Allahmdulillah pya mm nilianguka saudi kiubav maumivu nliyskia bt skwa muda Lia kulkuwa n bardi Uwa naskia n mshkuru Allah kunpea somo. Ane mtumikia Allah ma sha Allah mjina y jamilah yna faida zke
Pole saana dadaty Allah akurejeshee Afya njema kwa rehma zake.dadaty naomba bamba yako ya GSM.mm nipo oman lkn nilikuwa na kufatilia wakati upo uzunguni niliona unavyo uza vyakula na pia ulipo fika oman ukasema upo nizwa.
Pole. Imeanguka vipi.. Umesema kweli. Ata mie niliwahi kianguka kwa Mwili na kwa Maisha. Thanks for giving Courage to others. Definitely, Allah swt Only is the One to depend on.
Shukran Sana Habbty❤ Allah akulipe kila la kheri kwa kitu adhwimulichokieleza hapa , umeongeza Imani zetu na umefanya tuikimbilie subra kwani Allah atatupa tu faraja
Alhamduliaahh😢.... Mola atakupa subra kwa mitihani iliokufika,na Allah Atakupa shifaa ya harakaa urudi ktk hali yko ya Kawaida🤲🥹.... Nakupenda My Dear❤
Ameen.! Uwazi wa mtihani wangu utasaidi vp jamani? La umuhimu ni kuelewa uzuri wa mapenz alonipa Allah na vp kuvuka challenges anazotupa. Hili ndio la faida
Allahmdulillah pya mm nilianguka saudi kiubav maumivu nliyskia bt skwa muda Lia kulkuwa n bardi Uwa naskia n mshkuru Allah kunpea somo. Ane mtumikia Allah ma sha Allah mjina y jamilah yna faida zke
Umeiongeza iman yangu... Shukran Allah akulipe
Alhamdulillah Alhamdulillah mitihani yote ni kutoka kwake. Twakuombea shifaa ya haraka
Shukran sana kwa hii nasaha Allah akujalie uzidi kutukumbusha na wewe Allah akupe shifaa ya haraka Amin
Alhamdulillah ala kulihaal! Pole kwa mitihani, Allah akufanyie wepesi. Allahumma Amiin
Thanks for sharing
Pole sana yangu nakupenda sana kwa ajili ya mungu.❤
For Everything we say Alhamdulilah
Pole saana dadaty Allah akurejeshee Afya njema kwa rehma zake.dadaty naomba bamba yako ya GSM.mm nipo oman lkn nilikuwa na kufatilia wakati upo uzunguni niliona unavyo uza vyakula na pia ulipo fika oman ukasema upo nizwa.
Pole.
Imeanguka vipi..
Umesema kweli.
Ata mie niliwahi kianguka kwa Mwili na kwa Maisha.
Thanks for giving Courage to others.
Definitely, Allah swt Only is the One to depend on.
Shukran Sana Habbty❤ Allah akulipe kila la kheri kwa kitu adhwimulichokieleza hapa , umeongeza Imani zetu na umefanya tuikimbilie subra kwani Allah atatupa tu faraja
Alhamduliaahh😢....
Mola atakupa subra kwa mitihani iliokufika,na Allah Atakupa shifaa ya harakaa urudi ktk hali yko ya Kawaida🤲🥹....
Nakupenda My Dear❤
Allah Hafidh.
Allahumma Baarik sis, you made me cry. May you get closer to Allah SW. ❤
Amen May we all get. closer to Allah Ameen… ❤❤❤❤
Pole dada mungu akupe shiffa
@@jkizondoswahilibites434Amiin yaa Rabbi
Mashallah pole sana Allah atakuaf atakurejeshea uzimawako Amiin
Kweli na mfano mzuri maana hukusema umepata hasad wala kijito bravo aleik Allah akuzidishie
ALHAMDULILLAH RABBIL ALAMINA
INSHAALLAH GET WELL SOON WE LOVE YOU ❤
It's not what happens to you that matters its how you respond to what happens to you.
Pole sana Dadat Allah yashifq
ALLAH atakupa afya njema INSHALLAH dada yetu Tunakusikiliza tukiwa south africa cape town
Ameen Shukran sana 😂
Nimefurahi sana kukuona upo ok
Na pia kuwa upo na Shukran kwa Allah....
Pole sana darling,
Shukrn sana allah akuhifathi
Pole sana dear
Alhamdulillah, Yallah yashfikum Ukhty❤
Pole sana dadangu utapona
Maskin Pole sana ukhty J Allah akuepushe Hili na jengine.
Ila mbona hujaeka wazi uzuri kua ulianguka au ilikuaje naKivipi? Ninakuombea mema Daima❤
Ameen.! Uwazi wa mtihani wangu utasaidi vp jamani? La umuhimu ni kuelewa uzuri wa mapenz alonipa Allah na vp kuvuka challenges anazotupa. Hili ndio la faida
Alhamdhulillah 🤲twakupenda aunt yetu🥰
Pole my Alhmdulillah for every situation
Pole sana.
Maskini Mungu akufanyie wepesi katika Kila jambo lako.
Naam Alhamdulillah kwakila khali 🤲😢Shukran
Allahuma Yashfiq
Salaamaat Allaah Azidi kukupa uzimaa na kukuhefadhii….
We love u every day
Aaalllahmdulilah
Kweli kabisa
Suhufa yaraby
😮😢
Dada naomba WhatsApp yako tafadhali
Shukrn sana allah akuhifathi