DC Sabaya Aibua Madudu Kwenye Kahawa Wawili Wadakwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2018
  • DC Hai Aibua Madudu Kwenye Kahawa
    MKUU wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kwa watu wawili ambao wanadaiwa kuhujumu uchumi kwa kukwepa kodi na kwenda kinyume na maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Kilamanjaro, Bi Anna Mghwira.
    DC Sabaya amefikia uamuzi huo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi wanaofanya kazi katika kampuni ya Trevvo inayolima kahawa ambayo imefanya ujanja wa kutumia kampuni nyingine kuuza kahawa hiyo kitu ambacho ni kinyume na sheria.
    Kufuatia malalamiko hayo, DC Sabaya, pia ameagiza kusimamishwa kwa kiwanda hicho kisiendelee kufanya kazi mpaka pale muafaka utakapopatikana.
    #DCSABAYA
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter:
    GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.com/watch?v=L4UGw...

ความคิดเห็น • 98

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 5 ปีที่แล้ว +18

    Kofia yangu Chini mmasai wangu.
    SOKOINE IS BACK AGAIN " THANKS DEAR LORD! THANKS MAGUFULI 😥

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 3 ปีที่แล้ว +1

    I see the same problem here in Kenya . wekezaji wanafaidaka lakini wenyeji wana wachwa maskini hohehae . Dc Sabaya 👊👊👊👊 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rozinahamisi84
    @rozinahamisi84 5 ปีที่แล้ว +11

    Mtetezi wa wanyonge hongera hapo kazi tu

  • @faridahhamza8704
    @faridahhamza8704 5 ปีที่แล้ว +14

    Kaka sabaya nakukubali umefuata nyayo za baba sokoine mungu akubariki, abariki ccm na baba magufuli kwa uongozi bora

  • @ramarite4841
    @ramarite4841 4 ปีที่แล้ว +2

    Apa magufuli hakukosea kukuteua hongera Dc kwa kazi nzuri

  • @andreafransisi5833
    @andreafransisi5833 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yupo kazini atashugulika nao walio kuhujumu

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 4 ปีที่แล้ว +10

    Nimecheka eti mmeuza bei gani nyie wazungu maana sis ni watanzania😀😀😀😀

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana sabaya nakukubali sana tena sana

  • @bisekoc.k.jenjela7936
    @bisekoc.k.jenjela7936 5 ปีที่แล้ว +12

    Yatia moyo sana...Ninaposikia udhibitisho kwama Nyerere ni JPM..kumbe inawezekana pia Sokoine kaisha wasili pia...

    • @samsonkaboko5137
      @samsonkaboko5137 4 ปีที่แล้ว

      Biseko C.K. Jenjela mi najua Nyerere, Sokoine na Amina chifupa, wako hapa, mwanangu si tuvunje katiba tu magufuri awe raisi Wa maisha!??

  • @matthewglory2877
    @matthewglory2877 5 ปีที่แล้ว +8

    huyu DC namkubali sana Mh Rais hakukosea kabisa

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 5 ปีที่แล้ว +8

    Gd jb broo

  • @barakaowenya8591
    @barakaowenya8591 5 ปีที่แล้ว +8

    umetisha mheshimiwa....hi kazi nzur

  • @furahamwajeka3708
    @furahamwajeka3708 5 ปีที่แล้ว +2

    good ahsante magu kutuletea sambaya

  • @bisekoc.k.jenjela7936
    @bisekoc.k.jenjela7936 5 ปีที่แล้ว +10

    Makofi sana..kijana huyu, mzalendo kweli..

  • @leonobama4975
    @leonobama4975 3 ปีที่แล้ว +1

    Leadership! Period.

  • @MrLogalaa
    @MrLogalaa 5 ปีที่แล้ว +16

    Huyu kijana mtata sana..ukuu wa wilaya haumtoshi ..

  • @khadijauledy8206
    @khadijauledy8206 4 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa sabaya uko vizur mwanangu mwenyez mungu akulinde

  • @saidsahd1971
    @saidsahd1971 5 ปีที่แล้ว +4

    Wakuu wa mikoa wote wanafata nyayo za makonda ndie alieanzisha mkakati wa papo kwa papo Safi sana

  • @jahabdallah1829
    @jahabdallah1829 4 ปีที่แล้ว +3

    Mmm hela ndongo sana nisawasawa na rand 40 kwa weekly huo winzi mtupu na kuwanyonya wanainchi hela yenye ni cent sio vizuri iyo kampuni sio matapeli wanajuwa duuuuuuuuu rand 40 wambie ukweli jamani daaaaaaa watu wanapata shida vijijini uku kopo la kahawa lina bei kubwa sana south Africa kwanini wanalipwa hela ndongo kwani hawo awana wake na watoto wa kualisha yahani mpaka naliaaaaa😭😭😭yahani kweli bado kazi iko ya kuwatetea wanyonge duuu makufuli anakazi kubwa sana yahani awo wawekezaji sijuwi wametoka inchi ngani wanazurumu serekari hadi wanainchi iyo nizuruma kwa iyo hela weka ndani hao m south Africa jah

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 5 ปีที่แล้ว +6

    YAANI KILA KITU NI UBABAISHAJI TUUUUUUU YAANI ELIMU ZERO UYO MZEE FUNGA NDANI HAIJIELEWI AISEEE SABAYA MUNGU AKUANGAZIE VILAZA WOTE NYOOOSHA KABISA KABISAAAA AISEEEE......NTAKUJA SIKU YA KIAPO CHAKO MKUU WA MKOA WA ................INSHAALLAH

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 4 ปีที่แล้ว +2

    VIVAAAAAAAAAA!!!SABAYAAAAA VIVAAAAAAAA!!

  • @lugendopius1231
    @lugendopius1231 4 ปีที่แล้ว +2

    Tunaka watu wa aina hii hapa kazi tu

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 5 ปีที่แล้ว +5

    duh uko poa sana dc chapa kazi

    • @zainabboss5619
      @zainabboss5619 4 ปีที่แล้ว +1

      Matapeli mtakipata safarihii

  • @lucaspeter5180
    @lucaspeter5180 4 ปีที่แล้ว

    Bless

  • @ismailmkandara1813
    @ismailmkandara1813 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana DC

  • @hasanikapela9729
    @hasanikapela9729 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekukubari kiongozi chapa kazi

  • @barakamakabara3557
    @barakamakabara3557 3 ปีที่แล้ว

    Brother ulikuwa kiongoz pamoja na mapungufu wanayosema leo lakn hao ulowatetea saiv hakuna anaezungumza tena ila ni wazi kuwa ukiamua kupambana na uhalifu au ugaidi lazima nawe uanue kuwa gaidi pia BT in God we trust siku moja utakuwa huru!!!

  • @bellutbellut3049
    @bellutbellut3049 3 ปีที่แล้ว

    Mama Sabaya ni kiongozi wa kweli .mzalendo kama John .mpe kazi anyoshe .anafaa kwa uongozi

  • @leilathango8411
    @leilathango8411 4 ปีที่แล้ว

    Asante mtetezi wetu

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani nimeshindwa kuelewa jamaa kafeli wapi mpk Leo miaka 30 dah😭😭😭😭

  • @josephtemu2633
    @josephtemu2633 2 ปีที่แล้ว

    Sabaya mungu atakulinda

  • @francischipangapole7671
    @francischipangapole7671 5 ปีที่แล้ว +3

    this iz new Tanzania

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 3 ปีที่แล้ว

    Daaa amakweli kwa kujitoleo kutetea watu kiasi hiki Leo wanakulipa haya inauma sana

  • @harounzuberi8179
    @harounzuberi8179 5 ปีที่แล้ว +7

    Namuona Edward Molinge Sokoine Jr huyooo!! Hiki kichwa kitafika mbali sana kiungozi nchi hii

    • @how9833
      @how9833 2 ปีที่แล้ว

      Duuh mbali ndio huko jela mkuu??

  • @aboudjuma523
    @aboudjuma523 4 ปีที่แล้ว

    👍

  • @danielbernad9063
    @danielbernad9063 ปีที่แล้ว

    Naona saiv mnamua kuoneaha mazury yake baada ya mateso yote aliyopitia magereza, ilamtachomwa moto siku ya kihama

  • @farhannjama3808
    @farhannjama3808 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah inasikitisha kwa kweli kuona wananchi wanavyo dhulumiwa.
    Na hapo tunaambiwa tuna raisi dikteta.

  • @ebadyalex8412
    @ebadyalex8412 4 ปีที่แล้ว

    Mm binafs namkubali sana kaka sabaya hiyo shirika linanyanyasa sana wafanyakaz n wanyoji mm n jiran yao sana nawajua na nina wafaham wote

  • @mansoulismail8868
    @mansoulismail8868 4 ปีที่แล้ว

    Nice Sana mkuu

  • @tumainimikina8807
    @tumainimikina8807 5 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizur

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 4 ปีที่แล้ว +1

    SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!!

  • @nyandasyl6931
    @nyandasyl6931 5 ปีที่แล้ว +4

    Wizi mtupu. 60 halafu iwe 50

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mrugulu namkubali sana new Sokoine Morogoro oyeee

  • @picasso.picasso.1371
    @picasso.picasso.1371 5 ปีที่แล้ว +2

    “Government has three primary functions. It should provide for military defense of the nation. It should enforce contracts between individuals. It should protect citizens from crimes against themselves or their property. When government-- in pursuit of good intentions tries to rearrange the economy, legislate morality, or help special interests, the cost come in inefficiency, lack of motivation, and loss of freedom. Government should be a referee, not an active player

    • @henrychacha7883
      @henrychacha7883 5 ปีที่แล้ว +1

      Acheni viingereza vyenu havitusaidii

  • @saudaasumani6729
    @saudaasumani6729 4 ปีที่แล้ว

    We dc ninoma unaweza

  • @mwajumashomari3916
    @mwajumashomari3916 4 ปีที่แล้ว +3

    serikali ya Magu wazee wazima wanatetemeshwa na watoto wadogo kazi kwenu wala rushwa hakuna cha ubabe wala kini, Oya oya imeisha huko nyuma sasa ni kazi na maslahi ya uma mbele na siyo maslahi binafsi hahaaaa wataisoma namba.

  • @lowasamollel9852
    @lowasamollel9852 5 ปีที่แล้ว +2

    Namuona mnafiki mollel,

  • @japharysingano1115
    @japharysingano1115 5 ปีที่แล้ว +2

    big up jembe let la boooooh

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว

    Kodi hulipi vibarua hulipi hvi jmn ni nini??? Mbna huku kwao kodi wanalipa???'shida ni kwamba unakuta kuna kitu nyuma ya PAZIA wanalindwa viva DC sabaya piga kazi

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 ปีที่แล้ว

    Hayo ndio maisha tuliyokuwa nayi tz mzee magu akajakuyabadilisha ss kaondoka sijui yatadumu

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 3 ปีที่แล้ว +1

    We will always remember you MAGUFULI Rip

  • @ameenaabdood2974
    @ameenaabdood2974 3 ปีที่แล้ว

    Yn w uletwe dr uwe mkuu wa mkoa yn mtu anaona raha kukusikiliza

  • @emanuelbelato7335
    @emanuelbelato7335 5 ปีที่แล้ว +4

    hai mambo yamekuwa moto

  • @manasekabusha7180
    @manasekabusha7180 2 ปีที่แล้ว

    asa jera anafanya nn jamani mahakama itende haki muachieni jamani

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu wanadamu watizame leo kwa Wema wako tu Kesho ni wasurubu

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 4 ปีที่แล้ว

    Kilimanjaro oyee.

  • @sangiwamsangi9365
    @sangiwamsangi9365 3 ปีที่แล้ว

    Jembe

  • @christophertarimo5047
    @christophertarimo5047 3 ปีที่แล้ว

    Halafu zamu yake imefuata 2021 MAY🤣🤣🤣

  • @selemankibala6781
    @selemankibala6781 4 ปีที่แล้ว

    Safisana dc sabaya hayandio majembe tunayo yataka tanzania

  • @alexmzumbwe1328
    @alexmzumbwe1328 2 ปีที่แล้ว

    Kwa hali hii huyu aachiwe viongozi liangalieni ushauri tu

  • @happymwakaluka5286
    @happymwakaluka5286 4 ปีที่แล้ว

    Safisana

  • @hamadshein935
    @hamadshein935 5 ปีที่แล้ว +2

    Mcgeuka mwiba kila mtu mnamchoma.

  • @ubuzimabuzimatv
    @ubuzimabuzimatv 4 ปีที่แล้ว

    Sukumva ndani

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 4 ปีที่แล้ว

    Nchi yetu ilikuwa imeoza sanaaa. 😠😠😠

  • @isumailndayai9124
    @isumailndayai9124 4 ปีที่แล้ว

    jamani tuzurumia sisi watu tunaofanya kazini kwenye makampuni naomba rais maguruli atusaidie make nirais wanyonge

  • @ibadiibadimp9870
    @ibadiibadimp9870 3 ปีที่แล้ว

    Eti nimeenda kama mtazamaji😂😂😂

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaaa. Piga mahesabu mzee.

  • @batachokakuza7586
    @batachokakuza7586 4 ปีที่แล้ว

    Kuza ni mimi

  • @sendekakimani3825
    @sendekakimani3825 4 ปีที่แล้ว

    Sokone

  • @petermabula3442
    @petermabula3442 3 ปีที่แล้ว

    Hahaha ule ni mpila au mauzo!

  • @israeleliah7163
    @israeleliah7163 2 ปีที่แล้ว

    Laana yako ilianzia uku

  • @mhmdtoyi2342
    @mhmdtoyi2342 3 ปีที่แล้ว

    KAMATA WOTE TIYA NDANI

  • @chambojulius1530
    @chambojulius1530 4 ปีที่แล้ว +1

    Makonda mdogo piga kazi kazi

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 3 ปีที่แล้ว

    Mpenzi mtazamaji.........

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dogo na Jerry Magu awape tu ukuu wa mikoa

  • @samwelnyange3252
    @samwelnyange3252 5 ปีที่แล้ว

    Uko ndani hakujai. Kuna maisha baad ya uongoz

    • @abitykaria5655
      @abitykaria5655 4 ปีที่แล้ว

      Unabii wangu kwake baada ya miaka kadhaa atasimama kama Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tz

  • @petrodaniford338
    @petrodaniford338 5 ปีที่แล้ว

    uongoz wa kiki

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 5 ปีที่แล้ว +2

    Dc ni cheo,mpe Mzee heshima yake,alafu mambo mengine yaendelee,cheo ni dhamana ndugu,unaweza fanya kazi nzr lakini isionekane nzr

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 4 ปีที่แล้ว +2

      HUYO MZEE AKIJIHESHIMU AKAACHA UTAPELI NA UJANJA ATAHESHIMIWA PIA
      ACHENI KUTETEA UJINGA ... CHUKI ZENU KWA SABAYA TUPA KULE

    • @elymsakuzi6493
      @elymsakuzi6493 4 ปีที่แล้ว

      Sio kila Mzee anabusara kuna wajinga wamezeekaa hata angekua babu yangu anawaibia maskini angeniona mbaya walah

    • @fabianalphonce3407
      @fabianalphonce3407 4 ปีที่แล้ว

      Kwan Nan kakwambia ukiwa Mkubwa ukiwa Mkubwa usilipe Kodi? Au hujui nn maana ya mjadala huu

  • @ibadiibadimp9870
    @ibadiibadimp9870 3 ปีที่แล้ว

    Yan wameyafanya yale mashamba vibya sana mm ni jiran kabsa tangu enzi za marehem swai