Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Poleni sana ndugu na dada pamoja na familia na marafiki zake Mungu yu pamoja nanyi m siofu Mungu hupeana na pia hutoa siku za mwanadamu duniani ni mafupi lakini ya mbinguni ni ya milele huyo ameenda kuishi na bwana yy mwendo amemaliza imani ameilinda so sad shine on your way 🙏😭😭😭😭😭😭😭
Puisse l’Eternel notre Dieu consoler et réconforter toute la famille, les voisins, amis et connaissance pour cette disparition brusque du frère MARCO. A l’espoir de la résurrection. Apocalypse 14:13 et 1 Thessaloniciens 4:13-18.
Madaktari walio sema familia yake iwahishe kuzika mwili wa Marco eti kwa sababu mwili wake ukikuwa na jeraha kubwa la operation wanajua walichokifanya. Hapo kuna fiche. Jakaya Kikwete hakuna mortuary ya Kisasa au hata hospitali ingine? Amini madaktari sana at your own risk. Wangekagua huo mwili wake waone ama figo zimenyofolewa na viungo vingine muhimu. Watanzania amkeni!
Hata mtu hukosa kuamini eti harudi nyumbani watoto wamuite baba mke amuite hubby na mamake amuite mwanangu.yauma kweli kumupoteza mume angali mchangaa hivi mungu hupeana na huchukua mwenyewe na ndiye mwenyewe ana nguvu ya kuwatuliza.
Kwa upande wangu tangu msiba huu utokee nimefatilia enterviuews nying za kundi hili ila japhet ni mbinafs na anatabia yakujikweza Zaid kuliko kisayans ukimfatilia paka na tabia zake ndivo alivo huyu ila halionekan tatzo kwakua wenzie wanatambua madhaifu na wakaamua kuyabeba
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Tujuane tuliofika hapa baada ya Marco kututoka
Let's know everyone who comes here after late markos
Mimi apa ndugu
Mimi pia.
Mm naye ninatokea Kenya tupo pamoja 🤝
Mm naye ninatokea Kenya tupo pamoja 🤝
Kwa kweli tangu marco aondoke nikiiona tu interview yake nadondokwa na chozi... Safiri salama marco tulikupenda sana wakenya🇰🇪
Kweli inauma saana 😢😢kama ni uwezo tungefika lkn zaidi na hayo MUNGU awe na wao ❤🙏
Nawapenda sana zabron singers,,,,,Mungu awatunze
Poleni sana , mnanibariki sana kwa uimbaji wenu, Mungu awatie nguvu wapendwa.
Poleni sana ndugu na dada pamoja na familia na marafiki zake Mungu yu pamoja nanyi m siofu Mungu hupeana na pia hutoa siku za mwanadamu duniani ni mafupi lakini ya mbinguni ni ya milele huyo ameenda kuishi na bwana yy mwendo amemaliza imani ameilinda so sad shine on your way 🙏😭😭😭😭😭😭😭
Sasa hivi Joseph hayupo tena !! Mungu wazidishie uwape nguvu sana azwa make na watoto
Ni marco joseph n kakake
Hapana. Anaitwa Marco Joseph@@LillianKatana-i4w
Mimi nimelia sana 😢, yaani Siamini hata , mtoto wa watu . Mungu awatie nguvu sana 😢😢😢😢😢🙏
Roho inaniuma sana kifo cha marco jophfu singer
Nilihisi hawa ni ndugu maana wanafanana sana. Watoto wa kaka na dada. Poleni sana sana.
Hata mimi jamani
Ndio ni ndugu mbon
Poleni sana wanafamilia.
Puisse l’Eternel notre Dieu consoler et réconforter toute la famille, les voisins, amis et connaissance pour cette disparition brusque du frère MARCO. A l’espoir de la résurrection. Apocalypse 14:13 et 1 Thessaloniciens 4:13-18.
Poleni sana.may God be with you
Congo nalia sana,ulikuwa mutu mwema kwa wengi sana
Poleni kwa Mariko, mmepoteza nguzo muhimu, na uwenda,,,,
Madaktari walio sema familia yake iwahishe kuzika mwili wa Marco eti kwa sababu mwili wake ukikuwa na jeraha kubwa la operation wanajua walichokifanya. Hapo kuna fiche. Jakaya Kikwete hakuna mortuary ya Kisasa au hata hospitali ingine? Amini madaktari sana at your own risk. Wangekagua huo mwili wake waone ama figo zimenyofolewa na viungo vingine muhimu. Watanzania amkeni!
Mh
Japheth hapa ni mchangamfu sana very sharp
Japheth here is active andsharp
Heartbreaking 🥲🥲🥲🥲🥲. MUNGU WETU ASANTE KWA YOTE BABA. Mhh
Aaaa kumbe mko kibiasharaa ee kumbukeni hiyo nikazi ya mungu msimame kimngu
Ingawa ilipita lakini ni uchungu zaidi
Poleni sana mungu azidize kuwapatia nguvu
Nakosa hata chakusema nimelia sana moyo wangu umeiumia hakika Mungu tusaidie
Idont have something to talk because I cry to much ifill pain God help us
Mungu awatie nguvu Familia ya marcos kwa kipindi hichi kigumu 😢😢
Ameeeeee, siku moja watafufuliwa walio lala katika mokozi, Mungu awe nanyie family
Peter muogope mungu
I have really cried all the time of the video.
Poleni Sana familia 🙏🙏🙏
Poleni sana nikua na pesa nigefika
Marco ulikua unaakili nyingi hilo ndilo jibu jafeti yuko kibiashara
Polen sanaa Marko alkuwa mpole daaaaah😭
Poleni sana wana KAKHAMA💔💔💔😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿💔💔💔💔😭😭😭😭
Poleni sana jamani
Hata mtu hukosa kuamini eti harudi nyumbani watoto wamuite baba mke amuite hubby na mamake amuite mwanangu.yauma kweli kumupoteza mume angali mchangaa hivi mungu hupeana na huchukua mwenyewe na ndiye mwenyewe ana nguvu ya kuwatuliza.
Mungu waxaidid famiria yake
😢😢😢poleni sana. Na Mungu awape nguvu😢😢😢
Poleni sana mungu awatie nguvu
Isay Sorry for family God willgive you power today because of the Late markos
Kwa malengo kumbuka lengo la kwanza ni kumtukuza Mungu
😢😢😢
May you be consoled in Jesus name
RIP Joseph 💔💔😭😭🇷🇼
Mungu amjalie punziko la milele mbinguni 😭😭😭😭😭😭😭😭
GOD GIVE HIM EVERLASTING LIFE
Sio mkorofi, ila ni mbinafsi, na a napenda vitu vya juu, ni boss
He is not bad man but he is beneficial he loves high class he is boss
Nani
Marco😭😭😭😭😭😭jmn
😭
Japheth utakapoona comment hii nitafuteee pls
Ila madaktari😢😢😢😢😢😢
Marko ametuachia majonzi makubwa Sana.!!
Ngai! Mkakosa kulipisha RUTO! reke njuge ndirì mùkenu.
Wanafanana kwaya nzima
Alioa akiwa kijana mdogo, na amefarik bd kabs😢
Kwakweli ni uchungu sana i crying alot from kenya tumefil vibaya sana kwakupoteza dungu yetu
😂
Japhert wewe ni mubinafsi
Wewe umejuaje achen izoo
Kwa upande wangu tangu msiba huu utokee nimefatilia enterviuews nying za kundi hili ila japhet ni mbinafs na anatabia yakujikweza Zaid kuliko kisayans ukimfatilia paka na tabia zake ndivo alivo huyu ila halionekan tatzo kwakua wenzie wanatambua madhaifu na wakaamua kuyabeba
Anajiamini sana....i like the trait coz without self confidence you cannot succeed
Acha kujifanya unajua family za watu? Kakubinafsia nn?? Unaacha kuongea mdomoni unaongea matakoni shame on you.
Kivipi jamani??
Marco sio familia ya zabron
Mmh mnamambo watz
@@catherinekihengu2420 mtoto wa mjomba au shangazi eti?
@@malkavoice2570 wa mjomba
Ni mtoto wa shangazi
Poleni San family members mungu awapeee nguvu if i want to give family members something niwekee wapi
😢😢😢
😭
😭😭😭
😭😭😭
😭