ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MBOWE AWA MBOGO WANANCHI KUSIFIA MIRADI "SERIKALI IKITEKELEZA MIRADI SIO HISANI NI WAJIBU WAO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ค. 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

ความคิดเห็น • 7

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g หลายเดือนก่อน +1

    HAKUNA WALIONYOOSHA MIKONO WEWE UNATUMIA NGUVU BURE BILA SABABU MARA MAANDAMANO MARA HUYU MZANZIBARI

    • @user-bx3ko9ft5t
      @user-bx3ko9ft5t หลายเดือนก่อน

      Wewe tulia huna jipya kama hamja nyosha mikono mkowapi au mmelambishwa asali

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 หลายเดือนก่อน

    Mwizi mbowe unatumia tumbo kufikiri

  • @MichaelJoashi
    @MichaelJoashi หลายเดือนก่อน

    Mwizi kivipi toa ushahidi

  • @LucyVenant
    @LucyVenant หลายเดือนก่อน

    Haki huinua Taifa ccm wame shidwa ,awana jipya Elimu tu imewashinda ,wanazalisha mabomu mitaani

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 หลายเดือนก่อน

    Ccm wanatenda wewe kutwa maneno tu! Hata tundu la choo mmeshindwa kujenga! Onyesheni mmewafanyia nini wananchi zaidi ya kuzurura na maandamano yasiyo ya tija! Ikulu mtaiona kwa mbaaali!😂😂😂

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 หลายเดือนก่อน

    Limbwa la fisiemu liachane. Na mbowe nyuma yake kuna nguvu ya umma mafuriko yatakusomba kama mavi