MTAALAMU WA TIBA ASILI AFICHUA SIRI YA KUANZISHWA KWA MWENGE WA UHURU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2020
- MTAALAMU WA TIBA ASILI AFICHUA SIRI YA KUANZISHWA KWA MWENGE WA UHURU
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Asante row womininge kwa somo la mwenge 👏👏👏
This is very powerful lesson for all Africans
Asante sana chef
Umepotea mzee kuna menyebzi mungu diye pekee anayetengemewa mambo ya wazee waliokufa unawatengemeaje baada ya kumtengea Allah asiye kufa tubu mzee muongope allah
Wewe unamsalia muhamad kila siku , Muhamad bado yuko hai ama amekufa?
Asante sana kwa elimu hii yenye ukombozi juu ya Tanzania
Asante Mwalim Shefu Row minige
Jamani mambo haya ndio tunatakiwakuzinfatia watanzania ili tuwe washi africa nzima
Haya ndio masomo wapaswa kujifunza watanzania ili tue na uchungu na taifaletu
Hekoooooo mwamirokoko 🎉🎉
Upo sawa ila uliyoongea ni mazuri .ila. Media uliyotumia Magi atapata taarifa hizo. Naomba huandike barua kwa rais ili akumbushiwe kuhusu asili yetu na kuendelea kuyienzi ni mambo ya msingi sana na magu ni MTU makini
Asante mwami lokoko aisee ni kitu cha muhimu sana kwa taifa letu ubarikiwe na mwenye vyote
Tapeli mwami lukoko jichanganyeni...😂😂😂😂 kwanza sio mtz huyo
Tumekengeuka hiki kizazi
Mtalaam wa tiba za asili afichua siri hili jina mnakosea kumwita mwami yeye ni zaidi tabibu
Mzee anaongea kama raisi wetu rungwe ha ha ha ha
Na kikongo nasikiya mzee anakifahamu
Alisema Sheikh Omar mnyeshani waliroga sana...mtu aliitwa forojo Ganzo ndio alikufa na siri
Hii ni elimu kubwa sana kwa wanzalendo
Hekoooo mwamilokoko
Mzee watu waliokufa wanini sisi?
Yesu yupo Tanzania hatunashida!
Mizimu mambo ya kilong hayanafaida!
amka ndugu, watu waliokufa wana umuhimu kuliko ww uliehai
Pole
"Mwenge" ni uchawi na mazindiko ya kishetani na mzee forogo ndio muasisi wa mwenge na lengo lilikuwa ni zindiko la nywere atawale vizuri, na mzee forogo ndie ndie alieingia shimoni kusikia mambo ya kuzimu na maagizo forogo akaleta namba 115 maana yake nyerere ataishi miaka 77 wakati huo taifa litakuwa lina miaka 38 jumla yake 115,mwenge ni ushetani, TUMPOKEE YESU.
DUUUUH
Uyo yesu unampokea akitokea wapi
Je yes ni nn ?
Hakuna mtu aliyewahi kuwepo ajaitwa yesu
@@yusuphmwamlima2902 majini uliyitupiwa msikitini yana kufanya uwe chizi, """KWA JINA LA YESU MOTOOOOOOO UKUWAKIE APO ulipo" YESU Anawashughurikiwa kisawasawa maana YESU ALIE HAI NI MWANA WA MUNGU ALIE JUU SANA
Ushirikina huo mzeee
Wewe unaeita ushirikina elimu ambayo inawalimisha watu kujua ukweli ambao uislam na ukristo haujawahi kutuoa elimu kama hii, Wewe ndio utakuwa mchawi...
, hujui hata maana ya neno ushirikina
Ushirikina ni neno lilitokoka kwenye Maneno ya Kushiriki kwa kina, kwahvyo mtu anaeshiriki kitu kwa kina iwe kitu chochote kile ndio mshirikina,
Huyu jamaa ni hazina ya nchi, ukombozi wa kiroho unakaribia, tumekua watumwa wa kimwili na kiroho kwa miaka mingi sana, sitashangaa watu wa allah/mohamad na God/jesus wakianza kukupinga na kukuita mchawi au mshirikina, tulipumbazwa kuzarau vya kwetu, tukalazimishwa tuamini vya kwao ambavyo kimsingi ni sehem ya utumwa
Mzee hicho ni fimbo au kisu
😀😀😀😆 fimbo au kisu!!!
Kuna sehemu ukifika uo mwenge wataaram wanauzima serikali inawajua wanao zima 😂😂😂
Wapi ndugu?
Usidanganye watu hapa. Mwenge siyo lazima uelezwe na mganga.
Unauelewa wowote juu ya mwenge na sir zake ??????
Kam unazo niambie
We mzee acha uchawi