Ukitaka kujua ugumu wa kuongoza wasanii fungua kundi lako uone kama hizo filamu zitakupa pesa ya kuwalipa wasanii. Msimuone Clam anakimbiza mkachukulia simpo, kuna mengi nyuma ya pazia hawezi kuwaambia
Kulingana na maelezo haya inaonekana Baba Asma anajituma sana kuwasimamia wasanii mpaka kwa pesa zake mfukoni zisizotoka kwenye sanaa za wasanii wake. Kuna watu wanadanganyana youtube ina pesa nyingi 😂 fungueni muone heka heka zake 😂 utashinda unawadanganya watu unaingiza hela kumbe.... 😂😂😂😂
Nafurahiya jisi dada anavio ongeya na ku jibu
Congo hakuna umbeya
Wewe ni umbea MKUBWA sana kuliko CCTV
Akiri and. Me💙💙💙💙 13:39 13:39
Akiri. And. Me🤎🤎🤎🌹🌹🌹😍😻💗💗💗🫂🧕🎉
Jicho jmn.mzuri bint aliyekuacha mmmmh hujajicream walaaaaa
Comment yangu kutoka msumbiji ninampenda uyu dada sana na ninatamani nimjue siku moje
Ley, sisi Congo 🇨🇩 hatupendagi wambeya😅😅😅😅
Na kusalimu dada Hidaya
mimi sijumjuiii baba asmaa nionyeshenu picture yake
Yuko sawa uyo mdada
🎀💗💗🌺🌺🌺🌺🌺🙏🙏🙏
Wewe mbeya saaaaaaaaaana
Dada ni mbeya uyo
jaman wewe dada hidaya nakupenda bure
Unafanana na Mr Black walahi😂😂
Salim kutoka S.A,nakupenda sana Hidaya,yani una weusi mzuri sana na macho ya vikombe ❤
Ila dada hidaya wewe nakuonaga kamrembo
Ukitaka kujua ugumu wa kuongoza wasanii fungua kundi lako uone kama hizo filamu zitakupa pesa ya kuwalipa wasanii. Msimuone Clam anakimbiza mkachukulia simpo, kuna mengi nyuma ya pazia hawezi kuwaambia
Etii uliitwa na kipara au ulifanya nae interview jmn we dada wa mbengo uko vizur😂😂