MISSO MISONDO AFUNGUKA KUINGIZA MILIONI 3 KWA MWEZI, AJENGA NA KUWAPA MASHAVU WAZEE WA MAKOTI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 200

  • @MUEDAUNHASFPMUEDA
    @MUEDAUNHASFPMUEDA 10 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu jamaha noma sana yani anavuma adi. Mkoa wa cabo delgado wote Mozambique na kwa mda wa ngoma ndyo kuzidi sana. Congratulations

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera mwanangu,nakutakia kazi njema na mungu akulinde wewe na MAMA yako mzazi.❤❤❤By Mtwara.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman tuache wivu,wala sio muongo ,kipindi hiki ametembea sana kupiga show sasa kwa nini asipate M.l 3 ? Tena hizi kidogo,kwa siku laki tano hadi 8 haya mara wiki ujapata m.l.3?.Mtoto wa mwezangu ebu endelea na kutupa Rahaaa.Ongera kwa mama yako mzazi.By Mtwara Mikindan Mkanaledi.❤❤👍🙏

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 ปีที่แล้ว +14

    UMETISHA SANA CONGRATULATIONS MY BROTHER misso misondo UMEPIGAJE HAPO

  • @halunimnenwa5224
    @halunimnenwa5224 ปีที่แล้ว +9

    Kwanza huyu dogo hana umarufu wowote zaidi2 umarufu upo kwa wale wenye makoti kama nawe unaamini ilo gonga like apa

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 ปีที่แล้ว +7

    Misso nakukubali sana una kipaji kk❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +5

    Dogo ANAJUA sana asee Mungu akubariki

  • @eddominja4753
    @eddominja4753 ปีที่แล้ว +7

    now days ukifanya mziki poa as dj kuna watu unawakosha i think kasema tu m3 but anapata more than M3 per month but not kila mmoja atasema 💥💥💥

  • @Tinachacha-e7x
    @Tinachacha-e7x ปีที่แล้ว +3

    wivu wanini jamani mwacheni ajishauwe mbangu bangu mwenzangu ndugu yk mama ❤❤❤❤

  • @SalmaYusuph-v6y
    @SalmaYusuph-v6y ปีที่แล้ว +2

    Miso misondo umepigaje hapo nakukubali mnoo❤❤

  • @officialruutvtzonline3234
    @officialruutvtzonline3234 ปีที่แล้ว +2

    Acheni chuki ao madj wanapata pesa mfano ukichukua mziki kwa masaa ambao haukeshi laki 5 6 kawaida sembuse kukesha kutwa mbili lazima iwe milion mpeni mauwa yake kwakweli ❤❤❤❤

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 ปีที่แล้ว +11

    DJ kuingiza milioni 3 kwa mwezi ,(mwezi =wiki 4) na kila mwisho wa wiki ina siku 3 za kujiachia, yaani Ijumaa, J'mos na J'2 ,
    Kwahiyo milioni 3 ukigawa kwa wiki 4 =750,000 , ukigawa kwa Ijumaa, J'mos na J'2 ni sawa na 250,000@day,
    Yaani Ijumaa =Laki mbili na hamsini, J'mosi hivyohivyo, J'2 hivyohivyo, kwa wiki 4 ndo unapata milioni 3

    • @jacobryank7456
      @jacobryank7456 11 หลายเดือนก่อน

      True , sema watu wanawai kupanick na kuona n kama impossible hiyo pesa kwa mwez..

  • @EinsteinFromEastern-vh6lo
    @EinsteinFromEastern-vh6lo ปีที่แล้ว +9

    Misso nimependa unavyorudisha mpira home,lazima ufanikiwe tu?

  • @Azizaally-xg2tn
    @Azizaally-xg2tn 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ila daah miso❤

  • @veronicamlelwa-zh9vy
    @veronicamlelwa-zh9vy 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa anajua kujiby maswal vzr mno

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 ปีที่แล้ว +4

    Tupo hapa tunakutizama endelea kujimwambafai uanze usumbufu kaka Yule

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubaliki

  • @mwamba-
    @mwamba- 10 หลายเดือนก่อน

    07:00 MAISHA KWA ZAMU... HII POINT MSHKAJI KAIKUBALI.. NA BIGUP SNA.

  • @NameOmani-x9v
    @NameOmani-x9v 10 หลายเดือนก่อน

    Wamwela tujuwane apa ❤

  • @faidhacute
    @faidhacute ปีที่แล้ว +41

    Miso misondo ushaanza kuongeza masifuri tayari acha hzo mambo wakat dj anapewa 100k until 150k

    • @MustafaChinanda
      @MustafaChinanda ปีที่แล้ว +3

      Misso ameanza muda kupga mziki na ana mziki wake ni kawaida tu kwako na maskin huyo dogo

    • @PrinceBonnyTz8
      @PrinceBonnyTz8 ปีที่แล้ว +2

      😅😅Kweli dogo ameanza kuongeza ka 0😅

    • @barakajericho1332
      @barakajericho1332 ปีที่แล้ว +3

      ajaongeza koz mziki niwake so ni chargers za mziki pia

    • @raheemsalum1239
      @raheemsalum1239 ปีที่แล้ว +3

      Sio kwelii ma dj wanalipwa mpunga mrefuu usijadanganye utamlipa laki yako

    • @MkumboJaphet-yx3jp
      @MkumboJaphet-yx3jp ปีที่แล้ว +4

      Hakuna kibaya alichoongea hapo

  • @halimamlala
    @halimamlala 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana ❤🎉🎉

  • @yunusabeid74
    @yunusabeid74 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mdogo angu

  • @victorJeremiah-pl4jp
    @victorJeremiah-pl4jp 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu asante 3:01 king la mbago

  • @boncenagottalent
    @boncenagottalent 11 หลายเดือนก่อน +1

    UNYAGO EP 06
    th-cam.com/video/SKLze9VYuQM/w-d-xo.htmlsi=YxaWFqmbqgsBrEZI

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 ปีที่แล้ว +1

    Hawa jamaa nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kumaaaaa laaaa mamaaaa akeeeeeeee

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 11 หลายเดือนก่อน +1

    KWELI #MKOA WETU WA #LINDI KABILA LETU KUBWA
    NI #WAMWERA NIKIWEPO
    MIMI NI MWERA #MH KASSIM MAJALIWA NA MZEE KINGUNGE MWILU #NK

  • @Kibuhile
    @Kibuhile ปีที่แล้ว +7

    Milion 3 yann hyo malipo ya mwezau

  • @ArafaMkomwele-vi2hp
    @ArafaMkomwele-vi2hp 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wee Miso Misoñdo umetoboa aiseeee

  • @WalterLuther-cs2li
    @WalterLuther-cs2li ปีที่แล้ว +1

    Nimeielewa san hii kaz🎉🎉

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo ปีที่แล้ว +5

    Umepigaje apo😅👍

  • @abdallahshaban9224
    @abdallahshaban9224 ปีที่แล้ว +5

    Vido vidox”” Jina lake ni Macho ajili ya macho yake hayo,, Sasa Kwakwao Wanamuita Misso yani macho Baada kupiga migoma ya Asili “”aina ya Misondo wakamuita Macho misondo”” kwakwao ndiyo Misso Misondo”

  • @USWAZITVONLINE
    @USWAZITVONLINE ปีที่แล้ว +14

    Ni mapema mno mnamwaribu huyu mtoto na mambo ya kuongeza masifuri na kutaja mali zisizoonekana, mambo yakienda kombo na kuingia kwenye uraibu wa mihadarati ili kupunguza stress wakati huo hamtokuwepo

    • @Officialjidaa-sn9cs
      @Officialjidaa-sn9cs ปีที่แล้ว +3

      Hawa iri mladi wafikish mahudhui Yao jichanganye Sasa kuwapa Siri zakoo

    • @mnyilinga
      @mnyilinga ปีที่แล้ว

      😊me nahisi jamàa hakuna kosa alilo fanya hiyo ni biashara lazima uji brand wasije waka ku book Kwa ALFUKUMI

  • @ikiyshabani
    @ikiyshabani 6 หลายเดือนก่อน

    Oy nigan mm naitwa dj macho kak mm nakipaj naomba unifundsh kurikod nymb mm niko dar salmon mungo akubariki snanasna god is pwr😢❤🎉😢😮😅😊

    • @ikiyshabani
      @ikiyshabani 6 หลายเดือนก่อน

      Kwamajina nitwa dj macho nikombezi magufuli bus naomba sinamashine laki naomba unifundishe kurkod nyimbo ❤😢

  • @AgreySalingwa
    @AgreySalingwa 11 หลายเดือนก่อน +1

    One love master

  • @jacobryank7456
    @jacobryank7456 11 หลายเดือนก่อน

    Well said, 🎉

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 ปีที่แล้ว +5

    #Miso misondo nakukubal san ww ni tishio

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanangu umejua kujieleza

  • @officialsbjovea5822
    @officialsbjovea5822 ปีที่แล้ว +3

    We misso misondo

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว +17

    Tokea nimefuatilia interviews hii ndo yakwanza mtu kutolitaja jina lake 🙄😂

  • @LeilaSadik-o1w
    @LeilaSadik-o1w ปีที่แล้ว +2

    Usiseme siri ya kazi zako watakunyang'anya hapa watapewa hela nyingi 50 hd laki hp dar ya kawaida tuu kua msiri ktk kazi zako

  • @AngelmackieCharity
    @AngelmackieCharity ปีที่แล้ว +7

    Tuliza macho bs misso😂

  • @ColinMhema-ne3lz
    @ColinMhema-ne3lz 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yupo sawa sema wenge kwa umbaaaaaali

  • @FaisalAlly-y4y
    @FaisalAlly-y4y 11 หลายเดือนก่อน +1

    Good

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 11 หลายเดือนก่อน +1

    Misso time ndiyo hii.hongera sana.

  • @poizonboy2780
    @poizonboy2780 ปีที่แล้ว +14

    Hivi kichwa cha Habari kimeandikwa kwa Lugha gani? Maana naona kuna watu wengi Hawajui wanachokoment , Million 3 kuipata kwa mwez Dj ni kawaida sana Huyu mziki ni wakwake na Dj ni yeye mwenyew kwann acpate m3

    • @mnyilinga
      @mnyilinga ปีที่แล้ว +1

      Alafu pia ana ma ideas 💡 mapya kama yote

    • @witnesngellangella8163
      @witnesngellangella8163 11 หลายเดือนก่อน

      Yn bongo cjui kwann hatupendani Sasa kz anafanya kwann asipate!mala macho tuliza yote hayo yann

    • @MecksonamonyohanaAmonyohana
      @MecksonamonyohanaAmonyohana 10 หลายเดือนก่อน

      🌼🌼🌼🌼🌼

  • @goodluckjohn
    @goodluckjohn ปีที่แล้ว +3

    ongera sana mzeh

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂nataka mbahazi😂😂😂😂

  • @EliasJohn-si9es
    @EliasJohn-si9es ปีที่แล้ว

    Choko2 danganya uone mwenzio bwaka ana Life mpak huruma

  • @petrobwire7348
    @petrobwire7348 ปีที่แล้ว +4

    Kesha Anza kuwa muongo Sasa uyu

  • @saidhamadi1722
    @saidhamadi1722 ปีที่แล้ว +7

    Acha ufala bc laki 8 😮😮 sio kweli mziki wa kigodoro million mmmh😮

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 ปีที่แล้ว +1

      Njoo kusini kipindi hiki uone watu wanavyokodi muziki kwa gharama kubwa

    • @athumaniamani9905
      @athumaniamani9905 ปีที่แล้ว +4

      Mkuu kuhus kiasi hcho ni kawaida....maana kipind Cha unyago cyo mara moja tunakod mzki Kwa laki 9 mpk milion...
      Na tunaishi Kwa sku moja tu kwenda

    • @eddominja4753
      @eddominja4753 ปีที่แล้ว +2

      ajui asemalo coz mzik now days ni gharama

    • @allandavid752
      @allandavid752 ปีที่แล้ว +2

      Ungekua kusini ungeelewa

    • @paulalove1223
      @paulalove1223 ปีที่แล้ว +1

      ​@@athumaniamani9905watu wanaongea hawajui hv wanaelewa mkesha wa unyago unakesha nao unaamka nao unashinda nao Masasi hyooo😊

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +1

    ✌👊👍.

  • @shukuruliuka9649
    @shukuruliuka9649 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa wachepe anacheza kwa hisia sana

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 11 หลายเดือนก่อน

    Vidoc maua yako❤❤

  • @DicksonOnesmo-go1ts
    @DicksonOnesmo-go1ts ปีที่แล้ว +2

    Faidha

  • @KayambaAfricaTV
    @KayambaAfricaTV ปีที่แล้ว +2

    Tafadhali nipe nambari ya simu yake Misso misondo ningependa kuwapa show

  • @ObdiaMessi
    @ObdiaMessi 10 หลายเดือนก่อน

    We misso wee

  • @JemaNassoro-jl1ig
    @JemaNassoro-jl1ig ปีที่แล้ว +3

    Wamwera oyeeee

    • @QueenNgai
      @QueenNgai ปีที่แล้ว

      Oyeeeeeeeee❤❤❤❤

  • @Abantsundu
    @Abantsundu ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤the beat is 🔥🔥🔥🇿🇦

  • @shanatatrigger6537
    @shanatatrigger6537 ปีที่แล้ว +5

    Acheni wivu nasoma comment watu mna majungu sana

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 ปีที่แล้ว +2

    Pemba Msondo ni Ngoma ambazo hupigwa kwenye shughuli za Harusi sana hutumia madumu au mapati na hata ndoo na nyimbo zake za utani utani

  • @ColinJustin-n1z
    @ColinJustin-n1z ปีที่แล้ว +3

    Huyu mtoto muongo itakua anakula Ngada...! Wakat huku mtaani anatembelea baiskeli chigugu To Mandiwa shenzi sana huyu mtoto😂😂😂

    • @SashaRamadhani-uu1wv
      @SashaRamadhani-uu1wv 11 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka jamani😂😂😂😂 chigugu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 11 หลายเดือนก่อน

    Aiseeer nilikua sijui huu msemo umetokea wapi, 😂😂

  • @azizshaban45
    @azizshaban45 ปีที่แล้ว +1

    Misso Atulie sasa Asiseme ukweli wanamloga 🤣🤣🤣

  • @BenjaminTz-be9nx
    @BenjaminTz-be9nx ปีที่แล้ว +3

    misso misondo

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 10 หลายเดือนก่อน

    Usimkatie mtu tamaa miso misondo umeimbaje hapo

  • @mwamba-
    @mwamba- 10 หลายเดือนก่อน

    Dogo anahitaji push kidogo tu ili a coup na mazingira yote..

  • @johanesjofrey1687
    @johanesjofrey1687 ปีที่แล้ว +1

    Watangazaji bwana,Eti umeisha toboa.

  • @africanasplumbing
    @africanasplumbing ปีที่แล้ว +5

    Nani ameona mjusi wa kifooo😊😊😊😊😊

    • @mrgadau6865
      @mrgadau6865 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂 watu mna mimacho sio macho ni mimacho 😂😂

    • @mrbazil8806
      @mrbazil8806 ปีที่แล้ว

      😂 nimemuona

    • @SashaRamadhani-uu1wv
      @SashaRamadhani-uu1wv 11 หลายเดือนก่อน

      Ndio nini nitoe ushamba

  • @Fatmaahmedi255-p5l
    @Fatmaahmedi255-p5l 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimekuja kumjua shoo ya simba😊

  • @fadhiligabriel-jz3xh
    @fadhiligabriel-jz3xh ปีที่แล้ว +3

    Kumbe bad yank😂😂 lak nane mmmmh

    • @evisonchotta8675
      @evisonchotta8675 ปีที่แล้ว

      Ndugu Hakuna sehemu wa wanalipa Bei kubwa sound Kama vijijin ukiwa na sound kijijin ni Bonge la Ajila pia Biashara hiyo wanayoifanya wachache tofauti Na mjin kila Mtu anafanya

  • @thedickisonilinusi
    @thedickisonilinusi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani kunawatu cjui niwivu au nini ushangae m3 kwamwzi kweli mziki wake dj yy mwenyewe mboni kapunguza cfuri njoni kucni kuanzia mwezi wa6 muone nyoka wa mandiwa nyie dogo piga kazi

  • @godlistenmuro9313
    @godlistenmuro9313 ปีที่แล้ว +1

    📌📌📌📌

  • @jescalushali494
    @jescalushali494 ปีที่แล้ว +4

    Bro unalamba sana lips😇

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      lamba na wewe 😂😂😂

    • @jescalushali494
      @jescalushali494 ปีที่แล้ว

      @@sifatiiman nakubeli

    • @thedickisonilinusi
      @thedickisonilinusi 11 หลายเดือนก่อน

      Ukiona anafaid lamba na wewe c unazo

  • @japhetkavishe8
    @japhetkavishe8 ปีที่แล้ว +7

    Anaongea kwa mashauzi kisenge

    • @pascojm6816
      @pascojm6816 ปีที่แล้ว +1

      Hamna anaogopa kufunguka tu

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +1

      Sio hivyo bwana mbona jamaa yuko kawaida tuu

  • @MSAMCTALENT
    @MSAMCTALENT ปีที่แล้ว +1

    Million tatu umedanganya kuma we na anaesema kama Mimi kuwa amedanganya gong like

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +4

    Dogo wa kijijini ila ana akili sana ana jenga ana pambana na maisha

  • @kentz186
    @kentz186 หลายเดือนก่อน

    Dogo ana busara mno wakati wa kujibu.

  • @badifundi6089
    @badifundi6089 ปีที่แล้ว

    Mbona dogo yupo sawa Kenya ukikodisha mziki na dj bila ata dancer unalipa 50-70k full package ambayo ni 800k za bingo dogo yuko sahihi

  • @AhmadyStence
    @AhmadyStence 11 หลายเดือนก่อน +1

    Anaogopa kurogwa jina ataki kulitaja

  • @aronboy1
    @aronboy1 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa ninoma

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 ปีที่แล้ว +1

    Dah ameanza kuramba midomo kama simba yaani wasanii wa Tanzania akitoka kidogo tu star 😂😂😂😂😂😂 sema nini big up sana upo kwenye wakati

  • @plutinumtitoo3041
    @plutinumtitoo3041 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @procazorla2027
    @procazorla2027 11 หลายเดือนก่อน

    Uyu itakuwa siyo mtanzania kwann amekataa kulitaja jina lake

  • @jovinmancomedytz
    @jovinmancomedytz ปีที่แล้ว +1

    Jamani embu achani chuki wadau mbona swala la malipo limekuwa gumzo sana kunawa tangia amezaliwa hajawai kuishika hata one milion lazama abishe sana naone kama nikitu kikubwa sanaa ila tambueni kwamba mtu ukiwa unaingiza kipato kikubwa atamatumizi yanakuwaga makubwa hivyo hivyo

  • @JOHNJOHN-pu7wb
    @JOHNJOHN-pu7wb ปีที่แล้ว

    Atajagi jina lake sababu mtamroga 😅😢😅

  • @mohammedikidwaka9013
    @mohammedikidwaka9013 10 หลายเดือนก่อน

    Acheni kuweka coment ntuuu kaeni na nyie muwaze cha kuwapeleka mjiniii

  • @mymuhnabdallahshaban7763
    @mymuhnabdallahshaban7763 ปีที่แล้ว +1

    Bora yake yy mwez mie milion tatu kwa miez 4 ndo naingiza uhakika Kila miez minne ndo nifilishe milion 3 😢😢😢😢😢😢

    • @edwardkamina143
      @edwardkamina143 11 หลายเดือนก่อน

      bora yako wew, mim million 3 naingiza kwa mwaka uhakika miez kumi na mbili

  • @DicksonOnesmo-go1ts
    @DicksonOnesmo-go1ts ปีที่แล้ว +4

    Kama. Umempeda sema

  • @amosihokororo9702
    @amosihokororo9702 ปีที่แล้ว +3

    Why utaki kutaja jina

    • @pascojm6816
      @pascojm6816 ปีที่แล้ว +2

      Personal reasons

  • @africanasplumbing
    @africanasplumbing ปีที่แล้ว

    Uko smart kujibu maswali

  • @MwinyimkuuMdimbe
    @MwinyimkuuMdimbe ปีที่แล้ว +1

    Bai baii kulima mbazi

  • @MikidadJohn-br3cr
    @MikidadJohn-br3cr ปีที่แล้ว

    Umepigaje apo

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +3

    M 3??😂

  • @HusseinKombo-o9t
    @HusseinKombo-o9t ปีที่แล้ว +1

    Wewe mtwngazaji unazingua kwa nn umlazimishe kwenye utamaduni wenu wakati huyo ni dj wa kigodoro..mwache kwenye asili yake

  • @Kaakijanja
    @Kaakijanja ปีที่แล้ว

    Acha uongo Efm ulisema show ulikuwa unapiga kwa elfu hamsini leo hii unasema laki 8 duh acha kusema uongo kijana

  • @Shaksi434
    @Shaksi434 10 หลายเดือนก่อน

    Leo wafanyakazi wako unawaita chawa

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +3

    Wewe😂😂😂😂

  • @HamisiMkwama
    @HamisiMkwama ปีที่แล้ว

    Mbona muongo sana

  • @AtusweghRichard
    @AtusweghRichard ปีที่แล้ว

    mnaomwona misso msondo mwongo haya mjiandae mwezi wa 6 mje kusini tunakodi mziki laki6 kukesha milioni 😂😂😂 na hatujali

  • @yusuphchimwala4126
    @yusuphchimwala4126 ปีที่แล้ว

    Kazingua uswahili hakuna show ya 1,000,000 pa day