SIKU 767 za MSOTO wa SABAYA JELA - VILIO, UGONJWA, MKEWE, AAMBIWA USITENDE KOSA la JINAI TENA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 เม.ย. 2023
  • SIKU 767 za MSOTO wa SABAYA JELA - VILIO, UGONJWA, MKEWE, AAMBIWA USITENDE KOSA la JINAI TENA...
    Aprili 05, 2023 itakuwa ni siku ya ukombozi yenye kumbukumbu muhimu kwa Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya.
    Hii ni baada ya kuachiwa huru baada ya kusota jela na mahabusi za Magereza ya Kisongo jijini Arusha na Karanga mjini Moshi yapata siku 767 za vilio, kuumwa na mateso ya kila aina.
    Sabaya ameachiwa huru baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Moshi kupitia Kifungu cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai namba 91 kifungu cha 1A, kesi yake ya Uhujumu Uchumi ya mwaka 2022 kisha kuifanyia kesi hiyo mabadiliko!
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 28

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @singanomakumba1956
    @singanomakumba1956 ปีที่แล้ว +1

    Miminiko wilaya yalushototu sabaya katika kipindi chake utendaji kazi mukuu wawilaya haipiti siku sijafatilia mungu hamtupi mjawake

  • @habibajohn8967
    @habibajohn8967 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ameonesha utukufu kwko

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 หลายเดือนก่อน

    Wala sio jambazi mtoto wa watu.yaani kuna makabila kazi yao ni dhuluma tu ili wapate pesa ..ila Mungu amesaidia huyu kijana sijawahi kukusa kumuombea Mungu mkumbuke tena sabaha

  • @uyanjomichael8564
    @uyanjomichael8564 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka sabaya

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

    Hongera saana

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 ปีที่แล้ว +1

    Sabaya sina udugu nae sabaya sijawahi kuwa karibu nae wala kutuongoza katika wilaya yangu ya korogwe lakini mimi nilimuombea sana kwakweli nimtu alituonyesha kuwa vijana tunaweza

    • @lucaschisamalo2852
      @lucaschisamalo2852 ปีที่แล้ว

      Inabidi ukapimwe akili

    • @raniahj4931
      @raniahj4931 ปีที่แล้ว

      @@lucaschisamalo2852 ww ndo ukapimwe Akili

    • @LaizaErnest
      @LaizaErnest ปีที่แล้ว

      ​@@lucaschisamalo2852 😂 kabizaa

  • @zachariahariohay359
    @zachariahariohay359 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mkubwa

  • @isayakazimoto3192
    @isayakazimoto3192 7 หลายเดือนก่อน

    😢m

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 ปีที่แล้ว

    Nimeamini inchi hii ukiwa na pesa hufugwi kesi Saba zote kashinda jamani

    • @kissamwamunyange1018
      @kissamwamunyange1018 ปีที่แล้ว

      Wewe unanijua kesi yoyote ya sabaya?

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 ปีที่แล้ว

      Lucas, wewe unautindio wa ubongo. Hivi sabaya ana pesa gani ambazo toka kesi ianze zisingeisha?

    • @lucaschisamalo2852
      @lucaschisamalo2852 ปีที่แล้ว

      @@elishakayagwa9371 unajina nzuri mkichwa hamna kitu sabaya hivi angekuwa mtu wakawaida unatokaje kwamfano mwizi wakuku tu jela unasema nini haya maneno yatunze ipo siku utajuwa bwana mdogo

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 ปีที่แล้ว

    Wewe mtangazaji pumbavu sana.wewe mwenda zake ni baba yako na mama yako pumbavu wahedi wewe nyooooooo

    • @otmanmbwilo9117
      @otmanmbwilo9117 ปีที่แล้ว

      hii n dunia tuuu chochote chaweza kutokea

  • @thomaskabungo2211
    @thomaskabungo2211 ปีที่แล้ว +1

    Ni jambazi sugu

  • @Marjeby
    @Marjeby ปีที่แล้ว

    Huyu Mjinga hakutakiwa kutoka kwa hukumu hiyo kabisa eti Condition bail huyu alitakiwa kufungu tu hata kama mwaka mmoja tu ingewafariji wahanga wa vitendo vyake akiwa mkuu wa wilaya.
    Sabaya amefanya ujambazi amedhulum amebaka amekula rushwa kipindi cha utawala wake amefanya vitu vingi sana vya kinyama Sabaya na Makonda wana laana ya Nchi hii kwa laana hiyo wakatafute cha kufanya sio uongozi tena laana haita waacha

    • @aminamavura6834
      @aminamavura6834 ปีที่แล้ว

      Hakuna mkamilifu katika jua hili

    • @lucaschisamalo2852
      @lucaschisamalo2852 ปีที่แล้ว

      Ametoka lakini ataishi maisha kama ya makonda yakujificha

  • @isayakazimoto3192
    @isayakazimoto3192 7 หลายเดือนก่อน

    😢m

  • @isayakazimoto3192
    @isayakazimoto3192 7 หลายเดือนก่อน

    😢m

  • @isayakazimoto3192
    @isayakazimoto3192 7 หลายเดือนก่อน

    😢m

  • @isayakazimoto3192
    @isayakazimoto3192 7 หลายเดือนก่อน

    😢m

  • @isayakazimoto3192
    @isayakazimoto3192 7 หลายเดือนก่อน

    😢m