MSIGWA AWAVUA NGUO CHADEMA, ATAJA KILA KITU PESA ZA CHADEMA ZINAPOENDA''KAMA NADANGANYA LISSU ASEME.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    MSIGWA AWAVUA NGUO CHADEMA, ATAJA KILA KITU PESA ZA CHADEMA ZINAPOENDA''CHADENA DIGITAL SIO MALI YETU''
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 806

  • @FestoLalata
    @FestoLalata หลายเดือนก่อน +10

    Lengo lako Mhe msigwa ili upate nini au ni chadema yote ijiunge na ccm mbona nivigumu kwamba kila mtu alogwe Kama ulivyo logwa wewe,lengo lako ufanane na mhe mwenyekiti,basi jitahidi ukae kwenye nafasi ya mama mhe Samia maana lengo lako ni ulingane na mwenyekiti wa chama,pole sana

    • @stanleybupambambogo3334
      @stanleybupambambogo3334 หลายเดือนก่อน

      Ndani ya Chadema hakuna nafasi ya uwenye kiti wa chama bali ufalme na ukurugenzi wa maisha katika hiyo kampuni yao ambayo wao wanaiita eti ni chama cha siasa...!!!

  • @ElizabethLaizer-x2e
    @ElizabethLaizer-x2e หลายเดือนก่อน +23

    Ulipokuwa chadema ulikua unarapu hivihivi ulikua unahongwa na mbowe?peleka uroho wa madaraka huko ccm

  • @nchimachalosomasi311
    @nchimachalosomasi311 หลายเดือนก่อน +12

    Jamani njaa Mbaya. Tujifunze kujitegemea kuliko kutegemea. Huo uchawa haukupi heshima hata siku Moja zaidi ya kuzaraulika tu. Hapo kila mtu anakuona ni boya kwa kukosa mwelekeo

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 หลายเดือนก่อน

      Hapana sio njaa ndo ukweli usitake kuficha ukweli siku zote kwenye pesa kuna shida na ukiona ivyo lipo ye sio mtt mdogo

    • @WillbadBeda
      @WillbadBeda หลายเดือนก่อน

      Kweli njaa mbaya sana

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi 23 วันที่ผ่านมา

      wewe unasema njaa Mbaya matamanio yako u kweli utabaki ivyo

  • @user-eg3hr3gh7z
    @user-eg3hr3gh7z หลายเดือนก่อน +7

    Tz ni kubwa sana na watu wana uelewa tofauti mkubwa na mdogo kuna mtu alisema kuwa makini anae kuambia kuhusu wengine ndiye huyo huyo atawambia wengine luhusiu wewe dunia mapito!

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e หลายเดือนก่อน +16

    Mbowe ametoka familia tajri tz hvyo huwez lingana nae, pia cdm haina pesa za kuvuja km unavyowahadaa watu, ruzuku ya cdm hukaguliwa na C.A.G toka mwaka 1995 haijatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya fedha. Taifa lina vtu vingi vya kujadili ongeen matatzo ya nchi

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga หลายเดือนก่อน +3

    Bravooo,acha kujitia aibu hapo ,Watanzania wa leo sio wa jana,wanajua kilakitu, ufala mwingi boya domo kubwa wewe tena bayaaa .

    • @user-hd5bg8qw1b
      @user-hd5bg8qw1b หลายเดือนก่อน +1

      NIKWELI NDIO MAANA HATA OFIC HAWANA WE NDIO DOMO UNATETEA UJINGA WW UTAKIJUA CHAMA ZAIDI YA MSIGWA

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 หลายเดือนก่อน +20

    Mwanaume unatia aibu jaman sasa haya yote yanini.mbona huligombea sasa ungeshinda ungeondoka?.

    • @chanendimo7815
      @chanendimo7815 หลายเดือนก่อน

      Nadhani hii ndo hoja hasa; angeshinda ingekuwaje?

    • @yasiniJuma-sr4vi
      @yasiniJuma-sr4vi หลายเดือนก่อน

      Ndio hapo sasa

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga หลายเดือนก่อน +2

    Kataja Ulemavu wa Mwenzie Mungu wanguuuuu.Baba Mchungaji nadi sera na ilani
    Mama anatosha sana

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 หลายเดือนก่อน +29

    Ukimaliza kumtusi mbowe utapata mshahara

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 หลายเดือนก่อน +5

      kama kuna Ufisadi kwanini CAG anatoa hati aafi kila mwaka ?? wewe na CAG nani mkweli?

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 หลายเดือนก่อน +7

      Sasa katukanwa mbowe mnaumia mbona kila siku Samia anatukanwa mnafurahia tulieni dawa iwaingie vizuri 🤣🤣🤣😊

    • @charlesmakuri792
      @charlesmakuri792 หลายเดือนก่อน +5

      Hajamtusi kasema kweli

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 หลายเดือนก่อน +2

      We ni mjinga sana, hujui kitu, chadema ni sakosi ya wachaga, kama unapenda upinzani katafute chama, cha haki kwa watanzania wote, na si chadema. Mimi niliachana na chadema 2014

    • @omarymkamba3045
      @omarymkamba3045 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamisimuhunzi7916CHADEMA haijawahi kupata hati safi

  • @samuelmakara
    @samuelmakara หลายเดือนก่อน +7

    Hongera msigwa. Unaonyesha uzuzu wa hali ya juu😊

  • @mohamedismail1376
    @mohamedismail1376 หลายเดือนก่อน +17

    Sio hoja majungu

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k หลายเดือนก่อน

      Apa kwanza tunasambalatisha ngurunzinza mpaka maji muyaite mma😂😂😂

  • @Anithawilielemi-uh3ww
    @Anithawilielemi-uh3ww หลายเดือนก่อน +6

    Kumbe Msigwa mmekula sana hiyo foundation kwa miaka mingi,Ila bado sitakuelewa mpaka ututhibitishie kama mchungaji hukuwahi kujuwa kuwa unatenda dhambi?

  • @nelsonshillah6618
    @nelsonshillah6618 หลายเดือนก่อน +14

    Hata hao wanakushangilia lkn lazima wana maswali juu yako

  • @reubenmhagama8164
    @reubenmhagama8164 หลายเดือนก่อน +3

    Njaa hiyooo pole msigwa! Cheo kimekutoa hakuna jipya

  • @EbenezerMagari
    @EbenezerMagari หลายเดือนก่อน +7

    1,katiba
    2,tume huru
    3,umasikini
    UNGEGUSA KIPENGELE KIMOJA TU NINGESHA KUTUNZA LKN MJUNGU 😢
    NOTHING APOOO

  • @gerachtangatya2835
    @gerachtangatya2835 หลายเดือนก่อน +6

    Hawa wachungaji wa cku hz ndo wanautukanisha ukristu ila MUNGU anawaona

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu alikua mchungaji wa kujitangaza mwenyewe maana alianzisha kanisa lake mwenyewe akajiita mchungaji yeye mwenyewe

  • @willymgaya7618
    @willymgaya7618 หลายเดือนก่อน +20

    Wanasiasa mmeacha kuzungumza matatizo ya wananchi mmeishia kusemana tu majukwani. Mnatushangaza sana. Mbona tunawachoka .Acheni kutuona wananchi hatuelewi mambo yenu. MSIGWA zungumza mambo yanayohusu matatizo ya wananchi sio ya mtu.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน

      Samahani ujue wanaojielewa kama wewe ni wachache hawa wameshajua kundi jengine la watu hupenda unafki na uhasidi ndio maana hana lingine la kusema isipokuwa majungu.Upuuzi sana kaona ndio kik ya kutafutia jina badala ya kudeal na shida za wananchi. Katika nchi hii tunatakiwa sisi wenyewe tuamke kwa pamoja alafu sisi ndio waamuzi wa chama gani tukiweke kikishindwa tunatoa mpaka tuone wepi ni sahihi kutuongoza. Bila hivyo tutaishia kupigiwa mafumbo na malumbano huku wakijineemesha watu wachache.

    • @RBMBAKARI-bv6wn
      @RBMBAKARI-bv6wn หลายเดือนก่อน +2

      Lazima apasue ukweli

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 หลายเดือนก่อน

      Ukiona ivyo ujue CCM imekwisha kumueka uyu umbwa anae ungana na umbwa wenzake

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd หลายเดือนก่อน

      sasa huyu sinjaa hapo kapewa pesa ndefu

    • @paulmagao9167
      @paulmagao9167 หลายเดือนก่อน

      Msigwa kachanganyikiwa. Wajinga tu ndo wanamsikiliza. Mbona majuzi tu aligombea uenyekiti wa Nyasa. Ok. Kuna Mo , Bill Gates foundation na wote bado ni CEOs wa kampuni zao na hakuna Conflit of interests. Njaa inamsumbua Mchungaji fake.

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 หลายเดือนก่อน

    Siasa🙌🙌🙌🙌

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu jamaa ni mtu ambaye yuko frustrated kwa hiyo anazungumza kwa hasira sana. Yeye ni CDM mchana na usiku, anajaribu kujustify kuondoka kwake kwa maneno mepesi!.

  • @user-nx1it7pp5x
    @user-nx1it7pp5x หลายเดือนก่อน +27

    Njaa zinakusumbua tu msigwa uriwasema sana hao ccm sasa unawase chadema kifo chako cha kisiasa kimefika

    • @MalamboSelijusi
      @MalamboSelijusi หลายเดือนก่อน +3

      Anaelewa anachokiongea lowasa almpa pesa dakika zamwisho kapewa ugombea wakati lowasa nimtuhumiwa waufisadi ,mpaka kaachia uwaziri mkuu wakati huo ,mbowe lisu nawengine wanawaita ma ccm ,,hakuna chama nikikundi chamtei mkwe wambowe

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 หลายเดือนก่อน +3

      We ni mjinga sana, hujui kitu, chadema ni sakosi ya wachaga, kama unapenda upinzani katafute chama, cha haki kwa watanzania wote, na si chadema. Mimi niliachana na chadema 2014

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 หลายเดือนก่อน

      Nimekuelewa vizuri ndomaana mbowe h haachii kiti​@@martinisadru9899

    • @LassonDominick
      @LassonDominick หลายเดือนก่อน

      ​@@martinisadru9899 wew nae tumia akili bro!!!! Kula mwenye akili timamu anahaki ya kuwa upinzani kwa mambo yanayofanywa na CCM!! Sijakataa maana kuna mazuri yanayofanywa na chama cha mapinduzi lakini namabaya yapo wanayafanya! Kwahyo kama wanayafanya hayo mabaya lazima yasemwe2 hata ufanyeje lazima watasema!!! CHADEMA KAZI MUNAIFANYA KUBWA SAANA!!!

    • @matipukamatipuka9654
      @matipukamatipuka9654 หลายเดือนก่อน

      Wafinye

  • @tusanemheta8638
    @tusanemheta8638 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂 Chadema haifi Leo Wala kesho Mbwa ww

  • @castorymhoja6050
    @castorymhoja6050 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilikuwa najua mchungaji kumbe shetani mkumbwa mzee usifikili watanania wanakuelewa

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤😂😂

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi หลายเดือนก่อน +1

    Usimwamini mtu kwenye maisha😂😂😂yuda alie msaliti yesu

  • @christophermwampashe465
    @christophermwampashe465 หลายเดือนก่อน +19

    Ulikuwa wapi kuyasema haya yote ukiwa ndani ya chama?

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 หลายเดือนก่อน +1

      Halafu anamtaja Mungu sbb za yeye kuondoka..hivi angeshinda uchg angekuwa hapo? sbb za kuondoka ni kushindwa uchaguzi hakuna lingine.

    • @herybertsabai6503
      @herybertsabai6503 หลายเดือนก่อน

      Walisema kina zito wakafukuzwa, ngoja siku Mh Lisu nae atoke sijui utasemaje. pole sana

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 หลายเดือนก่อน

      Ameamua kusema baada ya kutoka chadema kama walivyofanya akina Slaa, Selasini, Zito, Kubenea, Lijualikali, Lowasa, Sumaye, Nyarandu, Mashinji, Upendo Peneza, Aman Kaburou, Kafulila, Katambi, James Milya, Silinde---orodha ni ndefu.
      Siyo wote waliokwenda CCM wengine walikwenda ACT na NCCR .

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 หลายเดือนก่อน +14

    Wewe si ulikua unasema Samia ameuza bandari yetu?? Je amerudisha?? Au emenda kuungana nae kuuza???

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 หลายเดือนก่อน

      umasikini unamsumbua Msigwa kuwa na share ktk kampuni yeyote sio ufisadi hata yeye anaweza nunua..

  • @leloleonard4845
    @leloleonard4845 หลายเดือนก่อน +2

    Njaa mbaya sana 😂😂

  • @melch3097
    @melch3097 หลายเดือนก่อน +4

    Daaah, vifo viko tofauti ila huyu jamaa, atakufa vibaya

  • @fredymbilinyi6323
    @fredymbilinyi6323 หลายเดือนก่อน +10

    Usitukane mkunga wakati uzazi ungalipo, hekima nikunyamaza,

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 หลายเดือนก่อน +1

      Mh Wanasiasa hawana *UZAZI*

    • @stanleybupambambogo3334
      @stanleybupambambogo3334 หลายเดือนก่อน

      Kuna mzazi gani wa kula mwenyewe huku wanawe wakishinda njaa na kulala njaa??!! ​@@sskondopoleani9616

  • @fridaernestmkedege900
    @fridaernestmkedege900 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa kuwa umeyaona hayo juzi

  • @user-cz5sd6ys8i
    @user-cz5sd6ys8i หลายเดือนก่อน +13

    Kuwa na akiba ya maneno haya yote umejua baada ya kushindwa na sugu,hakuna asiye kujia ni njaa2zina kusumbua

  • @user-sb6gm8ll3b
    @user-sb6gm8ll3b หลายเดือนก่อน +1

    Mzeee lowasa alikusa mstarab sana aliporud ccm akuwa na maneno alisema nimerud nyumba n, Sasa mchungaj ww duu hatar Mungu anakuona, unasemea kilema Cha mwenzio hakuomba kuwa vile, hata km ni siasa no umepitiliza ila njaaa mbaya sana

  • @Athuman-rd4br
    @Athuman-rd4br 23 วันที่ผ่านมา

    siasa kweli kumanina

  • @nassibu-hy5ny
    @nassibu-hy5ny หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya sana msigwa punguza uchawa

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j หลายเดือนก่อน +2

    Msema kweli ni mpz wa Mungu msigwa kapiga kwenye mshono 😂😂

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 หลายเดือนก่อน +4

    Huwezi kukiangusha CHADEMA hata ufanyeje

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 หลายเดือนก่อน +5

    Njaa msigwa mungu anawaona mnataka kuua demokrasia.

  • @gimongebaruchachagoryo-jo9ww
    @gimongebaruchachagoryo-jo9ww หลายเดือนก่อน

    😊

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani huyu Msigwabsasahv hana hata point, ni majungu tu anataka ku survive nayo. Fanya siasa

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 หลายเดือนก่อน

    Yupo sawa mboye anamiliki Pesa nyingi Kuliko chama

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 หลายเดือนก่อน

    Hongera

  • @gabrieldoseti5729
    @gabrieldoseti5729 หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya sana

  • @jumahalifamkindi2175
    @jumahalifamkindi2175 หลายเดือนก่อน +1

    Ubinafsi na Njaa ni mbaya sana kwa viongozi wetu hawa wa kiafrica wasio na uzalendo na nchi zao ni Bora tungetawaliwa tu na Wazungu maana wangetunyonya pia tungenufaika na fursa za kimaendeleo kuliko hivi sasa wachache ndio wananufaika na nchi hii

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 หลายเดือนก่อน

    Mtu masikini sana huyu!. Hana maisha ana chuki mno. Ndio maana ana uchu wa madaraka.

  • @user-xh8zd4gm6s
    @user-xh8zd4gm6s หลายเดือนก่อน

    Msigwa upon ccm unajizalilisha je were uko safi

  • @hemedilikunguala6485
    @hemedilikunguala6485 หลายเดือนก่อน

    Njaa hiyo

  • @PeterMwakisambwe-ys3rr
    @PeterMwakisambwe-ys3rr หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya brother pole msigwa

  • @nateriuslukinjason3108
    @nateriuslukinjason3108 หลายเดือนก่อน

    njaa njaa kali

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndiye mchungaji????
    Mungu tusaidie sana na ibariki Tanzania yetu 🇹🇿🇹🇿

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k หลายเดือนก่อน

    Atali tupu komaa nao msingwa tu akuna namna ccm oyeeee👍👍👍👍👍

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl หลายเดือนก่อน +2

    Elimu Elimu Elimu. Tunataka sera safi za ccm sasa. Msigwa sema hayo tupate raha. Ok

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 หลายเดือนก่อน

    Da!jamaa kawa na majungu sana😂😂😂

  • @khamishemedsaid2134
    @khamishemedsaid2134 29 วันที่ผ่านมา

    Kweli msigwa bora umehamiya ccm sababu chadema hawana sera

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 หลายเดือนก่อน +12

    Masikinii😢 hadi huruma.
    Weka akiba ya maneno.

  • @christophermpogole4944
    @christophermpogole4944 หลายเดือนก่อน +1

    Kukaa kimya pia ni jibu, usidharau waliokutoa ukaonekana!

  • @MerryWilliam-r4l
    @MerryWilliam-r4l หลายเดือนก่อน

    Unatumia nguvu sana

  • @SanziNzige
    @SanziNzige หลายเดือนก่อน +1

    Sisiemu NI majinga kweli mnakaribisha mwehu na eti mnakaa mnamsikilza na kpigia makofi.temeeeni mate huyo

  • @frankmoshi346
    @frankmoshi346 หลายเดือนก่อน

    Njaaa mbaya

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 หลายเดือนก่อน +7

    Mm nikushauli tu uwe na akiba ya maneno hya wakati mnagombea na sugu na sugu amekupiga chin asingekupiga chini ungesema hyo maneno harafu ww unajiita mchungaji hya

  • @lazarokajole5454
    @lazarokajole5454 หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya Sana jmn

  • @PaulKabungo
    @PaulKabungo หลายเดือนก่อน

    Mmmm

  • @Michaelmwakikao
    @Michaelmwakikao หลายเดือนก่อน

    Umeishiwa Sera

  • @jonesvictor6173
    @jonesvictor6173 หลายเดือนก่อน

    Msigwaaaa hongera kwa kujipambania

  • @sammymdemeka7937
    @sammymdemeka7937 หลายเดือนก่อน +3

    Umekuja kuvubaza CCM hatukuelewi shida zetu wananchi ni maisha magumu na umasikini. Hiyo kitchen party ya Mbowe Mbowe Mbowe inatusaidia nini?

  • @mwitamwikwabe6611
    @mwitamwikwabe6611 หลายเดือนก่อน

    Pole mzee umemia sanaa ww ndie unatutadanganya ww mzigwa

  • @Gahii-s5q
    @Gahii-s5q หลายเดือนก่อน +3

    Sjawai kuona mchungaji anaewasukumizia kongoo kwenye shimo la Moto, ili yeye ale minofu.

  • @mwalimumbukuzi7273
    @mwalimumbukuzi7273 หลายเดือนก่อน

    Duh huyu jamaa ni noma mbowe na we zake mnaumbuka. Mlimuamini kumbe ni mchungaji tu anaumia kimungu

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 หลายเดือนก่อน +9

    Wewe mwizi na mchawi kabisa!

  • @melcksedeki1012
    @melcksedeki1012 หลายเดือนก่อน

    Wajumbe walijua wew ni mnafiki ndiomaana wakamchagua Sugu

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 หลายเดือนก่อน

    Huna point,

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mh Msigwa

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 หลายเดือนก่อน

      Yani dawa inawingia vizuri chadema wamebaki kusema njaa mbaya 🤣🤣 kumbe inawauma CCM tunaburudika sana yani mimi sichoki kumsikiliza Msigwa mpaka na lala na sauti ya Msigwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 หลายเดือนก่อน

      ​@@halimamasai2234inatuuma nini sisi hatujishuhulishi na wanao kula matapishi yao kama kina msigwa, peoples power always

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa kumbe kichwani niuchafu tu'

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Mbowe,Lema ni mabillionare.sana😢Ni matajiri sana😢😢

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 หลายเดือนก่อน

    Kama kweli kamanda yupo hvo hafai kujiita kamanda

  • @Yama-l7b
    @Yama-l7b หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni Ccm lkn mtu kama huyu afai hata kidogo ccm tuwe makini sana na huyu mtu njaa inampa aropoke atatusaliti tu na sisi

  • @user-jg2dy4kb6j
    @user-jg2dy4kb6j หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa zungumza matatizo ya wananchi si kumsema mbowe,mbowe strong man

  • @Eatdalyricsup
    @Eatdalyricsup หลายเดือนก่อน

    Yaani uyu ana shukurani

  • @SirajiHamis-pc1kh
    @SirajiHamis-pc1kh หลายเดือนก่อน

    Njaa tu wew huna jipya

  • @mohamedismail1376
    @mohamedismail1376 หลายเดือนก่อน +7

    Hovyo sana

  • @kihongole87-ns1bo
    @kihongole87-ns1bo หลายเดือนก่อน

    Mwanamke malaya

  • @hiyanimsangi73
    @hiyanimsangi73 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kama msigwa...umetisha mkuu

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 หลายเดือนก่อน

    Vizuri sana mlipue ataacha siku nyingine

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 หลายเดือนก่อน

    Vibaya sana unafanya unafiq sana muogope m.mungu

  • @alexjovin2981
    @alexjovin2981 หลายเดือนก่อน

    Njaaa

  • @LomnyakiLaizer-i2y
    @LomnyakiLaizer-i2y หลายเดือนก่อน +2

    Kweli unadhihirisha uwendawazimu wako

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 หลายเดือนก่อน

    🎉nimegundua jina la mchungaji watu wameanza kulisahau😅😅

  • @AndersonLyandala-du1rt
    @AndersonLyandala-du1rt หลายเดือนก่อน +3

    Sasa hayo ndio yatatatua matatizo ya watanzania?

  • @musajulius3667
    @musajulius3667 หลายเดือนก่อน

    Tutaona mengi sana watu wanafunguliwa macho

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 หลายเดือนก่อน +1

    HUYO sio bule wangewahi kumpima akili yake maana ni mjinga tuu ndio ataweza muelewa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

    Haloooooooo ya Ccm Msigwa sema usiogope sema

  • @franciscoivo1591
    @franciscoivo1591 หลายเดือนก่อน +2

    Unayoongea sawa kiongozi,ila nashindwa kuelewa kwa nini hukusema hapo awali,ungeshinda uongozi ungeondoka?,kwa mini hukusema hayo siku xote,
    Wewe huaminiki karibu huku kwetu lakini si wakuaminika rather a selfish!

  • @MakalaCharles-uk1ny
    @MakalaCharles-uk1ny หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 หลายเดือนก่อน

    Unajiaibisha muungwana anakaaga kimyaaaaaaa.Yesu alikuwa mnyenyekevu na mkimya ungefuata nake tungelikuona wa maana sana.yendo z

  • @geoffreymwafongochristop-vd6ob
    @geoffreymwafongochristop-vd6ob หลายเดือนก่อน

    Kaka njaa, kaka pole, ushapotea

  • @elishamumba4304
    @elishamumba4304 หลายเดือนก่อน

    Bibia inasema masikini haminiki ni kweli

  • @mohddelo
    @mohddelo หลายเดือนก่อน

    Safi msigwa

  • @DaudMwanrdy
    @DaudMwanrdy หลายเดือนก่อน

    Msigwa njaaaa

  • @geoffreymwafongochristop-vd6ob
    @geoffreymwafongochristop-vd6ob หลายเดือนก่อน

    Msigwa, kaka umechemka, Torati siko hivyo we ni shetani kweli, ila Mungu akusamehe, Sana Ndugu tulikuamini, Sana kuliko CCM,

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 หลายเดือนก่อน

    Watanzania watanzania watanganyika💣💣💣linasubiri kulipuka tunamsikiliza tena huyu huyu😂😂😂😂

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Kama Mbowe ni Wa Machame wote tujijue😢