DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 พ.ย. 2019
  • DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU"
    Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai (Chadema), Helga Mchomvu, leo Alhamisi Novemba 14,2019 wamekamatwa na polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Lengai Ole Sabaya.
    Akizungumza na GlobaTV Online, Sabaya amethibitisha kukamatwa kwa Lema na Mchomvu.
    Sabaya amedai kiini cha kuagiza viongozi hao wakamatwe ni kutokana na kile alichokiita kuendeleza njama zao za kuvuruga amani katika wilaya hiyo na kusababisha taharuki kwa wananchi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
    “Kitendo cha mbunge Lema kutoka Arusha na kuja hapa Hai na kufanya vikao vya siri ni sawa na kuvuka mstari mwekundu na hili sisi kama Serikali hatuwezi kulivumilia. Namtaka Lema ajisalimishe mwenyewe polisi,” amesisitiza Sabaya.
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ---------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    GLOBAL RADIO TV:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    EXCLUSIVE INTERVIEWS:
    th-cam.com/users/playlist?li

ความคิดเห็น • 308

  • @msovietimjamaa3017
    @msovietimjamaa3017 4 ปีที่แล้ว +1

    Vivaaa!!!! Lema vivaaaaaaaaa!!!
    Mwenyzi Mungu akutie nguvu brother. Unapitia mateso sana.

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 4 ปีที่แล้ว +1

    Acha tuone Masai atafikishana wapi na Lema mwenye machame yake ..!!!
    Hivi uyu Chalie anawajua wachagga vizuri kweli ...

  • @jimjam7687
    @jimjam7687 4 ปีที่แล้ว +6

    Ukitaka kuwa juwa ma DC vilaza moja wao ni uyu lengai .

  • @paulinakatemi7119
    @paulinakatemi7119 4 ปีที่แล้ว +25

    Lema ni maarufu siku nyingi....tenaaaaaaaaa

  • @irenegudluck1214
    @irenegudluck1214 4 ปีที่แล้ว +4

    Majuzi lema alihojiwa kuhusu uyu sebaya akasema sio type yake 😁😁 naona sebaya analipiza kisasi alikuwa anatafuta sababu tu

  • @damianmachilutv1167
    @damianmachilutv1167 4 ปีที่แล้ว +10

    Kuna viongozi hapa nchini mwetu wanajionaga walishakua miungu watu na walishamalizaga yani, sijui kama kutakua na mwisho salama dhidi ya wanaowaonea

  • @bro.thobiassilas421
    @bro.thobiassilas421 4 ปีที่แล้ว

    Jamani, yanatosha .Mrs Sabeya na Magufuli wameshapata jibu.Kwanza naona watu wana hasira sana, mwaka kesho ni uchaguzi , kazi kwenu.

  • @urunyaraurunyara8220
    @urunyaraurunyara8220 4 ปีที่แล้ว +14

    Lema sio kwamba analeta siasa za kihuni hapana, bali nyie viongozi ndio mnaongoza watu kihuni

    • @worldtechnology492
      @worldtechnology492 4 ปีที่แล้ว

      Haaahaa ww umechizikaa kwel mtu afanye fujo asichukuliwe hatua

    • @shukururashidy7689
      @shukururashidy7689 4 ปีที่แล้ว +1

      @@worldtechnology492 fujo gan ww mboga Saba nn,,wanakamatwa ndo wasema kweli

    • @ernestlaiza9489
      @ernestlaiza9489 4 ปีที่แล้ว

      @@worldtechnology492 amefanya kosa gani

    • @bakariyahaya1809
      @bakariyahaya1809 2 ปีที่แล้ว

      Kila uovu una mwisho...Yuko wapi leo sabaya

  • @unclesaleh3257
    @unclesaleh3257 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Sabaya ameelewa kuwa kachumbali si mboga. Ukiwa mtiifu kwa muda wa miaka3, Mkuu wa Magereza atakufikilia hata Uaskali sell au bwana afya.

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 4 ปีที่แล้ว +14

    Lema ni maarufu wewe Sabaya ni Agent wa Usalama wa Taifa. Umetumwa wewe

  • @manfredtweve8939
    @manfredtweve8939 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwani hela Ni za wananchi au ni za serikali?.....Kama unaona hela ni za wananchi ..gonga like hapa

  • @suleimansuleiman2436
    @suleimansuleiman2436 4 ปีที่แล้ว +1

    JAMANI SIASA HIZI ZA KOMBE LA NDONDO ZITAIPELEJA NCHI PABAYA....Dunia mzima hakuna siasa hizi..munaongoza watu, na siyo wanyama kuna siku watakujachoka.....IT WILL BE TOO LATE...

  • @LaBboogo
    @LaBboogo 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu jamaaa sie kweli ivi kwan serikali ndo inamlipa lema hajui kma hio serikali bila ya wanachi kulipa kodi ata mshahara wa raisi na DC hautapatikana

  • @nestokisima5193
    @nestokisima5193 4 ปีที่แล้ว +4

    Ww ni mwenyekiti wa ccm hai na cyo mkuu wa wilaya kadanganye mafala

  • @mustaphampandi137
    @mustaphampandi137 2 ปีที่แล้ว

    kweli hakuna mtu alikuwa mzushi muwongo Kama sabaya watu wote aliyo wafanyia ubaya Leo sabaya nimfungwa mungu amemlipa mabaya yake ndo mjue cheo no dhamana

  • @kariankeirelionka3549
    @kariankeirelionka3549 4 ปีที่แล้ว +3

    viva lema viva Tanzania, tunakumbuka ya soweto, God yupo atanyosha ukweli

  • @kidubwashaone6092
    @kidubwashaone6092 4 ปีที่แล้ว +7

    Wewe mbwa tuu.hukui Lema kazaliwa Hai na ndio kwake. Nyumbani?

  • @priscaaloyce8098
    @priscaaloyce8098 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tusaidie

  • @weranyari4571
    @weranyari4571 4 ปีที่แล้ว

    Ee mungu mungu mwenye haki zote unaependa watu wote unaehukumu kwa haki simama katikati ya wanaoteseka bila kosa

  • @vicyprincemusical3704
    @vicyprincemusical3704 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh jamani mungu ibariki Africa

  • @giftkaaya2301
    @giftkaaya2301 4 ปีที่แล้ว +5

    Tutaona mengi yetu macho

  • @eabdabdallah2661
    @eabdabdallah2661 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema tu Sabaya hata kabla hajazaliwa, Lema ashakuwa mtoto wa mjini Kitambo, leo kamgeuka!

  • @fanuelmsigwa9446
    @fanuelmsigwa9446 4 ปีที่แล้ว +4

    Lema hana noma

  • @PaulMadatta
    @PaulMadatta 4 ปีที่แล้ว

    Mh! Mungu tusaidie.

  • @tensonmzumbwe1701
    @tensonmzumbwe1701 4 ปีที่แล้ว +5

    Siasa za Tanzania pasua kichwa,

  • @dctbawiliahmadimasato2529
    @dctbawiliahmadimasato2529 4 ปีที่แล้ว +3

    Dc. Sabaya ww chunga sana utapata mtihani wamungu unakaribia kwani wewe nawe nimgombea. Hajatishia mtu. Ikiwa nimkutona wanje au. Ndani wewe unakuhusu nini nani kauwawa

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 ปีที่แล้ว

      Huyu alikuwa dc mpumbavu sana kuwahi kutokea.

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo kipo wap?? Sabaya cheo ni dhamana nadhan unajuta leo,maana ulilewa madaraka ukaanz kuonea watu ovyooo

  • @doubleymkuu4267
    @doubleymkuu4267 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kenge sabaya sijui anjiamini nini huyu!!

  • @brysonmakundi413
    @brysonmakundi413 2 ปีที่แล้ว

    Kilamtu ataubeba mzigowake Mwenyewe Nakilamtu Atatowa Esabu yamaneno yake Sasa uyuana Lipiya kwaalichopanda Sasa atajuwa ajuiii

  • @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
    @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 4 ปีที่แล้ว

    Mimi NI mwana CCM lkn sikubaliani na uonevu huu mkubwa ktk nchi yetu ya Tz, huyu DC ametereza kdg

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 2 ปีที่แล้ว

    Jamani kwa nini tusiishi kwa upendo. Dunia hii ni mapito tu.

  • @amadikasim5054
    @amadikasim5054 4 ปีที่แล้ว +4

    sijawai kuonaDc mjinga kamauyu

  • @tricemakau980
    @tricemakau980 4 ปีที่แล้ว

    kwahyo watu wa vyama vingi wakionekana tu wanasababisha vurugu jmn wew kuwa na sifa tu sabaya vitaisha tu hawaruhusiwi viongoz wa vyama vingi hta tu kukutana kufanya mazungumzo ya chama chao ni wanafanya uchochez na vurugu ukwel uko iv mnawaogopa chadema watawapiga chin ndio maana mnawafanya hya yote ila haturud nyuma ng'oo

  • @abrahamluther9988
    @abrahamluther9988 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi huyu n masai wa wap!!!? mbona wamasai wengne hawako hv, Mheshimiwa Rais wetu mpendwa naomba ufutilie mbali viongozi limbukeni wa kimadaraka kama huyo Sabaya wanakupaka matope wakati unafanya kazi nzuri na tunaiona.

  • @oscarkasalile8146
    @oscarkasalile8146 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nashangaa kuzaliwa kwa Lema mkoa wa Kilimanjaro sio ticket ya kufanya vurugu. Mnaosema kuwa Lema kazaliwa hapa Kilimanjaro nawashangaa Sana kwa kauli zenu hizo zisizofaa.

  • @angelinasimchimba705
    @angelinasimchimba705 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu DC ni jembe namkubali sana PGA kazi mheshimiwa@

    • @pauljackson8120
      @pauljackson8120 4 ปีที่แล้ว

      mheshimiwa dc wajingawajinga kama hao kina lema dawa yao nihiyo wanafikiri wewe mwana siasa shona ndani hawana adabu hao kamanda

  • @bukheribukheri798
    @bukheribukheri798 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeapa kamwe sitokuwa sehemu ya udhalimu,ukiwa CCM raha sana maana kuwa ndani ya CCM unasahau kila kitu

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli Mimi ni ccm damu lakini kwa hapa sabaya umejikanyaga,,,,,,,,,hiyo ni sura ya ukabila na ubaguzi tunaona popote anapokwenda Raid yupo na mawaziri je! Wao siyo wabunge???????dublestandad

  • @SaidSaid-cs7mm
    @SaidSaid-cs7mm 4 ปีที่แล้ว +2

    Unaongea pumba mushaachiwa uchaguzi bado munapiga makelele 😄😄

  • @florameza3491
    @florameza3491 4 ปีที่แล้ว

    Lema ni maarufu tu ila tuombeeni jamani kwa nini tunafanya hivyo tunasali? Tunaenda kanisani tuna hofu ya mungu kwa nini tunakuwa na roho za shetani je ni kipi kitakutenga na upendo wa YESU je ni njaa, uchi, vyeo ,dhiki? Nakupenda Tz

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 4 ปีที่แล้ว

    Aise kwanini nchi ifikie hapa,dah! Tufute vyama vingi Tz,hii siniuchaguzi wa viongozi kwenye chama jamani

  • @barackajustine5853
    @barackajustine5853 4 ปีที่แล้ว +1

    Sababu alizotoa Dc hazina mashiko kabisaa

  • @mkosianga6826
    @mkosianga6826 4 ปีที่แล้ว

    Ccm acheni siasa za kishamba.lengai mbona wabunge wa ccm wanazunguka kila kona?ccm chama changu lakni ushamba wenu is too much.let free political group happen.let democracy operate.kama watatushinda ndiyo ushindani tutajipanga

  • @ibrahissa7758
    @ibrahissa7758 2 ปีที่แล้ว

    Sasa kukamatwa au kaenda mweny haloo hiii nchi ngumu sana

  • @hamadalesry3587
    @hamadalesry3587 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe DC Njaa itakupeleka Pabaya

  • @josephizengo5912
    @josephizengo5912 4 ปีที่แล้ว +1

    BIG UP SABAYA ww ndo kiongozi

  • @stephanondakama5128
    @stephanondakama5128 4 ปีที่แล้ว +1

    Kifo ndo kiboko yetu hayo yote yataisha tu hapa hapa duniani.

    • @sharonyasin7521
      @sharonyasin7521 3 ปีที่แล้ว

      Yametokea kweli

    • @simonrusigwa3024
      @simonrusigwa3024 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama ulikuwa umeongea na Mungu aisee. Na ndo kiboko yao kweli

    • @sharonyasin7521
      @sharonyasin7521 3 ปีที่แล้ว

      @@simonrusigwa3024 acha kabisa

  • @youngjeezytz2920
    @youngjeezytz2920 4 ปีที่แล้ว +8

    Hivi vyeo sijui kwanini viliwekwa kisiasa, DC anaongea pumba kabisa. Come on Tanzania

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Fala wewe sasa upo wewe kituo cha polisi pumbavu wewe unaifanya inchi km ya baba ako mzazi Rema ametishia watu gan Rema sio km wewe unaeumiza watu huna akili wewe

  • @braytonkilongosi4760
    @braytonkilongosi4760 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndo inchi ya amaniiii sawa

  • @nasrisiabu3727
    @nasrisiabu3727 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona wanaotekwa na watu hamuwakamati???munaonea pizani mpaka lini???Tanzania tumefika mwisho wa amani,maana Kama kufanya siasa ni zambi,kwa nchi yenye Uhuru Kama tz,mm nahisi hicho kiama hakuna atakaye pona.mhhh ongezeni majengo maana hakuna atakaye baki.

  • @hamedmaskari518
    @hamedmaskari518 4 ปีที่แล้ว

    Muachieni lema haraka sana mitaa vitongoji vijiji mushachiwa nini muna tafuta tena au ndio munataka damu na kwa nini hawa wabunge wa Tanzania hawana hadhi hata kidogo ivi Dc tu anamtia ndani MP very shame

  • @eabdabdallah2661
    @eabdabdallah2661 4 ปีที่แล้ว

    Me nilijua Mkuu wa Wilaya hatakiwi kujihusisha na Siasa kumbe duuuu, Sabaya yupo ktk Siasa na Lema, Wananchi wa Hai watapata Maendeleo ln?

  • @amoschristopher8582
    @amoschristopher8582 4 ปีที่แล้ว +3

    Mkiambiwa mpeleke vithibitisho hampeleki
    Ila kutumia mabavu tu
    Kila jambo lina mwisho
    Malipo ni Hapa duniani.
    Nyie sio wa kwanza kushika madaraka

  • @johnjoseph2778
    @johnjoseph2778 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo la ole sabaya ni njaa tu ndo inamsumbua wala hana lolote lema hawezi tishia wananchi

  • @maithamhassan120
    @maithamhassan120 4 ปีที่แล้ว

    Mm sijamwelewa kabisaa huyuu dc sababu alizozitoa mpka kukamatwaa kwa lema

  • @maikoandrew58
    @maikoandrew58 2 ปีที่แล้ว

    Leo hii upo jela, ebu jiulizeni lengai yupo wapi ?. Sizani kama akili yako inakusaidia,

  • @johnmwambungu7434
    @johnmwambungu7434 4 ปีที่แล้ว +2

    Big up district commission you did a good job of controlling the violence in your district... Just move forward.

  • @christophertarimo8877
    @christophertarimo8877 4 ปีที่แล้ว

    Mbona kila kitu ni Chadema

  • @mjige9088
    @mjige9088 4 ปีที่แล้ว

    Kweli DC kama huyu ni kumpeleka serengeti akawe DC wa wanyama pori

  • @adamhashayro3133
    @adamhashayro3133 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii sio siasa

  • @joyharvey432
    @joyharvey432 4 ปีที่แล้ว

    Shame to sabaya lema kumbe amekuwa tishioo bravo chadema bravo lema viva tundu lissu

  • @kimbulumathayo3373
    @kimbulumathayo3373 4 ปีที่แล้ว +1

    Wameanza kuchanganyikiwa ma, DC lema jembe atatoka tu

  • @emmanuelmollel5636
    @emmanuelmollel5636 4 ปีที่แล้ว +3

    Ulevi wa madaraka huo sabaya hahaha hii nchi munafanya ya baba zenu ila ipo siku

  • @paulmbogo382
    @paulmbogo382 4 ปีที่แล้ว

    Mtumishi WA MUNGU Josephati mwingira alihoji " hawa wakuu wa wilaya wanapata wapi mamlaka ya kamatakamata"

    • @martinekija4188
      @martinekija4188 4 ปีที่แล้ว

      Paul Mbogo
      Niwaliz Wa usalama katka wilaya

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 4 ปีที่แล้ว +4

    Mnafiki tu wewe" elewa hutengenezi oxygen yako mchumia tumbo tu" wewe

    • @jameskishiwa1121
      @jameskishiwa1121 4 ปีที่แล้ว

      Letty Shaban acha uchaw ww jielewe siasa cyo uvunjaji wa sheria

  • @jastinesamboto4674
    @jastinesamboto4674 4 ปีที่แล้ว +3

    Mna hofu karibu nchi nzima, kuna siku mkimwona kiongoz wa upinzan barabaran tu akipita mtamkamata bila sababu kwa hofu hii mliyonayo. Mnatafuta sifa na kiki mpaka mnapitiliza. Aibuuuuu.

  • @sanimoclassic1917
    @sanimoclassic1917 4 ปีที่แล้ว

    Lema maafufu kitambo ww ndo u ajulikana tu huko kwenu ila Lema Tz nzima inamjua

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 4 ปีที่แล้ว

    Piga kazi DC hugo si muhuni tu!wamezoe kuvunja sharia!usicheke na kima!

    • @georgebongi4844
      @georgebongi4844 2 ปีที่แล้ว

      Sasa hivi lijinga lisha nyeshewa mvua 30
      Mwisho wa ubaya aibu

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 4 ปีที่แล้ว

    Yani huyu sabaya ni mpuuzi ki ukweli sasa lema atafute umaarufu wakati kazaliwa huko mbona ni vitu vya ajabu..... Ila nyie wachumia tumbo mnaipeleka nchi yetu sehemu sio kabsa

  • @jumamnyambwa7993
    @jumamnyambwa7993 4 ปีที่แล้ว +1

    Mamaako ndiyo mhuni

  • @nsiamassawe3075
    @nsiamassawe3075 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli Lema ni shujaa na maarufu kuliko wewe. Hapo umaarufu wake haukunyimi kufanya kazi yako.

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 4 ปีที่แล้ว +1

    Nachojiuliza mkimaliza miaka yenu mtaishije ikiwa mnaishi kwa visasi kiasi hiki

    • @hamisimussa2228
      @hamisimussa2228 4 ปีที่แล้ว

      Watakuja wengine na wataendelea

    • @theresiammanga4206
      @theresiammanga4206 4 ปีที่แล้ว

      Sina hakika ya kuhesabiwa haki katika karne hii wema wanakufa Dunia isiwachafue waovu wanachwa lli watubu Mungu nihurumie nifundishe kuacha dhambi Duniani sintaishi milele kuna Dhabi za wazi na za siri lla za wazi zimetamalaki machoni na maskioni mwangu kadri tunavyohubiria neno la Mungu ndivyo tunavyokaza mwendo kuitafuta jehanam

  • @charlesmnuo3292
    @charlesmnuo3292 ปีที่แล้ว

    Mchimba mashimo ili wengine watumbukie umetumbukia mwenyewe

  • @musafredy9382
    @musafredy9382 2 ปีที่แล้ว +1

    dunia inakupa kiburi and then inakufundisha.mwamba on the jil right NOW.

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว +5

    Sukuma ndani kwenye mikono salama kibaraka uchwara uyo

  • @adamonesmo6269
    @adamonesmo6269 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni mjinga wewe chadema haina ya kununua wanachama na magu hakupandishi cheo cpendi unauza sana sura kwenye mitandao

  • @adamhashayro3133
    @adamhashayro3133 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni mambo ya kukomoana yatatupeleka pabaya viongozi tumieni busara.

  • @paull8659
    @paull8659 4 ปีที่แล้ว

    DC ni fala kati ya mafala wa CCM. Mbona kila siku CCM wanafanya siasa za kihuni miaka yote? Hiyo haisadii CCM kumkamata Lema. Kilimanjaro hawaitaki CCM.

  • @bkatricalstv2752
    @bkatricalstv2752 4 ปีที่แล้ว +1

    yetu macho na masikio

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 4 ปีที่แล้ว +2

    lema usicheze na sabaya hiyo no. mbaya sana muulize mwenyekiti wako mbowe kanyoosha maelezo anywagi mbege huyo ni masai anakunywa damu angalizo

  • @marrycosmas7757
    @marrycosmas7757 4 ปีที่แล้ว

    Ww DC limbukeni ndio unatafuta umaarufu kupitia watu maarufu
    Shenzi kabisa huo mkoa unaokaa ipo siku utaomba kuhama na najua arusha unapenda kukaa pale trip A watakukamata tu

  • @alinanuswemsokile7403
    @alinanuswemsokile7403 4 ปีที่แล้ว +2

    Hovyo sana,hivi tunawezaje kuwa na Dc wa aina hii?

  • @meshackmanofgod8151
    @meshackmanofgod8151 2 ปีที่แล้ว

    Huyo lema ni nizaidi ya mtumishi wa MUNGU nasikuzote usipigane nawatu wa MUNGU maana unanijua vitahiyo KWA MUNGmwanyewe sasa je! Unaweza kuimili mashambulizi yamungu? Lema ni nabii huyo

  • @jenipherpaul8710
    @jenipherpaul8710 4 ปีที่แล้ว

    DC gani uyu umesoma shule gani wote nyie viongozi boss wenu in sisi wananch msitumie vyeo vyenu kunyanyasa watu

  • @joyharvey432
    @joyharvey432 4 ปีที่แล้ว

    Naona unatafuta kupandishwaa cheo kupitia lema na utapata muulize mwenzio gamboo

  • @kelvinalex5644
    @kelvinalex5644 4 ปีที่แล้ว +6

    Hayo matumbo yenu yatawapeleka jehanam ipo siku

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 4 ปีที่แล้ว

    sabaya ndiyo anaandaliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani 2020 ulishaona mzee baba anamgusaga huyo kamanda anampa tano tu kimya kimya

    • @jeradimlima2615
      @jeradimlima2615 4 ปีที่แล้ว

      Mohammed Mdangwe hahahaha ipo cku

  • @noelsimon3320
    @noelsimon3320 4 ปีที่แล้ว +3

    We dc unakuwaga muonevu tunakufahamu

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 4 ปีที่แล้ว

    YAJAYO YANAFURAHISHA.KILA MTU ANATAKA KUONYESHA NGUVU ZAKE.MUNGU MWENYE NGUVU ZOTE TUHURUMIE WATOTO WAKO.

  • @masanjashilingi694
    @masanjashilingi694 4 ปีที่แล้ว

    Kila jambo lina mwisho wake hakuna mwenye nchi da maonez makubwa mungu anaona atalipa

  • @rehemakacheya1670
    @rehemakacheya1670 2 ปีที่แล้ว

    Umeona sasa malipo Yako,

  • @prospermichael576
    @prospermichael576 4 ปีที่แล้ว

    Huy jamaa anajupendekeza kwa kukamata wapinzan bora rais angemteua ember Ruth awe DC wa hai kuliko huyo mchunga ng'mbe tako lake

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 ปีที่แล้ว

    SIASA KITU CHA AJABU SANA , LEO HUYU MMASAI YUPO JELA😂

  • @calvinamon4125
    @calvinamon4125 2 ปีที่แล้ว

    Kafungwa yeye.... Hii dunia ndogo sana

  • @moringelangas7276
    @moringelangas7276 4 ปีที่แล้ว +1

    Sisi Wamasai ni washamba kweli!ila huyu mwenzetu ni limbukeni mshamba.

    • @ernestlaiza9489
      @ernestlaiza9489 4 ปีที่แล้ว

      huyo lengai ni nyangulo ndogo bado ajaiva mjinga sana

    • @moringelangas7276
      @moringelangas7276 4 ปีที่แล้ว

      @@ernestlaiza9489 itadwaa toi

    • @ernestlaiza9489
      @ernestlaiza9489 4 ปีที่แล้ว

      @@moringelangas7276 abarakin

  • @stewardheaven8382
    @stewardheaven8382 4 ปีที่แล้ว +44

    miongoni mwa ma - DC wajinga na wapuuzi tz

    • @jebace
      @jebace 4 ปีที่แล้ว +3

      ndio dc wa hai hakuna namna

    • @kiatu
      @kiatu 4 ปีที่แล้ว

      Onesmo Haule Wow, I like this.

    • @collincarlos7433
      @collincarlos7433 4 ปีที่แล้ว

      Mjinga/mpuuz kwa maon yko LKN NDIO RAIS WA HAI UNAPENDA NDIYE HUPENDI NDIYE

    • @stewardheaven8382
      @stewardheaven8382 4 ปีที่แล้ว

      Collin Carlos upuuuzi Mtupuuuu@hakunaga raisi anaeapishwa n'a RC

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 4 ปีที่แล้ว

      Huyu Sabaya alikuwa mwizi sijui kama ameacha. Mwizi kabisa hata sijui kama Magufuli alimtoa wapi mjinga kama huyu. Magufuli anajidhalilisha. Nchi nzima Sabaya, Sabaya, Sabaya kila mahali shida tu.

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU KALETA MITIHANI MINGI SANA KWA MWANADAMU NA YAKUOGOPESHA TENA SANA LKN BINADAMU HAWA HAWA WANAONYESHA HUZUNI MUDA MFUPI SANA IWE KWENYE MISIBA AU TUKIO ALF BAADA YA HAPO UNYAMA NA UBABE NDIO UNAOENDELEA TENA KWA KUMSAHAU MUNGU KWAMBA PUMZI YAKE TUNAITUMIA VIBAYA.. HIVI MUNGU ANGEAMUA KUHUKUMU PALE TU TUNAPOMKOSEA YUPO AMBAYE ANGEBAKI?
    LEO SIASA ZIMEFANYWA NGAZI YA KUUMIZIA WANANCHI KWA KUJENGEWA TOFAUTI KM ILIVYOKUA TIMU ZA MPIRA ,SASA NI MATUSI NA HUKU WAPO WANAOFAIDIKA NA UPANDE FLN NA KUSAIDIA KUTOA MATUSI KWA UPANDE MWINGINE JAMBO LINALOCHANGIA CHUKI NA VISASI MIONGONI MWA WANANCHI ...KWELI TUMEFIKIA MAHALI PAKUOGOPESHA HATA KUFIKA MAHALI KM UNA BUSARA UNAKAA KIMYA TU NA KUMUOMBA MUNGU AWAPE HAWA VIONGOZ BUSARA YA KUJUA HII MBEGU WANAYOIPANDA ITAANGAMIZA TAIFA LETU

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 4 ปีที่แล้ว +1

    Pumbavu zako mbwa Koko CCM sabaya dictator munayemtumikia ipo mtakataana mchana kweupe, time never delay!!!

  • @bwangajatown4237
    @bwangajatown4237 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mkuu wawilaya hufai hata kua balozi