ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
❤❤❤❤ Ina furahisha msanii mkubwa anapika mwenyewe bila hata kusaidiwa hatari lakini nampongeza sana kwa kujua kupika bila kumtegemea mtu😂😂😂😂😂😂 Ina stajabisha sana😮😮😮😮😮😮😮 hongera zake
Leo ndo nimeamini usiadaike na watu kwenye tv Yani Huyu jamaa Nimemzidi maisha kwa Kila kitu kha
Nilidhani kituo Cha afya😂😂🤭
Kiukweli mimi ua namkubali sana super Mario ❤
Izo no chakula nying au salehe ulagi ukitoka ofsini😂😂😂😂😂
Nice house nyumba kubwa umetisha nisha
Aah si haba Niva umejitahidi saaana nice home 🎉🎉🎉🎉🎉
Salehe kiu imebana au njaaa 😅😂😂😂😅😅😅
Mmh mbona kama alikua nae kwenye hilo gar hyo saiuy sijaielewA
Salehe leo kapatana namsela mwenzie,hamna kula😂
Niva umeenda na chakula chumbani😂😂😂😂
Hawa wenye midomo meusi!!!
Siku mwende kwa Best nasso😂
Ana nyumba yake nzur tu mwanza mjini paka wapangaj anao
Hiyo airfryer amesema machine ya kuchemshia wali😂
Umeniwahi kusema bado kidogo niseme Nyumba sio yake🤣
iyo inachemsha vya kula vyote ndio
@@rosemaryrwabibi5908 Kiukweli hiyo airfriyer sio kwa Wali,nivyakula kama Kuku,Nyama,samaki,chipsi n.k.
Sio kwake hata ajui kazi yake ninj
@@MariamuAnifa inaonekana sio kwake
Huko change Room🤔
Leo naona salehe umetoka empty 😂
😂😂😂😂kakosa mambo yake...😅
☻☻☻☻☻☻☻Mtihaaaani maneno mengiiiiii maisha ndiyo hayaaaa🤓Alafu ni msanii wasiku nyingiii kweli Tz Sanaa hailipi
Who lied ue
Bora kuishi maisha halisi kuliko kufix maisha😢
Hawa wasanii hamna kitu starehe tu hata vibanda hawana
Wew pia si unafany Kaz unanin cha maan wee vip huwez kujua mtu Maish yake km kajenga kijijini. Kwa wazee wake Je
Uzuri wake huyu hajifichagi maisha yake, daima
Huyo Mbona yupo kwenye gari
Niva ❤
Niva upo fresh
Bora ungekubali kumuoa yule chiz wa uk mbutananga 😂😂
niva safi
SIO KWAKWE HUSEZI KUTOJIAMIINI WANAISHI WEENGI HUMO
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Salehe ulivyojiachia kwenye sofa umetanua miguu kama ww ndiyemwenye nyumba
Roh mby tu ko asikae
Alafu mwenye nyumba kakaa kwenye kitu Anaumeza mgongo tu😅😅
Sipendi salehe anavyo kaa nyumbani kwa watu Yani miguu kaininginiza kwenye sofa ni ukosefu wa adabu
mm nampenda Niva asa akiigiza mume na misimamo ila Kwa nje mmmmh mpenda madem
😂😂😂😂😂
Et huo huo a😂😂😂 mkubwa uo😜
Salehe chakula done😂😂
Ndende anaishi kivule
Sarehe zamu yako nawewe tuoneshe kwako
Jin kabula yup india
Kaenda lini wakt tulikuwa nae Dubai asaivi yupo tz
Sarehe leo no chakula
Ndo nin mwanaume kutoboa masikio?
Et kidogo tu
😮😮
Saleh umeondoka umemuacha cameraman na mic yako Niva kaingia nayo ndani kk😢
Salehe aelewi apo ad apate maakuli
Nimechekaa
Yan uyu anapenda madem atakujakuf na ukimw
Kwakooo studio 😂😂😂

Alafu mwenye nyumba kakaa kwenye kitu
Anaumeza mgongo tu😅😅