MWEKEZAJI MZAWA ROUNDTABLE NDANI YA POWER BREAKFAST NA CLOUDS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @printgraphicimpressionstan2378
    @printgraphicimpressionstan2378 7 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Clouds! Kipindi kizuri sana sana. Kusaga hio vision ya ThinkTank ni super sana!

  • @NtuliMwakyusa-o4w
    @NtuliMwakyusa-o4w 8 วันที่ผ่านมา +2

    Rostam " Hakuna nchi iliyowahi kujengwa na wawekezaji kutoka nje" Very true

  • @saidnkwabi2475
    @saidnkwabi2475 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mjadala mzuri sana.. Hopefully, hili litakuwa endelevu.. Lkn, participation ijumuishe wachangiaji wa kawaida ( wazawa wabobezi ) pia directly or indirectly kupata picha halisia kutokana na mada husika
    Kuongezea, Ktk mada hii, Uwepo wa Mkurungezi wa TIC ungesaidia zaidi kutoa mwanga wa vipaumbele na jitihada zilizochukuliwa na serikali kujumuisha na kulinda participation ya wazawa ktk fursa zilizopo kwa sasa.
    Kazi nzuri CMG ❤

  • @humphreyjoseph1203
    @humphreyjoseph1203 7 วันที่ผ่านมา +1

    Daaah
    Nimependa sana CMG Mungu awabariki sana

  • @regulamollel9013
    @regulamollel9013 8 วันที่ผ่านมา +4

    The giant awaken. Heshima ifuate mkondo wake, Clouds na aheshimiwe na watu wote, nasema haya sio kwa ushabiki wala kebei hawa jamaa wanafungua sana milango. Wazee nyie mna mahusiano ya karibu na viungo vyetu furaha mwilini🙏🙏🙏🥂🥂

  • @shariffsuleiman2889
    @shariffsuleiman2889 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi ni mkenya but napenda Tanzania sana.But am just worried about tz people the views of this video must be 100k plus coz inaongea vitu vya maana sana but nikama watu wanapenda udaku hawapendi educative programs..

    • @josephmlinzi7205
      @josephmlinzi7205 5 วันที่ผ่านมา

      Besides being livestreamed, it was lively aired on the radio and TV. So most people had that opportunity using these platforms

  • @archchina4705
    @archchina4705 8 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana clouds team. Kitu safi sana hii mmefanya.
    Next time jitahidi kupata mwakilishi mkubwa kutoka upande wa serikali kujibu
    Big figures from both private sector (3 experienced local CEOs) & public sector (decision makers such as The President/V.P/P.M, Speaker, Chief Justice & TRA DG).
    Otherwise, big up again to CMG.

  • @alphonceluzigashija
    @alphonceluzigashija 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kipindi kizuri sana kuona watangulizi na wafanyabiashara wakubwa kutupa wasaa wa kupata baadhi ya njia za msingi big up Clouds media.

  • @archardrutajumwa6728
    @archardrutajumwa6728 7 วันที่ผ่านมา

    Pregnant Discussion,congrants.CMG👏👏👏👏

  • @IvanNzowa-d1c
    @IvanNzowa-d1c 7 วันที่ผ่านมา

    Great Discussion 👍👍👍

  • @NtuliMwakyusa-o4w
    @NtuliMwakyusa-o4w 8 วันที่ผ่านมา +1

    Fruitful discussion

  • @StanleySewando-nb4xm
    @StanleySewando-nb4xm 4 วันที่ผ่านมา

    Balozi Sasa,hivi Kila Mahali Tz Kuna vikoba huoni hii ni ishara kuwa WANANCHI wako tayari kusaidiwa

  • @kelvinmtenga9825
    @kelvinmtenga9825 8 วันที่ผ่านมา

    Nimependa mjadala huu safi sana cloudsfm na power breakfast

  • @yamunguhussein4330
    @yamunguhussein4330 8 วันที่ผ่านมา

    Asante sana Clouds media kwa kipindi kizuri

  • @jumannekatalambula4302
    @jumannekatalambula4302 8 วันที่ผ่านมา

    Good Discussion. Congole Clouds Media kwa kuandaa.

  • @marwafaustine9285
    @marwafaustine9285 5 วันที่ผ่านมา

    Wafanyabiashara wengi wanakuwa wagumu kutaja maendeleo ya biashara zao kwa sababu ya mfumo wa kodi hauko rafiki kabisa kitendo cha kusema kuwa biashara inaendelea vizuri na imekuwa kwa kiasi hiki kesho wanapiga hodi kutaka kodi mamlaka za kikodi huwa wanaamini kukua kwa biashara maanake unatakiwa kulipa kodi kubwa.

  • @giftmgaya9739
    @giftmgaya9739 8 วันที่ผ่านมา

    Safi sana..
    Big talks by Big boys

  • @jumamdaki9691
    @jumamdaki9691 7 วันที่ผ่านมา

    Sensei Rostam Aziz🙏🙏🙏

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 8 วันที่ผ่านมา

    nimefurahi kumuona shafii

  • @sultanjamesntongolo8764
    @sultanjamesntongolo8764 8 วันที่ผ่านมา

    Mkubwa joo mbunifu nimefurahi sana kusikia mambo wanayoongea hao mabosi nimejifunza kitu,ubunifu mkubwa sana big congolee

  • @davidmkama3830
    @davidmkama3830 8 วันที่ผ่านมา

    Raphael maganga gave us good presentation

  • @NtuliMwakyusa-o4w
    @NtuliMwakyusa-o4w 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo ya kampuni za ujenzi , Rostam nimekuelewa sana! Leo Rostan nimekuekea kitofauti sana! Hasa sera ya uchumi wa ndani! Hiyo sera ya uwekezaji wa ndani.....Ndo kiini cha Maendeleo...leo Mainjinia wetu wanaendesha bodaboda ila watumwa wa china ndo formen wa miradi ya barabara nchini mwetu.

    • @abdallahhuseinkabale7534
      @abdallahhuseinkabale7534 7 วันที่ผ่านมา

      Wangapi wetu wakipewa miradi wanabolonga...bei kubwa na tumejawa na tamaa..angalia kwenye mashule walojenga watanzania wenzetu,,angalia ghalama zinazotumika kifupi tumejawa na tamaa wizi na uharaka wa kutajirika ...ukweli kabisa

  • @nadharmusa223
    @nadharmusa223 8 วันที่ผ่านมา +1

    Haya ndomambo yanayo faa kuwekwa kwenye TV zetu na sio skuzote kujadili mambo ya umbea ambayo hayatujengi chochote wananchi

  • @PascalHaule-s1y
    @PascalHaule-s1y 8 วันที่ผ่านมา

    It's a very nice discussion, POV the wall paper has written in English but the language of the conversation is Swahili., why So?

  • @SimonShoo-m4b
    @SimonShoo-m4b 8 วันที่ผ่านมา

    Ndio maaana Rostam ni tajiri nguvu ya uthubutu

  • @jumamdaki9691
    @jumamdaki9691 7 วันที่ผ่านมา

    Aridhi inauzwa kwa wageni kama njugu mawe vile badala ya kuzuia na kuwakodisha. Mi kiukweli siitofautishi sana nchi yangu na Shamba la Bibi maana hatuna mifumo thabiti ya kuinusuru hii nchi by the time tutakuja stuka tutakuwa tumechelewa sana.

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 7 วันที่ผ่านมา

    Tumejawa na roho mbaya tuu hapo masud kipanya mwenyewe ana kp motors waliokuwa wa kwanza kumvunja moyo ni sisi watanzania wenyewe...hiyo gari alotengeza masod ingekua imetoka nchi nyingine tungeshoboka nayo mpka basi ...wacha wawekezaji waje tuu hatujiwezi tumejawa na roho mbaya huwezi ukabarikiwa kufunguliwa ikiwa wewe mwenyewe umefunga milango ya wengine .

  • @maududibarekao9234
    @maududibarekao9234 7 วันที่ผ่านมา

    together we can

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 7 วันที่ผ่านมา

    Hoja ya uzawa , Idi Simba alikufa nayo.

  • @studio7647
    @studio7647 7 วันที่ผ่านมา

    That lady was busy on her phone while watu wanaongea mambo makubwa

    • @abdullahabdull3172
      @abdullahabdull3172 7 วันที่ผ่านมา

      ladies are always like that...wanaamini hayo ni mazungumzo ya kiume wao hawausiki

  • @Dohamoud
    @Dohamoud 8 วันที่ผ่านมา +1

    In my opinion the reason Tanzanians aren't confident into doing big projects within the country is because of the seeds of doubt and fear the government has planted into its citizens and being reinforced over time, smh

  • @NtuliMwakyusa-o4w
    @NtuliMwakyusa-o4w 8 วันที่ผ่านมา +1

    Barozi Mpunjwe is so exposed! Kwa kweli ! Ukienda bank riba za mikopo ....mzawa ni ngumu kupamba ! Riba 20%= ukapambane na mtu mwenye acess 3%
    Hongera Clous kwa mjadala kama hii, watanzania kila channel inachambua mpira na siasa! Kweli lazima tujadili siasa kwa mkutadha wa uchumi na ustawi wa watanzani! Siasa ni kilimo, au Siasa ni uwekezaji wa ndani ajenda.

  • @augustinoraymundi1721
    @augustinoraymundi1721 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/Lr2LaF00PI8/w-d-xo.htmlsi=AHIlICMiKlKTZ-b4

  • @vusumuzi_mathumo
    @vusumuzi_mathumo 8 วันที่ผ่านมา

    Watanzania ni makumbafu wajifundishe kuongea kiingereza!!

    • @jacobmsigwa383
      @jacobmsigwa383 8 วันที่ผ่านมา

      Unadhani hao wazungumzaji wana changamoto ya kuongea au kuwasiliana kwa kiingereza? Ili kuthibitisha si washamba wameamua kuongea kiswahili fasaha bila kuchanganya lugha nyingine

    • @pascofp145
      @pascofp145 8 วันที่ผ่านมา

      Funga mdomo huyo añaeongea hapo Rostam Azizi tajiri number mbili est Afraca nanyie wakunya na kingereza chenu mkiwepo tulila watu wenyeshibe wanaogea hapo

    • @pascofp145
      @pascofp145 8 วันที่ผ่านมา

      Funga mdomo huyo añaeongea hapo Rostam Azizi tajiri number mbili est Afraca nanyie wakunya na kingereza chenu mkiwepo tulila watu wenyeshibe wanaogea hapo

    • @melkizedekikalanga3349
      @melkizedekikalanga3349 5 วันที่ผ่านมา

      Kiswahili lugha ya Africa huijui lakini kizungu lugha ya wakoloni unaijua,, Mtumwa mkubwa wewe, Rudi ulaya ndio kwenu Malaya mbwa

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 7 วันที่ผ่านมา

    Wivu kweli ni utamaduni wa Taifa hili. Na ni kikwazo unapofichwa kwenye sera zetu za uchumi.