DC SABAYA: NATUMIA UBABE KUPATA SULUHU | HAI INAHITAJI UTATUZI WA CHANGAMOTO ZAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • #CLOUDS360 #CLOUDSMEDIAGROUP #DCSABAYA
    DC SABAYA NATUMIA UBABE KUPATA SULUHU | HAI INAHITAJI UTATUZI WA CHANGAMOTO ZAO HII NI KAZI YANGU MIMI KAMA MKUU WA WILAYA YA HAI

ความคิดเห็น • 687

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 3 ปีที่แล้ว +723

    Aliekuja kuangalia hii interview baada ya sabaya kutumbuliwa, gonga like hapa

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 ปีที่แล้ว +4

    Watu Mnaosema Eti Uyu Mubaya Mbona Amsemi Ubaya Wake Nanyi Jiepusheni Na Usemaji Wa Uongo Hoo Alimtesa Mbowe Ivi Mbowe Mwana Siasa Au Mfanya Biashala Uyu Alikua Anafanya Kazi Yenye Kuonekana Live Sema Wenye Chuki Nae Wakubwa Ivo Raisi Awe Na Jicho La Tatu Kwa Uyu Alikua Kiongozi Makini Sana Uyu

  • @mpinno2180
    @mpinno2180 3 ปีที่แล้ว +152

    Nimejifunza watu wanaomtajataja sana mungu huwa Ni watu wabaya sana

    • @samwelsengati1369
      @samwelsengati1369 3 ปีที่แล้ว +4

      Kabisa yani

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 3 ปีที่แล้ว +9

      WE JAMAA UNA AKILI SANA.....UMENIPA FUNZO ZITO SAAAAANA........

    • @ChangchunRealstateDragon
      @ChangchunRealstateDragon 3 ปีที่แล้ว +1

      So kweli hizo ni fikra zako tu

    • @benosilwani5208
      @benosilwani5208 3 ปีที่แล้ว +7

      Wewe ni genius, unaakili sana. Ogopa sana watu ambao katika maongezi yao wanamtaja taja sana Mungu.

    • @fredrickmathias6478
      @fredrickmathias6478 3 ปีที่แล้ว +3

      Tena sana yaan

  • @ibrahimkasongo
    @ibrahimkasongo 3 ปีที่แล้ว +7

    Sema jamani mti wenye matunda hupigwa mawe ushauri wangu ni uchunguzi ufanywe kwa kina huyu mtu anastahili cheo kikubwa kuliko hata DC

  • @jovinmancomedytz
    @jovinmancomedytz 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atakwinua tena kaangu tunatambua kuwa watu matajiri watu wahovu watu wasiyopenda kuona masikini nawosikumoja waishi maisha kama yao nauwaga hawapendi viongozi wapenda haki kama huyu sabaya nakuhaidi sabaya Mungu atakurudishia cheo kikubwa sana katika utawala najuwa yote yaliyokukuta nivita ya wafanyabihasha wakubwa tu nawatu matajiri Mungu akupemaisha melefu😥😥🙏🙏🙏

  • @princekagame8203
    @princekagame8203 3 ปีที่แล้ว +4

    Mimi ninachoamini kuhusu huy mtu hakupaswa kusimamishwa kazi alipaswa kupandishwa cheo kuwa waziri kamili, nimejifunza kwamba ukiona mtu anachukiwa sana na watu anatupiwa mikashifa kila Kona ujue huy ndo mtu sahii Kwan ilikuwaje kwa mugafuli ? Mh rais kama utamuondoa huy mtu wapiga dili watakushangilia wewe unataka kushangiliwa na watu gan?

  • @emmanuelntalima1717
    @emmanuelntalima1717 ปีที่แล้ว +1

    Zama zetu zinakuja usihuzunike, tutarudi kazini kwa nguvu mpya

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 ปีที่แล้ว +2

    Hilo tumbo lote limepotea mbele ya haki kuchukua mkondo wake

  • @isunga1964
    @isunga1964 3 ปีที่แล้ว +28

    Baada ya kufungwa miaka 30 jimekuja kuangalia interview

    • @preciousjohn9405
      @preciousjohn9405 2 ปีที่แล้ว +1

      Mm pia tafuta ukwel alikuwa anaendeshaje uongozi wake, nichuki au alikosea kwel

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 2 ปีที่แล้ว

      @@preciousjohn9405 n kwel mpuuz huyu

    • @machachehardware5975
      @machachehardware5975 ปีที่แล้ว

      Alishinda rufaa ya miaka 30

  • @allansamwel2948
    @allansamwel2948 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila sam hii interview dah Kama mlijua nn kitafwata mbele

  • @mohammedkimanga8960
    @mohammedkimanga8960 3 ปีที่แล้ว +3

    Sabaya kzi umeifnya umeiyona kutoka Kenya,,,,,,,uyu mma toka ashike uongozi ni kufuta wtu kila kukcha naona amejisahau anaona atakaa milele hpo uongozini

    • @ibratati3636
      @ibratati3636 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mama n mxhenzi watu wa magufuli wote wanadondoshwa mara wafe mara wazushiwe kesi....huyu mama n mshenzi sanaaaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @keffajacob8952
    @keffajacob8952 2 ปีที่แล้ว +2

    huyu mama samia...kapitia maelezo haya ya sabaya...nini maoni yake baada ya hukumu hii🤦‍♂️

  • @yakoboaizack1473
    @yakoboaizack1473 2 ปีที่แล้ว +1

    Ulitumia mwamvuli wa jpm kutapeli watu mkuu wa wilaya jambazi

  • @godblessmushi4093
    @godblessmushi4093 3 ปีที่แล้ว +4

    Niko hapa baada ya Hukumu kutoka. Ntakuja tena kuweka Comment baada ya Miaka 30 ya kutoka jela

    • @nizarurassa6480
      @nizarurassa6480 ปีที่แล้ว

      Ashatoka kaka!!!! Ushaamini mda unakimbia ee😂😂😂😂 nasubiria comment yako.

  • @fadhilibrahim8878
    @fadhilibrahim8878 3 ปีที่แล้ว +2

    yuko wapi vile huyu jamaa 🤣🤣🤣

  • @ibrahimsheha215
    @ibrahimsheha215 3 ปีที่แล้ว +3

    Limtu awajamaa wapowengi sana chuki ilizidi sana ccm haikuwa sawa kabisa nichuki2 ilizidi

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 2 ปีที่แล้ว +1

    UNAJIFICH KWENY KIVUL CHA DIN AYA ENDELEA KUMUAMIN MUNG

  • @yakoboaizack1473
    @yakoboaizack1473 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyo paka afungwe tu jambazi mwizi mbakaji

  • @erastobartalome2709
    @erastobartalome2709 2 ปีที่แล้ว +4

    Alafu kura nyingi zaidi ya coment 400 wamekukataa alafu 150 ndio wamekukubali hujafikia hata asilimia 22% mizani hii ni kipimo tu cha mawazo yangu wala sikukufahamu kiviile kwa kufanya upembuzi yakinifu sasa naanza kupata picha hukuwa ukitenda haki ati wenye smartphone hawakupendi ambao hawanasimu ndio wanakuelewa jmn,si hawapati taarifa zako wao wanasikia alafu we we unaenda kujisafisha .wenye simu janja wanaona video zako huyu jamaa ameulizwa maswali mepesi alafu amepuyanga kinomaaaaaaaa

  • @ombeniluka170
    @ombeniluka170 2 ปีที่แล้ว +1

    Umefika nchi ya ahadi

  • @elizabethkimbi3336
    @elizabethkimbi3336 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakulilia sabaya kama ulivyomlilia Maghufuli mwanangu mimi ni mpaka hii sina msaada wowote naweza kukusaidia

  • @briankatani8765
    @briankatani8765 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ile intevw ilimkaanga, ndiyo kesi ilianzia hapo

  • @joshuasabasi3118
    @joshuasabasi3118 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu fundi kweli amekuacha yatima

  • @mpinno2180
    @mpinno2180 3 ปีที่แล้ว +8

    Mmmmh kumbe we we ndo uliyemkata masikio maana unasema wananchi wamemkomesha

  • @petermangowi
    @petermangowi 3 ปีที่แล้ว +3

    Mpuuzi sana.

  • @youngbilioners4631
    @youngbilioners4631 2 ปีที่แล้ว +1

    No sense sabaya uwokoke

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 2 ปีที่แล้ว +6

    Baada ya kufungwa ndio nimekuja kuitazama hi interview

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi mwenyewe pia nimehuzunika kifo cha jembe magufuli

  • @danielombela1237
    @danielombela1237 2 ปีที่แล้ว +5

    Dada ukovizuri maswaliyako yanamlenga vizuri sana

  • @kihirirajabu4929
    @kihirirajabu4929 3 ปีที่แล้ว +3

    Sabaya tulia kama kweli siasa ni hatima yako badae mambo hayo yatakuwa mema yatakupa ukuu mda utasolve kila kitu

  • @dominickmhagama5952
    @dominickmhagama5952 3 ปีที่แล้ว +1

    Haha Sasa

  • @daressalaampost5785
    @daressalaampost5785 3 ปีที่แล้ว +2

    Mheshimiwa Sabaya ulikuwa kiongozi bora sana, natamani mimi ningekuwa na mamlaka ya uteuzi ningelikufanya kuwa waziri kabisa

  • @sulyshaaban9392
    @sulyshaaban9392 ปีที่แล้ว

    Sasa furahia matunda ya UBABE JELA na bado Mungu anakusubiri..yule mkubwa....

  • @jamessilwamba4259
    @jamessilwamba4259 3 ปีที่แล้ว +6

    kwisha habari yako dogo

  • @mbatatakiazi1678
    @mbatatakiazi1678 3 ปีที่แล้ว +3

    wenda kuna tusichokijuwa, najipa muda kupisha uchunguzi wa tuhma zinazomkabili.

  • @frankmwinuka8264
    @frankmwinuka8264 3 ปีที่แล้ว +6

    Dah nimekuelewa bro ila inchi hii cjui tupoje tukipata mtetezi ndio tunampiga mawe

  • @divaimafuru7633
    @divaimafuru7633 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndio interview yako ya mwisho ilikua eeh!!?

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa na makonda walikua hawana tofaut kuyatumia madaraka yao vibaya sana kunyanyasa watu

  • @yahayasalum2943
    @yahayasalum2943 3 ปีที่แล้ว +17

    Jitahidi sana na muombe Mungu sana binadamu mwingine asikunung'unikie kwa haki wala kumwaga chozi kwa wewe kumnyima haki yake.

  • @bennmagaya4503
    @bennmagaya4503 3 ปีที่แล้ว +37

    Duniani Ishi Na Binadamu Wenzako Vizuri Maisha Mafupi Sana..

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 2 ปีที่แล้ว +1

    Sabaya ni kiongozi mahiri na shupavu ndiomaana wahuni wanamtengenezea zengwe ila Mungu wa haki atajibu.

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 ปีที่แล้ว +2

    Clouds walijua uovu wote wa sabaya kabla ndio maana walimuita kwenye hii interview

  • @dianammari8431
    @dianammari8431 3 ปีที่แล้ว +6

    Hivi hamjui Mungu YUPO

  • @mickykiteu7446
    @mickykiteu7446 3 ปีที่แล้ว +4

    Kweli huyu jamaa jambazi na ulizww swali lakukata kijana masikio ana jibu kingine

  • @happydunstan9631
    @happydunstan9631 3 ปีที่แล้ว +11

    Na kweli umejibiwa na m mungu... Upandacho ndicho utakacho vuna... Ulipanda ubaya umeuvuna ubaya... Huyu mungu mnaependa kumtaja mjue kabsa ni mungu wa principal.. sasa tulia dawa iwaingie

  • @muhammedjuma2810
    @muhammedjuma2810 3 ปีที่แล้ว +2

    Hamna kitu wewe utaenda na maji tu hogopa sana watu wanao kulilia kwa ubaya.samia awezi kukuacha

  • @emmapaul1766
    @emmapaul1766 2 ปีที่แล้ว

    Wewe mpumbavu sabaya ndio umekomeshwa shenz wewe mbwa wa dictator linalooza chato.

  • @musason1680
    @musason1680 3 ปีที่แล้ว +6

    Daahh uyu jamaa mm kama namwelewa halafu anakataaa. Tena Namwachia mungu sasa

    • @officialjimmy0267
      @officialjimmy0267 3 ปีที่แล้ว +1

      Mm mwenyew namuon kma yuko poa af inakataa

    • @musason1680
      @musason1680 3 ปีที่แล้ว

      @@officialjimmy0267 shida jamaa ana show on anataka kila anachofanya aonekane

  • @israelmlay7189
    @israelmlay7189 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubabe ni mamboya ujima. Je, tangu wakati wa Baba wa Taifa DC wa hai alikuwa mbabe? Endelea na ubabe, utawajibishwa tu. Sasa unaanza kujipendekeza, hustahili kuongoza hata mbuzi waingie zizini

  • @apostleadamgige4662
    @apostleadamgige4662 3 ปีที่แล้ว +31

    Kwa sabaya kutumbuliwa nimeshukuru Sana, Mungu amejibu maombi yetu

    • @mayele_jr3096
      @mayele_jr3096 3 ปีที่แล้ว

      Hebu nidokeze sababu nimerudia hap nione kosa

    • @kilimanjaromegaexpeditions8527
      @kilimanjaromegaexpeditions8527 3 ปีที่แล้ว

      @@mayele_jr3096 huo walaka wa yy kusimamishwa umeusoma??????
      Ina maana rais kamuonea??????

    • @amirysaimon9488
      @amirysaimon9488 3 ปีที่แล้ว +2

      Nimefurai mweee. Keisha habari yako sabayaaaaaa

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 3 ปีที่แล้ว +2

    Nyie clouds kwann hamjamuita mbowe kama kweli mnazingatia usawa wa taarifa?

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 ปีที่แล้ว +1

    Nipo apa baada yahukumu yaSabaya

  • @manmill2444
    @manmill2444 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa kapungua, kweli alaaniwe mtu yoyote amtegemaye binadamu Kama kinga Yake 😂😂

  • @singasinga2663
    @singasinga2663 3 ปีที่แล้ว +41

    Tupo hapa ila mda utasema cheo in dhaman

    • @efronaaron6772
      @efronaaron6772 3 ปีที่แล้ว +1

      Washakula kichwa

    • @singasinga2663
      @singasinga2663 3 ปีที่แล้ว +2

      @@efronaaron6772 nilisema huyu muda UTASEMA naona waliokuwa wanamsifia hapa wapo dwiiiiii

    • @jeniphaurio4665
      @jeniphaurio4665 3 ปีที่แล้ว +2

      Mwanangu ulijua au.vip.mana keshatumbuliwa

    • @singasinga2663
      @singasinga2663 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jeniphaurio4665 No kaka Nivile Ngoma ikivuma sana kifuatacho kupasuka

    • @josephmatiko6743
      @josephmatiko6743 3 ปีที่แล้ว

      Wewe upo kwenye system au?

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 ปีที่แล้ว

    clouds mlikuwa mnakaribisha wahuni kwenye kituo chenu

  • @danielombela1237
    @danielombela1237 2 ปีที่แล้ว +2

    Ohopa watuwanao mtajataja mungu wanayasana

  • @linuskyando4155
    @linuskyando4155 2 ปีที่แล้ว +1

    OGOPA SANA WATU WANAOMTAJA MUNGU SANAA

  • @mcjogopah8513
    @mcjogopah8513 3 ปีที่แล้ว +1

    Sabaya Jambazi nani Shetani

  • @julybwana2844
    @julybwana2844 ปีที่แล้ว

    Tujuane kwa like waliorudia kutazama Aya mahojiano ya sabaya na kuumia kusota gerezan mpak Sasa.

  • @davallamchambe5275
    @davallamchambe5275 3 ปีที่แล้ว +6

    Basi nimeelewa kwanini umeachishwa kazi kuna kikundi cha majambazi wanaikontroo ile familia iliyofiwa na baba yao

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 2 ปีที่แล้ว

    Madictator, wanajua kujenga hoja, utadhani ni Malaika wametumwa na Mungu, kuja kutengeneza Dunia.

  • @elizabethelisaria6730
    @elizabethelisaria6730 3 ปีที่แล้ว +4

    Kila mtu akipewa nafasi ya kujitetea! Kujiosha! Hataacha kuitumia

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 ปีที่แล้ว

    Hii interview I hifadhi we kwani ndio ilikuwa ya mwisho kwa Huyu jamaa akiwa na cheo. Laiti angejua siku ile kuwa ndio wakati wake wa mwisho kuvaa suti akiwa na madaraka angelijibu Maswali vinginevyo

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 2 ปีที่แล้ว

    Mwongo mkubwa mkundu wako mbona ukayapata haya mungu hangekuacha ukateseka unavitu ulifanya mabaya sana mnafiki sana wewe mshahara wa dhambi mauti nyoko wee

  • @joycemndeme1395
    @joycemndeme1395 3 ปีที่แล้ว +2

    Uko sahihi kuna sehem lzm uwe mbogo ndo mambo yanaenda mfano Wa yesu nimeuelewa na mzee Magu alikutuma hai kwasababu inshaallah utakuwa huru

  • @novaabas4621
    @novaabas4621 3 ปีที่แล้ว +1

    .

  • @emmanuelmeshuko1416
    @emmanuelmeshuko1416 3 ปีที่แล้ว +46

    Kweli hii interview ilipikwa kwa makusudi maalum

    • @azizalivingston1954
      @azizalivingston1954 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwer sabay

    • @majaladubai9698
      @majaladubai9698 3 ปีที่แล้ว +3

      HUYU JAMAA HAFAI ANAROHO MBAYA SSANA WAPO WENGINE WALIJIFANYA KUGOMBEA UBUNGE NAKUACHA UKUU WA MKOA NAWAJUWA HAWAPATI UBUNGE NIA NIKUCHOMOKA ILI WIZI NA NA MAIVU YAO YAFUTWE HAPANA WAFUATILIWE. WAMEKUSANYA MAPESA MENGI SANA

    • @majaladubai9698
      @majaladubai9698 3 ปีที่แล้ว +4

      FAGIO LIPITE WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WENGI WALIWEKWA KIMAKOSA. SAMIA CHOMOA WAKO WENGI WILAYANI MIKOANI

    • @elizabethkimbi3336
      @elizabethkimbi3336 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa hiyo angekwenda kujieleza wapi asinine na hao wanaomsulubu sasa

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 3 ปีที่แล้ว

    Wewe tu ndio ulikuwa mkuu was wilaya peke yako ulifanya mabaya peke yako hukutumwa jpm

  • @jamesminja3273
    @jamesminja3273 2 ปีที่แล้ว

    haya matakataka hhaya yaliteuliwa kwa kusudi moja tu ya kwenda kuuwa watu akiwemo mbowe, na wengine wote watakaomjibu huyo mbwa wao! akafie mbali na upumbavu wake azikwe kuzimu

  • @aizaamsuya9966
    @aizaamsuya9966 3 ปีที่แล้ว +4

    mungu ndo anajua ukweli sabaya sisi hatukuhukumu ila kama wewe ni mkweli mungu ndo anajua na kama wewe ni muongo mungu ndo anajua.pambana ndugu I pray for ukweli ujulikane ukweli au uongo.we need you

    • @janethsadock4559
      @janethsadock4559 3 ปีที่แล้ว

      Pole sana na mungu wako,Ila Mungu wetu sisi tunaemuamini amefanya kazi yake

  • @KukuVillage
    @KukuVillage 2 ปีที่แล้ว

    Mungu fundi... 😂😂😂😂 Mungu huwa hadhihakiwi..

  • @helenapeter3300
    @helenapeter3300 3 ปีที่แล้ว +3

    Maneno yako na vitendo haviandani ushetani umejaa ndani yako umejisahau kabisa kwamba kuna mungu na mwisho wako

  • @cahilljr3336
    @cahilljr3336 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaa aliupga mwingi sana alijiita mpk general dah
    Nchi ngumu sana hii

  • @majosamalundi3687
    @majosamalundi3687 2 ปีที่แล้ว

    Kile kinunu kinacho onekasa makamani kichwani sikioni itakuwa alipigwa lungu

  • @zenaabdallah3797
    @zenaabdallah3797 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU YUPO BINADAMU HATUNA SHUKURANI MUNGU ATAKUTETEA CKU 1 UTATOKC TU.

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa maelezo haya ya sabaya amepewa adhabu stahiki.
    Amelaaniwa amtegemeae mwanadamu.

  • @victorkivuyo6126
    @victorkivuyo6126 2 ปีที่แล้ว

    IMEKULA KWAKO NA MCHUMBA UKITOKA UTAMKUTA AMEKUWA KOOKOOO, MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI KABISA NA MHESHIWA GAMBO

  • @mofatv5565
    @mofatv5565 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtu Katili

  • @augustinokingazi8301
    @augustinokingazi8301 3 ปีที่แล้ว +21

    Yaan sabaya ni muongo anajificha kwenye mwamvuli wa Mungu kumbe mbaya sana. Tunashukuru bado heri james

    • @davidmwita139
      @davidmwita139 3 ปีที่แล้ว +1

      Kafanya nn

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

      Kusema mungu haimaanishi ndiye Mungu muumbaji bali matando ya mtu hudhihirisha ni Mungu gani anamtumikia maana wale wa Mungu wa haki hutenda haki, YESU kasema kila mtu humtii babaye, akawaambia Mimi namuheshimu baba yangu ,ninyi mnazitenda kazi za baba yenu ibilisi,

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 3 ปีที่แล้ว +18

    Tunamshukuru mama kwa kututolea huyu kiumbe.

  • @kauryatechnical993
    @kauryatechnical993 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli arusha na hai kuna Tabia za namna hii kuzibiti waarusha na hai kunaitaji mtu kama sabaya .sabaya alizibiti majambazi inajulika wazi tu arusha na hai wanaishi wachaga wengi wezi

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 3 ปีที่แล้ว +47

    Endeleeni kujificha kwa maneno,Mungu ataendelea kuanika uovu wote nje

  • @mushimushi801
    @mushimushi801 3 ปีที่แล้ว +3

    Nahona mungu wakutaniya Aminaa

  • @jamesminja3273
    @jamesminja3273 2 ปีที่แล้ว

    sabay ni takataka kabisa hakuna pointi hata moja anayozungumza rubbish kabisa yani daaaaaaaah

  • @isayasaidi8861
    @isayasaidi8861 3 ปีที่แล้ว +2

    Hutakiwa kutokana na matumizi yako mabofu na utumiaji mabofu ya madsraka yaani wewe hukumu ya dunia tayari bado ya jehanamu

  • @happymwanguo2521
    @happymwanguo2521 3 ปีที่แล้ว +2

    Machozi ya mtu hayaachagi mtu salama kaka,utavuna ulichopanda

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 3 ปีที่แล้ว +8

    Hivi kuna baadhi ya watu wakisema Mungu huwa wanamaanisha wanachokiongea au wanalichukilia kama neno jingine.

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi yako haikuwa kukusanya kodi bro kwan we TRA? Ushapgw chini na tumbo lako.

  • @muemedealuco2987
    @muemedealuco2987 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nilifurahi sana

  • @duoxmasisa6529
    @duoxmasisa6529 3 ปีที่แล้ว +14

    Kweli M/Mungu ni fundi umekwenda na maji2,kija huwa nakupenda mno ila ckuelewi ckuhz

    • @Chrishenryson-beats
      @Chrishenryson-beats 3 ปีที่แล้ว

      Kija me nilishaona yupo kimaslahi zaid alafu anategemea sana teuzi kuliko kazi yake

    • @krizofrancisco1287
      @krizofrancisco1287 2 ปีที่แล้ว

      Kijana amefanya mazuri mengi ila mabaya machache ndo yamekuzwa ni sawa na mwalimu kufelisha wanafunzi wawili kati ya mia then unamfukuza kazi

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 ปีที่แล้ว +2

    Tumia ubabe Ili usitumbuliwe sasa

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 2 ปีที่แล้ว +1

    Yep, yote siku uachanane na hayo yote hakika sabaya ndugu wangu utakuwa umejifunza mengi nzuri,,, naamini hutarudia...

  • @abedmzungu9057
    @abedmzungu9057 3 ปีที่แล้ว +10

    Kwaheri kwaheri😂😂

    • @amirysaimon9488
      @amirysaimon9488 3 ปีที่แล้ว

      Akuteteee Nani sabaya wewe. Sabaya chariiiii

  • @happymushi8197
    @happymushi8197 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu halali wala hasinzii. Sabaya kapambane na hali yako.

  • @felixhaule7071
    @felixhaule7071 2 ปีที่แล้ว

    Kumamayo,shikwashikwa makalio Jela huko matako yako

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 2 ปีที่แล้ว

    Hii inaitwa kuondoa kero kwa kutumia kero....

  • @augustkisaka5107
    @augustkisaka5107 ปีที่แล้ว

    Mwenda pole ajikwai ,ila sabaya ameenda haraka

  • @collinmhema5443
    @collinmhema5443 2 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo ujambazi walo ulikuwa na baraka zake

  • @kamanda007
    @kamanda007 2 ปีที่แล้ว +2

    Jambazi zulumati hili limesekwa ndani sasa, limeonea wengi sana

  • @erastobartalome2709
    @erastobartalome2709 2 ปีที่แล้ว

    Ole nimegundua kuwa hapa ulianza kupuyannga hapa clauz efem unaviashiria vya hiyo shutuma ila pambana utakua umejifunza we we pia ni mwanadamu piga moyo konde broo