Allah akuhifadhi akulinde na shari zote zinazopangwa juu yako mheshimiwa lisu wakumbuke kuwa dunia tunapita na kwa Mungu hakuna cheo wa tajiri Mungu ataangali matendo
Pole sana kwa habari mbaya ya kutaka.kuuawa. Najua hapendi au hujazoea kutamka Mungu lakini naamini kama Mungu amekulinda kote huko bado atakulinda salama. Usihofu. Not wenye matunda ndio urushiwao kawe usijali. Zinatuumiza sana kusikia hivyo. Hii ni nchi yetu sote jamani
@@albertinamichael6123 lisu nikibaraka chawazungu wezi wamakinikia, ndio maana aliwatetea wezi wamakinikia halafu et mnasema mzuri,hafai kabisa Ila kwakuwa hamanaakili hamtajua,mtu amehamisha mke nawatoto unadhani anataka kufanya nini akigombea akashindwa?
Huyu jamaa Mungu bado hajataka kumwondo Duniani, Kumbukeni baada ya Uchaguzi aliposema aliambiwa na mtu asiyemjua kwamba atafute namna ya kujiokoa na mnajua aliondokaje nchini.
Mmmm inaumiza sana sana,Lisu jilinde na kumuomba mungu milele yote.Hata hivyo unatakiwa kuwa makini zaidi,ikibidi rudi uliko kuwa usalama na uhai wako ni faida kubwa kwa familiya yako na taifa kwa wanaothamini utu wako.
Proof that you wanna turn proud our economy. Speak out with confidence that our country is very rich. Give us assurance. We don't deserve to be beggers. Speak it out loud woth confidence so we can hear you. We absolutely wanna hear that from your own mouth....that's it you believe so.
“Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana. ” - Zaburi 68:20 ■MUNGU YUPO TANZANIA 🇹🇿 SI MDA WATAELEWA WATAWALA.🙏🙏
We understand your words and your steps. Tunaamini utafika pazuri, tukiamini kuwa umaanisha toka moyoni na mifano utatuonesha ili tukuamini. Wanasema 'it's easy said than done' Tutataka proof. Ni.kwa faida yako wewe
Mh, lisu ukizungumzia watu kuwa matajiri Sana, unanifanya kumkumbuka marehemu magufuli, inauma Sana kusikia watu wanatajirika kupitia pesa zetu za Kodi,
Proof them wrong wale wanasema unatumika na mabeberu wa nje kunyonya utajiri wa nchi hii kwa maslahi yenu binafsi. You've to work hard to eliminate that brand. It's gonna hunt you in the fiture. People are just waiting for the right mpment o use it against you. Proof that you're different....you are patriotic and you care about this country more than mabeberu and your own benefits. just like Ibrahim traore of BurkinaFaso or Magufuli although you never wanna admit his outstanding job.
Kunawatu kazi zenu kukebei matatzó ya wenziweni taarifa híí ni sahii kabsa kila cku watu wanauwawa lengo kuu wabaki madalakani ila tambuweni yatakuja kutokea machafuko kila atatafta pakuingilia
Mr Lissu pole sana mzalendo wetu, ni kweli kabisa unayosema so kuwa makini sana kwa sababu CCM na serikali yake hao ni Mayahudi weusi na makaburu weusi wana hofu sana na wewe kuwa ukishinda uenyekiti hao waovu na Firauni wa zama hizi hawatalala kwa sababu wewe Lissu hununuliki,huongeki so wewe ni haki tuu so hiyo ndio hofu yao kubwa sana.
POLENI SANA MR.LISU.LAKINI DHULMA HAITOSHINDA KAMWE,MUNGU YUPO ATAKULINDA,NASI TUTAKUOM BEA MUNGU ALIYE KUEPUSHA NA TUKIO LA AWALI NDIYE ATAKAE KUEPUSHA NA JANGA HILI.
Wanakuchafua kama walivyomcchafua ROWASA, watanzania kitu ambacho hawajui ROWASA alikua mtu sahihi sana katika nchi.nilikua sijui Yale yote waliyomsema yalikua ni uzushi
Ivi we mwandishi ujuwi kuwa uyo nimukombozi wa tanzania ndoo maana anatafutwa uyo nikiongozi muwazi ndomana ana windwa lisu usiofu mungu aliye kutetea mala ya kwanza na sasa atakutetea baba yetu kiongozi
Hiki Kichwa watu wanakitazama kwa Jicho Hasi tuu lakini amini nawaambia huyu jamaa Mungu kamwacha hai ana Makusudi yake na Ndiye anayemlinda mpaka sasa hao wanaompenyezea ujumbe ni Mungu anapitia kwao. Ila Sometimes ni dhambi sana huyu jamaa mbona hanaga nongwa na mtu anatukanwa kapigwa mi risasi yote ile kaponywa na Mungu wala hana tabu na mtu inafikirisha sana.
Hahahaha lisu bana mjanja Sana anataka kuwachezesha wanachadema wamuone yeye ndio tishio kwenye uenyekiti kuliko mbowe kumaanisha akiwa mwenyekiti anaweza kuiondoa CCM mbowe Hana madhara ndani ya CCM
Wewe mpuuzi mmoja tu,kifo ni kwamba kila mwanadamu ataonja umauti ikiwemo sisi sote na wewe hivyo usiwe mpumbavu kumnyooshea kidole mama kuhusu kifo kana kwamba wewe utaishi milele.
YEYOTE ATAKAYE THUBUTU KUKUGUSA WEWE LISU KWA .NAMNA YOYOTE ILE. ATAKUWA AMEIGUSA MBONI YA JICHO LA MWENYEZI MINGU NA MWANADAMU AKIUONA USO WA MUNGU HAWEZI KUISHI. HAI
Nyie cccm munakotupeleka hii nchi itakuja kuvulugika kama somalia na sudani na mwisho wa siku nyie viongozi mtakuja kulipa tambueni madaraka haya yana mwisho hamtakaa hapo milele
Mbona ana mamlaka makubwa sana ndani ya chama na ayasungumuzi ayo mauchafu ya watawala ? Nini kinachomzuiya au kwani katiba inchi inatowa kinga kwa wenyeviti wa vyama???
Watanzania kama tukiwa na kumbukumbu hayati magufuli atukuweza kumpitisha kuwa mgombea sisi wananchi bali hayati Benjamin mkapa ndio alimchagua kuwa mgombea sabbu alikuwa alijua peke yake asingeweza kuwa mgombea rais pia kuwa rais.huyu mh tundu lissu kwa maoni yangu huyu anafaa kushika tamu ya uongozi sifa hizo anazo.
Hizo ni Propaganda za lisu na nasema wanataka kufanya vibaya ni hao Chadema wenyewe kwa sababu kuna kunatim 2 ndani ya Chadema moja Mbowe na yapoli ni LiSU
Siku ukiwa mwana siasa unaweza angalau fanikiwa. Una asira , sana . Chuki na dharau kijeli. Bado hujajitambua unataka nini hasa katika nchi hii.kusema au kufoka haina maana ndiyo kutenda. Una taaluma pana sana ya sheria ( mbobezi) lakini huja juwa uitumie vipi kwenye siasa, hebu chukua mfano mzuri Obama alifanya je akawa Rais wa Amerika. Una kitu ila kuna mahali unakwama.
Dah jamaa kajaaliwa kipaji cha kuongea ila kwenye utendaji bado cjaona so natamani huyu jama awe mwenyekiti tuone kutakua na mabadiliko kweli au ni Siasa tu akipata tu humuoni Ata kwenye matawi ya Chama.
Huyo ni mtu maarufumkubwa Mwenyezi Mungu broo ! Lakini huyo mtu ni mungo amekutisha ! Na ni yeye huyo aliekuambia huo uzushi ndio adui yako na ni lazima umtaje kwa jina kwani lhizo ni tuhuma sio siasa pendant police ukafungue taarifa ili wahusika wachukuliwe taratibu za kisheria !
MUNGU mlinde huyu mkombozi wa Tanzania ❤
Mjinga tu😛
et mkombozii😂😅😂
Allah akuhifadhi akulinde na shari zote zinazopangwa juu yako mheshimiwa lisu wakumbuke kuwa dunia tunapita na kwa Mungu hakuna cheo wa tajiri Mungu ataangali matendo
Pole sana kwa habari mbaya ya kutaka.kuuawa. Najua hapendi au hujazoea kutamka Mungu lakini naamini kama Mungu amekulinda kote huko bado atakulinda salama. Usihofu. Not wenye matunda ndio urushiwao kawe usijali.
Zinatuumiza sana kusikia hivyo. Hii ni nchi yetu sote jamani
Hayo matamanio ya Lisu ni mazuri lakini watu wa aina yake ni wachache sana waovu ndio wengi na ndio wako kwenye madaraka.
Ndiomana wanauzia asifanikiwe ili asaidie wengi, wao wakose pakula
@@albertinamichael6123 lisu nikibaraka chawazungu wezi wamakinikia, ndio maana aliwatetea wezi wamakinikia halafu et mnasema mzuri,hafai kabisa Ila kwakuwa hamanaakili hamtajua,mtu amehamisha mke nawatoto unadhani anataka kufanya nini akigombea akashindwa?
Dunia imekuwaje? Mbona tunapata hii dunia kheri umasikini wenye furaha, kuliko utajiri wenye damu mikononi
Huyu jamaa Mungu bado hajataka kumwondo Duniani, Kumbukeni baada ya Uchaguzi aliposema aliambiwa na mtu asiyemjua kwamba atafute namna ya kujiokoa na mnajua aliondokaje nchini.
Watanzania tuacheni uzuzu tujaribu chama kingine kwanza. ccm wapumzike uyutundu nikiongozimzuri.
Huyo mjinga tu jana lolote kibaraka cha wazungu☹️
Mmmm inaumiza sana sana,Lisu jilinde na kumuomba mungu milele yote.Hata hivyo unatakiwa kuwa makini zaidi,ikibidi rudi uliko kuwa usalama na uhai wako ni faida kubwa kwa familiya yako na taifa kwa wanaothamini utu wako.
Proof that you wanna turn proud our economy. Speak out with confidence that our country is very rich. Give us assurance.
We don't deserve to be beggers. Speak it out loud woth confidence so we can hear you.
We absolutely wanna hear that from your own mouth....that's it you believe so.
Ndio makamu mwenyekiti una msimamo mkali na ni mkweli sana na unajua serikali ilivyo
Ongeza naomba uongoze ulinzi hata watu hasini
“Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana.
”
- Zaburi 68:20
■MUNGU YUPO TANZANIA 🇹🇿 SI MDA WATAELEWA WATAWALA.🙏🙏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wewe mwenyewe mchafu unataka kuleta ushoga 😅😅
WEKA ulinzi mkali,mheshimiwa Wala usipuuzie!!
Mkimdhuru Tundu Lisu this time hatutavumilia
"Unatishia ushuzi hali unaharisha"-mwandishi nguli
Wanaotishiwa wawe wawazi kutuambia wanatishiwa na nani.
😂😂😂😂 huna lolote😂😂😂
Tundu Lissu yupo sahihi tuna mijambazi ndani ya system inajifanya kondoo huku........
Umeishiwa Lisu rudi kwa mabwana zako ukajipange tena😂😂
Kelele nyingi hamna chochote😂😂😂kazi iendeleee mitano tena👍
Mungu atakutunza mno. Utakuwa salama kama Bwana Mungu alivyopanga. Wanaopanga mabaya watadhurika wao kama ilivyotokea kwa JPM.
We understand your words and your steps. Tunaamini utafika pazuri, tukiamini kuwa umaanisha toka moyoni na mifano utatuonesha ili tukuamini. Wanasema 'it's easy said than done' Tutataka proof.
Ni.kwa faida yako wewe
Mh, lisu ukizungumzia watu kuwa matajiri Sana, unanifanya kumkumbuka marehemu magufuli, inauma Sana kusikia watu wanatajirika kupitia pesa zetu za Kodi,
Tunakupenda Lissu MUNGU akulinde kaka
Proof them wrong wale wanasema unatumika na mabeberu wa nje kunyonya utajiri wa nchi hii kwa maslahi yenu binafsi. You've to work hard to eliminate that brand. It's gonna hunt you in the fiture. People are just waiting for the right mpment o use it against you.
Proof that you're different....you are patriotic and you care about this country more than mabeberu and your own benefits. just like Ibrahim traore of BurkinaFaso or Magufuli although you never wanna admit his outstanding job.
Tundu lissu yuko sahihi sana,anataka haki.
Haki huinua taifa
Anae penda nchi inyoke vizuri,Kura kwa Tundulisu 2025.
Uongo lkn mnafanana na mpendwa wako
Sahau😂😂😂😂
Hutakufa bali utakaa mzima uyasimulie makuu ua Mungu.
Hawatakuweza usihofu.
Kunawatu kazi zenu kukebei matatzó ya wenziweni taarifa híí ni sahii kabsa kila cku watu wanauwawa lengo kuu wabaki madalakani ila tambuweni yatakuja kutokea machafuko kila atatafta pakuingilia
Mr Lissu pole sana mzalendo wetu, ni kweli kabisa unayosema so kuwa makini sana kwa sababu CCM na serikali yake hao ni Mayahudi weusi na makaburu weusi wana hofu sana na wewe kuwa ukishinda uenyekiti hao waovu na Firauni wa zama hizi hawatalala kwa sababu wewe Lissu hununuliki,huongeki so wewe ni haki tuu so hiyo ndio hofu yao kubwa sana.
POLENI SANA MR.LISU.LAKINI DHULMA HAITOSHINDA KAMWE,MUNGU YUPO ATAKULINDA,NASI TUTAKUOM BEA MUNGU ALIYE KUEPUSHA NA TUKIO LA AWALI NDIYE ATAKAE KUEPUSHA NA JANGA HILI.
Daaa angalia wasifatilie kwa sim waje wamuue huyo kiongozi mwadilifu alie kustua
Lisu siyo mtu mzuri kwann amehamisha familia yake iko nje? Pia yeye ananuraia pacha huyu Hana Nia nzuri anataka kuleta machafuko kabisa
@EmmanuelMlowe-u1v ndugu unaweza ongea kwasababu hayajakukuta ya lisu ingekua ni wewe nahisi hata nchini usinge rudi
@@EmmanuelMlowe-u1vKm ww ndo mzuri pewa nchi sasa
😅😅😅😅kichwa hiki ni hatari sana
Wanakuchafua kama walivyomcchafua ROWASA, watanzania kitu ambacho hawajui ROWASA alikua mtu sahihi sana katika nchi.nilikua sijui Yale yote waliyomsema yalikua ni uzushi
Kwasasa hawawezi kukudhuru kwakuwa wanaogopa kupatwa na Yale yaliyowapata watesi wako
Lisu akipenya kunawatu watajuta 🤣🤣🤭 🇹🇿 ila kama atashinda MUNGU akutunze
Kichaa hapewi serikali😂😂😂
Dah!hii nchi sio kabisaa...
Mungu atakulinda kama alivyokulinda adui alipokukabili,ugombee urais 2025 utapata kaka mkubwa
Jamaa huyu bwana,wakuue kwa lipi sasa,
Mungu akulinde kama ni kweli
zile risasi alizopigwa kipindi kile walitaka kumuua kwaajiri gani 😂😂 au kipindi hiko ulikuwa hujapata bado smartphone hukujua yanaoendelea Tz
We unafikiri huyo ni wewe mjomba hizo risasi alizopigwa kwanini wasingekupiga wewe mjomba
Kwani wanaouliwa wanauliwa kwa Lipi
Hivi wewe unasema wakuue kwa lipi, risasi alizo nazo ni mapambo?
Mijitu mingine inakera mpaka mtu unakosa ulijibu vp,hauna akil ww kwamba risasi alizopigwa ni mapambo au
Nakkubali sn tundulisu
Lisu wewe ni mtu katika nchi hii una Mungu sana tunakupenda
Ivi we mwandishi ujuwi kuwa uyo nimukombozi wa tanzania ndoo maana anatafutwa uyo nikiongozi muwazi ndomana ana windwa lisu usiofu mungu aliye kutetea mala ya kwanza na sasa atakutetea baba yetu kiongozi
Pole sana mkui😢😢😢
HOFU NI KWAMBA LISU AKISHIKA UONGOZI WA CHADEMA WANAHISI UPINZANI UTAKUA MKALI SANA
Mungu atakulinda na utaishi sana
Nakuelewa sana brooo sema sna pakukuungia mkono
Hiki Kichwa watu wanakitazama kwa Jicho Hasi tuu lakini amini nawaambia huyu jamaa Mungu kamwacha hai ana Makusudi yake na Ndiye anayemlinda mpaka sasa hao wanaompenyezea ujumbe ni Mungu anapitia kwao.
Ila Sometimes ni dhambi sana huyu jamaa mbona hanaga nongwa na mtu anatukanwa kapigwa mi risasi yote ile kaponywa na Mungu wala hana tabu na mtu inafikirisha sana.
Ukinzi wa Mungu ni muhimu sana wanaomuazia mabaya wafe kabla hawaja mfikia kwa lolote
Nikweli tunatawaliwa na waovu sanna
Huyu senge mzushi na mpuuzi
unalinda kaugali kako kwa kuridhia wenzio wauawe,ngoja yakukute
Sana had kero Bora asiwepo kabisa, Hapo alipo anauraia pacha,familia yake kahamisha haipo Tanzania manake anataka kutuua
Lisu a Ha uhun
Mama Abdull akisubutu kukuua ndio situation ataondoka ikulu kwa nguvu ya umaa atakwenda kwao znz
Uyu mxee wa kuxusha
Kumbuka aliona dalili za kufuatiliwa kabla hajapigwa risasi huko makao makuu,tena mchana wa jua kali.. @@ajiaally3269
Nawewe utarudi kwenu Burundi
Hahahaha lisu bana mjanja Sana anataka kuwachezesha wanachadema wamuone yeye ndio tishio kwenye uenyekiti kuliko mbowe kumaanisha akiwa mwenyekiti anaweza kuiondoa CCM mbowe Hana madhara ndani ya CCM
Wewe mpuuzi mmoja tu,kifo ni kwamba kila mwanadamu ataonja umauti ikiwemo sisi sote na wewe hivyo usiwe mpumbavu kumnyooshea kidole mama kuhusu kifo kana kwamba wewe utaishi milele.
YEYOTE ATAKAYE THUBUTU KUKUGUSA WEWE LISU KWA .NAMNA YOYOTE ILE. ATAKUWA AMEIGUSA MBONI YA JICHO LA MWENYEZI MINGU NA MWANADAMU AKIUONA USO WA MUNGU HAWEZI KUISHI. HAI
Acha kufru Mungu hana habari na huo upumbavu wenu wa kisiasa
Huyu ana ongea kinyume chake anajua mbowe anaweza akamshughulikia anaweka kinga
Usimtoe katika reli,msikilize na umuelewe
Nchi haitaki watu wenye akili kubwa na wasimamizi wa mali zetu
Lisu usimuamini pia huyo yawezekana hana nia njema pia
Kura yangu umepata mkuu..
Wandishi muwe mnamwacha mtu kwanza aongee usimuingilie akiwa anaongea
Kama lisu Hana mchezo flan wakutengeneza tukio alipoambiwa awe makini asingalisema. Huyu anataka ulinzi au anataka ajifanyie tukio flan
Mungu ibariki Tanzania
Halafu baadaye mje kusema wasiojulikana kumbe hua mnawajua mapema. Sasa mbona hamuwapeleki kwenye vyombo vya sheria mapema kabla hayajatokea hayoo?
Asanteni CMG mmerudi nawapata via FM
Morgoro ina 3mths hakuna masafa
MAGOTI YETU YOTE TUNAMPIGIA MUNGU JUU YA NCHI HII ILI MUNGU AKATENDE JAMBO JIPYA
✌🏼
Mzee wa Drama 😅😅 oyeeeee
We hujui ty ndomaan waogeq ivo
Mungu akunusuru lkn hiyo ni dhambi ya kumsingizia Magufuli, lakini pia kwa nini iwe kwa Wagombea Uenyekiti tu wa CHADEMA?
Nyie cccm munakotupeleka hii nchi itakuja kuvulugika kama somalia na sudani na mwisho wa siku nyie viongozi mtakuja kulipa tambueni madaraka haya yana mwisho hamtakaa hapo milele
Akipewa lisu serikali kweli itachafuka😂😂😂
Hiyo hoja ni ya kujenga ukimuangalia usoni unaona haina ukweli inajengwa mada ya kusafisha figisu zao
Unawajuwa wako ndani ya chadema unawajuwa tundu lisu
MTU HUYO NI WARIOBA AU NANI
Wewe Sasa unataka kuulizwa,inasema kabisa wanataka kumsingizia mbowe kwahiyo unampa nafasi mbowe Kama anaweza au?
Lakini TAL vingine usiviseme hadharani unless vina pre empty mambo.
Lisu wewe kwann unauraia pacha?
Tena hyo ya chacha wange kaa kimya na sisi wakurya mnabahati police waliwasaidia na Lisasi ya kichwa ni ajali
Mbona ana mamlaka makubwa sana ndani ya chama na ayasungumuzi ayo mauchafu ya watawala ? Nini kinachomzuiya au kwani katiba inchi inatowa kinga kwa wenyeviti wa vyama???
Watanzania kama tukiwa na kumbukumbu hayati magufuli atukuweza kumpitisha kuwa mgombea sisi wananchi bali hayati Benjamin mkapa ndio alimchagua kuwa mgombea sabbu alikuwa alijua peke yake asingeweza kuwa mgombea rais pia kuwa rais.huyu mh tundu lissu kwa maoni yangu huyu anafaa kushika tamu ya uongozi sifa hizo anazo.
Clouds Chanel Kubwa Kweli Bado Mko Kwenye Kushikilia Maiki Kama Mnaubili Injili Makanisani
Hizo ni Propaganda za lisu na nasema wanataka kufanya vibaya ni hao Chadema wenyewe kwa sababu kuna kunatim 2 ndani ya Chadema moja Mbowe na yapoli ni LiSU
Mmmh tundulisu watakaokudhulu ni wa ccm ama chadema????
Haki huinua taifa, hivyo haki ikitekelezwa kma Lissu anavyodai taifa hili litainuka
Njoo huku nje ya nchi kwa usalama zaidi
Jk huyo😅😅😅😅😅😅
Jk ni kiongozi wa Dini?
Mtu mkubwa sana ivyo Tanzania na hayuko serekalini ni Jaji Warioba tu Hakuna mwengine
Au Kikwete, naye ni rafiki yake hawezi kukaa kimya akijua kuna mpango wa kumuua.
Msikate anapoongea
Kufa ata Leo gkasia malaya wewe
Eee mungu hiv Kwa nn Tanzania hatukati watu wenye akili hii laana hii sijui mungu yupo lisu Kuna wengine watapuuza mpaka mtu aumie ama afe
Mjusi kweli wewe Sasa Lisu ana akili?
Mtu mkubwa mbona kama ni mtumishi
Siku ukiwa mwana siasa unaweza angalau fanikiwa. Una asira , sana . Chuki na dharau kijeli. Bado hujajitambua unataka nini hasa katika nchi hii.kusema au kufoka haina maana ndiyo kutenda. Una taaluma pana sana ya sheria ( mbobezi) lakini huja juwa uitumie vipi kwenye siasa, hebu chukua mfano mzuri Obama alifanya je akawa Rais wa Amerika. Una kitu ila kuna mahali unakwama.
Lisu siyo raia mwema, anauraia pacha pia amehamisha familia yake yote nataka kufanya nini hapa kwetu?
sasa nani amuuwe baada ya kutangaza kugombea uwenyekiti jiongezeni sasa hapo?
Dah jamaa kajaaliwa kipaji cha kuongea ila kwenye utendaji bado cjaona so natamani huyu jama awe mwenyekiti tuone kutakua na mabadiliko kweli au ni Siasa tu akipata tu humuoni Ata kwenye matawi ya Chama.
Waulize TLS, ILIKUWA vp, alipowaongoza,,
😭😭😭
😂😂😂jamaa liongo sana hili...kama ni kweli c utangaze sasa hao watu wakamatwe mapema..
Ukweli wako upi tueleze
Nani akamatwe. Na aitangaza 2017 nani alikamatwa? Jinga ww
Wakamatwe na nani kaa kwa kutulia
Ccm oye
K tu hamna kitu mjinga
Huku mtaani mambo sio Lele. Sasa sisi wananchi hatuwezi kuwa wenyeviti kwa mara Moja.
Nadhani ifike pahala mtununulie bundles
tundu tundu narudia tena tundu tundu taja kama kweli we utakuwa mwongo
Huyo ni mtu maarufumkubwa Mwenyezi Mungu broo ! Lakini huyo mtu ni mungo amekutisha ! Na ni yeye huyo aliekuambia huo uzushi ndio adui yako na ni lazima umtaje kwa jina kwani lhizo ni tuhuma sio siasa pendant police ukafungue taarifa ili wahusika wachukuliwe taratibu za kisheria !
Kwakikubwa kipi wakuzuru au wewe ni mmarekani au unatumiwa na mabwanyenyee Tuambie
Lisu mwongoau au anataka kulindwa? Hajiami , au anataka kufanya alikifanye kwenyetukio lake akasingizia magufuli?
Kama ushahidi unao washitaki tu Wacha usanii uncle
Hizi nikauli tu ila kiukweli bila unafiki huyu Jamaaa anamatamaa sana hawa nimapandikizi ya wazungu
We mwenyewe pandikizi
Kwaiyo wewe na huyo baba mnaficha wahaalifu , mbinu zenu za kujiteka wenyewe
Ajiteke iliapate faida gani pungusa ushawa ,
@SamwelMollel-br9md
Kama hana faida yakujiteka awataje hao wanataka kumteka mana kasema anawajua
Hakuna lolote uzushi huo .