Mbosso kaongea ki utu uzima, ila yy ni Giant kwa sasa na anaweza kuwasaidia wenzake.He is a Giant in the industry, na nadhani anaweza kuwarudisha wenzke kwenye chati.Ingawa sio jukumu lake, ila its a business opportunity kupitia yy
Mboso he is very humble anaongea kwa hekima sanaa hadi raha kikubwa upendo fanyeni mpango jamoto band mrudi tena aisee mashabiki zenu tutafurahi sanaaa🥰
Mbosso unajua kuongea upande wa mziki umeshauri waimbaji, na sisi wafanya kazi piya umetupa ushauri ❤❤ yaaani nikuchapa kazi mpaka boss anasema bro umezeeka inatakiwa ujitegemeyee hapo nimefurahii kabisa❤❤
Rudianeni nyimbo zenu zime pendwa sana mpaka wazee vikongwe wadada wamama wababa mpaka watoto yamoto band loo ilikua mbali Sana sijui ni shetani gani alingia Kati hebu kaeni ki utu na undugu mfanye kazi yamoto band tuna wapenda Sana Sana rudianeni tena wi misss you brother's
Salute sana brother sky en especially mbosso nice interview na unjua kipi unaongea na wakati gani! Hata ukaondoka bado fadhila itakuepo sisi ni wanadamu #shout out mbosso#mushedede
@janjaz: you may be right but the rest of the group have people pulling them ears deceiving theme the can do it on their own while many years has passed since they separate and their names is almost be forgotten
@@svt3 l feel they have matured enough n gone thro situations, now they shld make their own decisions for their benefit and l feel being together under good n established leadership like WCB can help them bring back their mantle. They deserve the reunion coz it made them big.
Kama si harmonize bongo musicians bado wangeendeleya kulia na diamond kua anawabaniya wasani wa kitambo....mumshukuru sana harmonize kwa kutoka wcb kinguvu na kutobowa vituko vya huko...amefunguliya njiya wengi na kumbadilisha utu diamond
Kilungi kweli wewe mtu mzima maana unaongea kibinadam sana mwanetu chukuwa maua yako ishi miaka mingi na ufanikiwe zaidi🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Hio sehemu yaitwa old ferry , zamani kulikua na ferry ndo baadae wakajenga bridge kipindi cha Rais Moi. Ni kweli Kilifi watu hawajawekeza kuleta shows za wasanii wa nje , zilifanywa club shows zamani kipindi cha Matonya. Hii ya Mbosso ilikua ya kwanza ndani ya mda mrefu, kiu ilikua kubwa , lakini sio interior. Mbosso ali perform Kilifi Town haswa na hapo ndo nyumbani. #KaribuKilifi ❤
Mbosso unakumbuka fadhila. Unaheshimu watu na kazi na ulipofikishwa. Lugha zako zina Utuu. Malezi mazuri God bless you.❤🙏🏾
Mboso khan Mr Selemani.
Like zishuke wadau
What a sweet interview, mbosso is so humble and respectful big up sana kwake mob love from Mombasa
Mbosso kaongea ki utu uzima, ila yy ni Giant kwa sasa na anaweza kuwasaidia wenzake.He is a Giant in the industry, na nadhani anaweza kuwarudisha wenzke kwenye chati.Ingawa sio jukumu lake, ila its a business opportunity kupitia yy
Point❤
Giant ni aslay
Ola mwamba giant n Aslay
@@nassirswaleh1740nadhan hamjamuelewa uyu jamaa kwa sasa mbosso yupo juu kuliko Aslay
@@bhm675angesemq ivyoooo sasa
mama na baba wamelea mungu akungoze kaka usibadilike utafika mbali mno kwa nguvu zake
Mboso he is very humble anaongea kwa hekima sanaa hadi raha kikubwa upendo fanyeni mpango jamoto band mrudi tena aisee mashabiki zenu tutafurahi sanaaa🥰
Mbossso khan unazungumuza vizuri sana Kuliko wasani wote tz
Naqbal mbosso for life!!! Unajua sanah kaka natumaini siku moja tutakutana
MBOSO UMEKUWA BRO❤❤
khan anajua sana kujibu maswali,very humble guy
He's so mature and i love his interviews
Nimependa Sana kumsikia Mbosso mwenyewe kama watafanya heart Song pamoja na Ashle najuwa watauwa Sana
AKA BACHUCHU Mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
SELEMANI we n Noma 🔥🔥
Mbosso unajua kuongea upande wa mziki umeshauri waimbaji, na sisi wafanya kazi piya umetupa ushauri ❤❤ yaaani nikuchapa kazi mpaka boss anasema bro umezeeka inatakiwa ujitegemeyee hapo nimefurahii kabisa❤❤
Yaani mkirudi pamoja team yamoto band mm naacha kufatilia wasanii wote nafatilia nyinyi tu,,,,nawapenda snaa mkiwa pamoja
Safi Sana mbosso, ❤usitoki wcf ukawa kama wangine
wcf
Respect Mbosso usikwe kama yule fara anjita jeshi nahajui kupiga lisase....
Rudianeni nyimbo zenu zime pendwa sana mpaka wazee vikongwe wadada wamama wababa mpaka watoto yamoto band loo ilikua mbali Sana sijui ni shetani gani alingia Kati hebu kaeni ki utu na undugu mfanye kazi yamoto band tuna wapenda Sana Sana rudianeni tena wi misss you brother's
Kitu kizuri sana. Mbosso ana roho nzuri sana.
Kwale tunakupenda xna SELEMANI 🔥🎤
Mm pia nachukia sana kuona mko tofaut nilikua nawapenda mkiimba pamoja kwakupokezana
Wow!! Nice story yaani mbosso kakomaa sio wale wamajigambo wakiitiwa interview #BIG UP BROO❤❤❤❤
Salute sana brother sky en especially mbosso nice interview na unjua kipi unaongea na wakati gani! Hata ukaondoka bado fadhila itakuepo sisi ni wanadamu #shout out mbosso#mushedede
Let diamind bring together the 4 yamoto band together in his WCB n he will see how blossom they will be...Mboso, aslay, bela n enock
@janjaz: you may be right but the rest of the group have people pulling them ears deceiving theme the can do it on their own while many years has passed since they separate and their names is almost be forgotten
@@svt3 l feel they have matured enough n gone thro situations, now they shld make their own decisions for their benefit and l feel being together under good n established leadership like WCB can help them bring back their mantle. They deserve the reunion coz it made them big.
@@janjaz you are right
yeah umeongea point kabisa
Aisee interview safi sana zaidi ina upendo. SNS mko juu maswali safi, majibu safi🇹🇿🙏
Pure humble man
Mungu Abariki yamoto Band irudi 🔥🙏
Mbosso ni mtu poa sana, anawaza mbali atakua namafanikio sana, anajua 🔥
Bundala anamuangalia mbosso kwa jicho la upendo sana,kama mdogo wake ampendaye sana na alimmis sana,big up sana.much love
KHAN Himself🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
Kenya tunapenda mbosso sana.
Apo sawa Bwana mboso mafans uko kenye tunaeza furahia sana yamoto wakirusha tofali ata kila mwaka mara moja
Hio ya kwale ilikua noma kweli kweli...hsdi mm nilikua apoooo....selemani❤❤❤❤
In real life mbosso is a good person, big up bro
M from Kenya and I really love yamoto itakuwa sawa if mngekuwa na ngoma mbili ama tatu kwa mwaka ya YAMOTO band
Kama si harmonize bongo musicians bado wangeendeleya kulia na diamond kua anawabaniya wasani wa kitambo....mumshukuru sana harmonize kwa kutoka wcb kinguvu na kutobowa vituko vya huko...amefunguliya njiya wengi na kumbadilisha utu diamond
I love this guy
Mboso tunamkubali sn too much love from Bungoma🥰🥰
Sawa mbosso 👏👏👏❤️❤️❤️❤️
Brother sky ingekua bora zaidi kwenye vipengele hivi muweke pert 1 2 3 ili iwe harisi kwa mtazamaji ku fuatilia story kwa mtiririko
Safi sana mbosso napenda sana nyimbo zako
Mbosso namupenda sanaaa akuje kutuvite Rwanda ndiye muimbaji napenda sana in afric
👏👏👏👏👏👏👏 safi sana balikiwa mbosso
A very decent boy. Brilliant ❤
Good Attitude and Character Mbosso . #respect #hekima
Kenya yes
Mkirudi kuwa pamoja wale watoto wa fella mtakuwa mmewauwa kabisaaa maana wao wenyewe wanaiga mpaka sauti🤣🤣🤣
Love u mbosso ❤❤❤❤
Mbosso fanya umludishi mwanetu ulingon twamumc sana aslay fnya ivo kaka
Hey,,,,Yamoto band irudi uwanjani,na iyo song inakuja kati ya mbosso na Aslay tunaitegea sana kama mafans,,,erickoo kutoka Kenya Nairobi
Napenda hi team sana keep up
Itakuwa vizuri sana
mbosso good sana DG
jamaa linamaakili sana, afu busara sasa🙌🙌🙌
Kilungi kweli wewe mtu mzima maana unaongea kibinadam sana mwanetu chukuwa maua yako ishi miaka mingi na ufanikiwe zaidi🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Tulitoka mombasa mpk kilifi coz ya mbosso ❤❤❤❤
Wakenya enyewe tunamtambua mbosso.🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu akubariki Mr khani
King khan be blessed more 🙏 🙌 ✨️ much love❤
Mbosso Ana Hekma na Iman MashaAllah
Yamoto band ingekuwepo hadi leo domo asingesikika na team yake ya wachafu
Mbosso sikupingi
Selemani ndo mtu pekee alie umia sana yamoto kuisha😊
Saaana asee kweny Kila interviews he must speak about yamoto band
Dogo ana jua kujieleza❤❤
Daaaaaaah safi sana Mbosso , ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kweli tunawapenda sanaaaaa
Sky Huwa ana entertain saana kufanya interview na mbosso niliona ya mwanzo na ya mwaka huu
Mbosso is a good STORY-TELLER
💯
🎉🎉 Heshima Yako Mboso
Nawatambua wadongo wangu
Mbosso anaongea uhalisia na syo kutafuta kiki namkubali sana
Kugombana haimanishi ndo mwisho wa upendo,,, mbosso ana upendo WA dhati
Hio sehemu yaitwa old ferry , zamani kulikua na ferry ndo baadae wakajenga bridge kipindi cha Rais Moi.
Ni kweli Kilifi watu hawajawekeza kuleta shows za wasanii wa nje , zilifanywa club shows zamani kipindi cha Matonya.
Hii ya Mbosso ilikua ya kwanza ndani ya mda mrefu, kiu ilikua kubwa , lakini sio interior.
Mbosso ali perform Kilifi Town haswa na hapo ndo nyumbani.
#KaribuKilifi ❤
Mboso ana storii😂😂 havimbii anavibe
Karibu Tena kilifi 🎉🎉🎉🎉🎉
Apo kw kurudisha umoja w yamoto niwanzo nzuri sana aki naomba irudi jamani nimewamiss kama kundii
Mbiso is good artist
Yes buz
Wakiludisha muunganiko wa mboso na aslay ktk wasaf hapo watatisha kinoma saaaana
Kweli sasa anafikilia sana
N kl kupendan na kushilikiyan kwenye haya maisha
We khan gala sana et ulisainiwa kama kusaidiwa hahahaha
Yah kaongea ukweli wake
From Nairobi zuri sana
Man like mbosso 🙌🙌🔥🔥
Good interview
Mbosso we nimkali kabisa
Nakuelewa sana
Mbosso umeongeya vizuri kuhusu Wasafi.
Kama utakuwa unaongea kutoka moyoni , mungu hakuongoze zaidi
Alo Mbosso wewe unamoyo sana na waogo zako kinyama na ndiomaana ya UDUGU
KILIFI IS AMONG THE 47 COUNTIES IN KENYA BRO SKY..UKITOKA MOMBASA KUELEKEA MALINDI NDO UNAPITIA KILIFI ALAFU MALINDI IFUATE LAMU
Mboso❤
Moto 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aisee kumbe Muna mpango wa kutoa kibomu. dah tumewamisi xana jaman😭😭
Mbosso kweli wewe ni mtu mwenye akili ila piya usisahau ya kwamba atawale walikuepo mbele Yako walipenda wasafi ila hawapo kwa sasa.
Kuna wasanii wana Akili kama uyu mbosso .
Waiting for Yamoto band...
Alafu .Unakitaja sana kifo..ipo siku watu Watatumia hii Vedio ..Kulinganisha Na Kifo Chako😢.Ukiwa Haupo Tena duniany
Kwani wewe huwezi kufa?
Amusheni group la motor bands ❤❤❤
Leoo ndo nimekuona naskiaa tu sauti yako ukisimuliaa nakuchambuaa
Nenda ukaibe mbuz. Achana na Assane wetu.🇲🇿