Salam pole sana stahamili ndio dunia duniani kuna wavuta bangi kuna walevi wengine hata lugha hawafahamu unachokisema ukiwa na subira utafanikiwa nakutakia kila la kheri tizama mbele usigeuke nyuma sote tunakupenda Mwenyezi Mungu akuhifadhi wewe na Familia yako.
Shukran dada jamilah,mola akuzidishie umri ,afya na maarifa zaidi.kuna watu kweli hata nani aje kuwahubiria hawabaliki.roho zao zimejaa kinyongo na wivu.waache wataungulia tu.
Pole sana kipenzi - hakuna mkamilifu wasaameh kwa aji ya Allah nawewe Allah atakusaameh mashaallah upo vizuri mimi ninakupenda sana Allah akupe umri mrefu
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Dadaangu watu kama hao wasikushughulishe. Asilimia kubwa ni wale wafuata mkumbo. Wengi wanapenda upumbavu kuliko vitu vya maana. Allah akujaze kheir dadaangu.
Subhanaallah binadamu ndio walivyo tumuombe mwenyezi mungu kwa kila lakheli yaarabi ameen. Binadamu ukimuona anakuja na matusi ujuwe ni wivu ndio unatusumbua
Maa shaa Allah unafanya vizuri sana. Hizo challenge usijali ndio maisha. Hakuna apendwae na wote naona umemaliza maneno. Allah akubarik na akupe afya njema
Nakupogeza sana dada jkizondo mungu akupe mazuri Mimi ni mtoto wajiraninyenu kongowea kwa marhmu juma mkamba nakutakia heri nitumie namba yako ya SIM nitakupigia dadangu
Pole Dear! Ila dear ukiamua kukaa mtandaoni basi kubali matokeo na ujue kuna watakaokupenda na kukusapoti wakisikiliza maneno yako, kuna watakaokuchukia na kukuudhi wakisikiliza maneno yako na kuna wengine hata usiposema just uso wako tu unaonyesha watakupenda au watakuchukia.
Kweli kabsaa..... Ikiwa mtu hana haja na ww angaalie kwengine kwani kalazimishwaa kuwatch videos zako😂😂 Mm pia naenjoy watching u na nakupenda sanaa dadangu.... Mungu akupe afyaa😊❤
A Alleikum Jay, i just Want to say something, as long as you know what you are doing is nothing wrong, then achana nao mahasidi. Waja hawakosi la kusema, hiyo ni nayo kazi. Asiejua maana usimpe maana !!! Continue doing what satisfies yourself 😊😊
Here from Uganda. I love you jamila. Keep doing what you are doing 👏 👌. I love your mapishi, your advice, etc. May Allah grant barakah 🤲allahumma amiin
Afuani dada yangu achana na watu.awajui utu au ubinadamu pia.walio kutusi no kuona wivu usijali ALLAH MAHAKI na atakuli.dont care binafamu ndio walivyo wanaona umepata ILOVE
Mash allah jamila nakupenda sana Sijaona jambo hata moja baya Lakini binadam hatuna wema huo woote ni wivu na hasad Wa minshar hasidin idha hasada zitawarudia wenyewe
Waalykum msalam warahama tulilah wabarakatuh, Masha Allah mum ❤️ Mimi nakupenda Sana mmngu, Allah akufungulie milango yote ya heri ww mum Na watoto Amin yarabiil Alamin, I love you so much mum,
Jamila ignore wasio penda na hi clip imethibitisha wewe ni mtu waina gani kwa speech ulio wapa. I hope kila alie kukosea na kukutukana atajikaumu na atamuomba mungu amsamehe kabla yako kuwaswamehe. Keep on mungu atakupa taufik. We are enjoying everything from you.
Park nzuri hata sakafu yake nimeipenda akianguka haumii. Viongozi wa Afrika wanawaza kutafuta pesa binafs tu! Unaeza kumkuta na park km hio lkn yake mwenyewe na inamuingizia pesa.
Dada wewe songa mbele,comments mbaya najua zinaumiza ila watu kama hawa huwa hawana kazi.kinachonishangaza kama mtu hapendi page ya mtu kwa nini unaiangalia? Tunakupenda hao achana nao.
@@Swamadu-om3uj kweli baba mbwa lake ni kubweka 😂. Swali limekushinda sasa wajaribu ya ndoa yako bado waitafuta mitandaoni na kiki juu😂😂 pole yako the dog father
Salam pole sana stahamili ndio dunia duniani kuna wavuta bangi kuna walevi wengine hata lugha hawafahamu unachokisema ukiwa na subira utafanikiwa nakutakia kila la kheri tizama mbele usigeuke nyuma sote tunakupenda Mwenyezi Mungu akuhifadhi wewe na Familia yako.
Mti wenye matunda ndiyo hupigwaa mawe--umewashindaa hao mahasidi
Okhti jamila hao ni mahsidi usi wajali sisi tuko nawewe inshallah 💞👍
Shukran dada jamilah,mola akuzidishie umri ,afya na maarifa zaidi.kuna watu kweli hata nani aje kuwahubiria hawabaliki.roho zao zimejaa kinyongo na wivu.waache wataungulia tu.
Wivu za viumbe mungu akupe kila la kheri.
Pole sana kipenzi - hakuna mkamilifu wasaameh kwa aji ya Allah nawewe Allah atakusaameh mashaallah upo vizuri mimi ninakupenda sana Allah akupe umri mrefu
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh.
Dadaangu watu kama hao wasikushughulishe.
Asilimia kubwa ni wale wafuata mkumbo.
Wengi wanapenda upumbavu kuliko vitu vya maana.
Allah akujaze kheir dadaangu.
Usijali dada yangu, heshemu mingi na upendo mashaAllah🌬💓
daaah pole sana dada ndio mambo ya mitandain hayo ukubali yote
Subhanaallah binadamu ndio walivyo tumuombe mwenyezi mungu kwa kila lakheli yaarabi ameen. Binadamu ukimuona anakuja na matusi ujuwe ni wivu ndio unatusumbua
Sahih .... Subra yarab
Maa shaa Allah unafanya vizuri sana. Hizo challenge usijali ndio maisha. Hakuna apendwae na wote naona umemaliza maneno. Allah akubarik na akupe afya njema
mashallah achia mungu jamila usijali 👍🏻❤️
Twakupenda sana sister usijali ukhty wangu wivu tu huwo subhanallah ❤❤❤❤❤
Nakupogeza sana dada jkizondo mungu akupe mazuri Mimi ni mtoto wajiraninyenu kongowea kwa marhmu juma mkamba nakutakia heri nitumie namba yako ya SIM nitakupigia dadangu
Wa Alaykum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh. Maa Shaa ALLAH. Nasi Twawapenda Kwa Ajili Ya ALLAH. Jumma Mubarak ❤
Mti mwenye maembe haukosi kupurwa.mamy mungu atuongize alokamili ni allah zidisha swadaqa mamy na mawfira habibty
Tunakupenda jei..wivu ndio inawasambua..wakwende huko...mimi shabiki wako..nakupenda.watching from st louis missouri.
Pole Dear! Ila dear ukiamua kukaa mtandaoni basi kubali matokeo na ujue kuna watakaokupenda na kukusapoti wakisikiliza maneno yako, kuna watakaokuchukia na kukuudhi wakisikiliza maneno yako na kuna wengine hata usiposema just uso wako tu unaonyesha watakupenda au watakuchukia.
Pole dada sisi mashabiki wako tuna enjoy na tunakuomba usishuhulike na hao mahasidi kama hawaenjoy watowe video zao
Kweli kabsaa.....
Ikiwa mtu hana haja na ww angaalie kwengine kwani kalazimishwaa kuwatch videos zako😂😂
Mm pia naenjoy watching u na nakupenda sanaa dadangu....
Mungu akupe afyaa😊❤
Hao ndo mahasidi wenyewe
A Alleikum Jay, i just Want to say something, as long as you know what you are doing is nothing wrong, then achana nao mahasidi. Waja hawakosi la kusema, hiyo ni nayo kazi. Asiejua maana usimpe maana !!! Continue doing what satisfies yourself 😊😊
Alhamdllah dada nimependa sana❤
Here from Uganda. I love you jamila. Keep doing what you are doing 👏 👌. I love your mapishi, your advice, etc. May Allah grant barakah 🤲allahumma amiin
Ameen nkuagala nyoo
Asalam usiwqjali Dada angu tunakupenda na kutuelimisha na ucheshi wako allwaa azidi kukupa upeo Dada angu hao wanaotukana matahiraaa
Jamila wala usijali mpenzi endelea nasie tunafurahi . Alka atakusaidia ❤
Sawa sawa u are saying jamila proud of you.
Let the Dogs bark
Keep on with your good videos👌🇰🇪
Afuani dada yangu achana na watu.awajui utu au ubinadamu pia.walio kutusi no kuona wivu usijali ALLAH MAHAKI na atakuli.dont care binafamu ndio walivyo wanaona umepata ILOVE
As vp I hope u ok mm nakuomba kitu kimoja nataka ufatiliye vyakula vyakiswahi kutoka kote. Zanzibar Comoro lanu unganda
Ukisema unataka ndio kumaanisha nini? Mimi sijazaliwa kote nimezaliwa mombasa kenya.
Keep doing what you’re doing sister, napenda info you are giving out, just ignore the negativity and distractors.
Ma shaa Allah nakuoenda from 🇹🇿 nakupenda video zako zinafurahisha na kuelimisha usimvunjike moyo na comment za watu wachache wasio kupenda achana nao
👊👍✌️.
Mashaallah safi sana.usijali matusi ya wakosefu.
TunAkupenda pia watching frm Bahrain
Kweli sana habby
Mashaallah Allah akuhifadhi twafurahi
Mash allah jamila nakupenda sana
Sijaona jambo hata moja baya
Lakini binadam hatuna wema huo woote ni wivu na hasad
Wa minshar hasidin idha hasada zitawarudia wenyewe
We love you, we enjoy your videos alway,mashaAllah,
Waalykum msalam warahama tulilah wabarakatuh, Masha Allah mum ❤️ Mimi nakupenda Sana mmngu, Allah akufungulie milango yote ya heri ww mum Na watoto Amin yarabiil Alamin, I love you so much mum,
Tunakufurahia
Achana nao mii nakupenda sana ha sa vyakula vyako na jinsi mnavyoongea na Jomba
Jina lako Jamila na Allah kakuumba jamilat (mzuri)
MashaAllah hiyo ni neema sababu penye neema hapakosi hasidi kwa hivyo shukuru
Mashaallah tabarakallah swadakta
Jkizondo mie nakupenda❤❤😊😊
Mashaa Allah.
Wivu tu. Allah atunusuru.
Maskini
happy
Maasha Allah
Jamila ahsante hao wanakutuka wapotezee
Swadakta habibty
Jamila watu wako hivyo na watu siwote ambao watakupenda watu wana wivuu dada wachana nao
Usihudhunike sister mbona wengine unatufurahisha sana na wasipenda achana nao ❤❤❤
Na sisi piya twakupenda Kwa ajili ya Allah
SHUKRAN UKHTI KWA MANENO YAKO YA BUSARA MUNGU AKUBARIKI..
Twakupenda kwa ajili ya Allah
Jamila ww ni super woman....be strong dadaz
Toa Shaka hasada tu za watu wivu tu k wanza wengine haw ajui kupika vyakula kama hivyo unavyo pika achana nao
Allaah Atakunusuruuw in sha Allaah
Achana nao Hao daa tuko pamoja na wewe kwanza nifanyiye mpanqo nikitoka huku Saudi usirudi hata Kenya nitafuliziya huko uliko😂😂😂
❤️❤️❤️Unafanyavizurimanshaalla
Ardhi zote zime nyakuliwa na hao viongozi pakuweka play groundw ni shida
Good
Jamila tunakupenda, hao wengine achana nao wenyewe wanamastress yao wanataka kumalizia makasiriko yao kwa watu wengine, habibty endelea kutujuza
Ucjali sister wala wckubabaishe hao mahacd
Jamila ignore wasio penda na hi clip imethibitisha wewe ni mtu waina gani kwa speech ulio wapa. I hope kila alie kukosea na kukutukana atajikaumu na atamuomba mungu amsamehe kabla yako kuwaswamehe. Keep on mungu atakupa taufik. We are enjoying everything from you.
Park nzuri hata sakafu yake nimeipenda akianguka haumii. Viongozi wa Afrika wanawaza kutafuta pesa binafs tu! Unaeza kumkuta na park km hio lkn yake mwenyewe na inamuingizia pesa.
Utoe namba dada
Tumeshindwa na watu WA malindi, buntwani Bahraini wamewajengea watoto Bure wafurahi
Subra inahitajika ,tunakupenda kwa ajili Allah
Subra dada yangu binadam hawachukuliki
What in this world will you do binadamu akufarihikie i am very dissapointed with those with who did that...Abayo washideie kwa ALLAH☝️
Ndoo nn haramu kabisa
Dada wewe songa mbele,comments mbaya najua zinaumiza ila watu kama hawa huwa hawana kazi.kinachonishangaza kama mtu hapendi page ya mtu kwa nini unaiangalia? Tunakupenda hao achana nao.
Alhamdulillah Shukran bidada mpishi mwenzangu ❤️❤️! Yes tunaendelea ya yetu kama kawa mama dawa Alhamdulillah love you
Acha ujinga kz ya mwnmke stara ww mbwa
Mimi mbwa na wewe utajiita nani?
@@jkizondoswahilibites434 kaeni na ndowa zenu acheni kick mnmke stara
@@Swamadu-om3uj kweli baba mbwa lake ni kubweka 😂. Swali limekushinda sasa wajaribu ya ndoa yako bado waitafuta mitandaoni na kiki juu😂😂 pole yako the dog father
Achana na wajinga yote wivu ,endeleya na yako mwaya
Hao wa matusi ni washamba mafala.wajinga.wandawazimu.
Dada kiumbe mzito fanyayako pambana namazuri
Mmpia nafiuraiya unatuonyesha mji mungu akupe afya njema asadi ikukaliye mbali