Kutana na Jamila Kizondo, mchekeshaji anayeutangaza utamaduni wa Mswahili Marekani
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ค. 2022
- Jamila Kizondo amejizolea umaarufu mitandaoni kwa kutumia kwake vichekesho kuutangaza utamaduni wa Mswahili nchini Marekani. Leo ndiye malkia wetu kwenye KURUNZI WANAWAKE, ambapo Fathiya Omar kutoka Mombasa amezungumza juu ya kazi zake. Kurunzi 20.07.2022.
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. ALLAHU BAARIK 🤲
Love u jamila go a haed mashaalah mashaalah
Really i want to meet
You are a fun person with a good soul