EXCLUSIVE NA KIJANA TAJIRI ANAE TIKISA TIKTOK, UTAJIRI WAKE UNATISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • EXCLUSIVE NA KIJANA TAJIRI ANAE TIKISA TIKTOK, UTAJIRI WAKE UNATISHA

ความคิดเห็น • 189

  • @omaryjuma6888
    @omaryjuma6888 ปีที่แล้ว +4

    Dah ndugu nakukubali sana sana

  • @user-pj1is6lw8m
    @user-pj1is6lw8m 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka nakubali sana..................umenena ukweli bro

  • @florangido202
    @florangido202 หลายเดือนก่อน +2

    Uko Vizuri Broo🎉🎉🎉

  • @aslaypmb569
    @aslaypmb569 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubali Sana bro 🔥🔥🙌

  • @user-sd7qs7jt3y
    @user-sd7qs7jt3y ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelew sana good love kuwa na malengo pekeake haitosh kikubwa nikuhakikisha unapigania malengo yako Kwan mafanikio ya kimaisha huanza na ndoto na ndoto hutimia kwa kuipambania

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 ปีที่แล้ว +9

    Msema kweli mpenz wa mungu!
    Ukisikiliza binadamu huwezi songambele.

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 ปีที่แล้ว +6

    No! VISION👁👁 No! FAITH, No! VISION👁👁 No! Salving problems 💯🙌🙌

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 ปีที่แล้ว +6

    Mwamba anajikubali kinoma safi sana

  • @hamadmohamed3056
    @hamadmohamed3056 ปีที่แล้ว +4

    Mbinguni ni hapahapa kataa kufa tuone wee maisha mafupi sana vihela vyako visikutie jeuri!

  • @nolexkanyittahsuit
    @nolexkanyittahsuit ปีที่แล้ว +3

    Sana mwaisaaaaa kumbe ni nyonyoma tutafute hela sana

  • @jacksongervas
    @jacksongervas ปีที่แล้ว +5

    Siku zote msema kweli hupingwa Yuko poa sana mshikaji

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide ปีที่แล้ว +4

    All in all sipendi mtoa sadaka anayependa show off

  • @stevennyondo2215
    @stevennyondo2215 ปีที่แล้ว +8

    Kipimo cha utajir ni nindset 😂😂😂. Huko ni kujifarij ila sio utajir

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp ปีที่แล้ว +4

    Kifo ndiokiboko yenu. hakunaujanja walikuwepo matajili huyo nisawa nachinga tu. Lakini Leo hawapo malizao hazikuwasaidia

    • @annasimon647
      @annasimon647 ปีที่แล้ว

      Kwamba masikini huishi milele 😂. Unakufa masikini na utaenda motoni.

  • @WinfridaZakayo-mj7co
    @WinfridaZakayo-mj7co 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo Hela si akaweke bank ndo atuoneshe

  • @richardmange4756
    @richardmange4756 ปีที่แล้ว +6

    Point 💯

  • @innocentjoseph805
    @innocentjoseph805 ปีที่แล้ว +9

    Biashara gani unafanya au Kaz gani unafanya isiwe tu tafuta ela, toa conent Kama watu wengi waliyofanikiwa.

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 ปีที่แล้ว +1

      Hana kazi lolote analifanya anapotosha vijana huyo anatumia pesa lakafara,Kuna jamaa amesha wai kua na pesa kama hizo Kwa siku anatumia dolla 2000 naliihse hiyo hiyo siku mwishoee alikufa

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 ปีที่แล้ว +4

    UNAAKIL SANA ZA MAISHA GODLOVE,BIG UP NDUGU

  • @WisdomBaraka-pq6iu
    @WisdomBaraka-pq6iu ปีที่แล้ว +2

    napenda sana kumfatria uyu bro najifunza kitu kutoka kwake

  • @salmakaratta1420
    @salmakaratta1420 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Godlove,Allah akuzidishie baba kuhudumia vituo vya watoto yatima.

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +10

    Kila mtu aishi kwa maisha yake 😁

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 ปีที่แล้ว +5

    Uyu nimsenge mdogo sanaa atawasumbuwa mapunga ila bado sanaa anashida ya umaharufu mtu mwenye ela ana panga nyingi kama uyu shogaaaa

    • @Jofuboy
      @Jofuboy ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 ปีที่แล้ว

      wanao tumika serekalini akili zao pungua mtu kama huyo anapotosha vijana Kwa udanganyifu hawalioni

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 ปีที่แล้ว +6

    Binafsi nmekuerewa kawaida ya mtu Alie shindwa ire njia Alio shindwa yeye ww ukifanikiwa razima Akuchukieh to Akili mingi san broo

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +4

    Hana utajiri bana tajir wa kukutana nae kizembe. Hebu mtafuteni Bakhlesa mkamuhoji kama mtampata😃😃😃

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 9 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu ana maisha yake,mfano Rais wetu Mama Samia alihojiwa na Mzee Tido kila mtu alishangaa jinsi Mama alivyokuwa mtulivu sana katika mahojiano tofauti na Viongozi wengine duniani,kwahiyo kila mtu ni mkubwa katika mazingira yake na kila mtu ni tajiri katika maisha yake na hata huyo Mzee Azam ni Tajiri Mkubwa katika mazingira yake

  • @prospersanga7942
    @prospersanga7942 ปีที่แล้ว +2

    Kw kwl mnyaki kwnye kulinga na majivuno 🙌🙌

  • @rehemasumuley-yv3wh
    @rehemasumuley-yv3wh 9 หลายเดือนก่อน

    Leo umeongea Jambo la msingi usiombe pesa omba maarifa❤❤❤ 14:23 Safi sana godlove dultan

  • @joycechtistopher8769
    @joycechtistopher8769 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo brother nn wanawake hatu ingii niliona tok tok mkiongea na babu wa tik tok mkiongea nijibuni nami na wafatilia munijibu na subiri

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 ปีที่แล้ว +4

    Keep fighting bro

  • @lilobadux
    @lilobadux ปีที่แล้ว +5

    The best

  • @WinfridaZakayo-mj7co
    @WinfridaZakayo-mj7co 11 หลายเดือนก่อน +1

    Anatokea mkoa gan na Kijiji gan😂😂😂

  • @isacklugalila8732
    @isacklugalila8732 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa anajiamn sana ni kawaid tu huyu jamaa kutoboa

  • @user-pj1is6lw8m
    @user-pj1is6lw8m 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka nipo pamoja nawe makubali sana

  • @britonsparky5717
    @britonsparky5717 ปีที่แล้ว +5

    @Rayvanny ni mnyakyusa tokea Mbeya, nipeeni likes za Rayvanny

  • @robinmlilo3547
    @robinmlilo3547 ปีที่แล้ว +4

    Tajil nakupenda naomba nipe nambaako

  • @mamachacha6478
    @mamachacha6478 ปีที่แล้ว +1

    Good love mwakibete

  • @khamsoleen
    @khamsoleen ปีที่แล้ว +8

    Mwamba 🙌🔥

    • @ngorweurongo8276
      @ngorweurongo8276 ปีที่แล้ว

      Huna mpya huna pesa wenyepesa huwa hawajitangazi

  • @abuushaymaatz
    @abuushaymaatz ปีที่แล้ว +4

    Sasa kwanini mnamchukia, tafuta hela

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mdada ajiangalie na hilo benz oooh hyo n chambo

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣.....hiyo ni kweli kabisa...🤣🤣🤣

  • @Africadunia2623
    @Africadunia2623 ปีที่แล้ว +3

    Huyu tajiri anawanyanyasa sana watu kisaijolojia

  • @NBTVIEW
    @NBTVIEW 9 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @mbeyatv
    @mbeyatv ปีที่แล้ว +1

    Mwamba kaongea facts wanyakyusa wananata ni noma...lakini tunaishi nao hivo hivo

  • @robhvathempoki5981
    @robhvathempoki5981 ปีที่แล้ว +4

    Mwamba from Mbeya 1 hapo uko sahihi, Sisi Wanyakyusa tuko na kujikubali na hiyo ndo nature yetu.

  • @samjosh12
    @samjosh12 ปีที่แล้ว +4

    Elimu ya mtaani naiheshimu sana

  • @mozespatnam7469
    @mozespatnam7469 ปีที่แล้ว +3

    Chief god love noma xanaaaa 🔥

  • @HappynessJose
    @HappynessJose ปีที่แล้ว +1

    Upo sawa

  • @saidmanjuti7441
    @saidmanjuti7441 ปีที่แล้ว +23

    Kila mtu ni muhimu kwa nafasi yake mwamba hana shida kabisa attitude za watu ndo zinafanya wamtukane na ndo wanazidi kumpandisha Chief godlove kaza butii wasikupigie kelele

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 ปีที่แล้ว

      Akaze buti kwenda wapi Sasa keshakaza saiv anakula bata

  • @user-dr9bv1kz3n
    @user-dr9bv1kz3n 9 หลายเดือนก่อน

    Unajifanya sana na hizo mahali zako kaka shugulika na maisha yako

  • @ruziyaameja1355
    @ruziyaameja1355 ปีที่แล้ว +2

    Nifala tu asiwatish eti yey nitajili apan jisi munavyomuwon anatesek siliyenu tumesha yijuwa

  • @user-ks9qb2tf2d
    @user-ks9qb2tf2d 8 หลายเดือนก่อน

    Brother ukovizuli sana

  • @giftmaro8893
    @giftmaro8893 ปีที่แล้ว +2

    Aisee nimeelewa kauli zake anyway ngoja tuendelee na gospel coz yye anafanya na kusema hivyo coz ndiko furaha yake ilipo anyway hata sisi ngoja tuitafute furaha yetu maisha mengine yana siri kubwa😂😂

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 7 หลายเดือนก่อน

    Nikusawazishie matajiri wengi hawapendi kusoma wanaona kusoma wanapoteza wakati ila watoto wao wanawasomesha vizuri

  • @juliuswilliam5778
    @juliuswilliam5778 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @samuelfaidha
    @samuelfaidha ปีที่แล้ว +1

    Kweli wambie janjaaa

  • @jusamamachela468
    @jusamamachela468 ปีที่แล้ว

    Jamaa sio pw kwanza anajikubali sna shorout blo

  • @godlovematikuu6336
    @godlovematikuu6336 ปีที่แล้ว

    G kashaamnywea energy muandishi

  • @user-ks5fg8tf2y
    @user-ks5fg8tf2y 9 หลายเดือนก่อน

    Nimekukubali

  • @mutanabbiabbas337
    @mutanabbiabbas337 ปีที่แล้ว +4

    Kumuelewa nikazi San uyu jamaa

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg 9 หลายเดือนก่อน

    Nikweli sisi atupendi kuwa chin ya mtu usually mimi sn kitu ila khaaa kutumika kwa mtu mmmh yaan nachefukwa kwakweli iyo ndio unyakyusa tulivyoo

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 ปีที่แล้ว +1

    Huyo jamaa tajiri namba 1 Africa kamzidi mpaka Aliko dangote kanunua na private jet mwaka huu kaipaki pale Makumbusho stendi

  • @FRANKJUMA-gk4de
    @FRANKJUMA-gk4de ปีที่แล้ว +1

    Unatisha sana

  • @zachariasaimon1448
    @zachariasaimon1448 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @franklema8089
    @franklema8089 ปีที่แล้ว +3

    Ulisoma moment zangu nijibu mwamba

  • @nicken3250
    @nicken3250 ปีที่แล้ว +3

    Ni mwandishi hajui kuuliza maswali au jamaa alimwambia asiulize baadhi ya maswali ..
    Pesa zake anatoa wapi!??

  • @swariotibi6134
    @swariotibi6134 ปีที่แล้ว +1

    Hahhhhh kabisa kaka

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan หลายเดือนก่อน +1

    Utajili wa shetani kutoakafala mama baba mtoto mke ushidwi

  • @abdulfattaahnassir8266
    @abdulfattaahnassir8266 ปีที่แล้ว +5

    Umeejiekea nn maisha yako baada ya kufa

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 ปีที่แล้ว +2

      Ajiekee kwenye hakuna,,,ukifa umekufa tuu kama alivyo kufa Ng'ombe,,,kuku,,nguruwe na kila kilicho hai iki viumbe vingine viendelee kuishi jidanganye tuu sijui na uzima wa milele mbinguni,,,sisi pia ni mifugo ya viumbe wengine ikifika siku yako wanachukua chao kama wewe unavyo chukuaga roho za viumbe wengine na kukidhi mahitaji yako!!

    • @abdulfattaahnassir8266
      @abdulfattaahnassir8266 ปีที่แล้ว

      @@reubenkissinga5802 ndivyo unavyo jidanganya ivyo ngoja ifike iyo siku baadae ndio utajua kama kufa nisawa na ng'ombe au mnyama ndipo utapo tambua

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 ปีที่แล้ว

      @@abdulfattaahnassir8266 Hakuna cha ziada kaka tumia huu wakati wako vizuri ukiwa hai,,,endelea kujidanganya eti kuna makazi ya milele,,,kufa ni kama kuzaliwa tuu kwani tukuulize kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi??binadamu kazi kutishana na kupeana faraja huna tofauti na kiumbe chochote ukisha kufa ndio imeisha hiyo unaenda tengeneza circle ya viumbe wengine ili na wao wapate ishi huko utakopajaaliwa kufia na kuoza!!!mf:Ukiliwa na simba jua umetengeneza maisha kwa huyo simba yaendelee umeshakuwa msosi kwake sio kwamba hyo simba ataishi milele nae kuna siku atakufa kwa namna yoyote ile mzoga wake nao utengeneze mzunguko wa maisha kwa viumbe wengine huku ulimwenguni,,,ni kama sisi pia tunavyo toa roho za viumbe wengine ili tusavaivu!!!!mbona ni sayansi ya darasa la tatu hii(Food chain)

    • @abdulfattaahnassir8266
      @abdulfattaahnassir8266 ปีที่แล้ว

      subiri siku ifike utajionea mwenye usisubiri kuhadithiwa sina mengi

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 ปีที่แล้ว

      @@abdulfattaahnassir8266 Enjoiii broo!!!hii chance hutoipata tena,,,nakwambia inapobidi kufurahi ingali yu hai furahi sana,,ikitokea kulia vivyo hivyo lia sana,,kucheka cheka sana,,,na mengine mengi hao wenyewe wanao kuaminisha utaishi tena ni mbinu za kukuoumbaza wewe ili wao wainjoi zaidi yako wewe uendelee kuwa dhaifu wao wapate nguvu na nguvu ya kukuendesha na kukutawala kwa vitisho na kukupa wewe matumaini ya mambo ambayo wao wenyewe wanayoyahadithia na kukuhadithia hawana uhakika nayo wala ushahidi hawana pia wanakula zao maisha tuu ,ukibahatika kutoboa kwenye maisha yatumie haswa kwa kuwa hakuna uhai mwingine broo,,,jitahidi pia kupunguza chuki na wivu ukiona mtu ana injoi vyake,,chuki haijengi,,na wivu ni kidonda ukishiriki tuu utaugua nasi tunakupa pole ,jitafute achana na stori za kusadikika za sungura na fisi ulizakaririshwa na ukazibeba bila tafakuri makini wakati umeshajaaliwa upeo na utashi wa kupambana na asili ya ulimwengu,,ukiwa dhaifu katika ulimwengu huu utapotea au kupotezwa,,ulimwengu unahitaji watu wenye nguvu za kupambana na asili ya ulimwengu wenyewe,,na hakuna wa kukutea kamwe kila mmoja atatumia udhaifu wako kujinufaisha nao!!

  • @felixsalum-uo4ok
    @felixsalum-uo4ok ปีที่แล้ว +1

    Hom boy

  • @jafarinauma6798
    @jafarinauma6798 3 หลายเดือนก่อน

    Binafsi namuelewa tujitahidi kuishi na kila mtu kama alivyo na tabia zake pia kwa sababu hatufanani tabia majigambo na kujiamini ndio tabia yake siyo kosa ukilielewa hilo

  • @MsafaFashion-zc9fn
    @MsafaFashion-zc9fn 11 หลายเดือนก่อน

    Sio kwel Kwa Africa akuna tajil msomi

  • @Monica-rv8gd
    @Monica-rv8gd ปีที่แล้ว +2

    Kaka naomba unisaidie na mm nitoboe ,mana kwa kahangaiko haya nitaenda nimechoka sana hahahah

  • @saidisaejavit
    @saidisaejavit ปีที่แล้ว +2

    Ujanja ujanja mwingi

  • @JacksonNtakarutimana-dp7hs
    @JacksonNtakarutimana-dp7hs ปีที่แล้ว +1

    Anisayidie anipatiye namba yake yasimu huyo godiravu bayi?

  • @deejeydaev
    @deejeydaev ปีที่แล้ว +1

    Chenga hamna kitu hapa

  • @omarimakoko2133
    @omarimakoko2133 ปีที่แล้ว +1

    mshamba tu huyo coz anakufuru

  • @user-ex7iy5rt6i
    @user-ex7iy5rt6i 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa yuko poa tangu nimeanza kumsikiliza lakini nikimcheki kwa muonekano kama ana waza sana japo anajitahidi kutojionyesha😂😂

  • @daudirashidimaiba7692
    @daudirashidimaiba7692 ปีที่แล้ว

    hi

  • @HamzaSaid-qc1mu
    @HamzaSaid-qc1mu 11 หลายเดือนก่อน

    We auna kitu

  • @barakamzeli1801
    @barakamzeli1801 ปีที่แล้ว

    Kiongozi yuko sahihi namkubali sana kila mtu anavimba na alichonacho na umasikini ni uvivu wa kufikir

  • @maryamomar1216
    @maryamomar1216 ปีที่แล้ว

    Kaongea point

  • @frankmgunjimgunji9261
    @frankmgunjimgunji9261 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahahah saf sana

  • @cleverlandmusicbyshakur423
    @cleverlandmusicbyshakur423 ปีที่แล้ว +2

    Mpumbavu tu , hiko ndo kitu anataka kick

  • @user-eb8dj4sl8n
    @user-eb8dj4sl8n ปีที่แล้ว +4

    😀😀😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💓💓

  • @musahmbughi6004
    @musahmbughi6004 ปีที่แล้ว +1

    Kweli bro chef gold love unao ngeya ukweli wanayo kuseme wache to we Pinga Kaz to

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣😂huyu jamaa ajawai kuwa na hakili popote

    • @mayungachristopher744
      @mayungachristopher744 ปีที่แล้ว

      Nenda Kanye ulale we ndo huna akili mbwa wewe

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 ปีที่แล้ว

      @@mayungachristopher744 😂😂😂🤣kijana punguza ushoga unataka utakufa na mavi msenge ww na

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 ปีที่แล้ว

      @@mayungachristopher744 🤣🤣🤣kama unamtetea huyo shetani umeshindwa kumtetea Mungu wangu kweli ww taila

    • @mayungachristopher744
      @mayungachristopher744 ปีที่แล้ว

      Ukiniita taira ujue wote ni mataira Kama mtu humkubal kwanin umuhukumu hujui kwamba amuhukumuye mwanadam mwenzie amelaaniwa usikimbilie kuangalia mapungufu ya mwenzio jiangalie nawew u mkamilifu Kila sehem, naungekuwa mkamilifu usinge nitusi Kama ungeona nimeenda kinyume

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 ปีที่แล้ว +1

      @@mayungachristopher744 🤣🤣🤣kuna sehemu nimesema yeye taifa embu soma comment vizuri kunasehemu mm nimesema nimemuhuku hapa kijana acha makasiriko mbaka nimuhukumu mm kanifanya nn nimendika kama kufuri tu shangaa umenijia kama nimekula chako

  • @franklema8089
    @franklema8089 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba unakuja mambo mengi sana wacha waseme tu pesa ni kila kitu mwamba

  • @wettakapaul9010
    @wettakapaul9010 ปีที่แล้ว +9

    This man has no money

    • @crispinmsongole8875
      @crispinmsongole8875 ปีที่แล้ว

      And you how much do you have

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว +2

      Yet still these cheap medias come up n try to tell the people he is rich guy.

    • @marymauki-iu2ex
      @marymauki-iu2ex 11 หลายเดือนก่อน

      Kwel wewe unaakili utafika mbal

    • @marymauki-iu2ex
      @marymauki-iu2ex 11 หลายเดือนก่อน

      Unaakili utafika mbl

  • @user-em5xj3rc5k
    @user-em5xj3rc5k 11 หลายเดือนก่อน

    Vibao pesa

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂

  • @franklema8089
    @franklema8089 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sana mwamba nitakutafuta unipe nyavu nikavue samaki mwanyewe sitaki samaki bigapu sana mtafutaji yeyote ni freemason

    • @pascaledwardedward
      @pascaledwardedward ปีที่แล้ว

      Huo ni ulimbukeni na ni ushamba wewe upate hela unaanza matambo ...matajiri wengi hawaongei na wanazo za kutosha leo unasumbua youtube tiktok............hizo hela sio za halali kabis

  • @naimamohamed2216
    @naimamohamed2216 8 หลายเดือนก่อน

    Mtu mwenye pesa huwa hasemi Wala hatangazi

  • @beatusmajumbi7125
    @beatusmajumbi7125 7 หลายเดือนก่อน

    Mvivu wa kufikiri na mipesa ya damu anawaambia wenye akili timam eti tafuteni pesa hauna amani na hizo pesa za damu unajikaza unatafuta wa kufa nao

  • @leonadimpemba651
    @leonadimpemba651 ปีที่แล้ว +4

    Uyoo jamaa Hana lolotee lilee kachukua pesa za urisi Wa babaakee .. kwaiyoo nimuongo hatarii

    • @jiweg-unit5408
      @jiweg-unit5408 ปีที่แล้ว +1

      Kama za urithi ni za kwake tena

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 ปีที่แล้ว +2

      Na ww kapewe na babaako tuone utakavyizizalisha zizidi kuongezeka kama hutaenda kuhonga makahaba na kunywea pombe

  • @edriccialex6460
    @edriccialex6460 ปีที่แล้ว

    Xaxa naelewa xaba sio kidogo

  • @lady-ayo26
    @lady-ayo26 10 หลายเดือนก่อน

    UKIPATA UONGOZ NIITE ZUUUU

  • @yonicdontah6392
    @yonicdontah6392 ปีที่แล้ว +3

    Mmeona pete yake?

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +2

      Imefanyaje

    • @wahabimakacha7505
      @wahabimakacha7505 ปีที่แล้ว

      😁

    • @eddyjunior2881
      @eddyjunior2881 ปีที่แล้ว +3

      Wengi hawajui ninapicha moja aliyokuwa anasalimiana na mwenzake kwa ishara zao,,,,but tupige kazi za halali tuache tamaa MUNGU atatuinua tu🙏

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 ปีที่แล้ว +1

      @@eddyjunior2881 njoo na ushahidi acha porojo tafuta hela kijana majungu yatapungua

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 ปีที่แล้ว +2

    Maamuzi yako ndo matokeo ya kesho! Ishi na ndoto!

  • @itNeza
    @itNeza ปีที่แล้ว

    Nako Sese chako Eti? 🙄😏🤔🙄

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 ปีที่แล้ว +2

    Watoto wote kama ambao hatukupenda shule lazima tuwe na akili kama hiz n kufikiria mbali zaid

  • @zuujumajuma4478
    @zuujumajuma4478 ปีที่แล้ว +1

    Bosi nakuomba unipe jiya na mimi Mana nimeshoka kulala jaa

  • @mwanadigital1
    @mwanadigital1 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa ujanja mwingii😂😂