user-xx8jx6tb7d หลายเดือนก่อน +3

    Duu imeniuma kwakwel jaman haa umfanyie mtoto wa mwenzako hvyo kwel lakin na ww ni mwanamke hujui kesho yako jaman haaa, Mungu wang

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +24

    Angekua kafanyiwa mtoto wa kiongoz au tajiri jambo hili isingekua story ni utekelezaji chap

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +6

    Wangewakamata hao mapolisi watasema huyo dem walimtoa wapi na huyo polic wakike ndiyeatasema. Huyodem kamtoa wapi pengine wamemuua aukumteka. Maana kwakitendokile laazima hatakuaameenda hospitali. Hawezikukaatu sikuzote.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน

      Mwanajeshi mmoja kajulikana mbona wasimkamate huyo nchi ya hovyo hovyo hiyo ati Askari toka Dodoma inaudhi kabisa

  • @Official83640
    @Official83640 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani huyo Msichana yy hayaoni yanayoendelea au kafa hajatoa siri kwao Subhannallah pengine tukio la siku nyingi ya Rabbi eeh Mungu saidia apatikane huyo bint maana ametuliza mno 😢

  • @user-vn5mv6gn2b
    @user-vn5mv6gn2b หลายเดือนก่อน +2

    Sura ya inaonekana vizuri sana aliyefanya kitendo hiki. ila mnaangaika na kumtafuta msichana.. endeleen kuficha ficha maovu..

  • @ritchiemuta1092
    @ritchiemuta1092 หลายเดือนก่อน +13

    Hii ni tv ya machawa hawezi kufanya yaliyokweli bila uchawa na usaliti wa haki za jamii

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic หลายเดือนก่อน +7

    Hamna lolote Ayo tv mpo kupoza makali ya watuhumiwa kukamatwa!
    Badala ya kusaka wabakaji na alowatuma " nyie Mnahangaika kumsaka binti au ndugu wa binti ili iweje?!!!

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl หลายเดือนก่อน +3

      Hiyo ni kazi ya POLISI na siyo kazi ya Muandishi wa Habari. Kazi yao nikukuhabarisha

    • @mirnababy5012
      @mirnababy5012 หลายเดือนก่อน

      Watawafumgaje aliye fanywa tukio hawamjui

  • @user-ye5qv4de9v
    @user-ye5qv4de9v หลายเดือนก่อน +2

    Kwa maelezo ya mwandishi huyu sion dalil ya haki kutendeka😢

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani si mutafute sm yakwanza iliyo tuma iyo tarifa kwani kunashida gani apo😊

  • @user-ox6ow1zq9u
    @user-ox6ow1zq9u 15 วันที่ผ่านมา

    Wale wa Kaka n'a yulemama ni walaaniwa mtupu akuna chochote. Kwani ww mama mzima una Pata je ujasiri waku itai zo kk zote zi mbake dada mumoja? Mungu Awa samehe sana yani 😭😭😭😭😭😭😭 dada pole sana Ila usi rudie tena kipenza

  • @marongotatarakea7458
    @marongotatarakea7458 หลายเดือนก่อน +3

    Haina haja ya kukamatwa Bali wapigwe risasi wafe

    • @marongotatarakea7458
      @marongotatarakea7458 หลายเดือนก่อน +1

      Na huyo afande aliowatuma jeshi limuue hadharani

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv หลายเดือนก่อน +8

    Ile video sikuweza kuitazama full maana nilitaka kumwaga machozi 😢😢

    • @tamimbinaltan1325
      @tamimbinaltan1325 หลายเดือนก่อน +1

      Ama ulijikuta ukimwaga 🤣🤣

    • @KibweOnlineTv
      @KibweOnlineTv หลายเดือนก่อน

      @@tamimbinaltan1325 daah, mkomwe wako 😂😂

    • @tamimbinaltan1325
      @tamimbinaltan1325 หลายเดือนก่อน

      @@KibweOnlineTv 🤣🤣

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 หลายเดือนก่อน

      ​@@KibweOnlineTv😂😂😂😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 หลายเดือนก่อน

      ​@@tamimbinaltan1325😂😂😂😂

  • @IkraaMkumba
    @IkraaMkumba หลายเดือนก่อน +1

    Hili silo la kulifumbia macho KABBISA, Yan kama nakuona huyo dada ni jinsi gan anavyojiskia machungu huko aliko jaman, Na huyo afande ilitakiwa adili na huyo mumewe mana kama katembea nae ni walikubaliana,, sasa ona kamdhalilisha mwenzie kwa kulingia cheo chake daaaah!! Inauma sanaaaa😭😭

  • @ShabanAlex-ng4vo
    @ShabanAlex-ng4vo หลายเดือนก่อน +1

    Angekuaa kapuku mlala nja angexha kamatwa kixa uyo Mama anacheo serikalin ndo asikamatwe afugwee

  • @noelajuma619
    @noelajuma619 หลายเดือนก่อน +1

    Maneno mengi lakini hamna kitu kitafanyika hili litapita tu shwaaaa 😢 na hamna sikia kitu tena

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 หลายเดือนก่อน +3

    Ule ni ukatili kabisa Yani Binti wawatu Yani masela watano 😢😢😢 sad moment again,. Serikali wekeni jitihada stahiki 🙏🙏

    • @shedrackjoshua834
      @shedrackjoshua834 หลายเดือนก่อน

      Serikali ina mambo mengi sana asee

    • @user-qy6ge9tq2q
      @user-qy6ge9tq2q หลายเดือนก่อน

      Naomba niione dear😢😢

    • @shedrackjoshua834
      @shedrackjoshua834 หลายเดือนก่อน

      @@user-qy6ge9tq2q Usitamani kuangalia kama una roho ndogo tuma namba nikirushie inbox kwako

    • @mnisi3694
      @mnisi3694 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-qy6ge9tq2q😢😢😢

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe หลายเดือนก่อน +7

    Na sisi wanawake tupunguze uroho wa ela ayo niulafi wa kipesa, turidhike nakidogo tupatacho natuache kuingilia mapenz yawatu 😢😢

    • @janetmutashubilwa3041
      @janetmutashubilwa3041 หลายเดือนก่อน +2

      Kwanini mwanaume akubakwa

    • @janetmutashubilwa3041
      @janetmutashubilwa3041 หลายเดือนก่อน +2

      Acha ujinga hii sio sababu ya kumfanyia huu ukatili

    • @lucasngalawa8826
      @lucasngalawa8826 หลายเดือนก่อน

      ​@@janetmutashubilwa3041acha makasiriko Kwa kifupi punguzeni tamaa za kijinga

    • @enockmadati7822
      @enockmadati7822 หลายเดือนก่อน

      siyo kwa ukatili alofanyiwa huyo binti. fanya huyo ni ndugu yako amefanyiwa hayo ungeongea hayo maneno?

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe หลายเดือนก่อน

      @@enockmadati7822 ninge mwambia ukome

  • @VailethBarnabas
    @VailethBarnabas 24 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani serikali mi naomba kuona mkono mrefu mlionao ili mniongezee trust just help the girl to get her justice 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fridaminja7191
    @fridaminja7191 หลายเดือนก่อน +4

    Labda alidanganya kwa usalama wake zaidi

  • @user-ur3ur2my5e
    @user-ur3ur2my5e 19 วันที่ผ่านมา

    Nchi niyao bwana wafanye watakavyo nakama hamtoamin kesi itafutwa tu . Angekua magu mapema sana sakata lingekua lishaisha zamaaan

  • @stellamiyombe6117
    @stellamiyombe6117 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mama Samia achikue atua

  • @IbrahmyminuSemgombe
    @IbrahmyminuSemgombe 26 วันที่ผ่านมา

    Nataman serikali ingeweka Sheria ya mtu yeyote anae fanya ujinga kama huu anyongwe apotezwe inauma sana zaid zaid ni kuizalilisha nchi yetu kudhalau serikali yetu kwa viwango vikubwa jaman fanya kitu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @user-nn7vp7yu2g
    @user-nn7vp7yu2g หลายเดือนก่อน +5

    Kipo chakujifunza apo maana atammi nimma pia naumia ila wattowetu wajifunze kuwa na adabu na kuwa watii kwa wazazi wao maana wanajiona waondio warembo kuliko wote kumbe wanakimbilia majukumu yasio Yao wanangu mtulie muda wako ukifika utapata mumewako aliye sahihikwako

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน

      Tatizo hawa watt wetu wa siku hizi hawaogopi kitu enzi za utoto wetu husubutu hata mwanaume kukugusa na hilo jambo la tendo la ni lawana ndoa tu sasa sijui hawa watt wa sasa hayo matamanio wanayatolea wapi hii zinaa imekuwa ndo biashara kubwa ni hatari hii😢😢

    • @mastidiawamara1264
      @mastidiawamara1264 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani yeye kama hajaambiwa atajuaje kama ni mme wa mtu? Wanaume sikuizi wamekuwa wa ovyo kupindukia wanashindwa kutulia kwenye ndoa zao na wake zao

    • @JacklinedamianMtweve
      @JacklinedamianMtweve หลายเดือนก่อน

      ​@@mastidiawamara1264dada mwingine unamfata una mwambia huyo ni mume wangu kaa nae mbali anakujibu kunya utamfanyaje mtu kama huyo

  • @gracelema2374
    @gracelema2374 หลายเดือนก่อน +1

    Polis kampata nakafanya yake serikali masaa yote hayo hawajampata nani ajuae huenda amefarik hilo la kwanza au alidanganya location yake achukuliwe suggar daddyy huyo anataarifa zakutosha alfu kwann mhangaishwa na muhanga hao majibwa nayo hayaonekani ...?

  • @sofiakhan9706
    @sofiakhan9706 หลายเดือนก่อน

    She is family is at kigoma ,sagala area ,her family member report in you tube and they don't hav watt up and smart fone ,according you tube not from that area

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 หลายเดือนก่อน +1

    Wameshakamatwa

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu tuponyee3

  • @dr.mgungo1429
    @dr.mgungo1429 หลายเดือนก่อน +10

    Polisi wametoka Dodoma 😎

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi หลายเดือนก่อน +7

    Ni rahisi sana kuwapata wanao husika na makosa ya mtandaoni wanawakamata dk zero tu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน +2

      Mmoja wa wahusika kajulikana mpaka namba yake ya simu na kambi ya Jeshi alipo labda ni mtoto wa wakubwa

    • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
      @Mahershalalhashbazi-kf6xi หลายเดือนก่อน

      @@leokamil6284
      Hii taarifa umeupata wapi?

  • @khabibahussein7239
    @khabibahussein7239 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi Mungu awaumbue kwa hili walofanya hao wapuuzi

  • @user-vx6bt7sd4q
    @user-vx6bt7sd4q หลายเดือนก่อน

    Huyo sijui kama haja fichwa maana Kwa kitendo kile sjui kama anaweza kukimbiya Ina uma sana 😭😭😭😭😭

  • @agnesclement6305
    @agnesclement6305 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie sisi navizazi vyetu dah inauma sn ubakaji

  • @isamony58
    @isamony58 หลายเดือนก่อน +1

    Nifundisho kwa watt wa 2000 awasikii niwatu wakuaribu ndowa zawatu

    • @user-hd1er7gi6e
      @user-hd1er7gi6e หลายเดือนก่อน +1

      wee kwel huna akili fundisho gan ilo km angekuw mdogo wako ungejiskiaje😢kuna fundisho lkn sio ilo ni uzalilishaji kwan uyo mume hakujuw km ana mke mpk atongoze watoto wadogo

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 หลายเดือนก่อน +3

    Yaan wale wakaka wafungwe maisha jamani wamemvua dada wawatu utu

    • @Steven_Kanumba
      @Steven_Kanumba หลายเดือนก่อน

      Unayo?

    • @AminaOmary-sm4wl
      @AminaOmary-sm4wl หลายเดือนก่อน

      @@nasrasway7143 sikufungwa tu wanyongwe kabsa hadharan kama walivyomzalilisha mtoto wa kike kiasi hicho kisa pesa waliolipwa huu ni uharibifu na huy afande wao nae anyone kasoro serekal yetu wanapuuzia ujinga kama huu

    • @zeyanasaleh9399
      @zeyanasaleh9399 หลายเดือนก่อน

      Na wao wafirwe

    • @lucasngalawa8826
      @lucasngalawa8826 หลายเดือนก่อน

      ​@@zeyanasaleh9399acheni kudanga ovyo

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 หลายเดือนก่อน +2

    Pole binti yangu pole sana wasichana wengine watoto wangu jifunzeni kitu acheni kutembea na waume wa watu na kujinadi kumekuwa na tabia mbaya sana sikuizi dunia imeharibika watu wamekuwa wanyama hata vijana wakiume acheni kutembea na wake za watu jamani

    • @ntulloboy2916
      @ntulloboy2916 หลายเดือนก่อน +1

      Point mbali na maumivu aliyo yapata mdogo wetu lakini naombeni liwe nifundisho kwa dada zetu wadogo zetu na mama zetu wanao tembea na wanaume za watu pia liwe fundisho kwa wababa kaka na vijana wanao tembea na wake za watu jamani tumludie mungu tumuhofu yeye dunian tunapita duani tuwasafili . Tumludie mungu wetu wa mbinguni

  • @AliceBagoka-tk9xg
    @AliceBagoka-tk9xg หลายเดือนก่อน +1

    Jamn😢😢😢 mimi nalia sana huku dodoma

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 หลายเดือนก่อน

      oooh pole sana njoo mwanza utanyamaza

  • @CAPTAIN_GALAXY13
    @CAPTAIN_GALAXY13 หลายเดือนก่อน

    Kama hujasoma cuba kuna mawili eidha hii issue ilitengenezwa au yule Dada alitishiwa akapewa maelekezo aseme katokea huku yombo kumbe mtoto wa watu anaishi mkoani huko..... Walishasoma game wenzetu unakuta tunahangaika na yombo kumbe sio

  • @user-ds5tf9xx1d
    @user-ds5tf9xx1d หลายเดือนก่อน

    Hii ishu imeumizq sn ki ukweli 😢haki yake itapatikana kwa uwezo wa mungu.......na wahusika watakamatwa

  • @rashidisaidi8535
    @rashidisaidi8535 หลายเดือนก่อน +8

    Yaan mambo akifanya askari mambo yanaenda vairo sana aisee

    • @isaacjaphet1314
      @isaacjaphet1314 หลายเดือนก่อน +3

      So kitendo kile kwako ni cha kawaida wale wanyama walichokifanya ni sawa. Acheni kutetea unyama... mwanao angefanyiwa unyama ule ungeandika haya?

    • @EmmanuelMajele-ny2hk
      @EmmanuelMajele-ny2hk หลายเดือนก่อน +1

      Yeyote akifanya unataka askali akifanya watu wasiseme watu waseme mtu yeyote akifanya Shelia lpo kwa wote Shelia ni kama msumeno

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 หลายเดือนก่อน

      Kwa sababu hawana akili,wao ndio walizi wa sheria,wanajua hili ni kosa kisheria na bado wanafanya

    • @hawangalima
      @hawangalima หลายเดือนก่อน

      Kwasababu wao ni walinda amani na sio wavuruga amani hivyo inashangaza kuona anaefaa kulinda amani anaivuruga

    • @Stillrunlikeaball
      @Stillrunlikeaball หลายเดือนก่อน +1

      Nnjoo Nikufire wewe na Mama ako huko Matakoni kwenu kupunguze kuwasha alau Upate akili kidogo😋😋

  • @user-ib2ew9ec3d
    @user-ib2ew9ec3d หลายเดือนก่อน

    Hapo tutaangalia samia ata wapa adhabu gani nauyo askari atamuachisha kazi nakumfunga au ndoatasema kazi iendelee😢😢😢

  • @ShsfiiSaid
    @ShsfiiSaid 23 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢 mungu hamsaidie uyo dada jamn sitak hat kusikia

  • @user-fl8jf5zn9j
    @user-fl8jf5zn9j หลายเดือนก่อน

    Mi Nazan ni kweli picha zisisambazwe ila kwa wliokuwanazo wazitumie kuwatafta pia Hao watu tusaidiane jaman tueapate iwe fundisho

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 หลายเดือนก่อน

    Yaani. Ngoja tuone kinachotokea. Ila inaskitisha sana sana. Huu niunyama

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 หลายเดือนก่อน +5

    Kuna baadhi ya watu akili zao finyu sana, unahukumwa mwenzio kwa ajili ya mume wako utawahukumu wangapi kwenye hii nduniya ...nk

    • @mnisi3694
      @mnisi3694 หลายเดือนก่อน +1

      Alafu ukute yaan hata mwanaume hampendi

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 หลายเดือนก่อน

      Ndio watanzania wana roho mbaya kama wanyama

  • @faidhamohamed7203
    @faidhamohamed7203 หลายเดือนก่อน

    huyo msichana simjui ila hao wakaka waliofanya ivyo nawajua hao wanajiita 45 wanakaa hapo hapo yombo ila huko nyuma kidogo panaitwa makaburi ya site ndo maskani yao jaman niko mbali tu ila hao watu wanafahamika ni wahuni na iyo ndo kazi yao

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 หลายเดือนก่อน

    Au wamemuuwa?? Jamani. Isiwe nikupoteza ushahidi

  • @AliphonceMartina
    @AliphonceMartina หลายเดือนก่อน

    Mmmhh sizan kama yupo hai huyu binti kwa selikali yetu hii huenda wameshapoteza ushahidi kwani yeye mbona kama yupo hulu kwanin hatokei kusaidia selikali imtendee haki na sisi binadamu tunatamani tusikie neno kuhusu maisha yake na hao watendaji wa kitendo kile

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t หลายเดือนก่อน

    Ndo muachage kutembea na wanaume za watu na kudhan sifa mume wa mtu na mke wa mtu ni sumu

  • @NuwayiraTogeza
    @NuwayiraTogeza 25 วันที่ผ่านมา

    Jmn xhelia ifate mkondo wake Ili swara xo la kukaa.kmy mam xamia tuataka hao watu walofany tukio wapatkane linaxkitisha san😭😭😭

  • @MariamKileo-mu8rv
    @MariamKileo-mu8rv หลายเดือนก่อน

    Yaan hii nchi bhana yule aliyechoma picha ya rais alikamatwa cku moja tu sasa kwann huyu askari asikamatwe haraka na hao waliombaka wakamatwe ety mnasema tusaidiwe hao wanaopiga matukio kwa viongoz mbona mnakamata wenyewe na mnakamata chap jamani ila tanzania bhana hospital usipokua na hela huhudumiw raia asipokua na hela hafatiliwi kah ila jamani

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi หลายเดือนก่อน

    Kwanini wasioatikane nahuyo bos alikuwa anatembea nae kama ni polici anajulikana

  • @ZainabuAbedi-cy1kq
    @ZainabuAbedi-cy1kq หลายเดือนก่อน

    Lazima wasifahamu kwasababu alieyafanya Hay ni askari lkn mkumbuke malipo ni hapa hapa duniani😢😢

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 หลายเดือนก่อน

    Mungekua mnafany hvo na matukio ya maana yanayoikumba jamii kama lile la watoto kutekwa ingekua vzur sana

  • @shadidajumaa2902
    @shadidajumaa2902 25 วันที่ผ่านมา

    WAllah Allah atawalipia hapahapa dunian

  • @LamekiMichael-pz7rv
    @LamekiMichael-pz7rv 25 วันที่ผ่านมา

    Kwa hili kama ingekua utawala wa hayati Dt Magufuli nahisi tukio lingeenda na wengi

  • @renathakalamage4931
    @renathakalamage4931 หลายเดือนก่อน

    Afande anajulikana. vzur achen kutuchora

  • @josephmtikile-yf3pq
    @josephmtikile-yf3pq หลายเดือนก่อน

    Hao watyu ni wauaji wakikamatwa ni i kiberiti na petroli

  • @SaidyIbrahim-f4h
    @SaidyIbrahim-f4h หลายเดือนก่อน

    Hili swala halina nguvu sna Kwa hii nchi yetu imeisha hyo eti mpaka upelelezi ukamilike kwani selekari si inamkono mrefu inashindwa vp kuwakamata mpaka sisi wananchi mnataka kutuuzia kesi km mmeshindwa bac mungu atawapa adhabu Kali sna

  • @SophySekuzi
    @SophySekuzi 20 วันที่ผ่านมา

    Mmh tumuombe Mungu wapendwa😢😢😢

  • @RichCruzz
    @RichCruzz หลายเดือนก่อน

    Kwel sisi kama watanzania kitendo kwel kinatuuma hasa ikiwezekan wauliwe

  • @awezayekyando2203
    @awezayekyando2203 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyo binti mpaka sasa hajajulikana alipo kiukweli serikali ichukue hatua inaumiza sana hiki kitendo tena kufanywa na askari ,,hata kama amemfanyia alirekodi ili iweje,,,kiukweli Tanzania tunakoelekea siko

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 หลายเดือนก่อน

    Kupatikana kwa hao watuhumiwa lazima huyo binti apatikane na atoe ushirikiano kwa kumtaja mhusika anae toka nae kimapenzi ili mkewe apatikane kirusi kikubwa ni afande hao wengine ni chawa tu maji ya moto yanawatosha

  • @HusnaOmarry
    @HusnaOmarry หลายเดือนก่อน

    Huyo afande anajulikana na yupo uraiani anaendelea na mambbo yake ila serikali yetu hii mungu tusimamiee

  • @StephanieGerald-qj8vt
    @StephanieGerald-qj8vt หลายเดือนก่อน +1

    Chozi limenitoka kwavideo ile mm kama mama tena mwanamke tena nina bint tena ninawadogo wa kike nimeumia😢😢😢

  • @winfridadaud
    @winfridadaud 19 วันที่ผ่านมา

    Serial ichukue hatua jmn😢😮

  • @AkhamuMustafa
    @AkhamuMustafa หลายเดือนก่อน

    Jamani na nyie wandishi wa habari mnatakiwa mambo ya umbea muwe mnayaacha, mtoto kazalilishwa, bado na nyie mnataka kuendelea kumzalilisha, kutafuta huyo mtoto na wazazi wake, je kwa mfano awe ndo mtoto wenu mngejisikiaje? Yamepita yamepita mnawatafuta wazazi wake wa nini punguzeni umbea

  • @oam14l
    @oam14l หลายเดือนก่อน

    Huyo mtoto yuko hai. Inashindikana vipi kujua anakaa wapi? Si achukuliwe aonyeshe anakokaa na pia huyo Afande kama ni kweli anatembea na mme wake?
    Na kuna ugumu gani kuwakamata hao wahalifu na picha zao wakiwa wamekamatwa zionyeshwe.

  • @tufikekapeta8863
    @tufikekapeta8863 หลายเดือนก่อน

    Vipi huyo msichana yupo kweli minahisi kauliwa kupoteza ushahidi
    Angekuepo basi tungemsikia mwenyewe akilalamika Ila selekari haijawahi shindwa ikiwa mcoma picha mcholaji tu alikamatwa ndani ya masaa 24 Na mpaka sasa haelweki yuko wapi kwanini hizi mbwa tena za huko selekarini kabisa wasikamatwe wakamatwe wao ndo watasema huyo binti wamempeleka wapi??

  • @JohnMoses26
    @JohnMoses26 หลายเดือนก่อน

    Duuuuuuh ili kuwapata hao vijana nafikir akipatikana huyo anaedaiwa kuwa ni afandee moja kwa Moja vijana hao watapatikanaa

  • @mariamarco5223
    @mariamarco5223 29 วันที่ผ่านมา

    Tumuombe mungu San hiz no nyakati za mwisho jmn

  • @LatifaMusa-dy3id
    @LatifaMusa-dy3id หลายเดือนก่อน

    Kwani huyo Dada mwenyewe hapatikani au yeye anawajua walie mbaka

  • @user-gb1hn5ml8y
    @user-gb1hn5ml8y หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 hao vijana wa kikamatwa na dhamini chakula maabusu mpaka wanatoka kazi nzuri kwao wame mmwaga mavi😂😂😂 iyo safi sana ndo dawa yenu mbwa nyi mtakao kuja kucoment

    • @Stillrunlikeaball
      @Stillrunlikeaball หลายเดือนก่อน +2

      Ukiwa wapi ume pakatwa Nakupakwa Mafuta Matakoni kwako wewe😋😋

    • @Awatee
      @Awatee หลายเดือนก่อน +1

      Mche Mola wako utu wako uko
      wapi nakukumbusha unapo mcheka mtu kwa mtihan ulio mkuta huwezi ondoka duniani nawe bila ya kudhalilika

    • @user-gb1hn5ml8y
      @user-gb1hn5ml8y หลายเดือนก่อน +1

      @@Awatee we umeshauli God bless you but au acha tu niishie hapo tu!

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 หลายเดือนก่อน

    😢😢 Yule kaka alivyochoma picha ya raisi mda huohuo alikamatwa huyu dada alivhofanyiwa eti waharifu hawajakamatwa na wakati sura zao zinaonekana aiseeeeee tunataka haki

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 หลายเดือนก่อน

    Hakika inasikitisha haswa ukiwa namtoto wakike😢

  • @abuyseif4945
    @abuyseif4945 หลายเดือนก่อน

    mbna kaz ni simple c wakamatwe wale afande tu af uyo boss wake alokuw akitok nae anajua anapompata

  • @MohdMohd-x6c
    @MohdMohd-x6c หลายเดือนก่อน

    Hapa kama haijachukuliwa hatuwa basi sisis hatuko haki

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 หลายเดือนก่อน +1

    Naitaji kusikia wamekamatwa na wamekipata kilichowapata

  • @prophetgknyotasaba195
    @prophetgknyotasaba195 หลายเดือนก่อน

    Ivi Mme sikia Kuna NABII NYOTA SABA Anapatikana Tabata KIMANGA

  • @user-eu4pk3eh5d
    @user-eu4pk3eh5d หลายเดือนก่อน

    Ndio kazi zao wanajeshi kujichukulia sheria mkononi

  • @FridaMmari
    @FridaMmari หลายเดือนก่อน

    Huyu binti atapatikana tuuu lazma kuna ndugu yake anasimu,inawezekana walimlazimisha Aseme sehemu ya uwongo Anapoishiiii, MUNGU yupo

  • @SharafaHamid
    @SharafaHamid หลายเดือนก่อน

    Acheni kutumia matatizo ya mtu kujitengenezea pesa,sijaona ulazima wakwenda mtaani kwake kumuulizie kwani hiyo hali ni mbaya kwake kisaikolojia kama mngekuwa manataka habati mngeenda kwenye kambi za jeshi kuhoji kama wale vijana wanafahamika kwenye jeshi lao

  • @RhodaDaniel-z7e
    @RhodaDaniel-z7e หลายเดือนก่อน

    Huyo afende awataje alio watuma kwenda kufanya hicho kitendo

  • @GozibathCravery
    @GozibathCravery หลายเดือนก่อน

    Wewe unaye pendekeza mahandamano nenda ukahandamane uko kwenu kenya

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi inapokwenda kimaadili mhh
    Hili jambo wakiliachia tegeemeni maaumivu zaidi

  • @FatumaKibaranga
    @FatumaKibaranga หลายเดือนก่อน

    Nahuyo mschana kama yupo hai sindio angeenda kituo chapolc kulipot ili aweze kusaidiwa jamani dh!tumedharirishwa sana sisi wanawake😢

  • @GozibathCravery
    @GozibathCravery หลายเดือนก่อน

    Polisi wanakatishwa Nia wanapo kamata majambazi na kutumia kazi zao za kipolisi ili wabaini na majambazi wengine utasikia maneno eti polisi wanatesa watu je jambazi ni mtu?,ayati makofuli alisema lisasi lilitengenezwa kwa ajili ya jambazi majambazi walio shindikana ua,