Watu wote walio america from East Africa tunajua their job some are delivery worker hakuna mtu anaenda us without job except he or she is sell her soul to devil .
Mashikolo Magen neno la kisukuma lenye maana vitu jipya au mambo au jambo mapya ambayo mtu anakutana nayo au kuyatumia kwa sababu ndio Mara ya Mara ya kwanza kwake kifupi chake ni "mashikolo" ❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Honestly,USA Iko far sana ktika Kila aspect,kuanzia infrastructure, people's lifestyle,sales and marketing approach ,hasa hio ya kufanya payment per month,kuliko full payment,hii ni nzuri sana ,I wish pia this system tuichukue hata hku kwetu bongo!!! Hongera sana brother Jack,huw sikosi kutazama videos zako ,kwngu ni darasa toshaa sana!! Kuna mambo mengi sana najifunza kupitia wewe the way wenzetu wamepiga hatuaa kiuchumi
@@piusundisputed Shda kubwa Bongo uku asilimia ya malipo tunafanya on cash...ni sehem chche sana tunatumia card kulipia huduma...kufkia io stage inabid tuwe na financial technology kubwa kam io then apo ndo itawezekana kua na huduma za mtndo uo...Bongo ni ngum sana kwnz watu hatuaminian kabsa
Kwa anayejua kuhusu maji.upo sawa.unatakiwa unywe baada ya masaa 4 kabla ya msosi au baada ya msosi. Na matunda ni kabla au baada ya masaa 5,ya chakula. Thanks bro
Jama yupo vizuri kwa record. Camera ipo steady kabisa haiyumbi, kazi ya kinyamwezi bro . Nipo zangu Bujumbura na hangalia content kwa mcongo mzima wa ugaibuni.
Shukrani sana kwa video, ila twende na ukweli gharama za YUES si mchezo yaani chakula cha elf 70 kwa sahani moja 😃😃😃😃 yaani mihogo, vinanasi, wali, bonga za majani na nyama kiasi, kweli maisha ni tight sana huku kwetu tuna bahati sana sahani ya 20K ni balaa anyway uchumi wao nao huko juu! Big up Jack acha twendelee kufaidi uwepo wako ndani ya YUES
Cost of living inaendana na jinsi pesa inavyopatikana. Ni kawaida mtu kuspend $6 starbucks kununua coffee kila siku, and even more since kuna mzunguko mkubwa wa pesa!
Daah mwamba sasa huo msosi wa 70k kwa mwezi 2100000 hapo bado kinywaji. mzee baba ishi tu huko sisi tutakuwa tunakucheki tu kwenye post zako unazotuma japo nakufatilia kinyama upo good sana kaka.
Please Subscribe to the English Version of my channel ⬇️ ⬇️
youtube.com/@Jackchalz
Cm ziko on mda wote maana ke sio mpya tena,,huu utaratb mbovu bn kha
Ambiawatu kazi yako usikute ushauza roho yako kuzimu hakuna pesa inayokuja ukiwa umekaa
Watu wote walio america from East Africa tunajua their job some are delivery worker hakuna mtu anaenda us without job except he or she is sell her soul to devil .
@@espinosapaemn4765 @dnyota😂😂😃
@@espinosapaemn4765 #dnyota
Jack u're the best bro oi gonga like kam unamkubali jack wa USA
Naweza nikasema wewe jamaa ndio the best Tanzanian TH-camr from Diaspora
Thank you!!
@@jackwausa Nakukubar sana bro jack keep on🙏
True Kahama boy from Shinyaga❤❤❤❤❤❤❤
Sema mwanangu jack umetisha sana video editing yako iko fresh content kali mtaani kwetu tunakukubali saiv najua vingi kuhusu USA
We jamaa utafika mbali sana, hata Millard Ayo hatakufikia.., una smooth vibe, vitu vinakuja naturally, yaani ipo tu ndani yako.., save this comment
🙏🏾
Millard yao mtu mwingine wewe huwez mfananisha na huyu
Jack tofauti na kuifahamu Marekani umeniongezea ujasiri wa kuingia maeneo muhimu ila kwa kuzingatia taratibu. Kazi nzuri.
Mashikolo Magen neno la kisukuma lenye maana vitu jipya au mambo au jambo mapya ambayo mtu anakutana nayo au kuyatumia kwa sababu ndio Mara ya Mara ya kwanza kwake kifupi chake ni "mashikolo" ❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Honestly,USA Iko far sana ktika Kila aspect,kuanzia infrastructure, people's lifestyle,sales and marketing approach ,hasa hio ya kufanya payment per month,kuliko full payment,hii ni nzuri sana ,I wish pia this system tuichukue hata hku kwetu bongo!!! Hongera sana brother Jack,huw sikosi kutazama videos zako ,kwngu ni darasa toshaa sana!! Kuna mambo mengi sana najifunza kupitia wewe the way wenzetu wamepiga hatuaa kiuchumi
😁😁 uku bongo hatuminian mzee
Ni issue y kuw na structured system tu ambao itaorganize Kila kitu kuanzia Kwa seller na client!! Hkuna kinachoshindikana kk
@@piusundisputed Kweli hakuna kinacho shindikana
@@piusundisputed Shda kubwa Bongo uku asilimia ya malipo tunafanya on cash...ni sehem chche sana tunatumia card kulipia huduma...kufkia io stage inabid tuwe na financial technology kubwa kam io then apo ndo itawezekana kua na huduma za mtndo uo...Bongo ni ngum sana kwnz watu hatuaminian kabsa
Watazania wezangu kazi nzuri si mnipee subscriber nifike 1k kutoka Kenya nawapenda watazania kaka zangu
Nikihitaji unaweza ukaninunulia.
Kwa anayejua kuhusu maji.upo sawa.unatakiwa unywe baada ya masaa 4 kabla ya msosi au baada ya msosi.
Na matunda ni kabla au baada ya masaa 5,ya chakula.
Thanks bro
Mungu nibaliki nishinde DV Lottery This Year Naitaka sana US ❤
Civilization (ustaarabu) wa watu weupe ni kubwa sana kuanzia mazingira ,lifestyle kila kitu kipo kwny mtiririko mzuri....
Jack you have real been A Ma Men! Man! You Guys
in USA your turf ! Wou! Congratulations!
Hivi mjomba angu, ilikuwaje ukapata wazo kama hili, big up sana
Shukran bro najifunza sana kupitia kwako
.
🇹🇿
Yeah yeah good job Jack keep it up tumesha jua vingi about USA my brother 🙏🙏🙏👍👍💪💪💪💪
yaaani jack kweli hizo mboga mboga huku tunapewa buree na mananasi na yai na pekanya 70k kweli mie huko siji niacheni kwa nyerere
Unafanya kazi nzuri sana bro👏🏿👏🏿👏🏿
.
🇹🇿
Mwanangu na sisi wa Rundi tuna gutizama sana. Asante kwa kutuonesha Malekani.
Nice ....nataman siku Moja tukupate live tuulize ulize vitu
23:16 Cool dude right there! He did put down the knife to greet us. 😁 Passed the vibe check! ✅ 💯
Unajua kuelezea vizuri.
Asante!
Nijambo la.kumushukul mungu sana kila kukicha kwa stag uliyofika bro sema amina
Amina!🙏🏾
Fruits are supposed to be taken before the main meal because they fament firster
Big up brother endeleea kutupa I dear ya vtumbalimbali USA moses from Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Umetisha xana bro jack🤝🤝
Niko south Africa Kaka Jack nakupata Sana well done
Naona kabisa chakula kitamu kweli ❤️
Mwanangu unajua mpaka unajua tena big up sana one day we will meet brother trust me
❤❤❤❤wangu mbana ni me kufata kinoma Ibrahim kutoka kongo wanangu
From Mozambique 🇲🇿 ♥
Jembe uko sawa
sema we jack kwenye msosi hapo umetish
Kaka nimeinjoi sana tour ya The Grove LA , nikiwa hapa Dar Tz. Amazing content, you gained a new subscriber
Jama yupo vizuri kwa record. Camera ipo steady kabisa haiyumbi, kazi ya kinyamwezi bro . Nipo zangu Bujumbura na hangalia content kwa mcongo mzima wa ugaibuni.
Mungu akulinde sana kaka
Amina!
Jack nakubar kazi yako sanendelea kutuwezesha uk
Newest subscriber... @kenya
Kaka nakubali sana kazi yako#
Nakukubali sana bro umetufungua macho yetu
Michael Wa Mombasa.nazikubali video zako bro big up man.
God bless you my dear brother... Kazi nzur
unyama sana ntachukua contact zako kwa Makwaya aisee
jack unanifanya nifike usa kwa bando tu never give up blood
Shukrani sana kwa video, ila twende na ukweli gharama za YUES si mchezo yaani chakula cha elf 70 kwa sahani moja 😃😃😃😃 yaani mihogo, vinanasi, wali, bonga za majani na nyama kiasi, kweli maisha ni tight sana huku kwetu tuna bahati sana sahani ya 20K ni balaa anyway uchumi wao nao huko juu! Big up Jack acha twendelee kufaidi uwepo wako ndani ya YUES
Hiyo inatokana a namna ya upatikanaji wa hela, ndo maana huko mtu anaweza akafanya vibarua kwa siku akapata usd 300+, kwa kule inaonekana ndogo
Cost of living inaendana na jinsi pesa inavyopatikana. Ni kawaida mtu kuspend $6 starbucks kununua coffee kila siku, and even more since kuna mzunguko mkubwa wa pesa!
Mungu akufanikishe malengo yako,if u don't mind naomba utuoneshe sehemu za ibada na shule if possible, Asante
@@emmylawrent1733 ibada
I say mi emmy
even mistiki of there if possible thank you
Daah mwamba sasa huo msosi wa 70k kwa mwezi 2100000 hapo bado kinywaji. mzee baba ishi tu huko sisi tutakuwa tunakucheki tu kwenye post zako unazotuma japo nakufatilia kinyama upo good sana kaka.
Huo sio mlo wa kila siku 😂
Always Nice content Mr Jack 💪🏽
Thanks!
daaa!!!!umetisha sana.
Kaka nakukubali kinoma unajikubali sana afu mnyamwezi
New subscriber from Kenya .....Love your content ❤🔥💯
Awesome! Thank you!
Sema Mshikaj mitaa unaijua
Jack nakujali sana
Aise mjomba umetisha sana kinamna moja au nyingine umetoboa kifupi
watching you from kenya, nice content! coming soon , america is my dream country
Life la mbele huwa nalikubali sana ee mungu nipe uzima was afya yangu na familia yangu nizidi kupambana uko lazima nifike kama my vacation yangu
Kazi safi bro
Kazi nzuri kaka , hongera sana. Kwetu elfu sabini unapata kilo za stack saba
Jack video zako unyama sana
Mashikoro mageni👊🇹🇿pamoja sana
Uomsosi umenitoa udenda wengine atujala,sema brother umetisha sana ubarikiwe.
Asante. Ubarikiwe pia!
Bora upike
pamoja sana brother
Napenda sana iyi video kabisa
Safi sana
Good work. Watching from Kenya
Thanks for watching!
Uko vizuri sana jack.natamani siku moja kufika u s a
Motivation.
Thanks bro
Good job
Thanks!
Eiyo.....bro cool up 💪G video zako zimeweza bro I'll come to US in the next few years nitakutafuta bro unionyeshe mitaa vizuri
Karibu sana!
Daaa hilo duka la accessories limetisha kinyama
Jakkaka umetiisha nilitabiri utapata muitikio mkubwa sana kwa content zako now i seee , Keep. Grinding sir
Thanks. God bless you!
Good content bro info Iko Tops,
Daaaa!!hyo menu kibongobongo elfu 70,ngoja niendelee kuishi bongo ugali wa buku jero niko hoi
Kizazi sana kakaangu
Nakukubari unatuosha macho bukoba
Kijana wangu uko vizuri sana ninadoto ya kufika huko
Boss nimatamani chakula
Marekani ni pazuri sana
Safi sana na enjoy
The true geneous Jack wa US
Nakuelewa sana kaka
Nice
Jack.ivi.upo.pow.umeamuwa.kuwapa.wabongo.elimu.bule
Mimi nakuita mwamba,yaaani Jack unatisha sana
Pamoja sana!
Dah mbon ni garam sana bora uku tz
Kumbe Mna Bahati Sana Uko Marekani Mnapewa Mpaka Ice Cream Za Bule
Unajituma hakika kutufungua macho nch huru
Da! natamani namm sikumoja ninganyaga usa daa mpaka tutakufa tutangalia kwa jack tuu
Kazi nzuri jack ,una muda gani huko USA
So Today is My birthday I am gonna treat My self Just like that kwa shishi food palee ni 30k itatoshaa💕 thanks for Idea
Uumetuelimisha Kaka ongera
Neat videos💯
Kazi nzur bro🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Big up bro! Upatikanaj wa kaz upoje , kaz zenye pesa ndefu ni zp? Machinjio za huko zipoje.
Good bro
Good
Kamanda J uko poa sana
Kwenye msosi ndo umeuwa mzee baba
Kaka. Nimekupenda Sana kwa kazimnzulu ubalikiwe tz. Tungeshanga pakuazia wapi😂😂😂😂
Nakubali kazi yako mzee🔥🔥
Uzunguni Ni uzunguni yaani mandhali yapo vizuri,Hawa Ninachowasifu Ni watunzaji wazuri wa mazingira hivi wabongo tutafika kama Hawa jamaa kweli.