DOCTOR AFICHUA CHANZO CHA KIFO CHA MARCO WA ZABRON SINGERS | TULIMWAMBIA HAWEZI KUPONA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #kenya #kenyadigitalnews #ktnnews
    DOCTOR AFICHUA CHANZO CHA KIFO CHA MARCO WA ZABRON SINGERS | TULIMWAMBIA HAWEZI KUPONA
  • เพลง

ความคิดเห็น • 277

  • @lifewithchrist.450
    @lifewithchrist.450 19 วันที่ผ่านมา +42

    Furaha yangu ni kuwa hatujampoteza, amelala katika bwana na ipo siku atafufuka katika Kristo. Tuliobaki tuandae njia zetu pia. Makiwa familia ya Marco

    • @CoastmediaPlustv
      @CoastmediaPlustv  16 วันที่ผ่านมา +1

      @@lifewithchrist.450 please subscribe to this channel and share with your friends and family

    • @jovinathabaraka8030
      @jovinathabaraka8030 10 วันที่ผ่านมา

      Yeah umenitia moyo naamini katika hili

  • @user-kk4jm7zn9n
    @user-kk4jm7zn9n 20 วันที่ผ่านมา +7

    Jamani ndg zangu tunapoandika kumbe zetu ni muhimu kufahamu Mungu ni Kila Kitu hata tufanyeje hapo tutapitia mm na wewe, itoshe kusema "Imekwisha" Polen ndg na wanafamilia, special Mama mjane na watoto Yatima Mungu awe Baba kwao

  • @user-ww5et5yg9f
    @user-ww5et5yg9f 17 วันที่ผ่านมา +5

    Operation ya aorta sio rahisi..very delicate.ppl should not blame the doctors.12hrs operation.may he rest peacefully.

  • @OleNapayaManueli
    @OleNapayaManueli 17 วันที่ผ่านมา +6

    Huyo ulikuwa ushirikina angeombewa mapema bila operation angepona,,lkn acha tumwachie mungu manake kila mtu atafariki

  • @MarrySanga-n1f
    @MarrySanga-n1f 20 วันที่ผ่านมา +11

    Alipangalo Mungu mwanadamu hawezi pangua Mungu ailaze Roho yake mahala pema peponi Amina😭😭

  • @mjuemungunapastorfrancis7433
    @mjuemungunapastorfrancis7433 19 วันที่ผ่านมา +4

    Poleni sana wanafamilia. Mungu wa mbinguni ampokee na apumzike kwa amani

  • @EdsonWillison
    @EdsonWillison 20 วันที่ผ่านมา +11

    Jamani pole Sana zabroni mungu ailaze mahala pema peponi Amina

  • @janesoimo4644
    @janesoimo4644 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    God is still in control, take heart our Brothers. May God give you peace, poleni sana mungu awafariji. Rip macron.

  • @stellabirundu569
    @stellabirundu569 20 วันที่ผ่านมา +7

    Shida...kenya mngempeleka karen heart hospital

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 20 วันที่ผ่านมา +9

    Operation ya jumla ya muda wa saa15 kuanzia saa2 asubuhi mpk saa5 usiku Dah ni hatari na nusu 😮!! Hata angekuwa nani ni ngumu kupona unless Muumba mwenyewe azuie kifo kisitokee. Amevuja damu kwa muda mrefu mno Dah!! RIP Bro 😭😭😭

    • @sumaiyahmassawe6943
      @sumaiyahmassawe6943 18 วันที่ผ่านมา +1

      Mimi nilifanyiwa operation miaka 17 iliyopita kuanzia saa Tisa mchana mpaka saa Saba usiku lkn nipo hai mpaka Leo namshukuru sana Mungu 🙏 Kwa maana kupina ni bahati sana

  • @carollenin5152
    @carollenin5152 20 วันที่ผ่านมา +11

    May God bless our doctors and give them long life. They do try their best but only God gives life.

    • @EmmaJohnson-nc7sk
      @EmmaJohnson-nc7sk 15 วันที่ผ่านมา +2

      I like your comment,,only God gives life

  • @janewakhu4924
    @janewakhu4924 19 วันที่ผ่านมา +4

    Hili ni pigo kubwa Sana Kwa Wana sabron singers,, Jambo kubwa ni kuwaombea mungu awatie nguvu wakati huu ngumu🙏🙏

  • @MasaluMartine-xe1kb
    @MasaluMartine-xe1kb 19 วันที่ผ่านมา +9

    Jamaa angebaki Nairobi akatibiwa

    • @lennydzombo9890
      @lennydzombo9890 16 วันที่ผ่านมา +2

      Kenya has some of the best cardiac hospitals in the world and am sure the guy's life could have been saved

    • @EmmOmb19367
      @EmmOmb19367 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@lennydzombo9890 Exactly my point

    • @agathabritney
      @agathabritney 15 วันที่ผ่านมา +1

      Agakhan could have done the best

  • @brightonpeter1034
    @brightonpeter1034 20 วันที่ผ่านมา +4

    Poleni sana wafiwa wote, na roho ya mpendwa wetu ipumzishwe kwa amani🙏

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 20 วันที่ผ่านมา +23

    Hii dunia, na ninyi Zabron senger why mlishindwa kumtibia ndgu yetu kenya au kumpeleka India hata Ag khani hospital? Hata kujichanga tungejichanga ili apone

    • @raymungai9206
      @raymungai9206 19 วันที่ผ่านมา +2

      Walikosea sana kumrudisha tz. Wangenpeleka Hadi k u

    • @JoyceSarikiel
      @JoyceSarikiel 19 วันที่ผ่านมา +3

      Ilishindikana India walisema hatafika salama

    • @Travelwithfred
      @Travelwithfred 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@raymungai9206wangempeleka kenyatta hospital Nairobi

    • @SuzanNgussa
      @SuzanNgussa 19 วันที่ผ่านมา

      Was too late

    • @SuzanNgussa
      @SuzanNgussa 19 วันที่ผ่านมา

      Was too late

  • @leahgithui5066
    @leahgithui5066 19 วันที่ผ่านมา +8

    Its done& its done but why ddnt they take Marcos to Dr Gikonyo heart surgeon in Nairobi😢

    • @chriskudilla5355
      @chriskudilla5355 17 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa GIKONYO hawafi?

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 16 วันที่ผ่านมา

      @chriskudilla5355 Nairobi na,Tanzania huwezi linganisha kimatibabu wako juu zaidi ndo mana hata mzungu akiumwa au ajali anakimbizwa Nairobi,mfano ni Tindulissu.

    • @estheradala5542
      @estheradala5542 15 วันที่ผ่านมา

      If you listen well you'll understand why..

  • @magrethibrahim9636
    @magrethibrahim9636 19 วันที่ผ่านมา +8

    Jaman kwani tatizo hili lilimuanza tu gafra au ,mtu kufika mwanza akawa wa kupandishwa ndege yuko hoi mhh jaman hakujua mapema wangempeleka hata india hata km ni michango watu wanavyopenda hilo kundi jaman wasingekosa michango kabisa kaka anaimba jaman looh Mungu wangu jaman😭😭😭😭

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hata useme nini, asha pumzika. Uzuri alijuwa neno la Mungu zaidi ya yote. Ndugu, wazazi marafiki poleni ni njia sote tuta pita ila kwa wakati Mungu ametupangia RIP Marco

  • @VailetTz
    @VailetTz 19 วันที่ผ่านมา +2

    poleni san jaman familia mungu awatie nguvu mungu ailaze roho yamalehemu mahali pema

  • @philemonyegon6501
    @philemonyegon6501 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna mtu ata mmoja kati yetu anayejua siku ya kuondoka kwake duniani. Kwa hivyo tuwe tayari kwa Kila jambo wakati wowote. We don't belong here😢

  • @JustinaBoniphace
    @JustinaBoniphace 19 วันที่ผ่านมา +2

    Yote katika yote hata kama na hao madaktari wa India angekuwepo Muhimbili ila Mungu ndiye anayejua hatima ya maisha ya mtu, tutalaumu madaktari, lakini Mungu alikuwa anaweza kumponya bila hata uparation, hivyo basi tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo, hata katika kipindi hiki cha majonzi.

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 18 วันที่ผ่านมา +2

    Operation kuanzia saa mbili asbh mpaka Saa tano usiku, ooh my god, kufumua kifua? Ooh my God.naumia Bora angepelekwa Kwa mwamposa akaombewe

    • @fransisbulugu9994
      @fransisbulugu9994 16 วันที่ผ่านมา

      kwamba madoctor hawakufai 🤔🤔

  • @JuliahKambura
    @JuliahKambura 20 วันที่ผ่านมา +2

    Poleni watu WA mungu.let continue to pray for family

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 20 วันที่ผ่านมา +10

    Nawapa pole wafiwa Mungu awape nguvu kwa hiki kipindi kigumu kwao ila naomba kuuliza huyu sindio aliejitokeza kwenye msiba wa MEMBE? akasema yeye ndo Doctor wake au nimemfananisha?adi ndugu wa Membe wakamkana sio Doctor wake muongo

  • @joyluyegu2305
    @joyluyegu2305 19 วันที่ผ่านมา +1

    Please broadcast truthfully. Heart conditions are fragile and unpredictable. Ambia wanaokuzikiliza ukweli.

  • @FurahakahindiKondeFurahakahind
    @FurahakahindiKondeFurahakahind 18 วันที่ผ่านมา +1

    Polen sana Mungu awatie nguvu kwa wakat huu mugumu, from Kenya

  • @RoseNyota
    @RoseNyota 18 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni Sana family Na Sisi pia tunao sikilixa nyimbo zake ,tutakumiss

  • @geoffreymochama1676
    @geoffreymochama1676 20 วันที่ผ่านมา +5

    Poleni sana marafiki Kwa kipoteza mtumishi wa mungu

  • @yamungumengi3800
    @yamungumengi3800 18 วันที่ผ่านมา +1

    Binafsi😢😢 kuskia hili tukio nimejikuta chozi lanitoka mana imekua GHAFLA lakini hatuna namna kazi ya mungu haina makosa japokua imeumiza imeniumiza binafsi

  • @stanslausmndeme4605
    @stanslausmndeme4605 19 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani,nimeumia sana,Mungu ampe pumziko la milele Amen

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 19 วันที่ผ่านมา +2

    mm kilichonishangaza tu ni ivi, mpendwa huyu hakuwai kua na shda ya moyo ilikuaje iyo hali ikamshika ghafla ivo jmn😭😭😭 kwel utumishi nimgumu ndo maana wengine tukiitwa kumtumikia Mungu tunakimbia kama Yona😭 wa kwenye Biblia.

    • @RoseZakaria-mb1ju
      @RoseZakaria-mb1ju 2 วันที่ผ่านมา

      Mungu awatie nguvu wanafamilia wa zabron

  • @MercyKangethe-fz7zo
    @MercyKangethe-fz7zo 17 วันที่ผ่านมา +2

    Death is cruel, and the pain is almost unbearable. Never the less., for those who die in Christ Jesus, there is hope beyond the grave. There is eternal life. Take courage and know that God is in control. Our prayers are with you. It is well . Amen.

  • @lakiabalozi5633
    @lakiabalozi5633 20 วันที่ผ่านมา +3

    Gone too soon jamaniii why angeenda nje hata asingekufa oohhi

  • @amanimwakanqile8430
    @amanimwakanqile8430 18 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana Bwana awe faraja kwa ndugu jamaa na marafiki

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 19 วันที่ผ่านมา +2

    Hiyo operation mliwahi kuifanya hapa Tanzania?

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 19 วันที่ผ่านมา +1

    Usiseme eti asipofanya operation atakufa mbona amefanyiwa na amekufa siku ikifika ya kufa lazima ufe hata ukipelekwa India utakufa tu

  • @neemakadzo9406
    @neemakadzo9406 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mngemuacha huku Kenya akafanyiwa apa Nairobi 😢 tutamss sauti yake , usubui Ile ya daktari on Sunday nacheza hii song kumbe unaenda😢😢

    • @gracemwakibolwa7910
      @gracemwakibolwa7910 19 วันที่ผ่านมา

      A cha kukufuru Mungu.kenya pia sio Mungu ni binadamu.shukuru Mungu kwa kila jambo.kumbuka kijana alikuwa mtumishi wa Mungu na Mungu ana makusudi naye.pumzika kwa Amani Marco.

  • @maisaalawy8549
    @maisaalawy8549 9 วันที่ผ่านมา

    Mi nilichokiona hicho kikudi cha uimbaji ni waimbaji wa kwaya lakini sio wacha mungu, sijaona sehemu walisema tumuombe wao walimkimbiza tu hospita bila kuomba mungu kwanza na huku unampeleka hospital hapo Sasa hata akifa unajua hiyo ni ya mungu, lakini.hamkumuombea nyinyi mlimrudisha tu hata mngetamka kwa Jina la yesu achia angepona inabidi hicho kikundi muokoke sio kuimba tu kama mziki mempoteza mwenzenu kwa uzembe.

  • @eunicenyamori1139
    @eunicenyamori1139 20 วันที่ผ่านมา +1

    You doctors in Tanzania please go back to school .Marco has never been sick

    • @josephmaleckela9904
      @josephmaleckela9904 19 วันที่ผ่านมา

      Kwa nchi za wazungu huwezi soma udaktari wa wanadamu mpaka uwe na degree ya biology kwanza ! sasa kwetu huku mmmh !

  • @LiberathaJoseph
    @LiberathaJoseph 14 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana family ya marco mungu amulaze pahali pema peponii

  • @estheremmanuel8674
    @estheremmanuel8674 19 วันที่ผ่านมา +3

    Na kwann umwambie mgonjwa huwezi kupona jamn mjomba mjomba mjomba😢

    • @machakuroger7068
      @machakuroger7068 18 วันที่ผ่านมา

      "Kama hatafanyiwa upasuaji"

  • @Carolina-gf9vj
    @Carolina-gf9vj 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehem mahari pema peponi. Awatie nguvu wafiwa

  • @CareenLight-rb6yn
    @CareenLight-rb6yn 20 วันที่ผ่านมา +1

    Are you sure to be operated was the must? And you said you don't know what was the broblem exactly then why did you do the operation? Mngemuacha atibiwe tu Kenya pengine kusingekuwa na operation ya kuforce. Huyu amewahishwa na hiyo operation. So sad!😭😭😭

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 19 วันที่ผ่านมา +2

    Kwakweli inauma Sana maskini🙏🙏😭😭😭

  • @mageAlly-h1l
    @mageAlly-h1l 17 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana mungu awape uvumilivu

  • @ngatiaiburahimuofficial111
    @ngatiaiburahimuofficial111 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mulifanya makosa kubwa sana sana kukibilia upasuwaji..makosa kubwa..sana ..alikuwa time kubwa ya kumuona ..big mistake big...magojwa..za moyo hupewa time..

  • @DanieliMakini
    @DanieliMakini 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awatie nguvu katika hari iliyopo kwasasa

  • @NoahMakecho
    @NoahMakecho 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa moyo very soft tissue ni kitu inaweza katwa na iendelee kufanya kazi surely 😢 nyinyi madaktari mtatuonyesha mambo

  • @ESSYWAWIRA
    @ESSYWAWIRA 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awafariji wapendwa. Ai.

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 20 วันที่ผ่านมา +2

    Sad 😢😢may his soul Rest in peace 😭

  • @nuruelie
    @nuruelie 13 วันที่ผ่านมา

    Yaan mgonjwaa mnamwabia hawez kupona akisafir au ndo mlitak mzipige izo ela za operation aiseee af et ni ndugu yangu mark,nyambafuuu

  • @enockmbise
    @enockmbise 20 วันที่ผ่านมา +1

    Dah pumzika kwa amani kk poleni familiya.

  • @JenipherMwinuka
    @JenipherMwinuka 14 วันที่ผ่านมา

    Duuu jamani Zabron singers poleni na amini yote ni mapenz😢 ya mungu

  • @leahgithui5066
    @leahgithui5066 19 วันที่ผ่านมา

    Pole nyingi kwa bibi yake na familia.& his soul Rip.
    Sisi WaKenya jamani tunaumia tukijua Dr Gikonyo was just a fone call away😢

  • @HadijaSufuni
    @HadijaSufuni 18 วันที่ผ่านมา +3

    Kazi ya mungu aina makosa hiyo ni njia ya Kila mtu😢😢

  • @happysanga4902
    @happysanga4902 18 วันที่ผ่านมา +1

    Polen kwakumpoteza mtu muhim kama huyo😊

  • @brianodhiambo350
    @brianodhiambo350 16 วันที่ผ่านมา

    Ni uchungu sana lakini Mungu awe na familia na wana Zabron singers kwa jumla

  • @sisterslove1651
    @sisterslove1651 20 วันที่ผ่านมา +2

    i wish he was justa taken to aghakan hospital in Kisumu, coz why operation ?

  • @Reylau-n6h
    @Reylau-n6h 16 วันที่ผ่านมา +1

    Professor wap mbona mlishindwa kumnusuru Marc acha zako ww

  • @JosephineNzilani-q7c
    @JosephineNzilani-q7c 20 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana pia mm maoni yangu hawagemfanyia. Operations

    • @KhadijaJacob
      @KhadijaJacob 20 วันที่ผ่านมา

      Kbs wangemwachia Mungu tu

  • @scolastikapeter5892
    @scolastikapeter5892 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mazoea mabaya ya kazi ndo yamesababisha kifo chake mnapomuhudumia mgonjwa mjue nyuma yake kuna watu wengi wanamtegemea 😢

    • @MonicaNyanda
      @MonicaNyanda 18 วันที่ผ่านมา

      😫😫😹 true

  • @JackEzekia
    @JackEzekia 20 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa unaweza ukute Damu ilimuishia akakosa nguvu

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 20 วันที่ผ่านมา +6

    Mbona sawa nying punguza uchiz watu tupo kwenye majonzi bhna

  • @Allystor
    @Allystor 12 วันที่ผ่านมา

    Nikiskiaga hio hospital ya jakaya kikwete naona kama ni machinjioni hapo .

  • @otienootieno7444
    @otienootieno7444 20 วันที่ผ่านมา +2

    😮😢😅😊Yani wanajua hawezi bona na wanamfanyia operesheni Tena?

    • @user-vy2bc6xg3i
      @user-vy2bc6xg3i 20 วันที่ผ่านมา

      Ilikuwa 50kwa 50 pia fahamu moyo kitu kingine sana

    • @Travelwithfred
      @Travelwithfred 19 วันที่ผ่านมา

      You can't touch the main vein Aorta ikiguzwa maisha inaisha hapo hapo

  • @GrecePaskar
    @GrecePaskar 19 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana wanafamilia ,tumain lenu like kwa bwana

  • @PetronilaSimiyu
    @PetronilaSimiyu 20 วันที่ผ่านมา +1

    Heartfelt condolences to the family

  • @MambiseMbise
    @MambiseMbise 20 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni wanafamilia.kazi ya mungu haina makosa

  • @felisterjohn493
    @felisterjohn493 20 วันที่ผ่านมา

    Mimi natoa Pole sana kwa Familia ,Mungu akawe faraja kwa mke na watoto ,jamani Muhimbili ,muhimbili ,muhimbili natamani siku ni muone Taisi nimwambie ya hapo muhimbili moyo wangu una maumivu sana

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t 20 วันที่ผ่านมา +4

    Wametuulia kipenzi chetu Bora angepelekwa tu India jamani 😭😭😭

    • @lakiabalozi5633
      @lakiabalozi5633 20 วันที่ผ่านมา

      Kweli

    • @KhadijaJacob
      @KhadijaJacob 20 วันที่ผ่านมา

      Daaaaah

    • @JacquelineMahumbe
      @JacquelineMahumbe 20 วันที่ผ่านมา

      Shida kipenzi ilishindikana Kwa sababu ya Khali haikua nzuri

    • @HyacintaGugu
      @HyacintaGugu 20 วันที่ผ่านมา

      Kweli jaman...Op ya fasta hivyo jamani

    • @user-vy2bc6xg3i
      @user-vy2bc6xg3i 20 วันที่ผ่านมา

      Hujamsikia hapo kuwa uwezo ulibaki kidogo sana. Asingefika hata huko

  • @annmacharia9069
    @annmacharia9069 19 วันที่ผ่านมา

    This prof needs to see a doc. He has some swelling on his neck. Otherwise, may Marcos sing his way to heaven. For the young family he's left behind, may the Lord console you 🙏

  • @limymasele21
    @limymasele21 20 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe alikuwa keshatibiwa hapa Shetani keshapata upenyo Mungu ilinde Familia yake😢😢😢

  • @user-up5wt2yl6f
    @user-up5wt2yl6f 20 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana namwaga. Kwenye picha yakwaya nimeumia binafsi

  • @witnesssawe7290
    @witnesssawe7290 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hii ilimkuta mjomba wangu na alipoteza maisha,opp hii cyo ya mchezo.Tumwombe Mungu atuepushe na maradhi hayo.

  • @jakee2041
    @jakee2041 20 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭💔💔💔 poleni sanaaa familia and Zablon Singers at large.

  • @user-dd9eq1js5z
    @user-dd9eq1js5z 18 วันที่ผ่านมา

    So sad I feel the pain hadi nmelia for really...so soo pain😭😭😭😭😢

  • @NeyJeremih
    @NeyJeremih 20 วันที่ผ่านมา

    mungu akupumzishe kwa aman kaka etu mpendwa pia poleni mungu awatie nguvu

  • @epimackoscar25
    @epimackoscar25 18 วันที่ผ่านมา

    Ukimsikiliza huyu jamaa utagundua masuala kadhaa ya kutafakarisha moja kama operation yake iliwahi sana kufanyika yaani kuna namna alipaswa kupumzika pili ninashaka na maelezo ya kwamba asingeweza kufika india akiwa hai (ni maoni yangu binafsi plus imani yangu) tatu marco alionekana ana shida ya moyo lakini haikukulikana moyo unashida kwa sabb hipi hapo kataja umri uwe umeenda , uvutaji wa sigara ishu ambazo kwa marehemu azijawa na mashiko then nawaza kwa kuyajumuhisha yote hayo uwenda kungekuwa na pre treatment kabla ya kuamua kumpasua na nilichogundua pia kuvuja damu nyingi baada ya operation kumepelekea kifo chake

  • @elizabethmroki1676
    @elizabethmroki1676 16 วันที่ผ่านมา

    Apumzike kwa amani

  • @alinecizanye8347
    @alinecizanye8347 20 วันที่ผ่านมา +3

    This need investigation to be done

    • @bintibaibe1958
      @bintibaibe1958 20 วันที่ผ่านมา +1

      Ukiona kifo chochote huyu jamaa anatoka mbele ku clear the air jua kuna jambo haliko sawa harun nyagori ni nani??? Membe alipofariki alikuwa mbele kuwaambia hajauawa,,na hiki kifo leo yeye ndo yuko mbele anasema ni mjomba wake na anaeleza Kama ndio aliemuoperate? Why???

    • @wanderinderituh459
      @wanderinderituh459 18 วันที่ผ่านมา

      Investigation ya nini and the family is contented?

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t 20 วันที่ผ่านมา +2

    Ubobezi ! Ubobezi! Mmetuulia jamani. Nimeumia sana

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 20 วันที่ผ่านมา +9

    Nawakumbusha tu huyu ndio yule aliesema yeye ni daktari wa familia ya Dr,membe na akasema membe hajauawa,,,.if you know you know na leo yeye tena anasema ndie daktari na ndugu wa marko.Mimi sielewi kwakweli nashindwa kuunganisha dots mnisaidie huyu jamaa ni nani???

    • @user-ru6ct4rh3t
      @user-ru6ct4rh3t 20 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa wangemwacha tu. Madaktari feki ni wengi. Bora angepelekwa tu India jamani 😭😭

    • @mussaelia8693
      @mussaelia8693 20 วันที่ผ่านมา

      Huyu n daktari Bingwa wa mahonjwa ya moto
      Prof Nyagori

    • @JacquelineMahumbe
      @JacquelineMahumbe 20 วันที่ผ่านมา +1

      Ndie kweli basi kutakua na mchezo mchafu why yy?

    • @ausonmongi3401
      @ausonmongi3401 18 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni doctor haswa na ni daktari bingwa

    • @ausonmongi3401
      @ausonmongi3401 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@mussaelia8693sahihi na ni captain wa jeshi

  • @divinahmarwanga5260
    @divinahmarwanga5260 18 วันที่ผ่านมา

    Hii operation inachikua masaa mengi hvi ,,,waaaa

  • @CecilCarol-o9n
    @CecilCarol-o9n 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ma condolences to the family...love the zabron singers...❤😢

  • @MaltiniMalonga
    @MaltiniMalonga 8 วันที่ผ่านมา

    Polenisana wapendwa

  • @emmanuelsanareemmanuelsana9137
    @emmanuelsanareemmanuelsana9137 20 วันที่ผ่านมา

    Hii hospital sijawahi kuona mtu alie okolewa zaidi ya kufa tuu magu tayari zablon tayari Sasa wanamuokoa kina nani

  • @MatildaSimon-b5q
    @MatildaSimon-b5q 12 วันที่ผ่านมา

    Saa 2 mpka saa tano usku hapo ndio imeenda vzur opration? Open heart operation😢 seriously u speaking

  • @lulualex4486
    @lulualex4486 19 วันที่ผ่านมา

    Sasa kama we ni dactari bingwa , unazemaje hujui ni kwann alipata hio shida?

  • @YeceDaud
    @YeceDaud 5 วันที่ผ่านมา

    😂😂 nimaumivu makali hayaelezeki apumzike kwaamani kakayetu.

  • @Rachel-lq8sz
    @Rachel-lq8sz 18 วันที่ผ่านมา

    Aaaaaaa mungu ayajua yote lakini😢😢😢😢😢 very painful

  • @JacquelineMahumbe
    @JacquelineMahumbe 20 วันที่ผ่านมา +1

    Yote tumshukuru Mungu

  • @GodliverByarugaba
    @GodliverByarugaba 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu nimwema kwakila jambo

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 20 วันที่ผ่านมา

    Mbona huyo professor sio msikivu ?. Anaitikia bila kumsikiliza mwandishi

  • @EliaPoul-l1i
    @EliaPoul-l1i 17 วันที่ผ่านมา

    Bwana ametoa na bwana ametwa jina la bwana liimidiwe yote nimapenz ya Mungu

  • @asiamohamed8431
    @asiamohamed8431 20 วันที่ผ่านมา +2

    Ahadi ikifika basi.

  • @jacksonseleman_
    @jacksonseleman_ 16 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo mama huko pemben anavoshangaa sasa....

    • @CoastmediaPlustv
      @CoastmediaPlustv  16 วันที่ผ่านมา

      @@jacksonseleman_ please subscribe to this channel and share with your friends and family

  • @NeemaNeema-j6e
    @NeemaNeema-j6e 18 วันที่ผ่านมา

    Polen sana MUNGU awatie nguvu

  • @NdetyMbise
    @NdetyMbise 18 วันที่ผ่านมา

    😢 poleni sana wanafamilia

  • @gracenganga6489
    @gracenganga6489 17 วันที่ผ่านมา

    Swali kwa daktari, kwa nini mlimpasua kama mliona hawezi pona?

  • @rosengotho6428
    @rosengotho6428 20 วันที่ผ่านมา +3

    Aargh!! They killed him. Na hizo operation zao.

    • @bintibaibe1958
      @bintibaibe1958 20 วันที่ผ่านมา +2

      Kama unakumbuka huyu ndio alisema yeye ni daktari wa familia ya membe wakati familia ya membe ilimkataa na ikasema hawamjui,,. Leo tena anasema ni ndugu wa marko na ni daktari it’s so weird yaani inanishinda kumuelewa alaf kwenye vifo vyote viwili anasema acheni kufikilia chochote hajauawa mara ni mapenzi ya Mungu..but how do you know??nenda kwenye interview yake wakati membe kafa “ andika daktari wa membe”itakuja then compare alaf nisaidie

    • @rosengotho6428
      @rosengotho6428 20 วันที่ผ่านมา

      Angetibiwa Nairobi Karen hospital.

    • @trizahkiarie2468
      @trizahkiarie2468 20 วันที่ผ่านมา

      Hawa ma doctors are fake hapa tu makufuli alisimia how they could have taken him to india