EXCLUSIVE: NYUMBANI KWA BILIONEA MTANZANIA ALIEPATA ALMASI YA BILIONI 3 SHINYANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Reporter wako Millard Ayo amefika mpaka Shinyanga kwa Mfanyabiashara Bilionea Mtanzania Joseph Temela ambae alitangazwa na Serikali kwamba amepata jiwe la ALMASI lenye thamani ya BILIONI 3, atazifanyia nini pesa zake? historia ya kutoka familia masikini, ulinzi wake ukoje baada ya hizo BILIONI?

ความคิดเห็น • 760

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 5 ปีที่แล้ว +35

    Gonga like bila kikomo kama unapenda Millard Ayo azidishe subscribers kibao apa★☆☆☆☆

  •  5 ปีที่แล้ว +13

    Hongera sana *MILLARD AYO* kwa makala ya kipekee. Natazama kutoka Zanzibar!

  • @engjohnharvard8364
    @engjohnharvard8364 5 ปีที่แล้ว +1

    Bro congrats God bless you 3billion is very little amount is equivalent to 150 million kenya shiling but dont forget to tithe God will Give you wisdom to invest wisely

  • @princekassim4089
    @princekassim4089 5 ปีที่แล้ว +215

    Hivi kweli unampenda #Millard Ayo like hapa
    Interview Kali sana 🌍🇹🇿👍

  • @antoinea.katembo5326
    @antoinea.katembo5326 5 ปีที่แล้ว +94

    Wote muhojaji na muojiwa wote wate wametulia! Very excellent interview!!!

    • @ananialijahe9957
      @ananialijahe9957 5 ปีที่แล้ว +1

      Kamanda niaje, ee bana sory utakapoona link yangu naomba unisapoti kusubscribe

    • @ananialijahe9957
      @ananialijahe9957 5 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/cy2IbfNXA_Y/w-d-xo.html

    • @antoinea.katembo5326
      @antoinea.katembo5326 5 ปีที่แล้ว +1

      Official Anania Lijahe bila shaka sana kiongozi na hata kama kuna usaidizi mwingine unaweza kuitaji ambao ninaweza kuitatua basi nishtuwe hapa anzuantoine@yahoo.com

    • @ananialijahe9957
      @ananialijahe9957 5 ปีที่แล้ว

      @@antoinea.katembo5326 asante sana kaka

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 5 ปีที่แล้ว +56

    Mungu mkubwa..haijalishi umesota mda gani..mda ukifika hufungua milango.

    • @engjohnharvard8364
      @engjohnharvard8364 5 ปีที่แล้ว

      Trust in God and you make it in life be honest with tithing and God will open great doors in your life

    • @sharonchristian3711
      @sharonchristian3711 4 ปีที่แล้ว

      Natamani iwe ivo kwangu jamani 🙏🙏

    • @amanirashid9011
      @amanirashid9011 4 ปีที่แล้ว +2

      Upo sawa nikweli siku zikifika Allah anakuinua fasta

    • @lailatjussa3397
      @lailatjussa3397 4 ปีที่แล้ว

      Saf sana

    • @arushaonlinemedia4638
      @arushaonlinemedia4638 4 ปีที่แล้ว

      God is over everything trust in God every time

  • @musarichard2934
    @musarichard2934 5 ปีที่แล้ว +40

    Pesa haiko mkononi iko kichwani. Your dreams is the biggest success.

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 ปีที่แล้ว +73

    Hongera kwake hongera pia Millard Ayo napenda kazi yako ubarikiwe sana

    • @ananialijahe9957
      @ananialijahe9957 5 ปีที่แล้ว

      Mambo fatma, sorry mamy nina chanel yangu naomba unisapoti kusubscribe

  • @shabansalee4924
    @shabansalee4924 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba jibu moja sio mengi moja tuu jamani watanzania wenzangu kuwa namaisha mazuli ni moja JUUDI ZAKO 2 MIPANGO YAMUNGU 3 KUFOSI KWAKO kama unaaso kama mm jibu moja tuwekane sawa jamani

  • @marsgenesis7200
    @marsgenesis7200 5 ปีที่แล้ว +15

    Nilichojifunza kutoka kwa huyu jamaa ni kwamba ni mfanyabiashara damu

  • @edwardlupolaso2061
    @edwardlupolaso2061 5 ปีที่แล้ว +35

    Kama anaimiliki diamond kiwanja nikipendacho mwanza, basi ni dhahiri kwamba huyu jamaa alikua tajiri hata kabra ya hilo jiwe

  • @lucaswilliams5761
    @lucaswilliams5761 5 ปีที่แล้ว +33

    Anko kamfungulia dunia kuwa anachotaka! Tujifunze kitu Hapo! Japo usitegemeeh kulipwa jema ahsante #joseph

  • @issaferruzferruz3629
    @issaferruzferruz3629 5 ปีที่แล้ว +500

    Kama unankubal Millard gonga like👍

  • @keagleeagle821
    @keagleeagle821 5 ปีที่แล้ว +20

    Kweli tuliosoma ndio wajinga.Tuna calculate risk sana

    • @upendorobert7298
      @upendorobert7298 5 ปีที่แล้ว +1

      Keagle Eagle umeona ee, na ndicho kinacho tuponzaga

    • @dicksonbaraka7639
      @dicksonbaraka7639 4 ปีที่แล้ว

      Sanaaaaa

    • @saidmtb3013
      @saidmtb3013 4 ปีที่แล้ว +1

      Hapana kusoma ni muhimua sana na kutoka kimaisha ni mipango ya muungu.huo ni mtaz

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 5 ปีที่แล้ว +6

    Jamaa Check hii bro if you can
    1.Temela Diamond Hotel Mwanza
    2.Temela Diamond Hotel Dodoma
    ~TDH~
    3. Diamond NightClub~Julius Nyerere International Airport

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 5 ปีที่แล้ว +31

    Ukiwa na pesa unaishi popote walahi! Hongera Joseph ht usiposoma ukitumia akili yako vzr unatoka tu!

  • @heshimabigete3735
    @heshimabigete3735 5 ปีที่แล้ว +145

    Nimefurahi sana kuona unalinda faragha ya mali za mtu. Kunanzia plate number ya Bodaboda hadi magari ya tajiri. Waandishi wengine wangemulika hadi chooni

    • @godsanga518
      @godsanga518 5 ปีที่แล้ว +4

      heshima bigete umetisha San kama umeliona hilo

    • @fadhilsanga2847
      @fadhilsanga2847 4 ปีที่แล้ว +1

      Bigete naququbali
      Sana umetisha brother

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 5 ปีที่แล้ว +22

    Duuuuuh kudadeki kweli mungu akitaka kukupa wala hakuandikii barua

  • @alfreddavas358
    @alfreddavas358 5 ปีที่แล้ว +76

    Billion 3 kibongo bongo sio mchezo...
    Millard you rock it...
    Hizi ndo habar za kurusha zina influence vijana kupambana pia zina entertain maendeleo

  • @pablogeoffrey5231
    @pablogeoffrey5231 5 ปีที่แล้ว +136

    kutoka kimaisha ni juudi zako na kumuomba Mungu Kwa kila nyendo..!

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 5 ปีที่แล้ว +42

    Big up Millard...ww kibokooo na unajuwa kazi yako,huna spear na popote unafika,utabaki kuwa juu tuu

  • @phoibembwambo981
    @phoibembwambo981 4 ปีที่แล้ว +1

    Muandishi Millard ayyo wewe ni msomi og unajua kuficha plate no za tajiri unaemhoji saaaaaf unasiri za utangazajina uandishi

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 ปีที่แล้ว +138

    Hizi ndo habar tunazo zitaka hakuna mamb ya umbea ooh sijui umedeti na mademu wangapi kabla zakupata almas lkn millard anauliza maswali ya maan big up hizi medi online nyengine zimejaa upuuzi tu

  • @paulsaul1168
    @paulsaul1168 5 ปีที่แล้ว +18

    Huyo mjanja kauza bilioni 3 ila ataki kusema anaogopa wajanja wa mjini

  • @teamfocusfunny966
    @teamfocusfunny966 5 ปีที่แล้ว +1

    Wale mnao wafahamu blocker wa Aina nyingine #like hapa th-cam.com/video/dQzDnRGvr-s/w-d-xo.html

    • @Kotihoito
      @Kotihoito 5 ปีที่แล้ว

      Jamani mimi namupenda sana mirady atanikija tzd napenda nimuone nimsalimie

  • @kennedymwangala8385
    @kennedymwangala8385 5 ปีที่แล้ว +11

    Mpeni pole millardayo hilo kovu,sikujua kuwa alitokewa na problem.From Zambia

  • @nicelaizer9854
    @nicelaizer9854 5 ปีที่แล้ว +64

    Hongera joseph temela, bilionaire mpya wa tarehe 07/04/2019 nchini tanzania uwakumbuke wenzako

    • @255digitaltv7
      @255digitaltv7 5 ปีที่แล้ว +3

      mabilionea wapo wengi wengine ni viongozi wa serikali wameficha mali zao..huwez kuniambia kiongozi anasimamia mradi wa bilioni 42 asiibe bilioni 10

  • @hazibonplatformafrica9617
    @hazibonplatformafrica9617 5 ปีที่แล้ว +34

    Ukpata hela alafu ukaishi mjini kingereza lazima ukijue tuu 🤓😂 complicated, otherwise, Dollar,No,It depends,manage,simple, imagine,swaga za kisomi kabisa🙏Hongereni Sana Millard & Billionaire

    • @sylviakadeha3261
      @sylviakadeha3261 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaaa ...weweee😃😃😃😃😃

    • @seifmbundi1339
      @seifmbundi1339 5 ปีที่แล้ว +1

      Safi

    • @salummohdnyiga9760
      @salummohdnyiga9760 5 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa birds of the feathers flock together

    • @happyphaniah2855
      @happyphaniah2855 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂hatar fireee

    • @jisukali3678
      @jisukali3678 5 ปีที่แล้ว

      Kiingereza kweli simple, ukiwa na mkwanja!

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 ปีที่แล้ว +46

    Dah! Kweli maisha nipopote sio lazima shule, shule nimuhim ila kama namna yakusoma mtu hana ndo hiv tena Mungu anapanga maisha ya bina Adam yajua Mungu pekeake jmn me nakupend bure #millard

  • @merryn4891
    @merryn4891 5 ปีที่แล้ว +30

    Hongera millard kwa kutuletea habari nzur

  • @andrewmagwila6219
    @andrewmagwila6219 5 ปีที่แล้ว +5

    Nampenda Sana Mungu Ni fundi Sana acheni aitwe Mungu anainua vinyonge bila kujali muonekano hapa najifunza kuwa Mungu amempa mwanadamu akili na lzm kujikubali na kujiamini.kisha umtegemee yeye .kutokea hapo mafanikio yapo .ndugu zangu elimu ya kwanza aliyotupa Mungu ni Akili.mengine hayo Ni matokeo .God can.kuishia drs la Saba sio kufeli maisha na kusoma Sana sio kufaulu maisha.

  • @HUKUEUROPE.
    @HUKUEUROPE. 5 ปีที่แล้ว +30

    Ayo nakubali sana kwa kujitoa kwako hili kujaribu kufikisha ujumbe kwa watanzania salute sana bro

    • @irenefaustine4205
      @irenefaustine4205 4 ปีที่แล้ว +1

      We agha wewe interview kama hiz zinakuhusu

    • @HUKUEUROPE.
      @HUKUEUROPE. 4 ปีที่แล้ว

      @@irenefaustine4205 Yah najua but nipe mda kdg ntaanza

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 ปีที่แล้ว +20

    Hongera sana brz temela.Mungu akuzidishie mara 1000.kazi njema.

  • @jacobmwalusamba4478
    @jacobmwalusamba4478 5 ปีที่แล้ว +124

    Watu wa drs 7 ni noma sana wanapiga mapesa kuliko mapro hatari sana

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 5 ปีที่แล้ว +2

      Ujue Mungu habagui

    • @nelsonngemera9832
      @nelsonngemera9832 5 ปีที่แล้ว

      Akina Msukuma, Kishimba n.k

    • @uchawimazingara4913
      @uchawimazingara4913 5 ปีที่แล้ว +1

      Maprof wenyewe kama akina paramaganda kabudi? 😂😂😂😂 mara mia mbili uishie la nne😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @lipymuscat4779
      @lipymuscat4779 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

  • @wizzditto747
    @wizzditto747 5 ปีที่แล้ว +1

    sema sisi waafrika tumejaa uongo ndaniyanafsizetu hata huyu jamaa anaongea uongo hadi machoyake yanamsuta

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 5 ปีที่แล้ว +16

    Uyu sio mchimbaji kama ilivyo tangazwa na serikali, huyu automatic ni mfanya biashara ya madini na nyinginezo. Na wauzaji waliuza million kumi wakaenda bar.

    • @rizikibakar3186
      @rizikibakar3186 5 ปีที่แล้ว

      Salehe Innocent ni kweli bna

    • @elizabethmabula101
      @elizabethmabula101 5 ปีที่แล้ว

      Exactly

    • @upendorobert7298
      @upendorobert7298 5 ปีที่แล้ว +1

      ni mchimbaji ambaye ameadvance, yeye hachimbi, Bali kaajili wachimbaji, hamsikilizi wajameni

    • @hainesurasa1503
      @hainesurasa1503 5 ปีที่แล้ว

      Millard nakupenda bure

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 5 ปีที่แล้ว

      @@upendorobert7298 we hujui lolote kuhusu uchimbaji nina uwelewa Wa kutosha kwenye uchimbaji mdogo coz nishachimba na nikaambulia vumbi.

  • @happynessnyanda3613
    @happynessnyanda3613 5 ปีที่แล้ว +10

    Nmekupenda bure millad jaman mpaka umefika kwetu love u love u

  • @frimasonidunia86
    @frimasonidunia86 4 ปีที่แล้ว

    +255762297199...jiungereo.uwebrioneyazaidi

  • @dianamkuna2898
    @dianamkuna2898 5 ปีที่แล้ว +2

    Msukuma bwna utamuona km fala vle lkn wqnaakili awq wtu

  • @munashally3318
    @munashally3318 5 ปีที่แล้ว +7

    Ishi maisha yako simple kama vile ulikuwa ukishi zamani

  • @stephanochaula4356
    @stephanochaula4356 5 ปีที่แล้ว +137

    Millard Ayo you're the one who has a good and really story
    Take five 👊👊

    • @roseswai5386
      @roseswai5386 5 ปีที่แล้ว +1

      nimeamini kweli tusikate tamaa mungu yupo

    • @stephanochaula4356
      @stephanochaula4356 5 ปีที่แล้ว

      Yes girl don't give up and you never ,imagine huyu mzee toka kitambo anapata tu some of na anapiga kazi long time Ila haku give up till today anapata zari Kama hilo ni Noma Sana but we have to learn from to him

  • @adrophwilliam3225
    @adrophwilliam3225 5 ปีที่แล้ว +28

    Millad Ayo you will be rich because you really fighter.

  • @proflwimo309
    @proflwimo309 5 ปีที่แล้ว +15

    kwahio mzee baba ulirudi kwa mguu naona umeanza safari na kibegi mgongoni alafu jamaa anakuacha hivihvi

  • @ahmadsayyeed1400
    @ahmadsayyeed1400 5 ปีที่แล้ว +6

    Ni kweli biashara ni siri kwenye makubaliano pia kumtangazia mtu mafanikio yake ni kumuweka kwenye wakati mgumu kimazingira

  • @charleslwoga7026
    @charleslwoga7026 5 ปีที่แล้ว +12

    Braza Chanel yako ishakuwa na adds za kutosha!

  • @innogmsuya_minister4953
    @innogmsuya_minister4953 5 ปีที่แล้ว +6

    th-cam.com/video/i8GiTCljSJM/w-d-xo.html
    Naomba uangalie hii video kidogo tu
    🙏🙏❤️❤️🙏🙏

  • @raymondjimmy2712
    @raymondjimmy2712 5 ปีที่แล้ว +61

    Haya Maisha bhana Unaweza kulala Masikini ukaamka Tajiri Sito Kata Tamaa Naamin ntafika ninapo oataka Waalah

    • @sashababy1321
      @sashababy1321 5 ปีที่แล้ว +1

      Uyo tajiri kitambo hapo kaongezea .........jamaa anajituma na muaminifu mno

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows 5 ปีที่แล้ว +3

      Huyo hakulala masikini alikuwa anapamban lala wewe kjn 😁

  • @damasbenedict4246
    @damasbenedict4246 5 ปีที่แล้ว +10

    hata ungekuwanayo huwezi kumpa kila mtu

  • @henrynzella9531
    @henrynzella9531 5 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sanaaa uncle Joseph.Mungu abariki kazi ya mikono yako

  • @patrickkomu3198
    @patrickkomu3198 4 ปีที่แล้ว +1

    Milard una maswali magumu jaman, Vingine vunga vunga bana Hadi kulipwa au lah,🤣🤣

  • @rashidimkwango3097
    @rashidimkwango3097 5 ปีที่แล้ว +7

    Nice C.E.O wa DIAMOND kiwanja cha bata rock city

  • @djrautz733
    @djrautz733 5 ปีที่แล้ว +71

    Nakkbal kwa kila habari zako kama na ww unaikubal ayo tv tujuane kwa like

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 5 ปีที่แล้ว +96

    mungu akitaka kukupa hakuandikii barua

  • @keagleeagle821
    @keagleeagle821 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimeelewa aisee.Watu wenye pesa zao hawapendi kijulikana

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 5 ปีที่แล้ว +45

    Fursa katika nchi yetu ni nyingi.. Ni akili yako tu 🙌🙌🙌

  • @danielyonah6010
    @danielyonah6010 5 ปีที่แล้ว +1

    Namfaham Mr.TemelA nimeamini Kweli unapojishushA na kua mnyenyekevu Mung Hakutupi maana jamaa yuko So humble and simple hata Ukienda kwenye hotel yake ya Diamond pale Mwanza ukamkuta unaweza dhan yye ni mteja tu wa kawaida ilA WapambE nuksi ndo wanavimba hatar.Mungu ni mwemA nataka nije kuwa Temela wa miaka ijayO🙏 Mungu mzidishiE huyU babA

  • @tonyjohnpauls5112
    @tonyjohnpauls5112 4 ปีที่แล้ว

    Hilo swala ni Siri Millard.....nmemkubali Mzee that's how we roll G.code

  • @lazarosilayo6918
    @lazarosilayo6918 5 ปีที่แล้ว +12

    Hivi kuwa Billionaire in kitu cha mchezooo eeeeh....!!!

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 5 ปีที่แล้ว +7

    Nikiona habari ambayo AYO uneitoa ndo naikubali na najua umeifanyia uchunguzi wa kutosha na tena ya maana. Wengine wajifunze kwako siyo story za matusi matusi. Bigup sana kaka

    • @ednafiloteus5216
      @ednafiloteus5216 5 ปีที่แล้ว

      romana mbelle umenena point,,, Wee subiri kuanzia kesho utaona channel nyingine wanaedit heading na kupost kwao

  • @procazorla2027
    @procazorla2027 4 ปีที่แล้ว

    Mashabiki ya Arsenal tunampunga bhana c unamuona Joseph Temela apo 😂😂😂😂

  •  5 ปีที่แล้ว +1

    Makala mazuri sana Millard Ayo. Hongera sana! Kwingineko, watoto wa Maradona, Argentina walifungwa 2-0 na vijana wa Colombia jana. Hata Free kicks za Messi hazikuwaokoa. Nenda youtube utafutize - hashtagmpasuamsonobari- Kwa kujua yaliyojiri

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa7353 5 ปีที่แล้ว +18

    Ee dodo bahati kwa mtu mwenye shamba😉😁🤗.. akaweka jembe chini akaenda mjini kununua motocar ss ni tajiri🔥🔥

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Millard Ayo kwa kazi nzuri ya utangazaji.

  • @officialcherline627
    @officialcherline627 5 ปีที่แล้ว

    kaka shkamoo naomba kunamambo nataka nkushirikishe plz naomba untafute kwa namba 0744845396 plz samahan naomba ncheki

  • @andrewairo3390
    @andrewairo3390 5 ปีที่แล้ว +9

    Bos wangu Mr Joseph temelwa hana neno mpenda watu

  • @sudiyahya9276
    @sudiyahya9276 5 ปีที่แล้ว +4

    Darasa lasaba billionea, nakingereza Anna kichapa, namfananisha na mzepwagu wa njombe darasa lasaba kasuka mfumo mkubwa wa kutoa umeme, wote hao hawaitaji CIVII zenu zavyuo.

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 5 ปีที่แล้ว +1

      Kusoma sana ni uoga wa maisha

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows 5 ปีที่แล้ว

      Mama Chris 😁😁😁 vipi ww upande wako

    • @joycejohn7754
      @joycejohn7754 5 ปีที่แล้ว

      Amejfunza na marafk zake weng wasom

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 5 ปีที่แล้ว +8

    Hapo kwenye kuomba ela hapo . Pole ndungu ukiwa na njaaa na wala uwaoni

  • @richardjulius767
    @richardjulius767 5 ปีที่แล้ว +11

    Msomi wa HKL lini unategemea kupata billion 3????

  • @beatricemapembe8941
    @beatricemapembe8941 5 ปีที่แล้ว +11

    Jamaa katulia na anajielewa. Hongera kaka.

    • @allygibu7003
      @allygibu7003 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaha, wewe Betrice wewe

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 ปีที่แล้ว +5

    Nani ameona mdomo wa milladayo umekua mwekundu sana..... Itakua shida ni nn

    • @bilajasho449
      @bilajasho449 5 ปีที่แล้ว

      steve wanga weee jamaa umeniwahi nilitaka kuandika hivohivo

    • @mdomani2404
      @mdomani2404 5 ปีที่แล้ว

      Uende analamba Sana lolo🤣🤣🤣

    • @octaviomasawe5371
      @octaviomasawe5371 4 ปีที่แล้ว

      @@mdomani2404 😂😂😂😂

  • @balozibalozi5257
    @balozibalozi5257 5 ปีที่แล้ว +8

    Bilionea anaongea Kwa pozzz Hadi raha

    • @allygibu7003
      @allygibu7003 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaha, Kaka acha kutufurahisha, kwamba bilionea anaongea hadi raha!

  • @MrRush-ev6nr
    @MrRush-ev6nr 5 ปีที่แล้ว +5

    Nmependa xana jinsi Joseph alivyoenjoy interview na mtu wa nguvu Millard

  • @helgaaporinaly2811
    @helgaaporinaly2811 5 ปีที่แล้ว +28

    Hongera Joseph, fungua Fixed deposit account, nunua hisa kwenye makampuni makubwa, tulia fedha ikutengenezee pesa. Achana na traditional business

    • @josemchau470
      @josemchau470 4 ปีที่แล้ว +1

      Kampun gani kubwa utapeleka 2bn wakat mishahara tu ni 500mil

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 5 ปีที่แล้ว +7

    "Opportunities zipo nyingi ila ni akili yako tu" Mwisho wa kunukuu nadhani mnanielewa. Kaeni na wimbo wa vyumaaa ......

    • @SDFLASHTV
      @SDFLASHTV 5 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo Akili unayo uzungumzia BILA PESA NI UPUMBAVU MKUBWA MNOO

  • @amanamazanda748
    @amanamazanda748 5 ปีที่แล้ว +14

    Milard utafika mbali sana unakipaji kiukweli MUNGU akuongoze, hii Habari Nimeipenda, fundisho tusikate tamaa 👏👏

  • @malikimahmoudmangindo7430
    @malikimahmoudmangindo7430 5 ปีที่แล้ว +50

    Huwa nakufuatilia sana Millard,kama kuna makosa unafanya kwenye kazi zako za habari,basi endelea kuyafanya maana makosa hayo ni yenye faida.Unagharamika sana kutafuta habari,nina imani initiative hii uliyochukuwa kwenda hadi Shinyanga imenifanya nikuone ukiwa mbali sana kama utajaaliwa umri mrefu(Nakuombea hili)..Wengi wameiona ya kawaida hii.Keep and push up the good work

  • @tatusaid1223
    @tatusaid1223 5 ปีที่แล้ว +4

    usimsahau anko, make alikuachia duka, mkumbuke nayeye, hata watoto wake

  • @bibukaelias2722
    @bibukaelias2722 5 ปีที่แล้ว +61

    Nothing comes easy, unawezaona kakaa miaka zaidi ya tisa bila kupata Mali na alitaka kuacha hiyo biashara lakin wakati huohuo akitoa hela kwa wafanyakazi wake bila yeye kuingiza pesa, hapo tujifunze kuwa na uvumilivu ukianguka amka pangusa mavumbi na songa mbele zaidi kwa sababu kesho yako huijui. Keep fighting never giver up.

    • @ananialijahe9957
      @ananialijahe9957 5 ปีที่แล้ว

      Niaje Brother, sorry naomba utakapoona link yangu ya youtube unisapoti kusubscribe

  • @vivianchawe7561
    @vivianchawe7561 5 ปีที่แล้ว +10

    Toa%10 wasaidie yatima na masikini

  • @wazirikhamisi4828
    @wazirikhamisi4828 4 ปีที่แล้ว

    KUDADEKI TUMESOMESHWA MPK CHUO BADO TUNAKULA UGARI MAHARAGE NYUMBANI KWA WAZEE

  • @mathiasmwingira6951
    @mathiasmwingira6951 5 ปีที่แล้ว +6

    Millard hebu tupe story hapo uliposhonwa usoni kwenye kipanda uso ilikuwaje

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 ปีที่แล้ว +7

    Asubui Intaneti Inasumbua Hii Airtel Imechoka Sana Kama C TH-cam Saa Moja Uduma Ziro Bado Mnasavaivu Tanzania

  • @mansourmuhammed1922
    @mansourmuhammed1922 4 ปีที่แล้ว

    Ago sorry watia ranging ya mdomo😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @clementinamartin3271
    @clementinamartin3271 4 ปีที่แล้ว

    Aliyegundua tanzanite kubwa Arusha

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 5 ปีที่แล้ว +5

    Bora waafrika mfanye wenyewe kuliko kuwaachia wageni kukamata kuchuma

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 5 ปีที่แล้ว +15

    Kaz nzuri sana Millard ayo......hongera bro kwa kutusua dili kubwa mungu anakuonesha njia ukiamin...

  • @upendorobert7298
    @upendorobert7298 5 ปีที่แล้ว +17

    Yaani mie nimegundua kuwa mbilionea wengi si wasomi, eti sijui degree, masters, hakuna, sijui tunakwama wapi, lakini wanaomiliki mabiashara mkubwa ni std 7, nahisi wasomi ni kujiona na kuona ni wakufanya kazi flani flani na si kazi za kujichanganya, ambazo ndo zinapesa nyingi.

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 5 ปีที่แล้ว +10

    Mimi nilijua amechimba yeye
    Kumbe kanunua
    Ila kweli rizki ya MTU ipo mikononi mwa mtu

    • @sadickngoromole935
      @sadickngoromole935 5 ปีที่แล้ว

      mohamed fogo aliyo iyokota kapewa m 20 na pkpk kaka tunae apa ktaa

    • @mohamedfogo8820
      @mohamedfogo8820 5 ปีที่แล้ว

      @@sadickngoromole935
      Dar noma kweli kwani
      Hakupajua pa kuuza

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 5 ปีที่แล้ว

      @@sadickngoromole935 Kwani hao wachimbaji walikuwa wanachimba kwenye mgodi wa jamaa ama?Kama wangeenda kuuza kimya kimya kwa hela nyingi bila kumshirikisha jamaa ingekuwaje?

    • @sophianyoni2246
      @sophianyoni2246 5 ปีที่แล้ว

      Mgodi ni wa kwake

  • @maarifanac
    @maarifanac 5 ปีที่แล้ว +13

    Mjomba anajibu vizuri utasema katuongopea kutuambia kaishia la saba 😂

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 5 ปีที่แล้ว

      Maarifa Nac endeleeni kukalili kuwa darasa la saba si siku. Ukweli elimu nzuri ukiacha mambo ya ujuzi/fani flani ni exposure

  • @Mjingafaki
    @Mjingafaki 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa anaenda mbweo inaonekwa kashiba sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 5 ปีที่แล้ว +4

    USIKATE TAMAA, HUWEZI JUA MWENYEZI MUNGU AMEKUPANGIA UTAKUWA TAJIRI LINI, ONGEZA JUHUDI

  • @saumuabdi5954
    @saumuabdi5954 5 ปีที่แล้ว +5

    Tusife moyo mungu amuweke huyu baba mtangazaji mashaalah makini sana

  • @hgfivcj1832
    @hgfivcj1832 ปีที่แล้ว

    Naomba nielekezeni jinsi yakuipitisha jamani

  • @abn8331
    @abn8331 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaaa anazo hela tangu kitambo sana,nafikiri kaongezewa tu.

  • @deusmgema1204
    @deusmgema1204 4 ปีที่แล้ว +1

    Big Temela Mungu akuzidishie nakukubali sana pamoja Na kumiliki pesa mingi kiasi hicho huna majivuno watu wote unawathamini

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 5 ปีที่แล้ว

    Alipe walimu wamfundishe kisha afanye mitihani

  • @jacksonamos2008
    @jacksonamos2008 4 ปีที่แล้ว

    Ukiwa na salio mpaka sura zinakuwa fresh bila hata kutmia vipodozi

  • @jacksonamos2008
    @jacksonamos2008 4 ปีที่แล้ว

    Ukiwa na salio mpaka sura zinakuwa fresh bila hata kutmia vipodozi

  • @magibomwita8134
    @magibomwita8134 5 ปีที่แล้ว +16

    Biashara ya madini uwa ni siri sana na mfanyabiashara wa kweli awezi sema yote

    • @ananialijahe9957
      @ananialijahe9957 5 ปีที่แล้ว +1

      Mr. Magibo habari, sorry father utakapoona link yangu naomba unisapoti kusubscribe

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 5 ปีที่แล้ว

    milardy ayo ni habar nyingine kabisa anatafuta vitu ambavyo watanzania wanaviitaji###