KING MSUKUMA Afunguka Mali Zake Kupigwa Mnada na NBC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • KING MSUKUMA Afunguka Mali Zake Kupigwa Mnada na NBC
    Baada ya taarifa kusambaa katika mitandao ya Kijamii kuwa Mali za mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Kasheku maarufu kwa jina la King Msukuma kudaiwa zitapigwa mnada na Bank ya NBC kutokana na deni analodaiwa na Bank hiyo.
    Msukuma amekanusha taarifa hizo na kudai kuwa hakuna Bank itakayoweza kupiga mnada mali zake kutokana na kampuni yake kulipa mkopo wa Bank kulingana na mkatapa wake na Bank husika.
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe ww.youtube.com/... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Suazi1
    / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .

ความคิดเห็น • 91

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupa tano king Msukuma, safi sanaaaa piga Kazi , hao manyumbu wamezoea hawana agenda

  • @st99ngeni35
    @st99ngeni35 6 ปีที่แล้ว +6

    Yaani wewe musukuma nakupenda sana. Piga kazi achana nao hawawezi kupambana KING.

  • @happyngulo2562
    @happyngulo2562 6 ปีที่แล้ว +5

    Sawa kaka nakupenda sana mpambanaji

  • @jamesjames4239
    @jamesjames4239 6 ปีที่แล้ว +2

    Hawakujui king musukuma

  • @denniskiango6901
    @denniskiango6901 6 ปีที่แล้ว +4

    Tumefurahi sanaaaa...King ni King tu watapoteana na wivu wao CCM Oyeeeeeeeeee.......!!!!!!!!

  • @fadhilplatnumz6209
    @fadhilplatnumz6209 3 ปีที่แล้ว

    👍Veema Jembeletu nakuaminia Mkuu

  • @mayungamalegi834
    @mayungamalegi834 6 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa kaka na anayekopesheka siku zote anavigezo vyote

  • @kabangoamini8431
    @kabangoamini8431 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwajya 82 uliisha anza biashara mbona bado kijana wakati turikuwa tunaanza vidudu

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 6 ปีที่แล้ว +1

    "Mimi siyo masikini" nimeipenda hiyo!!ila shukuru Mungu aliyekutajirisha.

  • @DeusNchembah
    @DeusNchembah 6 ปีที่แล้ว +1

    Dawa ya deni kulipa, Kiongozi wangu naomba uonyeshe kupotezea maana haujapungukiwa kitu kama ni waongo

  • @amhamediserengeti4808
    @amhamediserengeti4808 6 ปีที่แล้ว

    Ndugu usiogope mti wenye matunda ndiyo unaorushiwa mawe .ndugu nakukubari sana we nimpambanaji Mungu atakulinda

  • @edinajosephat2562
    @edinajosephat2562 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni information ya kweli,

  • @neyjoseph7112
    @neyjoseph7112 6 ปีที่แล้ว +4

    😍😍😍nakuelewa sana

  • @BabakeNazBeel
    @BabakeNazBeel 4 ปีที่แล้ว

    Wikipedia states that this honorable member was born in the year 1974 Feb 12th. He states herein (in this clip) that he has been doing business since the year 1982 (themanini na mbili). You can do the math! He has been doing business since he was 8 years old!!

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 6 ปีที่แล้ว

    Kasheku Joseph Oyeeee3eeeee👏👏👏😀😀😀😀👆👆👆

  • @innocentsevelin8731
    @innocentsevelin8731 6 ปีที่แล้ว

    safi sana king

  • @edrickniwamanya439
    @edrickniwamanya439 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

    Mwafrika tunapenda kuombwa radhi sanaa

  • @mayungamalegi834
    @mayungamalegi834 6 ปีที่แล้ว

    Uko sawa kaka wachalange siasa wanazileta kwenye biashara zako kukopa siyo kosa

  • @m.amanitv8534
    @m.amanitv8534 6 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe uongo .Watapata tabu sana

  • @asinasharifu8022
    @asinasharifu8022 4 ปีที่แล้ว

    Mbona umepanic saana kaka

  • @christopherpetro8362
    @christopherpetro8362 6 ปีที่แล้ว

    Chapa kazi achana na hao majungu ni kawaida kwa yoyote alive Fanikiwa mbele kwa mbele msukuma

  • @nelsonchivaula6574
    @nelsonchivaula6574 3 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo ukiwa mwanasiasa ndio ufanye ovyo ili useme sanaaaa.Acha kufanya sia kichaka mkuu .

  • @isaahmbawala1591
    @isaahmbawala1591 4 ปีที่แล้ว

    Kalipee

  • @jumachambega
    @jumachambega 5 วันที่ผ่านมา

    mheshimiwa wanakufundisha uonga hao washitakitu wapate funzo

  • @mhinajohn1548
    @mhinajohn1548 6 ปีที่แล้ว

    Nakuamini sana

  • @mkamasabai7516
    @mkamasabai7516 6 ปีที่แล้ว +1

    Wanasiasa muna shida sana, tumbo likiuma waliohusika ni upande wa pili? Lakini umefatilia vzr maelezo yako ??
    Kipindi unagombea uwenyekiti yalitokea je ! Ulikuwa unagombea chama pinzani?
    Elimu inatakiwa hapa ili upate kuwa na uwezo wa kubalance

  • @SuperEcholima
    @SuperEcholima 6 ปีที่แล้ว

    Sasa deni ni la kwako na mali zilizokamatwa ni za kwako sasa unapoingiza siasa kwenye mambo ya benki itasaidia nini??Bora tu ukaendeleze kilimo chako cha bange!!!.

  • @rawiamuhammad6675
    @rawiamuhammad6675 6 ปีที่แล้ว +2

    Issue ni kuwa unadaiwa full stop! Kalipe madeni

  • @monyp4654
    @monyp4654 6 ปีที่แล้ว

    Mhhh hili ni suala la benki sasa siasa sijui zimeingiaje tena. Kama ni kweli basi huyu mzee wa Monduli safari hii kakuotea kweli maana mpaka hapo ni kama umeshapotea ramani!

  • @jamesmwanjala132
    @jamesmwanjala132 6 ปีที่แล้ว +2

    Hii mambo ilianza muda lipa deni hapo wakurugenzi Wa Bank ni wachadema?lipaaa denii!!!

  • @pettermasika9120
    @pettermasika9120 6 ปีที่แล้ว

    Ukweli usio pingika kipaji ulicho pewa kimetoka kwa baba Mbinguni Msukuma Sauti yako ina ladha, uko sahihi Kashuku Msukuma

  • @angelbululu8239
    @angelbululu8239 6 ปีที่แล้ว +2

    Wambie msukuma, kma walikuwa hawakujui.

  • @ramadhanichilumba3610
    @ramadhanichilumba3610 6 ปีที่แล้ว

    Kweli huna njaa mzee na hayo madude unayamiliki mmmh

  • @humphreycned4056
    @humphreycned4056 6 ปีที่แล้ว

    Kalipe mpunga Wa bank

  • @dominickmassawe7720
    @dominickmassawe7720 4 ปีที่แล้ว

    Piga kazi

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 6 ปีที่แล้ว

    Wapeleke mahakaman hao mheshimiwa😄😄😂😂

  • @DanielDangote-mr6qt
    @DanielDangote-mr6qt 7 หลายเดือนก่อน

    😅😮😅 nakubal

  • @sadockkabuko8735
    @sadockkabuko8735 6 ปีที่แล้ว +2

    Lipa mkopo

  • @stevesamwel5506
    @stevesamwel5506 6 ปีที่แล้ว

    sasa ww msukuma waliosema unadaiwa ni bank inakuaje tena unaleta mambo ya kisiasa huku ? badala ya kupambana na hao watu WA bank

  • @jumanguru670
    @jumanguru670 6 ปีที่แล้ว

    kalipeee

  • @francisaloyec8416
    @francisaloyec8416 4 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 4 ปีที่แล้ว

    Mara uko na deni unalipa kwa wakati pia hilo sio la mbowe usiwe mjinga

  • @temesjames8867
    @temesjames8867 6 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona papala unakimbilia siasa Bank na siasa wapi na wapi unamatatizo iseme ccm yako inayo kubeba eti we sio masikini ungekuwa sio masikini ungekuwa unapointi vitu na kupitisha bungeni vitu vya kukandamiza watu wa hali ya chini acha mambo yako wewe waumize tu wanainchi.

  • @revockatuskihecka7553
    @revockatuskihecka7553 6 ปีที่แล้ว

    Watapata taabu sanaa

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 4 ปีที่แล้ว

    ACHA TABIA ZA KUKANDIA WABUNGE WENZAKO WA UPINZANI KWANI WAO PIA WANAYO HAKI YA KIKATIBA KUIONGOZA TANZANIA. UJINGA ULIO NAO UMALIZE KABLA YA KURUDI BUNGENI.

  • @allyclaude9896
    @allyclaude9896 6 ปีที่แล้ว +2

    Kalipe kaka au kimbilia zuio huna lolote

    • @hasanmsonga729
      @hasanmsonga729 6 ปีที่แล้ว

      Ally Claude ww unalo liko wapi acha majungu

  • @geonycoutinho5055
    @geonycoutinho5055 6 ปีที่แล้ว +1

    sa we unadaiwa mbowe kahusikajeee?? pambana n maden yko broo

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 ปีที่แล้ว +2

    kiukweli ninavyo kujua kaka msukuma kuanzia ukiwa korogwe kwa mcharo pili nimefika ibanda nimeona unayo ya fanya mimi nimkazi wa tanga wilaya korogwe lakini nimetembea nakufika lwezela kakubili nyamboge nimeona jitihada zako mungu akupe afya

  • @ndelembwiga5190
    @ndelembwiga5190 6 ปีที่แล้ว

    Kumbe NBC ni ya chadema!

  • @madamcolethaa641
    @madamcolethaa641 5 ปีที่แล้ว +1

    Msukuma atabaki kuwajuuuuuuuuuuuuuuuuu

  • @elibarikimagesa3262
    @elibarikimagesa3262 6 ปีที่แล้ว

    Kalipe Deni acha propaganda wew

  • @officialadon1056
    @officialadon1056 6 ปีที่แล้ว +1

    uy boya mnamtaftaga wann

    • @mathayosimon950
      @mathayosimon950 6 ปีที่แล้ว

      Adon Juma

    • @paulmsilanga3917
      @paulmsilanga3917 6 ปีที่แล้ว

      Duuh boya tena

    • @wilfredkuyonza7186
      @wilfredkuyonza7186 4 ปีที่แล้ว

      Boya wewe maskini angekua boya asingetoboa kimaisha kama alivyotoboa wewe mwenye shida pande zote ndio boya badala ya kujifunza kupambana unaongea upumbavu.

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 11 หลายเดือนก่อน

    Uwenaamani

  • @ronaldmbao618
    @ronaldmbao618 6 ปีที่แล้ว

    Mbona amesema majina yng lkni kataja jina moja tu?

  • @faidamasegenghe3379
    @faidamasegenghe3379 4 ปีที่แล้ว

    Piga kz jamaa yangu hao watu wametumwa kukuhalibia sifa

  • @shabanimaganga7333
    @shabanimaganga7333 6 ปีที่แล้ว

    Msukuma kama unadaiwa nenda kalipe,mbona una maneno mengi sana,wangapi wana asset na bado wanadaiwa,nyie wanasiasa mnapenda sana kuongea

  • @denniskiango6901
    @denniskiango6901 6 ปีที่แล้ว

    King watajibeba mm mwenyewe nimepiga picha na basi zako mbili nilipokuwa Mwanza mjini wiki iliyopita

  • @boniphacejoseph3389
    @boniphacejoseph3389 6 ปีที่แล้ว +1

    MADAFU nyie .... Nyie inawauma ila wenzenu mnashangilia

  • @nelsonmwavipa9328
    @nelsonmwavipa9328 4 ปีที่แล้ว

    Sasa mbowe anahusiana na nini na hilo suala la bank wewe pambana na waliokukopesha siyo mbowe.

  • @mandadavid6691
    @mandadavid6691 6 ปีที่แล้ว

    mpambanaji sana huyu jamaa...

  • @burudanitv874
    @burudanitv874 5 ปีที่แล้ว

    hhhhh et kanjanja daaaah

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 6 ปีที่แล้ว

    Mchongo anajua ulipotoka..... Anajua kupambana na kanjanja

  • @princessaidal1130
    @princessaidal1130 5 ปีที่แล้ว +1

    Huo ni wivu tu unawatafuna,,,pigs kazi baba

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

    Matajiri wengi wamelemewa na mikopo

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว

    Msukuma unajiamini

  • @JK-yf6dg
    @JK-yf6dg 6 ปีที่แล้ว +1

    nenda kalipe deni

  • @victorerasto8501
    @victorerasto8501 6 ปีที่แล้ว +1

    kalipe mkopo,kumbe kelele zote hizo unadaiwa mkopo,ulifikiri utaachwa kudaiwa kisa wewe ni mpiga debe wa ccm

  • @sparlettateeth9735
    @sparlettateeth9735 6 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha kanjanja bahna anajikaza mpaka basi we jinadi tu! Watakuuza mpaka wewe!.

  • @emmanueljacob3910
    @emmanueljacob3910 6 ปีที่แล้ว

    Hun jipy

  • @mtimkavu6062
    @mtimkavu6062 4 ปีที่แล้ว

    Hv wewe una miaka mingapi umri wako mpka 1982,iwe ulikuwa unafanya biashara

  • @kisigaanna3422
    @kisigaanna3422 6 ปีที่แล้ว

    King ww achananao wafa maji hao

  • @shanisshow1864
    @shanisshow1864 6 ปีที่แล้ว +2

    Et wanawasigizia wapinzani wamewaamdika
    Hahahahahah pole jamaa msukuma watakao kushangilia ni hao misukule kama unadaiwa na benki lipa deni lako na neenda mahakamani pia hakuna mtu mjinga aseme unadaiwa na hudaiwi pole saa hao wandishi unawashitaki wa nini msikule bhana mwenyiviti kumi Tisa hahahahaha hongeren

    • @Mike-yg7pb
      @Mike-yg7pb 6 ปีที่แล้ว

      Wewe ndo huelewi, acha matusi usiwaone watu wajinga humu wanaelewa, mbona hawauzi sasa, wewe humwelewi msukuma wewe

  • @nasulaherosimini4035
    @nasulaherosimini4035 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi wewe mchunga ngombe unajisifia eti nimekwenda kwa mbowe nimeondoka nawenyeviti 16 angalia mazingira ulio zaliwa kwanza ndio Useme upumbavu wako

  • @nzokawanzoka4224
    @nzokawanzoka4224 6 ปีที่แล้ว

    Kumbe uogo duu

  • @nicasmtei1749
    @nicasmtei1749 6 ปีที่แล้ว

    Acha maneno mengi wewe Msukuma kalipe deni.

  • @mtungilandegeya6312
    @mtungilandegeya6312 6 ปีที่แล้ว

    ACHA POROJO KALIPE DENI WEWE!!!!!!

  • @allyclaude9896
    @allyclaude9896 6 ปีที่แล้ว

    Acha kelele kalipe madeni wengine wakopeshwe

  • @nyandahilali5713
    @nyandahilali5713 6 ปีที่แล้ว

    King naomba tuwasiliane kwa 0766596120 ili nipate kujifunza na kupata ubunifuni Wa maisha

  • @husseinhkitambi1701
    @husseinhkitambi1701 6 ปีที่แล้ว

    Hahahaa

  • @geonycoutinho5055
    @geonycoutinho5055 6 ปีที่แล้ว

    sa we unadaiwa mbowe kahusikajeee?? pambana n maden yko broo