🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 6 - JULY 08
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
- 🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 6 - JULY 08
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:
Daaaaa 😢😢 dada Vero hii story asee kwelii Mdharau mwiba......Asiye sikia la mkuu.....Mapenzi upofu .pole sana broo eli
Yajayo yanauzunisha💔💔💔💔💔💔💔
Ooo Mungu wangu 😥😥hii simulizi inahuzunisha..ila ina fundisho kubwa sana kwa vijana. Asante Vero
Daveronica unatufundisha mamb meng kupitia simlizi
Duu hii simulizi mashaalah
Shida sio ushamba shida uliambiwa ukabisha ukaleta ujuaji kuna ambao hawapat bahati ya kukutana na watu wlata wa kuwaambia kwamba iki sio sahihi ao tutawaonea huruma sio ww mbishi mjuaji babuu
Jmn dada Vero nlikuwa naingojea Kwa hamu kipande Cha Leo jmn mwenzako😅
Hakuna upofu wa mapenzi namna hiyo, upuuzi huo.
Mm nawez sema. Ivyo km elliy bariki ww ni kichaa. Mana ndugu yk kasha kueleza kila. Kitu na hy ss ivi ndo unayaona lkn bd tu unafahamu
Hayo so mapenz ni ufala😢
Yani kaonywa mapema
Vijana hapa Kwa Eli asee kunfundixho kubwa xna zaid y xna jmn ..Da Vero Goad Bless u
Nimeskia umesema kutokomeza cm za vitochi🙄 wenyewe vinatusaidia alaf vinakaa na chaji sana da Vero msivitokomeze banaaa😊
Hiv Hawa vuna daily mbn km matapeli
Mapenzi ya nyoko🤨😏
Mh simuliz ni nzuli Nina hamu kujua mwisho wa ellybalik n mpnz wak 😮maan kha
Unajua Eli Hana akili Kila ninapo endelea kusikiliza anani chefua siokupenda ni mpumbavu
Asante saaana elibariki
jamani huyu kaka anakela kiukweli mtu umemaliza mpaka form six kweli, yaani ameshaambiwa ubishi,ujuaji ndio utakaomponza,sio ushamba ,kinachonikwaza ni kuwa umeelezwa vizuri na huyo kaka,kakueleza vizuri pia kuhusu huyo msichana alivyomuona,lakini wewe umekazana nampenda , nampenda
Wow, dada Veronika today you look delicious, you are sooooooo, soooooo beutiful i. Thebway you have dressed today. Hongera sana MAMA
Jamani simulizi nimeipenda dada vero
Ellbarik mjinga😂😂😂
hii simulizi ni kama ile ya Mercy..boyfriend kamzoelesha haya mambo kisha akawa anatumikishwa na kumpora baba yake
Answaaa
@@user-uu6ei1ys3k ajabu kweli dunia hii ndugu yangu mmmh
😂😂😂😂😂😂
Eli wewe ni duwanzi
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe
😂😂
Da Vero. Kwenye kulipia tovuti yako tuwekee wa nje tuweze kufanya malipo pia @veronnicasimulizi
Daaaaa 😢😢 dada Vero hii story asee kwelii Mdharau mwiba......Asiye sikia la mkuu.....Mapenzi upofu .pole sana broo eli